OPEN DOORS I MALANGO YALIYO WAZI – DAY 1 – 7

DAY 1

Isaya 45:2

Mimi nitakutangulia, na kuisawazisha milima mbele yako.nitaivunjavunja milango ya shaba, na kuvikata-kata vizuizi vyake vya chuma.

 

Prayer points ( Kwa umri wako unatakiwa kutengeneza za kwako)

1. Bwana yesu , sawa sawa na andiko hili la nabii Isaya leo hii nakuomba na kukusihi vunja-vunja milango ya Shaba inayonizuia career wise!, Inayo-zuia Mahusiano yangu/ Afya/Uzao! ( Go into details as to why? and why now? ), Sasa hapa hatufanani kila mtu na msalaba wake!.

 

Ee Bwana vunja-vunja malango ya Shaba ya Mahusiano yangu sababu nimezeeka Bwana Yesu, Umri wangu wa kuzaa watoto una-expire machoni pangu, Naogopa kuzeeka bila mtoto, It is all about heart felt prayer, Itoke ndani ya ndani ya hofu za moyo wako)

 

Bwana vunja vunja Malango ya Shaba ya career yangu  kwasababu nazeeka Bwana Yesu! I’m 38 and I have nothing to show for it!, Sipatagi kazi nzuri wala, mshahara mzuri, Maisha yangu yamepauka, Elimu yangu  imeniangusha.

 

Mpendwa siku nzima una uomba na kusali na ku-meditate kuomba usaidizi wa mbingu kukutangulia na kuvunja vunja hayo malango ya shaba kwenye eneo ulilo-andika. Utakavyo tumia muda mwingi kwenye hili ndipo utajenga impact ya kulifanikisha kwenye ulimwengu wa roho.

 

Hivyo ndiyo maana nimekupa mstari mmoja, Single line! Ili uweke maximum force and impact, Na utembeee nao kirahsi siku nzima yaani 24 hrs a day, Kila dakika kila sekunde kazi ni hio-hio ya kupiga magoti mbele za mbingu na sio mwilini ila  moyoni, unajinyenyekeza mbele ya kiti cha rehema na kuomba rehema na neema za kuvunjiwa hayo Malango ya Shaba.

 

Mpendwa Llike you serious seriously ask God to do you, this one favor like your life depends on it, Unaomba  mpaka unaliaaa ikibidi.Unaomba mpaka mbingu ziseme juu yako.

 

Mpendwa Kuomba maana yake ni ku-beg! , Kujishushaaaa!, Kubembeleza! Kunyenyekeaaaa! Ili upokee msaada kutoka juu, Huwezi kuwa kwenye attitude zako alafu utegemee utazitetemesha mbingu zikusaidie, Thubutuu! Kuombaaa ni kugala gala na kuugua moyoni na rohoni mpaka unasikia vidonda vya tumbo mwilini vina-chonyota.

 

Unatakiwa uwe serious na ku-pour your heart kwenye hii shughuli yaani maanisha toka  ndani ya ndani ya moyo wako, Jicommit kwenye hili kwa mwili na roho yako vyote.There is always time for bullshit! And now is not the time! Epuka vishawishi na focus kwenye hilijambo! Litakulipa!, Unatakiwa kuombaaa, kumeditate, kutafakari na kuzungumza muda wote na Mungu juu ya hayo malango ulio-andika yaani hata ukikaa kwenye TV moyoni una meditate, baba ulisema utatangulia kusawazisha, nakusihi sawazisha eneo langu la mahusiano, Soon I will be 40 years old, ooh my dear father, Vunja-vunja Malango ya Shaba yanayonizuia mimi kuolewa baba, Kata kata vizuizi vyote vya mahusiano yangu, Zungumza na Mungu na reason with God 24/7, The more you do it the closer to God you will get!, Utaona kabisaa unapanda relim!, Unapanda relim na mambo yataanza kufunuliwa mbele zako.

 

DAY 2

Ufunuo 3:8

Nayajua matendo yako.Tazama, nimekupa mlango uliofunguliwa mbele yako, ambao hapana awezaye kuufunga, kwa kuwa unazo nguvu kidogo, nawe umelitunza neno langu, wala hukulikana jina langu.

 

Prayer points!

  1. Bwana Yesu unanijuaaa, umeona bidii yangu, nifungulie malango ya ( vitu ulivoandika) sawasawa na neno hili asiwepo awezae kufunga. Lord open my doors

 

  1. Bwana Yesu kama maandiko yalivyo-kiri nguvu zangu ni kidogo na zinazidi kuishia, lakini kamwe sitakukanaaa, nifungulie malango ya (Vitu ulivyoandika) Na asiwepo awezae kufunga.

 

DAY 3

1 Wakorintho 16:9

Kwa maana nimefunguliwa mlango mkubwa wa kufaa sana, na wako wengi wanipingao.

 

Mungu anaweza kuwa ameshakufungulia mlango mkubwa na wa kufaaa sana, lakini wako wengi wakupingao kupita kwenye huo mlango. Mpendwa Day 3 unamalizana na wote wakupingao wewe kupita hilo eneo, Hakikisha leo-leo mnamaliza na mnakubaliana kwamba kifuatacho ni wewe kupita, Usitake kujua nani na kwanini wanakupinga, Wewe unachotakiwa ni kukiwasha yoyote akupingaye hana bahati siku ya leo!.

 

Prayer points

Baba ninakushuru kwa rehema na neema yako isiyo na kifani kwangu. Ninakushukuru kwa neema ya wokovu kupitia mwanao Yesu Kristo. Umeachilia mlango Mkubwa na wa kufaa sana mbele zangu eneo la ndoa/ kazi/ uzao/ ( ulicho andika) lakini wapo wengi wanipingao kupita katika hayo malango.

 

Kama kuna dhambi zozote zangu au za mababu zangu zina simama kama kizuizi cha kupiga mimi kupita katika hayo malango naziungama sasa toka ndani ya moyo wangu nakuanguka mbele ya kiti cha rehema nikiomba urehemu Baba na kuziondoa siziendelee kunipinga nisipite. Niweke huru Baba nivuke hayo malango leo hii.

 

Nguvu zozote za giza zinazo-pinga mimi kupita katika huo mlango mkubwa na wa kufaa naziteketeza sasa kwa moto wa Roho Mtakatifu, Kwa mamlaka ya jina la Yesu nazifunga sasa na kuzitupa kuzimu, Najifunika damu ya Yesu na kujiweka huru kutoka vizuizi vyoteee vinipingavyo kupita katika huo mlango kwa jina la Yesu.

 

In the name of jesus idecree and declare breakthrough !supernatural  breakthrough katika hayo maeneo niliondaka. In the name of jesus idecree and declare divine favor katika hayo maeneo nilio andika, In the name of jesus I will walk through the mighty door God has created for me.

DAY 4

2 Wakorintho 2:12

12 Nilipofika Troa kuhubiri injili ya Kristo, nilikuta Bwana ameshafungua mlango.

 

2 Corinthians 2:12

12 Now when I went to Treas to preach the Gospel of Christ and found that the Lord had opened a door for me.

 

Prayer point!

Mungu ufunguae milango nakusihi nifungulie milango ( ulivyo-andika) kwa jina la Yesu!

DAY 5

Matendo 16:25-26

Karibu na usiku wa manane Paulo na Sila walikuwa wakisali na kuimba nyimbo za kumsifu Mungu, huku wafungwa wengine wakiwa wanasikiliza. Ghafla, kulitokea mtetemeko mMkuu wa ardhi ambao uliitikisa misingi ya gereza. Mara, milango yote ikafunguka na minyororo iliyowafunga hao wafungwa ikaachana.

 

Mpendwa Sali  kwa moyo wako woteee  siku hii, huku uki-reference Mungu alicho watendea  Paul na Silas akutendeee  wewe, Sali mpaka malango yote ya mMagereza yako yafunguke  na Minyororo ya uchumi, kazi, mahusiano ikiachie siku ya kesho, Sali kama ambavyo  hujawahi sali maisha yako.

 

DAY 6

Yohana 10:9

9 Mimi ni mlango, Mtu yeyote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu atakuwa salama, naye ataingia na kutoka na kupata malisho.

 

Kuna muda na situation there is absolutely no doors, Hakuna mlango kabisa!, Achana na malango yaliyo-fungwa! Sturucture ipo kabisa kwamba huu ni mlango sema tu unefungwa ambapo ukifanikiwa kuufungua tu umepita unakuta uko kwenye kaburi!hamna mlango wa kuingia wala kutokaaa!

 

Ukiwa kwenye situation kama hii ambapo hakuna mlango kabisa  ndiyo utaelewa hili andiko kwamba Yesu ni mlango pia, Kupitia yeye unaweza kuingia kusipo ingilika na kutoka pasipo tokeka.

 

Kuna situation umeshindwa kupenya sababu unatumia password za kufungua malango, Akili YAKO ina kutuma mlango upo ila tu umefungwa, Kumbe Plot Twist unajaribu kufungua ukuta Bwana, Ndiyo maana haufunguki! Hamna mlango kabisaaa kwako eneo hilo. Mpendwa sio kesi usipanic wala nin, Bwana yesu naye pia vile-vile anaweza kuwa mlango wako wa kuvuka hapo!

 

Prayer Point

Lord Jesus be my door eneo la kazi, Mahusiano, Uchumi niweze kuvuka hapa, Nimekosa mlango wa kupita miaka na miaka! Be my door today Lord Jesus!.

DAY 7

Marko 7:34

34 Ndipo Yesu akatazama mbinguni, akahema kwa uchungu, akamwambia, “Efatha!” yaani ”Funguka!”

 

I stand by the prophetic and appostolic relim, by the power of the holyghost and the authority in the name of Jesus I call upon the heavens on your case today, Kama mMungu aishivyo malango yako yote matatu uliyo andika kwenye hiyo karatasi au unayohitaji kumuona Mungu leo Efatha.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

2 thoughts on “OPEN DOORS I MALANGO YALIYO WAZI – DAY 1 – 7”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk