What is God’s Grace?
God’s grace is a gift that we do not deserve and can not earn. God’s grace gives us our salvation and eternal life with Him.God’s grace is his holy presence in our lives.
Kama mnavojua dini ilikuja na majahazi hii kwa lugha za wenyewe, Neema ya Mungu imekuwa defined sana kwa definition tofauti, Hiyo mimi nimeruka nayo sababu imenibariki.
All in all features kubwa za Neema ya Mungu ni zawadi tu ambayo Mungu mwenyewe aamue kukupa na Haina VIWANGO au QUALIFCATION za kustahili kupata, Ni wewe kujimaliza mbele yake aamue kupitisha neema zake juu ya Maisha yako.
Kuna changamoto ya translation ya neno Grace kwenye Swahili Bible hata English bible, Kuna mda linatumika kama baraka, kuna mda kama rehema, kuna mda ndo neema,yaani ukiChange bible unaweza usipate maandiko kama nilioweka, For English natumia zaidi, King James Version ( KJV) na New International Version (NIV) na Kiswahili natumia SRUV zaidi.
2 Wakorintho 9:8
Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidisana katika kila tendo jema.
Mpendwa Neno limenyooka na kushiba, Hili andiko lilitokea kwa Mtume Paul kwenda kwa Wakorinto, Mtume Paul anawaombea kanisa la Wakorinto, Mungu awajaze KILA NEEMA kwa wingi, Maana yake kuna aina nyingi za neema tofauti tofauti na lengo hasa la kuwaombea NEEMA ni iwasaidie kudumu katika kutenda mema.
Kudumu katika mema na njia zilizo nyooka, kunahitaji sana neema ya Mungu kwa nguvu zako na maamuzi na utashi wako vinaweza visifue dafu kwani unaweza kuelemewa.
lnawezekana umefanya Delivarence kwa MOYO na umevuka na kufungua vifungo vya giza vingi lakini kudumu na huo wakovu na kudumu kuwa wokovu wako kunahitaji Neema za MUNGU zaidi lakini kwa nguvu zako na utashi wako unaweza usitoboe.
lkumbukwe Mtume Paul alikuwa ameanzisha haya makanisa mapya, likiwemo la Korinta, ambalo Wakristo walikuwa bado wachanga na wanafunzi katika dini na Pamoja na kuwabatiza kwa Roho Mtakatifu, kuwafundisha maandiko aliwaombea NEEMA ZA KILA AINA ili hii neema iwasaidie kudumu katika kutenda mema, Ukisoma nyuma mpaka aya Ya 8 utakuta hiliswalala Neema ametoka nalo mbali! Ukizidi kusoma nyuma anazungumzia NEEMA hii in relation to kanisa la Mekedonia.
SASA WENGI MNAJARIBU KU-SURVIVE KWENYE WOKOVU KI-VYENU VYENU BILA NEEMA YA MUNGU ! NI NGUMUUU SANA, NEARLY IMPOSSIBLE!
Tito 2:11-12
11.Kwa maana neema ya Mungu iletayo wokovu imedhihirishwa kwa watu wote. 12 Neema hiyo inatufundisha kukataa uovu na tamaa za dhambi, tupate kuishimaisha ya kiasi,ya haki na ya kumcha Mungu,katika ulimwengu huu.Wakati huo huo Kuna level za imani huwezi fika by trying hard on your own, Ndo maana unafika mahali unalengo jemaaaa na una nia ila ngoma mbombo ngafu, Inafikaaaa mahali lazima uta-Amini imeshindikana na utakata tamaa.
NDIO MAANA UKIONA ENEO LINAKUSUMBUA SANA KILA UKIPAMBANA KILA UKIKOMAA MAMBO MBOMBO NGAF! OMBA NEEMA YA MUNGU HILO ENEO!
Matendo 6:8
Mungu alimjalia Stefano neema tele, akampa nguvu nyingi hata akawa anatenda miujiza na maajabu kati ya watu.
KUNA VITU AMBAVYO SASAHIVI PIGA UA GALAGAZA HUWEZI KUVIFANYA ,THUBUTU YAKO! KUNA WATU HAWAWEZI KUMILIKI BWANA, HATA UMPE YOTE, MSUSIE MWILI, MUHONGE NA PESA JUU, JIFANYE TAHIRAAA! HAKUOI NG’OO KUNA WATU WANA STRAIGHT AS!, CHETI SAFI KIMENYOOKA LAKINI HAWAPATAGI KAZI , YAANI HAWAPATI , NO MATTER UPO KWENYE SITUATION YA AINA GANI MUNGU AKIKUJALIA NEEMA HILO ENEO UTAFANYA HAYO ULIO SHINDWA KUFANYA NA ZAIDI MPAKA UNAVYOFANYA KWA UKUBWA NA WINGI UTAONEKANA MUUJIZA.
Mtu anajiliza lizaa, Mimi Nina 45 usichana wangu wote, nimeomba ndoaaaa, sijapata, Nimekataaa tamaa. Mahiiii ni ukosefu wa neema ya Mungu tu kwenye eneo la mahusiano na ukosefu wa neema hautatuliwi na kulia lia na kuhuzunika na kususa Unatatulia kwa KUOMBA NEEMA ZA MUNGU HILO ENEO. Na Neema ya Mungu iko achiliwa hilo eneo you will be picking which Husband to marry!
Nakwambia, Jiwe ulilo kataliwa na Waasi utakuwa jiwe la msingi!, Wewe mwenyewe hutaamini, kama ni wewe ndo wanakugombea watu wa maana, Utaona nimuujiza kwa KWELI.
Mwaka huu nimewaambia ni mwaka wa kufosi kwa kuwa STRATEGIC, HATA KAMA UNATESEKA HAKIKISHA UNAKUWA STRATEGIC KWENYE MATESO YAKO.
SASA MTU UNAONA KABISA SITUATION YAKO NI SITUATION YA LIMITED GRACE OF GOD KWENYE HILO ENEO, THE STRATEGIC MOVE YA KUFANYA HAPO NI KUOMBA SUFFICIENT GRACE HILO ENEO, LAKINI HAPANA WEWE UNACHO TAKA HUTAKI KUOMBA GRACE UNATAKA UKAE UNAJILIZA LIZA NA KUJITILISHA HURUMAAA, KUJIVICTIMISE NA KU-ALLOW SELF PITY! LAKINI SIO KUTAFUTA SOLUTION!
MIMI NDIO MAANA MTU WA KUJILALAMISHA MWAKA HUU NA MDROP FASTER LIKE HOT POTATO, NI KWELI HUNA MAHUSIANO, ITS NOT NEWS YOU KNOW IT, I KNOW IT, GOD KNOWS IT, EVEN THE DEVIL KNOWS IT, THE NEWS IS WHAT ARE YOU DOING ABOUT IT?
HUNA KAZI SAWA WHAT ARE YOU DOING ABOUT IT IS WHAT MATTERS!, MIMI MWENYEWE MAHUBIRI YA KUKUWALK THROUGH YOUR TROUBLES NISHAVUKA HUKO, SHOGA ANGU KWANI WEWE HUJUI KAMA HUNA KAZI? HUNA BWANA? HUNA MTOTO?. SASA MIMI MTUMISHI KURUDIA KUKWAMBIA THE OBVIOUS NDO NINI SASA ? UNLESS NATAFUTA CHEAP AMEN! AMBAZO HAZIKISAIDl WEWE WALA MIMI.
MWAKA HUUU TUNA BASE NA KUTAFUTA SOLUTION, ANSWERS, BREAKTHROUGH, RESTORATION, CHANGE! KAMA HUNA KAZI UPATE KAMA UPO SINGLE UINGIE KWENYE MAHUSIANO, MATOKEO HALISI NDO MPANGO MZIMA.
SASA MATOKEO HALISI SIO CHEAP! MATOKEO HALISI YANAKUJA AFTER CONTINUOUS AND CONSISTENCY IN APPLYING SPIRITUAL STRATEGIC MOVES KWENYE MAENEO SUGU YA MAISHA YAKO.
MFANO FEBRUARY UMEFANYA DELIVARENCE YAKO WATU WANAKUONA MWEHUUU TU UNAJICHOSHA Lakini March unaanza na Grace of God, Watu wengine wanaweza kuona ni upuuzi tu wa hapa na pale lakini wewe Hilo eneo umehangaika nalo sana mnajua Mungu na wewe!
Mimi nitakuwekea Devine Formulars and patterns! Nisha zi test zimefanya kazi! Kuna watu walianza kujiombea Neema kwenye maeneo sugu Mungu akawa muaminifu mpaka mimi Sasa nilietoa Formular nawaomba wao favor, MTU hana kazi na hapatagi, amepata sehemu ya maana, kazi ya maana, mimi nakuwa mdogo Kuomba usaidizi ofisini kwake! NEEMA IMEITIKA NA IKIZIDI UNATAKIWA KUMUOMBA MUNGU BUSARA.
SINCE IT COSTS YOU NOTHING, JIOMBEEE NEEMA HILO ENEO, AFTER ALL MIAKA YA NYUMA HUJUWAHI KUJIOMBEA, ZIKIANZA KUITIKA WATU NDO WATAKUJA SASA KUTAFUTA Hll POST NAO WAOMBEEE! NA MUNGU ALIVYO NI MUNGU WA FIRST BATCH, WALE WANAO MJARIBU WA KWANZA NDO ANAWASHANGZA! WALE MATOMASO WANAKUTA ANOINTING ISHA POA.
Oooh.. Asante sana, nimebarikiwa sana na Ujumbe wako, Kuomba Neema ya MUNGU ??
Amen, Mtumishi
Oooh.. Asante sana, nimebarikiwa sana na Ujumbe wako, Kuomba Neema ya MUNGU ??
Amen Mtumishi