Yohana 3:30
30 Yeye hana-budi kuwa mkuu zaidi na mimi niwe mdogo zaidi.”
John 3:30
30 He must increase, but Imust decrease.
MPENDWA ILI YESU AONGEZEKE KWENYE MAISHA YAKO LAZIMA UMTENGENEZEE NAFASI, NAFASI ITATOKA WAPI? KWA WEWE KUPUNGUZA MAMBO YAKO YA KANDO-KANDO, YESU WALA ROHO MTAKATIFU HAWAWEZI KUINGIA SEHEMU YA KUJIPENYEZA AU KUJISOKOMEZA.
WANATAKA NAFASI, NA KADRI WEWE UNAVYOPUNGUA NA KUPUNGUZA MAMBO YAKO NDIYO YESU ANAONGEZEKA NA ROHO MTAKATIFU.
NA MOYO WAKO KUWA UMEJAA IT’S NOT NECESSARILY IWE KWA DHAMBI AU UOVU, HAPANA! UNAWEZA PIA KUWA UMEJAA TU ISSUE ZAKO ZINGINE NA HAUNA NAFASI.
MOYO WAKO UNAWEZA KUWA UMEJAA KAZI YAKO MWAYA, KUNA MTU ALINIAMBIA HAWEZI PATA TWO HRS NA NI AGE GO HANA NDOA HANA WATOTO LAKINI YUPO BUSY NA KAZI YAKE MWAYA MASAA ISHIRINI NA NNE, HAWEZI PATA MASAA MAWILI YA KUSALI PROPER KUMUABUDU MUNGU NA KUMBEMBELEZA AMVUSHE KWENYE MAHUSIANO, MIMI NIKASHANGAA KWA MSHAHARA GANI NIZEEKE KWENYE KAZI YA MTU BILA MUME WALA MTOTO?, LABDA INGEKUWA BIASHARA YANGU NA HATA HIVYO BADO, HAKUFANYA HII PROGRAM NA MIMI NITAKUWA NA WAZIMU KUMTENGENEZEA MTU PROGRAM YA DAKIKA TANO (5) KUENDANA NA CAREER YAKE, IF SHE WANT’S TO BE MARRIED BY HER CAREER SO BE IT, HER LIFE HER CHOICE, SOME OF THE RETIREMENT PACKAGES ARE LARGER THAN LIFE ANYWAYS.
YAANI MASAA 24 UKOSE MASAA MAWILI, IT IS OUT-RAGEOUS! AND TOTAL NONSENCE, HUTAKI KUSALI BASI.
Kwahiyo hata Roho Mtakatifu akitaka kuku-bless na his presence haitawezekana, Maana huna muda, YOU ARE FULL OF YOUR CAREER.
Mpendwa mwako unaweza kuwa umejaa Biashara yako,kama kazi tu yaani Huna mda wa ibada.
MOYO wako unaweza kuwa umejaa uchungu na kukata tamaa, You just don’t see any point in praying no more, Kisa mwanaume kakuacha na wanaume wote Million saba (7 ) huwezi kusali kisa Mmoja (1) hujielewi na Yesu wala Roho Mtakatifu hawawezi kuongezeka, Ndio kusema waji squeeze kwenye Stress zako, Thubutu!.
MOYO wako unaweza kuwa umejaaa umbeaa tu ,Majungu na masengenyo, Hukauki page ya East na Mange, Una Like kabisa wenzio wanavyofanyiwa character assassination, Kama juzi walikuwa wana assassinate watumishi wa kiume na mtu aka nitumia, nikawaza sana kanionaje lakini.
Mpendwa nilisikitika sana , Tangu usome ule ushubwada akili yako imejaa watumishi wote Bongo (Tazania) ni Malaya tu, maana A List yangu yote imekuwa red to filthy, Sioni tena Mtumishi gani wa kumuamini, Roma kwenyewe Mapadri wanazaa huku kwingine mama Mtumishi ndo mwanga.
SASA KWELI HAPO ROHO MTAKATIFU ANAONGEZEKA WAPI KWENYE MOYO AMBAO NIJUNGU KUU, JUST BECAUSE MALAYA MMOJA KAANDIKA NIMELALA NA FLANI WEWE UMEPITA NALO.
WORST CASE SCENARIO KALALA NAO KWELI KASHA-TUBU ANAENDELEZA KUTENDA KAZI YA BWANA, WEWE MUNGU MSAIDIZI UNABAKI UNAHUKUMU KWANINI ALICHEZEE JIN LA BWANA ?, SIJAPENDAA, NONSENSE! BADALA KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE WE-UNASHINDA ZA PASTOR KWA EAST ZAKO UNAPOTEZA UBINGWA ASUBUHI, Na kama hajafanya it Even gets worse for you, UMEMTIBUA BWANA WA MAJESHI KWA MAMBO YASIYO KUHUSU.
HESABU 12:8-9
Kwake nitanena mdomo kwa mdomo, Maana waziwazi wala si kwa mafumbo, Na umbo la BWANA yeye ataliona. Mbona basi ninyi hamkuogopa kumteta mtumishi wangu, huyo Musa?
9 Hasira za BWANA zikawaka juu yao, kisha akaenda zake. 10 Kisha hilo wingu likaondoka kutoka pale juu ya hema na tazama, Miriamu akawa mwenye ukoma, mweupe kama theluji, Haruni akamwangalia Miriamu na kumwona akiwa mwenye ukoma.
MIMI MWENYEWE MIAKA HII MITATU WATU KIBAO WANANITUKANA HAWANIJUI LAKINI ANAKUTAKA HAPA, OM AU SEHEMU ALAFU ANA KU-TAG!, UNAMUACHA TU AKATE KIU YAKE, SIKU YA SIKU ANAKUJA KUKUOMBA MSAMAHA NA MSAMEHE KWANI HII DUNIA INA MWENYEWE?
KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE, ZA WATUMISHI MUACHIE MUNGU WAO KWANI HALALI, USIKAE BARAZANI KWA WENYE MIZAHA.
FOR JESUS TO INCREASE YOU MUST DECREASE LAZIMA MOYO WAKO UFANYE MAAMUZI YA KUACHANA NA HII SECULAR WORLD NA KUDEAL NA UFALME WA MBINGUNI, USIONE WALOKOLE ARE LIKE THAT NERDY AND DORK AND NOT SO FUN TO BE WITH! SABABU IT COMES WITH THE TERRITORY.
HUWEZI KUTUMIA MDOMO HUO HUO KUSHIKA MIC NA KUPIGA BJ NA KULAMBA VISIVYO LABWAAA USIKU ALAFU ASUBUHI UKO SERIOUS UNA-MUITA HOLY SPIRIT, LIKE SIS PLEASE NA UNA AUDACITY YA KUNI-DM MBONA MIMI NIKIMUITA HAJII, That mouth is nasty sis, ukiacha na na all the NASTY BIZZ, Ulimuita atakuja sababu your mouth will be sacred.
You may not be nasty and all lakini huna muda wa kutosha wa ibadaa like ni wale wa zero (0) minutes prayer, The Catholic styles, It is definitely better than a no-show no-prayer, Lakini haiwezi kukupa millage unazotaka kwa sababu fellowship with the holy Spirit inataka muda wa kutosha, Watu waliokuwa graced na his presence wanakwambia walisali masaa matatu (3) NON STOP, Sababu walitayarisha hayo mazingira, Ndio maana iliwezekana.
Sasa wewe unasali dakika 10 kabla ya kwenda ofisini, Tena uko time sensitive, utapata presence gani? au una Pose Next-Flix usali yaani akili ipo kwenye movie palepale ulipo-pose.
FOR JESUS TO INCREASE YOU HAVE TO DECREASE.
Panga ratiba ya kusali na kukaaa UWEPONI more than two (2) hours, Hata kama huna cha kusema wewe relax tu kwenye uwepo wa Mungu.
Punguza mambo ya kijinga kwenye akili yako, Unfollow account zote zinazo kup-distract na Wakwepe watu wanao kupotezea focus, Lisha ubongo wako material ambazo zitakujenga kwenye uwepo wa Bwana, EPUKA VISHAWISHI and Control your mind, lkane nafsi yako hata ikitaka makando makando usi-izingatie.
PRAYER POINT
1. YESU UONGEZEKE MOYONI MWANGU NA MIMI NIPUNGUE.