Kupanda Mbegu
Katika Maandiko Matakatifu, kuna mifano kadhaa inayoelezea umuhimu wa kupanda mbegu ya imani katika mioyo yetu. Kama wakristo, tunahimizwa kuchunguza mifano hii ili kuelewa jinsi imani inaweza kukuza ukuaji wa kiroho na kutuletea matunda ya kiroho. Hebu tuchunguze mifano kadhaa kutoka Biblia:
Katika Kupanda Mbegu Zingatia Vitu vitatu:
- Uelewa wa hili agano la kupanda na Mwanzo 8:20-22! Soma mpaka uelewe.
- Zingatia ubora wa Ubora wa Mbegu sio kiasi necessarly. Lakini jua Mungu anakujua nje ndani. Sasa Kama Una KINGI afu unapanda makapi kuvuna utavuna ila makapi. Cain na Abel wote walitoa sadaka ila Cain alizingua. Ushajiuliza what if Cain angemute tu asitoe sadaka wala nini. Yamkini ange epuka Hilo soo. Kama haupo tayari usikimbilie kutoa isivopasa.
- Procedure ya lmani yako juu ya mbegu unayopanda. Kupanda mbegu sio ku bet. Faith is everything. Na Kama ulielewa point ya 1 imani kwako itakuwa automatic. Amini toka ndani yako kwamba hio mbegu itakuletea matokeo. Amini katika andiko la hili tendo lako. Amini Mungu ni muaminifu sanaaaa. Lazima utavuna.
Maelekezo ya Mbegu
Kama ni Mbegu sio sadaka ya kawaida. lnataka maandalizi ya mda. Andaa atleast one week before hujatoa. Take time kuiombea hio mbegu physically kama ipo kwenye bahasha au kiroho Kama ni muamala ushike wakati wa maombi yako ya usiku au kama ni muamala uinue mbele za Mungu kwamba Una kwenda kupanda hio mbegu Siku flani. Ni kiasi flani. Mwmabie Mungu katika your most sincere heart kwanini umetoa kiasi kile na si kingine. Mwambie Mungu hio Mbegu ikafanye nini hasaaa! Kuwa specific na detailed! lka nifungulie mahusiano yangu. ( Epuka tric ky bargains mfano lkamrejeshe kipenzi changu Harrison! Kama Harrison ni muovu na atakufanya uache dini hatorud.) Be genera l Aje Mpenzi iwe Harisson au James Mungu kusudi lako litimizwe.
Sadaka ni Siri Yako
Mathayo 6:3
Lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata mwandani wako asijue ufanyalo.
Mathayo 6:1-6
“Jihadharini msije mkafanya matendo yenu mema mbele ya watu kusudi mwonekane nao. La sivyo, Baba yenu aliye mbinguni hatawapeni tuzo.”Basi, unapomsaidia maskini, usijitangaze. Usifanye kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani iii watu wawasifu. Kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao.
Mpendwa maandiko yamemaliza kila kitu.
Asante kwa somo zuri. Nimepata mengi kwa habari ya mbegu.
Mungu wa mbinguni azidi kukubariki utumike ndani ya pendo lake. Amina ?
Amen, Mtumishi.