1.Mungu ndiye anae gawa riziki. Kupata au kukosa ni mapenzi ya Mungu na anayekupa wewe ndo kampunja/kumnyima mwenzio.Aidha, aliye kupunja wewe ndo kamjazia mwenzio.Hivyo,KUPATA IS NEVER PERMANENT WALA KUKOSA IS NEVER PERMANENT USIJE KUMDHARAU MTU KWASABABU ZOZOTE ZILE! NA USIFANYE KOSA LA KUONA UTAPATA MlLELE!, Upande wowote uliopo sio mwisho, Mungu anaweza kukubadilishia ushuhuda.
2 .Biashara ni SEPARATE entity!, Wewe sio Biashara yako, na biashara yako sio wewe. BIAS HARA inaweza kuwa kubwa sanaaa but never let it consume you!, Wengi wanafanya makosa ya kuunganisha nafsi zao na biashara zao.Wenyewe mnasema sahivi mimi ni BRAND!, Over the time yeye anakuwa biashara na biashara inakuwa yeye.UNAIGEUZA BIASHARA MUNGU WAKO! IDOLTRY!, Yaani Unaitanguliza Biashara kabla ya Mungu.
Wapendwa mara-nyingi Mungu anazipiga hizo biashara zinakufa kifo cha mende!, Unaweza kuona ni ngumu lakini ni mtego mwepesi sana kuingia!, IT IS VERY EASY KUFALL IN LOVE WITH YOUR BUSINESS HASA KAMA MAMBO YANAENDA!, DONT !, GOD WILL ALWAYS BE NUMBER ONE KWAKO!
3. Matokeo ya biashara ni matokeo ya biashara!, Nothing more!, Nothingless!, Never take it personal!, Unaweza kuta jitu halifanyi ibada wala chochote kile spiritual, yaani liko on a diet lakini Bank Account yake inakula CHEESE CAKE!, Na wewe ibada yako ni nzito lakini Bank Account yako ipo on a strict diet!, Loosing in business is just losing!Haimaanishi Mbingu zimechukia au Mungu hataki kukuona, Ni kwamba tu you made wrong moves just correct them!Usipo uza unaacha ibada!, Utaacha sanaaa na huuzi vilevile.
4.Never compare yourself to anyone!, Unaweza kuwa inspired lakini usijilinganishe!, Rudi kwenye amri ya kwanza! RIZIKI ANAGAWA MUNGU SASA NDO KAAMUA KUISHINDILIA KWA MWENZIO UNATAKAJE ???, JUST FOCUS KUNEGOTIATE RIZIKI YAKO KWA MUNGU VYA WENGI NE WAACHIE WENGI NE! Ukijicompare utakata tamaa mapema na ni shobo zako! Wewe unahisiana vipi na biashara za watu wengine? THE GRASS WILL ALWAYS BE GREENER ON THE OTHER SIDE!
5.Usiogope Ushindani!, Completion has always been there kwenye biashara yoyote kabla hujazaliwa na itakuweopo mpaka utakapo kufa, Na utakufa competition utaicha. Why bother yourself na kitu ambacho huna control nacho! Dawa ya maji ni kuyaoga!, Wewe lngia sokoni just do you! Utapata watu wako! na mara nyingi COMPETITION DIES ON ITS OWN USIPO IPA YOUR ATTENTION!.
6.Biashara zinaenda na wakati zinabadilika na wewe unatakiwa ubadilike. Kama maisha ya wanadamu, biashara pia zinaguswa na time factor!, Lazima upamabane kwenda na wakati! Ukijibweteka kwenye biashara yako wakati ukakupita maombi hayakuwa na manufaaa makubwa! Maandiko ya wakati yapo mengi saanaaaa!Hakikisha unaenda na wakati katika bidhaa zako na huduma zako! Lack of accountability CANT be compensated na maombi.Mfano uingize Containerla TV za Chogo Leo hii utakufa na njaaa kwa kufunga na ngoma italala!
7.Usifanye biashara sababu flanianafanya biashara kama hiyo na unahisi anapata au unasikia tu kitu flani Deal,unarukia na wewe kukifanya.UTAJUTAAA!.Mpendwa Fanya biashara ya kitu ambacho una passion nacho!, Una enjoy kukifanya! na utakufanya kwa moyo! Wewe unajijua sio Mndewa sio mtoto wa mjini! Unaanzaje kwenda China kununua nguo za Million 60! Ka fashion sense gani na taste gani na Choice gani?, Au mimi mtoto wa Magomeni Sijawahi hata kulima mchicha nijichanganye eti KILIMO KINALIPA! Au BIASHARA ZA NAFAKA ZINALIPA.
8a.Usilinganishe Chapter One (1) yako ya biashara na chapter 20 ya mwenzio ambae yupo kwenye biashara miaka 10! Wewe ndo kwanza una miezi 6 unawaka tamaaa Ya kutaka duka Kamala Secky!, YAANI UANZE MWAKA HUU NA UWE KAMA SECKY!, THUBUTUUU!.
Mwaka wa kwanza Secky Yamkini hakuwa alivo Leo! lmemchukua miaka kufika pale alipofika mpaka kuwa INSPIRATION Ya wengi!Wewe kutaka kuiga Kunya kwa Tempo,unaenda kukodi duka kubwaaa ! Mzigo wa kujaza huna! Mda wa kulipatena kodi huna jeuri! Unabakia kudhalilika! Na kukata tamaa! Nenda kwa Speed yako!, Ukitaka kujipima nguvu jipime na first year (1) wenzio ulio-anza nao! SIO unajipima na Manguli!, Wamefanya biashara chini ya maraisi wa 3!.
8b.Hakikisha you OFFER VALUE kwenye biashara yako!, Bei unayo chaji iendane na thamani ya kitu!, Watu mnapenda kuropoka bei, hamna EFFICIENT PRICING STRATEGIES!, Matokeo yake bei ya kitu na thamani yake tofauti! Mtu Anauza bei flani sababu watu flani wanauza hiyo bei au kaamua tu kufanya bei anayouza iwe mara 3 ya aliyo nunua. HATA AKIONA HIVI UZIKI BEi NDO HIO HIO! WATEJA HAWAFIKI BEi HAJIGUSI!
Unaweza kuwa na vitu sawa au huduma!, Lakini thamani unayotaka sio HALISI na watu japo hawajuani watauliza na kuacha!Watu sio wajinga!, HATA uombe vipi hawawezi kukubali hawana akili kununua vitu kwa bei ambayo sio thamani yake!, Watakuachia bidhaa zako! Wata lngia watu 20 na hamna atakae fungua pochi.Waanzaje?
9.KUWA MBUNIFU!, WEKA CREATIVITY! Hakuna wazo jipya chini ya jua! KWELI!, Fanya hayo hayo ya zamani lakini kiutofauti na Channel your creativity uweze kujitofautisha na ku stand out! Watu wanaofanya biashara yako wapo wengi!, Wewe kufanya vilevile kama wao,alafu utegemeee utafanikiwa sanaaa wakati wao imebuma ni UONGO!, Unless uje na njia mbadala ya kuifanya hio biashara.
Ni Kama Sinza na Kariakoo zimejaaa miduka ya nguo alafu na wewe unaenda kuweka LAKO, na bei unaweka kubwa zaidi madai yako Frame ghali, na nguo unaweka zilezile alafu utarajie KU-HIT! SIO RAHISI!, Aunty yangu alikuja na idea kabambe! Anataka 40m tumchangie, aende China akachukue nguo za utupuu tu!!!.
Duka lake ana mpango wa kuliita CHIU NATION!, Na duka lake anaweka mziki mkubwaaa,wa amapiano, Mabomba bomba! Ukutani Ma ghrafiti!, Duka flani Hivi unyama mwingi Sana!, Afu bei anavunjaa!, Target customers ni watu wa kuruka madebe! Wadangaji na Wauza mii i! Na Wale ki a siku wanavaaa nguo mpya!,Aunty alikuwa ana idea SOLI D! NA PESA ILIKUWA WAZIWAZI KWENYE HILI PLAN! Lakini lilikosa tu UTUKUFU WA MUNGU! Aka kosa funding! Na ndoto yake haija timia mpaka kesho!
10.Mungu aliye-mpa yule anaweza kukupa na wewe kama ukituliza kichwa!, USIFOCUS NA KWANINI MUNGU KAWAPA WATU WENGI NE! HALIKUHUSU! FOCUS YAKO IWE MUNGU ALIEWAPA WENGI NE ANAWEZA KUKUPA NA WEWE! WENGI NE WALIFANYA NINI KUMSHAWISHI NA WEWE UFANYE CHAAAP KWA HARAKA!, MPENDWA FOCUS KWAKO NA MAENDELEO YAKO TU! VYA WENGI NE NI DISTRACTION TU!.