2 ENABLING GRACE

Wafilipi 4:13

13 Naweza kufanya mambo yote katika yeye anipaye  nguvu.

 

1Wakoritho 15:1-11

1.Basi,ndugu zangu,na waarifu ile injili niliyowahubiria, ambayo ndiyo mliyoipokea, na katika hiyo mnasimama,2.Na kwa hiyo mnaokolewa, ikiwa mnayashika sana maneno niliyo wahubiria isipokuwa mliamini bure. 3. Kwa maana niliwatolea ninyi hapo mwanzo yale niliyoyapokea mimi mwenyewe, ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yanenavyo katika maandiko. 4 Na ya kuwa alizikwa, na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo Maandiko. 5 Na ya kuwa alimtokea Kefa, tena na wale Kumi na Wawili. 6 Baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano pamoja, katika hao wengi wanaishi hata sasa, ila baadhi yao wamelala. 7 Baadaye akamtokea Yakobo, tena na mitume wote. 8 Na mwisho wa watu wote, alinitokea mimi, kama ni mtu aliyezaliwa si kwa wakati wake. 9 Maana mimi ni mdogo katika mitume, nisiyestahili kuitwa mitume, kwa sababu nililiudhi kanisala Mungu. 10. Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo, na neema yake iliyo kwangu ilikuwa si bure, bali nilizidi sana kufanya kazi kupita wao wote, wala si mimi, bali ni neema ya Mungu pamoja nami. Basi kama ni mimi, au kama ni wao, ndivyo tuhubirivyo na ndivyo mlivyoamini.

 

Wapendwa Enabling Grace ni dimension ya neema ambapo Mungu anakupa neema itakayo kupa uwezo au kukuongeza uwezo wa kufanya jambo flani ambalo kabla ya Neema hii huku weza kulifanya na bila neema kamwe hutaweza kulifanya, Mfano mwanangu ananiambia YEVYE hapatagiii kazi, Yaani hapati, Baada ya kufanya hii wiki ya kwanza ya maombi ya neema, just One Week  as in 7 days ameshapata hiyo kazi.

 

Mimi niliwaambia simple  Formular, KAMA  KUNA ENEO LA MAISHA YAKO HALINA GRACE OF GOD HALINA TU, UMESHA STRUGGLE SANA NA UNAENDELEA KU-STURGGLE NA KU-MARK TIME, WHY EXACTLY?.The biblical hack ya kupata neema ni KUOMBA NEEMA, Simple like that, Kwanini uteseke? Ni simple Observation of facts tu kwamba eneo la kazi mimi na struggle sana, Sina neeema ya Mungu, As for Grace! WHICH GRACE? HOW?WHEN AND WHERE? THAT IS WHAT I GET PAID FOR KUSAKANYUA  MAANDIKO NA KUKULETEA MKEKA ULIONYOOKA.

 

Waraka kwa Waebrania 4:16

Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.

 

KAMA UNATAKA NEEMA ENEO FLANI LA MAISHA YAKO JONGEA  TO THE THRONE OF GRACE TO RECEIVE MERCY!, HII IKWAMBIE BILA KUOMBA NA KUKIKARIBIA KITI CHA NEEMA, NEEMA YA MUNGU HAIJIGHAFLA SANA WALA GHAFLA BIN-VUUU, YOU WANT GRACE ASK FOR GRACE, WATU WANAWEZA MUKUBEZA KISA NI MAOMBI LAINI LAKINI NAKUHAKIKISHIA YANA IMPACT KUBWA

 

Tukirudi kwenye Dimension ya Enabling Grace, wengi kuna vitu bila Mungu kuwa wezesha kuvifanya kwa neema yake hamtakaa mfanye, IT IS A BSOLUTELY IMPOSSIBLE.

 

Kwa mfano mtu upo in-late 30’s au 40’s na huna prior experience SIO favaorite wa employers wengi, Odds kwa sisi watu wa kubet tunajua hazipo upande wako, Matter of fact interviews, wata ku-discriminate based on Age GO with empty portifolio!

 

Kwahiyo ndiyo na maanisha?, Na maanisha YOU NEED ENABLING GRACE TO MOVE FOWARD, HIVI HIVI ITAKUWA UONGO SABABU HAITA ANALYSE KAMA NILIVYO ANALYSE HAPO JUU, IT’S JUST HOW THE WORLD IS!

 

Lakini with enabling Grace uta rank in Green kwenye AI, Kuna mtu yuko 38 alifanya application akawa so worried baada ya kujua wanatumia AI, It was automatic Red, Sababu hana vigezo kweli lakini alikuwa na imani kubwa sanaa. Nikamwambia Uta-Rank in Green!, Akajua na mpaka mafuta kwa mgongo wa chupa just to chear him, He didn’t buy it, Nikamwambia Usipo Rank ina Green mimisio mtumishi, Akaona uhakika wangu wa MANENO, Akaniuliza Do you mean you can command AI? Nikamwambia it depends, We can do it with God! I don’t think you have options zaidi ya hii, Amini atleast uone huja rank in Green.

 

Mpendwa Ali Rank in GREEN na ALIPATA ILE KAZI AND IT WAS NOT CHEAP, YOU WISH IT WAS ABOUT THE MONEY! HAKUTOA SH 10, ALIKUWA NAVYO SASA?

 

Alikuwa anasali maybe 1O hrs a day! Si hana kazi muda anao wa kutosha, Alisali mpaka MBINGU zikafunguka, Mungu alimpa a fraction of  enabling Grace, WELCOME TO THE WORLD WHERE THINGS JUST GO YOUR WAY!

 

1Wakorinto 15; Mtume Paul anajifananisha na Mitume wengine ambao Yesu aliwatokea, Ana justify kwamba Yesu aliwatokea sababu walikuwa wanafunzi wake na wanajuana.

 

Lakini anaji maliza YEYE kwamba hakustahili kutokewa na Yesu kutokana na mabalaaaa aliyoyafanya kwa wanafunzi Wake huko nyuma, Kumbuka Petro ndo yule Saul wa ule wimbo wa Sauli mbona wanitesa?, Alikuwa mtu mbadi KWELI KWELI.

 

Lakini Mungu alimpa enabling Grace ya kufanya kazi yake ya kumuhubiri Kristo akaifanya kwa ukubwa na akawa na impact kubwa kuliko wale Mitume 12 waliokuwa wanafunzi OG wa Yesu.

 

Nyara nyingi za agano Jipya ni mkono wa Mtume Paul, Wenzie wengi waliuawa mapema tu na Herode na Watawala wengine hata mda wa kuandika hawakupata! Mtume Paul aliuwawa nae eventualy uko Roma after being in and out of Prison all his life, Lakini ameacha LEGACY KUBWA NA MARK KUBWA KWENYE DINI YA UKRISTO.

 

Mpendwa Sasa Usiangalie kwamba uko 43 hujawahi kwenda kazini,UKO 44 una watoto TAYARI wakubwaa watakuelewa vipi kutaka kuolewa, Haya mambo haya wezekana miaka 20 yote sahivi itakuaje?, ASK GOD FOR THE ENABLING GRACE UFIKE DIMENSIONS AMBAZO HUJAWAHI FIKA, KAMA ENEO LIMESHINDIKANA NDIYO ZURI SASA LA KUOMBA ENABLING GRACE ILI LIKIANZA KUTEMBEA UTAKUWA NA UHAKIKA HUYU NI MUNGU TU.

 

WATU AMBAO MAHUSIANO YENU  MEUSI TI, HAYASOGEAGI YAANI HUTAKIWI NDOA HATA UPANDE JUU UKAZIBE NO NDOA FOR YOU, OMBA ENABLING GRACE!

 

OMBA NEEMA YA KUWEZA KUDUMU KWENYE MAHUSIANO NA NDOA, YAMKINI UMESHACHELEWA JUA LIMEZAMA, HATA MTUME PAUL ALISHACHELEWA KUWA MWANAFUNZI WA YESU, LAKINI NDIYO ALIYE ACHA  LEGACY KUBWA ZAIDI, YAMKINI USHAONA HAIWEZEKANI, IKIWEZEKANA  NDIYO UTAMJUA MUNGU WA KWELI NI YUPI KWA MACHO YAKO!

 

ENABLING GRACE GIVES YOU WINGS TO FLY HIGH AND IN DIMENSIONS AMBAZO BILA GRACE NI HAIWEZEKANI, MWAMBIE MUNGU ENEO AMBALO UNAHITAJI AKUWEZESHE, OMBEA HILI SIKU 7 MARA 3 KWA SIKU AND WATCH GOD ENBLE YOU DO WHAT YOU NEVER DID, ENABLING GRACE MY FRIEND.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk