Mpendwa katika sehemu hii ya tatu ( Part 3 ) ya 30 DAYS DELIVERANCE PROGRAM, Mshukuru Mungu kwa mambo yako ambayo hayajafanikiwa, Shukrani sio maombi ni hali ya moyo. Unaweza kuomba na ukawa huna shukrani, na unaweza usiombe ukawa umejaa shukrani.
HIZI SIKU KUMI (10) ,MSHUKURU NA KUMUAMINI MUNGU KWA HILO JAMBO AS IF LIMEISHA ONDOA WOGA,UCHUNGU NA MASHAKA NA AMINI HILO JAMBO UMELIKABIDHI NA ENDELEA KUMSHUKURU MUNGU KWA MOYO SIKU ZOTE KUMI (10).
SHUKRANI HUWEZI KUPEWA MISTARI YA KUKUONGOZA, KAMA NILIVYO SEMA NI MOYO WAKO NDIO UNATAKIWA KUJAA AMANI NA SHUKRANI, MUNATAKIWA KUMSHUKURU MUNGU KWA MANENO YAKO MWENYEWE.
HIZI SIKU KUMI (10) FOR ONCE MPE MUNGU NAFASI YA KUDEAL NA HILO JAMBO, MKABIDHI NA MUACHIE YEYE NAFASI YA KUJITHIBITISHA KWA UKUBWA.
TAKE A BREAK NA CHUKUA LIKIZO YA NAFSI YAKO KULIBEBA JAMBO HILO HATA KWA MBALI HIZI SIKU KUMI (10), LIWEKE MBELE YA KITI CHA ENZI CHA MUNGU, MSHUKURU ASUBUHI NA JIONI NA KILA UKIKUMBUKA NA THE REST OF THE DAY ISHI KWA AMANI ZOTE NA FURAHA ZOTE KWAMBA JAMBO LAKO LIKO MIKONO SAHIHI.
Zaburi 118:24 BHN
Hii ndiyo siku aliyoifanya Mwenyezi-Mungu, tushangilie na kufurahi.