SITUATION ULIYOPO ISIKUFANYE UACHE SAFARI YAKO

2 Corinthians 5:7

7 (For we walk by faith, not by sight)

 

2 Wakorintho 5:7

Maana twa-enenda kwa imani,si kwa kuona.

 

Maandiko yanasema NENDA/ TEMBEA sio KAIWEKA KAMBI, We endelea na safari bila kungalia kulia na kushoto mambo yapoje. Usiangalie maisha yako na mazingira yanasemaje wakati huu Bali MAANDIKO NA NENO LA MUNGU LINASEMAJE JUU YAKO WAKATI HUU.

 

Yamkini huna kazi wakati HUU, upo alosto Sh.10 huna hapo ulipo huna kweli, Hata ya sadaka huna wala hujifanyishi!, Juzi kuna mwanangu kanirushia 1000 kwa wakala, Maana Hana ya kurushia!Nikashindwa kumkatalia sababu ninge muumiza ZAIDI. Yamkini uko SINGLE mpaka ushakata tamaaa hands down!, Whatever the case ya mazingira yako HAIMAANISHI CHOCHOTE.

 

CONVICTION / MAAMUZI UTAKATOFANYA BAADA YA KU-EVALUATE MAZINGIRA YAKO NDO KILA KITU MAANA MAAMUZI UTAKAYOFANYA NDO YATAKUPA EXPECTATIONS NA HIZO EXPECTATIONS NDO ZITAKUJA KUGEUKA CONVICTIONS NA HIZI CONVICTIONS NDO ZITAGEUKA REALITY YAKO.

 

 

Sawa huna kazi, Umejikagua huitaji HATA ramli ni kweli ni miaka 7 huna kazi yoyote, popote SIO SIRI LIKO WAZI KABISAAA HILOO, JE MOYO WAKO UMEFANYA MAAMUZI GANI?, kwa kutumia basis gani pia nalo ni muhimu sana, Kutokana na hali yako kuwa ngumuuuu bila kufumba-fumba umekata tamaaa, Ume amua kwa ku-base na mazingira yalivyo wazi na Reality Bora ufanye kazi yoyote mradi mkono uende kinywaniiii! Lawyer umeamua upike Chips, Uwe winga, IT VERY OKAY AS LONG AS IT IS NOBLE JOB AND HUIBI WALA KUZULUMU HAKI YA MTU! NI MAAMUZI, YAMKINI YANAWEZA KUWA YA MSINGI KWAKO KWA WAKATI HUO NA HALI ULIYO NAVO! UMETEMBEA KWA COMMON SENSE.

 

Na kutokana na haliyako  kuwa ngumuuu bi a kufumba fumba UMEGOMA KUKUBALIANA NA HALI,UMEAMUA KUGOMEA PENALTY! UMEAMUA KUJIZIMA DATA NA KUUKATAAA UKWELI WA WAZI KABISAAA NA KUAMUA KUTEMBEAAA KWA IMANI HATA KAMA WATU WOTE WANAKUONA KUBWA JINGA HIJITAMBUI WANAKUONA  OISHI LIMEYUMBA WEWE UMEKAZA KUTEMBEA NA MAANDIKO.

 

KWAMBA MUNGU WAKO NI MUNGU WA BANKERS,LAWYERS, ACCOUNTANTS NA PROFESSIONAL JOB SIO WA INFORMATION PETTY JOBS, UKIFANYA MAAMUZI YA KUKATA-TAMAA MANAKE CONVICTION YAKO ITAKUWA MUNGU AMESHINDWA KUKUPA KAZI ULIO SOMEA, EXPECTATIONS ZAKO BAADA YA HII CONVICTION ZITABADILIKA NA KUTOKA MUNGU NIINUE NIFUKIE LENGO LANGU LA KUWA CHEAF ACCOUNT,MPAKA MUNGU NAOMBA NIJAALIZE NIUZE SAHANI 15 ZA CHIPS LEO.

 

MUNGU NAOMBA KUKU WASIBAKIE , MUNGU NAOMBA NIUZE GAUNI 5 TU LEO! EXPECTATION ZAKO ZIKIBADILIKA NA REALITY YAKO ITABADI LIKA !SABABU HU EXPECT KU MOVE UP, IN CAREER GAME YOU WILL NEVER LIVE THAT CAREER LIFE, IT WILL NEVER BE YOUR REALITY, REALITY YAKO ITAKUWA NIMEUKA KUKU 7 LEO FANTASTIC LIFE! MOYO WAKO UTARIDHIKA! NA KWA HIARI YAKO UTAKUWA UMEFOREFIT YOUR COULD HAVE BEEN A WONDERFUL CAREER LIFE BY YOUR OWN FREE WILL BILA KULAZIMISHWA NA MTU YOYOTE, MOYO WAKO UTARIDHIKA NA KUUZA KUKU, MIAKA ITAENDA NA MAISHA YATASONGA.

 

UKIGOMA KUKATA TAMAAA,HUTA SHIKA FRAMPEIN LA CHIPS, HUTAFANYA UNPAID INTERNSHI P ,HUTA UZA UTU WAKO WALA WA ACADEMI C SECTOR AS A WHOLE SABABU YOU KNOW THE WORD.

 

YOU KNOW GOD !AND MOST OF ALL YOU KNOW GOD IS AND ALWAYS HAS BEEN TRUE TO HIS WORD! SHIKA KARAlll LA CHIPSSSS! NEVERRRRR! THE DEVllL IS A BIS FAT PHAISON LIER! KAMA MUNGU AISHIVYO I WILL GO TO THAT BANK, I WILL PROSPER IN THAT BANK AND I WILL MAKE HISTORY IN THAT BANK! Hll IKIWA CONVICTION YAKO, UTAENDELEA KITAFUTA OPPORTUNITY ZA KUFANYA KAZI YAKO ULIOSOMEA, WAKI-KUUA LEO KESHO UNAFUFUKA NA KUENDELEZA MAPAMBANO KAMA MUNGU AISHIVYO UTAINGIA KWENYE HIO KAZI NA UTA-MAKE HISTORY MAANA BILA HIVYO MAISHA YATASIMAMA HAPO HAPO, THERE IS NO OTHER LIFE BILA WEWE KUINGIA HIO BANK! NA SIO TU KUINGIAAA! BILA WEWE KUWA MKUU WA IDARA.

 

Mimi nilivo maliza chuo,kazi hamna, Baba akaniambia nimekutafutia tempo uje ufundishe, Kumbuka Baba yangu alistaafu kazi yake ,akaona bado ana nguvu aka tafuta kazi ya Ualimu wa vyuooo hivi vya mtaani, Apate pa kupoteza mda na hela Ya kula akijumli sha na pensio yake Uzee pambeee tu.

 

Nikamwmabia SIFUNDISHI, Sasa Mzee mzungu wa Roho, Alinielewa, Akamuacha ni relax kwa Sofa kwa raha zangu.Bi mkubwa alikuwa kazini bado akanitafutia intern SUA kwa shoga ake, The thing ilio haribu it was UNPAID yaani nichukue pesa nyumbani kwenda kazini, Si Bora nika fundishe Ma slay queen na mzee, Nikamwambia SIENDI WEE.

 

ALL HELL WAS LET LOOSE, KWANZA AKAMWAMBIA AUNTY ASINIRUHUSU NIKALALE KWENYE KOCHI KULE, MAANA ALIJUA AKINWASHIA MOTO NITASEPA AUNTY AKANIAMBIA UENDE SUA IT IS A PRESTIGIOUS ORGANIZATION INA BRIGHT FUTURE, HUKU BI MKUBWA NI KUNISIMANGA 24/7, MPAKA MZEE ANA NITETEA NAYE ANA SIMANGWA MAANA NAE ANA HITORIA YA KUPENDA KUKAAA BILA KAZI, SO VYA KURITHI VIMEZIDI AKANIAMBIA YOU ARE ON YOUR OWN.

 

MASIMANGO YALIVYOZIDI SIKWENDA SUA, NIKAENDA KUKAA NA DADA YANGU AMBAE ALIPATA MIMBA KAKIMBILIA KWA SHEMEJI, BILA NDOA BILA NINI!STYLE ZA ENZI HIZOM, SOGEA TUKAEEEE!GUBU LA Bl MKUBWA, ANALIJUA NA ASHASEMA  HATALEA TOTO LA MTU,YEYE MWENYEWE WANAE ALIWA GAWA ASAIDIWE!

 

Kwa shemeji mambo yalikuwa magumuuu Sana, kwanza dada yangu hajaolewa, kajipeleka na mimba, Shem mwenyewe wakati huo hana maishaaa, Sister ndo kamaliza chuo anafanya certification ambayo Shem anamsomesha, So watu wote tuna mtegemea Shemu, Ndugu zake Wakija pale balaa alinakuwa zito, KUNA MUDA NAKATA TAMAA KAMA MUNGU YUPO NA KWELI MIMI NITAFANYA KAZI NILIO SOMEA NILIPWE?, Kuna Siku Shem anakuja na hasira ana gombagomba, Na mwambia Sis Bwana mimi naenda SUA kufanya kazi ya bure.

 

Ananiambia tulia unaendaje Morogoro wewe ? Ushaona naniameenda Mkoa amerudi? Your life will be over, Huyu shemeji yako na mmudu, Kuku wangu wenyewe, We tuliaaa hapa! Kaza rohooo.

 

Balaa likaja Mama mkwe alikujaaa!Sisi waswahili lakini yule mama amekulia Tanga na Mombasa, Kwanza kaja mimisipo kamatetemesha sis hatari, Hakuwa anajua kama na mimi naishi hapo, Alivyo Jonas akapiga makubwa aka mute mpaka mwanae akarudi!, Alitusuuza! Hamnaaa kwenuuu? Siwataki hapaaa, Sisi kiukweli ali melt -down, Mi nikamwambia hatuondoki mama anamuuliza mwanae huyu anajibu kama nani?

 

Au unatembea nao wote mimi mama yako ndo sielewi, Namji buuu mwanao kampa Mimba huyu ndo tumefukuzwa nyumbani, Basi chukua I mimba tuondoke! IT WAS HEEEELLLL.

 

Sis anasema au tuondokeee tu!Nikawambia hamna kuondokalabda watuuue watutoe na majeneza, Simba mkali anazaa, Huyu mama tuna mtulizaaa!We nipe Siku kadhaaa! Mungu atafanya njia, Ukiondoka hapa Utarudi  vipi, Yule mama katetemesha pale Siku 3, Ana Tamba yeye, Siku Ya 4, pressure ikashuka akadondoka!

 

 

Tukampeleka  hospital! Likamshukaaa!Akauliza nilivo wanyanyasa angekuwa mtu mwingine si angeniacha nijifie! Tunamwambia sisi hatupo hivo, Mnisamehe Sana alivopona alishikaaa bangoo mpaka harusi ikafungwaaa.

 

Not long tukapata kaziii nzuri wote, Na Sisi na Mumewe wakaja kuwa mataji riiiwakubwa ! Na Dada yangu na mumewe at one point wakanifukuza kwao       Maisha hayaaa! Na Mama mkwe ndo akanirejesha kiubabe, adui wa leo, rafiki wa kesho, Anyway nikaja kuondoka mwenyewe umri ulivo enda!

 

UKITEMBEA KWA IMANI GOD NEVER DISAPOINTS, IT WILL GET DARK ILA KUTAKUCHA, HATA MAZINGIRA YAKO YAWE VIPI HAYA BATILISHI KUPUNGUZA WALA KUONDOA UWEZO WA MUNGU NA KILE ANACHOWEZA KUKIFANYA MAISHANI MWAKO ENDAPO UTAKAZA ROHO NA KUSHUPAZA SHINGO KUMTEGEMEA VEVE NA KUTEMBEA KWA IMANI.

 

WENGI MNAMKATIA MUNGU TAMAA NA KUJIKATIA TAMAAAA NA MAISHA YANASONGA! LAKINI AKITOKEA MTU KUSHUPAZA SHINGO MPAKA AKAPOKEA AHADI ZA MUNGU MNAANZA KUONA MUNGU ANA UPENDELO! WAKATI WEWE MWENYEWE MOTOOOO ULIKOLEA UKA TOKA NJE YA GAME.

 

HATA GIZA LIINGIE VIPI LAZIMA KUTAKUCHAAA TU, NA WANAO FANIKIWA NI WALE WANAO KAZAAA MPAKA MWISHO, JUZI KUNA MTU KAMALIZA 2014 NDO KAPATA KAZI YA LECTURER! ANEENDA KWENYE CHIPS?

3 thoughts on “SITUATION ULIYOPO ISIKUFANYE UACHE SAFARI YAKO”

  1. Hey would you mind letting me know which web host you’re using?
    I’ve loaded your blog in 3 different web browsers and I must say this blog loads a lot quicker then most.
    Can you suggest a good internet hosting provider at a fair price?
    Many thanks, I appreciate it!

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top