NENO LA PASAKA
Mpendwa Ofcourse kila mtu anajua Pasaka ni Siku Ya 3 aliyo-fufuka Bwana Yesu. Kama tulipoishia Ijumaa kuu kwamba ALl-ISHINDA MAUTI!. Kufufuk...
Mpendwa Ofcourse kila mtu anajua Pasaka ni Siku Ya 3 aliyo-fufuka Bwana Yesu. Kama tulipoishia Ijumaa kuu kwamba ALl-ISHINDA MAUTI!. Kufufuk...
Wapendwa wengi tunajua Ijumaa Kuu ni siku ya kuadhimisha kifo cha Bwana Yesu, Like he died ,but was madered actualy, kwa kusulubiwa msalaban...
lsaya 60:11Malango yako yatakuwa wazi daima, usiku na mchana hayatafungwa,ili watu wakuletee utajiri wa mataifa, pamoja na wafalme wao katik...
Wapendwa kumuomba Mungu so shida kabisaa, lakini kupata majibu yako most of the times kunahitaji WEWE NA MUNGU MSIKILIZANE! yaani Yeye akusi...
Romans 12:1111 Never let the fire in your heart go out, keep it alive, Serve the lord.Warumi 12:1111 Juhudi yenu isipungue, moto wenu wa kir...
Wafilipi 4:1313 Naweza kufanya mambo yote katika yeye anipaye nguvu.1Wakoritho 15:1-111.Basi,ndugu zangu,na waarifu ile injili niliyowahubir...
Wote tunataka majibu sawa, Tofauti yetu ni HOW FAST DO YOU WANT THOSE ANSWERS, Wote mnaweza kuwa mnataka jambo moja kama Kazi/Ndoa.Tofauti n...
Zab 51:17Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika, Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, huta udharau.MPENDWA MOYO ULIOVUNJIKA NA KUPONDEKA...
PRAYER POINTS1.Lord give me an encounter this week kwenye eneo la kazi/ mahusiano/ afya that willchange my life through your grace.2.Bwana c...
Waefeso 1:7Maana kwa damu yake Kristo sisi tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa .Ndivyo ulivyo ukuu wa neema yake.Mpendwa Neema ya...
2 Corinthians 5:77 (For we walk by faith, not by sight)2 Wakorintho 5:7Maana twa-enenda kwa imani,si kwa kuona.Maandiko yanasema NENDA/ TEMB...
What is God’s Grace?God’s grace is a gift that we do not deserve and can not earn. God’s grace gives us our salvation and eternal life with...