USIPOKUWA SERIOUS NA HATMA YAKO NANI ATAKUWA NAYO SERIOUS ?

NIMEWEKA MKEKA WA WOKOVU MNAJIFANYA KAMA HAMUUONI, WAPENDWA KNOWLEDGE TRANSFER NI MOJA YA JAMBO JEMA KABISA KWA MUNGU NA BINADAMU WENZIO, UNAWEZA KUWA NA JAMBO ZURI KICHWANI MWAKO LAKINI UKAFA NALO AIDHA LIKAWA HALIJAMFAA MTU, NIMEKESHA NA NIME-INVEST MUDA KUHAKIKISHA NA-TRANSFER MY KNOWLEDGE TO YOU AT  0 COST, YAANI ZERO LAKINI KIBURI CHAKO KIMETARADADI, UNAWEZA KUMPELEKA PUNDA MTONI LAKINI HUWEZI MFOSI ANYWE MAJI MPENDWA MAISHA YAKO CHAGUO LAKO.

 

NAJUA HAMJAWA SERIOUS KWA SABABU NO ONE IS ASKING ANY QUESTIONS NA KAMA MTU ANGEFANYA KWA DHATI LAZIMA KUNA MAENEO ANGEKWAMA, WANAO NIULIZA  HATA KUMI (10)  HAWAFIKI NA KUTOKANA NA MASWALI NAJUA HAWA WAMEKWAMA HAPA, KAMA HUFANYI HUWEZI KUKWAMA, WAPENDWA NILIISHAWAAMBIA WAZI-WAZI BILA SALVATION SAHAU TRANSFORMATION NA EMPOWERMENT, NA NIKIANZA TRANSFORMATION SIRUDI TENA KWENYE  SALVATION.

 

WAPENDWA TURUDI KWENYE UCHUMI, HAMNA KITU KINACHOITWA BAHATI, KUNA HARDWORK, NEEMA ZA MUNGU NA UROGAJI; HUWEZI KUWA HUNA VYETI UKABAHATIKA KUWA CEO WA BANK, THUBUTU,  MAMBO KWA SASAHIVI NI CV NA KPI”s NI KIDIJITALI ZAIDI.

 

HUWEZI KUAMKA ASUBUHI BIASHARA YAKO YA KUINGIZA 60,000 KWA SIKU ALAFU ATI IINGIZE MILLIONI SABA (7M) KILA SIKU TU, HATA KWA MAOMBI AU KUROGA BADO MPANGO MKAKATI LAZIMA UTAHITAJIKA.

 

Nimefanya kazi na nyinyi huu mwaka wa 3, Na katika motives zangu za kufanya hii kazi cause I really wanted to help those in need, Wa mwanzo kabisa wanakumbuka nilikuwa Sipokei Sadaka ya mtu mimi. Baadae Roho Mtakatifu alinifunulia kwamba kwa msimamo huo ibada za sadaka hazitakamilika na sio mimi niliye- itisha sadaka ni maandiko inabidi kama nafanyisha ibada nifanyishe kamili not for me ila kwa wale watakao amini na kuokoka wakamilishe ibada.

 

Hivyo mawazo kwamba nafanya hivi kwa ajili ya sadaka yako ondoa, I only work for a living and I will keep working for a living aslong as necessary yaani hata usiwaze nakula niniau naishi vipi utoe out of pity! I am blasses, Toa kukamilisha ibada zako kwa uwezo wako.

 

MIMI NAKUFUNDISHA SABABU NATAMANI UMJUE MUNGU KAMA MIMI, UMFAIDI NUMFURAHIE, MIMI PIA NILIHANGAIKA MAKANISANI, SANA-SANA.

 

I gave up on God several times sababu ya mapungufu ya watumishi, DON’T DO THE SAME MISTAKE, Kama Mimi au watumishi wengine hawakuambii USIMKATIE MUNGU TAMAA. Mpendwa Tafuta Mtumishi mwingine, Utapata tu na watu walishindikana kote kote lakini kwangu tume-elewana na wamevuka, I am toxic, they are toxic! na Tunaongea man to man tuna-elewana.

 

Miaka hii mitatu (3) mmejifunza kwangu na mimi na mimi nimejifunza kwenu pia, Mwanzo I didn’t have high expectations na nyinyi sana lakini over-time nimejifunza kwamba mko very capable na mtu akiwa-aminim mna potential ya kumshangaza.

 

HII MIAKA  MITATU (3) I UN-LEARNED MOST OF MY TOXIC BEHAVIOR, NILIKUWA NACHAMBA NA STILL-WIRE LAKINI SAHIVI MTAKUBALI I’M LESS TOXIC AND MORE LINENT, LAKINI VICHAMBO VILE VILIWAVUSHA PAKUBWA, MTU ANA-ANZA NA MAMA USINICHAMBE SANAA LAKINI THEN ANASHUSHA UPUUZI ALIOFANYA.

 

WAPENDWA IN ANYTHING WE DO IN LIFE WE MUST ENSURE WE ARE GROWING IN THE PROCESS.

 

Wapendwa tumevuka huko kwenye kuchambana, Umri pia umeenda, Busara zime-ongezeka, YESU ameongeza na u-mimi na uswahili umepungua sana, Roho Mtakatifu ana-ongezeka kila Siku na Busara zina-Taradadi!

 

MWAKA 2022 -2024 NIME WAPITISHA NJIA NDEFU NA NJIA YA MIAKA 40 JANGWANI, KAMA ULI-PAY ATTENTION MOST OF 2022-2023 TULIKUWA TUNATUMIA AGANO LA KALE 80% NA SIO KWAMBA AGANO JIPYA NILIKUWA SILIONI LA HASHA KUTOKANA NA UGENI WETU MIMI NA NYINYI ISINGEWEZEKANA KUWAPITISHA MA-BORDER AU CHOCHORO ZA SHORTCUT! IKUMBUKWE MIMI NA NYINYI TUMEKUMBANA INSTAGRAM NA SIJUI RELIGIOUS BACKGROUND YENU, SIJUI HATA KAMA MME-BATIZWA AU MNA NGUZO YOYOTE YA IMANI, NDIYO MAANA NIKAANZA KUWEKA MISINGI YA AGANO LA KALE KWANZA.

 

LAKINI AFTER THREE (3) YEARS I CAN COMFIDENTLY SAY NAWAFAHAMU UZURI NA NYIE MNA NIFAHAMU, NA SASA TUPO TAYARI FOR THE BIG LEAGUE! TUPO TAYARI FOR CHAMPIONS  LEAGUE.

 

AGANO JIPYA LILIKUJA KUKAMILISHA AGANO LA KALE NA KUNA MAMBO MENGI HAYAKUWEZA KUFANYIKA AGANO LA KALE KWA SABABU KUNA MAANDIKO YALIKUWA BADO HAYAJA-ACHILIWA KUFANIKISHA UKAMILISHAJI WA  BAADHI YA  MAMBO.

 

WAPENDWA YESU ALIKUJA KUKAMILISHA TORATI YA MUSA HENCE THE DOCTORINE OF FINISHED WORK OF CHRIST, JESUS FINISHED EVERYTHING FOR US, JESUS ATE AND LEFT NO CRUMBS AS PER GENZ!

 

WAPENDWA SASA KUNA WATU WENGI SANA HASA WA DELIVERANCE,WENYE SHIDA NA VIFUNGO VYA GIZA, MAAGANO, MADHABAU ZA UKOO, MALKIA WA BAHARI, STRONG HOLDS, UGANGA NA UCHAWI MIAKA HII MIWILI (2) HAWAKUPATA PROGRESS YOYOTE.

 

HII NI KWASABABU CATEGORY  YAO MAANDIKO YAO NDIO YALIKUJA KUKAMILISHWA NA AGANO JIPYA SPECIFICALLY VITABU VYA INJILI, KUVUKA WANAHITAJI FINISHED WORK OF CHRIST IFANYIKE JUU YA MAISHA YAO.

 

MPEDNWA KWA WALIOFANYA DELIVERANCE YA JANUARY KIKAMILIFU WAMEANZA KUVUKA, KAMA WANAO-OLEWA WEEK HII WAPO TANGU 2022, AFTER KUANZA KUTUMIA AGANO JIPYA NA DELIVERANCE NA WALIFANYA HOME-WORK YA KUSOMA INJILI MOJA YOTE WAMEANZA KUSOGEA MAMBO YAO, KIDOGO MAMBO YANATIKISIKA.

 

NIMEWEKA PART 5 ZA SALVATION / WOKOVU, HAKIKISHA SIKUACHI NJIANI NA HAKIKISHA UNAELEWA MAANA NIMECHAMBUA AGANO JIPYA KINDAKINDAKI NA MWAKA HUU WOTE NI MWENDO WA AGANO JIPYA.

 

MIMI SITAKI KUWA KARIRISHA VITU NA KUWAPELEKA PELEKA KAMA MAZOMBI, SOMA MAMBO UELEWE NA KAMA  HUJAELEWA ULIZA MASWALI MPAKA UELEWE, SIWEZI KUONGOZA WATU KUHUSU AGANO JIPYA ILIHALI HAWAJUI ALIYE LETA AGANO NI NANI? KWANINI? NA KIVIPI? YAANI MAJITU YAPO YAPO, BIBLIA WANAZO KUSOMA HAWATAKI, HATUTAFIKA POPOTE NA SINA SABABU YA KUFANYA KAZI ISIYO NA MATOKEO WHY? SABABU SITIKUFA NA NJAA EITHER WAY.

 

NASISITIZA TENA KAMA HUJASOMA PART 5 ZA SALVATION /WOKOVU  NA JAPO KITABU KIMOJA CHA INJILI CHOTE NA NILIWA DADAVULIA VYOTE VINNE (4) KWA KINA CHAGUA KlNACHO KUBAMBA WEWE SIO MWANAFUNZI WANGU NA SIKUTAMBUI, WEWE NI MUUMINI MTUKUTU USIYEJALI HATMA YAKO HATA KWA MBALI.

 

NAWACHANA TENA LIVE, AS PER NEW TESTAMENT/AGANO JIPYA MAISHA YA WAKRISTO YANA LEVEL 4 AS IN FOUR LEVELS AMBAZO NI:

 

1.NEW BELIEVERS

HAWA NDIO KWANZA WANA ANZA KUMJUA MUNGU NA KUWA SERIOUS NAYE NA DINI, HAWA HAWANA MATOKEO MAKUBWA NA WANAHITAJI NEEMA YA WOKOVU/SAVING GRACE WAWEZE KUOKOKA NA KUAMINI NA WENGI MKO HUMU MNAISHI AGANO LA KALE NA KUDOKOA DOKOA AGANO JIPYA NA HAMNA MATOEKO KWANI MNASIKIA KWENYE UKRISTO KUNA MATOEKO MAKUBWA ILA MMEISHIA KUSIKIA.

 

2.SAVED BELIVERS

WAPENDWA HAWA NI WALE WALIOPATA NEEMA YA KUSIKIA KUHUSU WOKOVU NA KUUPOKEA, NIMEWEKA SALA YA WOKOVU MUDA WOWOTE UKIPATA NEEMA YA KUPOKEA WOKOVU NA KUMPA YESU MAISHA YAKO WEWE TU, UNAWEZA KUSIKI KUHUSU WOKOVU ILA NDIO KAMA TUNAMPIGIA MBUZI GITAA USIPATE NEEMA YA KUPOKEA WOKOVU NA KUNA DIMENSIONS BILA KUPOKEA WOKOVU NA KUMPA YESU MAISHA YAKO HUWEZI KUINGIA UTABAKIA UNA SIMULIWA TU.

 

DIMENSION ZA KUSHIKWA NA ROHO MTAKATIFU LIVE IMPERTATIONS NA MANIFESTATIONS WEWE KWAKO UTAISHIA KUZISOMA HAPA NA KUANGALIA WENZIO, LIKE I SAID KUNA MAMBO KWENYE AGANO LA KALE HAYAKUWA YAMEKAMILIKA, ROHO MTAKATIFU ALIKUWA MONOPOLISED KWA MANABII TU KINA ISAYA, EZEKIEL, HABAKUK, ELIJAH, ELISHA LAKINI YESU ALIKUJA KUFANYA KAZI MOJA KABAMBE NA TAKATIFU NA AKAIMALIZA HENCE FINISHED WORKS OF CHRIST ROHO-MTAKATIFU SASA NI KWA WOTE WANAO AMINI NA KUOKA, HUNA HAJA YA KUWA MTUMWA WA MANABII UWEZE KUMU ACESSS, NI MWENDO WA KUJAZWA TU NA KUFURIKA ROHO MTAKATIFU, I WISH WANAFUNZI WANGU MU OPERATE KWENYE HIZI DIMENSIONS, I CAN’T FORCE YOU BUT I CAN ONLY TEACH YOU HOW NA LENGO LANGU LAN KUWAFUNDISHA NI ILI MKAFUNDISHE WENGINE, MODEL ILE ILE YA YESU KILA MTUMISHI AJITAHIDI AWE NA WANAFUNZI WALAU  KUMI NA MBILI (12)  WA KUENDELEA NINAPOISHIA.

 

3.TRANSFORMED BELIEVER

HIZI NI LEVEL ZA JUU HATA KWA MTU ALIYEOKOKA, WENGI WANAKUWA SAVED LAKINI WANA FAIL TO TRANSFORM SABABU WANAKUWA EITHER WAMEOKOKA KWENYE MAZINGIRA LIMITED NA WOKOVU WAO UNAKUWA HAUJAKAMILIKA KUNA CRUCIAL KNOWLEDGE INA PWAYA AU WALI-DROP OUT TOO QUICK FROM SALVATION PROCESS HAWAKUMALIZA MAFUNZO, NDIO UNAKUTA MTU AME-OKOKA MIAKA NA MIAKA LAKINI MAISHA YAKE HAYAJABADILIKA HATA CHEMBE, WENGI WANAKUJA KWANGU WAMEKATA TAMAA, NAWAKAMILISHIA TRAINING WANAVUKA NA WENGINE TUNAANZA UPYA MAANA UNAKUTA SAWA WAMEOKOKA LAKINI MSINGI WA WOKOVU WAO NI HAFIFU SANA NAANZA NAO UPYA SUNDAY SCHOOL.

 

THE CENTER OF TRANSFORMATION IS HOLYSPIRIT, HUWEZI KU-TRANSFORM BILA KUMU ACESS HOLYSPIRT NA UWEZE KUMU-ACESS IN A TRANSFORMATIVE  STATE AKUPE  MADINI YA KUVUKA ULIPOKWAMA, WENGI WANAFIKAGA STAGE YA KUSHUKIWA NA ROHO MTAKATIFU ILA WAKISHUKIWA NDIO FURAHA NA KUPANIC NA HAMNA MPANGO MKAKATI UNAO-KAMILIKA BAINA YAO NA ROHO MTAKATIFU.

 

KAMA UNATAKA KAZI YA MILLION 10 LAZIMA UWEZE KUSHIRIKIANA NA ROHO MTAKATIFU KWENYE INTERVIEW UJIBU NINI NA UONGEEE NINI, KAMA UNATAKA BIASHARA YA MILLION 100 KWA MWEZI LAZIMA ROHO MTAKATIFU MFANYE NAYE KAZI KWENYE KUCHAGUA BIDHAA, TIMING YA KUINGIZA BIDHAA, STARTEGY YA KUUZA BIDHAA, SASA HAPO NDIO BIASHARA YAKO ITAANZA  KUWA TRANSFORMED, MIMI KUNA BIDHAA ANAYO  MTU INATOKA BALAA, YAANI THERE IS NO WAY ANGENIPA CONTACT LAKINI NIKAFOSI NIKAPATA MCHINA AKANIPA BEI YA JUU SANA WAKATI YEYE AMEIVUNJA BEI  NA KUIKOJOLEA TAYARI NIKAWA NIMEPIGWA PINI TOTALY.

 

MPENDWA NIKARUDI KWA ROHO MTAKATIFU, AMINI MSIAMINI SIKU NIMEKAA SINA HILI WA LILE YULE MCHINA SUPPLIER WA BIDADA KANICHEKI MWENYEWE FROM NO WHERE NA SAMPLE NA BEI NZURI SANA AMBAYO NIKAWEZA KWENDA SAWA NA BIDADA, KUMBE YULE MCHINA NISHAFANYAGA NAE KAZI NIKA-MPOTEZEA ALIKUWA HANA BIDHAA NZURI, NDIO AKAWA AMELETA HIZO  BIDHAA NINAZO TAFUTA NA SIKU HIZI NI YEYE, BI-DADA MPAKA KESHO HAELEWI NIMEPATAJE ILE CONTACT,! SO TUNA MONOPOLY WAWILI (2) TU.

 

WAPENDWA JUZI KUNA MWANANGU WA SINZA NAE ANATAKA CONTACT YA SUPPLIER WA MTU AMBAE HAWEZI MPA, NIKAMWAMBIA UNLESS ROHO MTAKATIFU AKUPE LAKINI TOFAUTI NA HAPO SAHAU, MBISHII YULE, LAKINI MPAKA ROHO MTAKATIFU ALIPO MFUNULIA SUPPLIER NI NANI NA AMEAGIZA MIZIGO YA KUTOSHA IKIFIKA NI TRANSFORMATION YA CASH TU, MIMI NJIA NILIKUWA NAIJUA SAWA LAKINI ONLY A SAVED BELIEVER NDIO ANGEWEZA PITA CHOCHO HILI, ASINGEKUWA SAVED ASINGEWEZA KU TRANSFORM MAANA ASINGEWEZA KU MU-ACESS HOLY SPIRIT.

 

MNANICHOSHA SIWAFICHI NATAKA KAZI YA MILLLIONI TANO (5) , NATAKA MAUZO YA MILLIONI THELATHINI (30) KWA MWEZI, NATAKA UTEUZI, NATAKA PROMOTION, HAYO YOTE YANAWEZEKANA LAKINI SIYO KWA LEVEL YAKO YA IMANI YA NEW BELIVER KATIKA UBORA WAKO, HAYA LEVEL ZETU SISI ZA TRANSFORMED BELIEVER, UMUONE MUNGU KWA UKUBWA WEWE KAMA FIRST HAND EXPERIENCE.

 

NATAMANI UFIKE LEVEL HIZI ZA TRANSFORMATION, WENGI NILIOWAKUTA WAMEOKOKA ILA WANA YUMBA-YUMBA TUMEWEKEA WOKOVU WAO MSINGI IMARA NA NIMEWASOGEZA KWENYE TRANSFORMATION.

 

4. EMPOWERED BELIVER.

 

HAPA SASA MUNGU ANAKUTUMIA KWA MAMBO YAKE NA KUTAKA KUPITIA WEWE AJITUKUZE TRANSFORMATION WEWE NDIO UNAMTUMIA MUNGU KUNYOOSHA MAMBO YAKO KUPITIA ROHO MTAKATIFU, EMPOWERMENT IS A HIGHER LEVEL AMBAPO WEWE UNATUMIKA NA MBINGU ZIKITAKA KUJITHIBITISHA KWA WATU NA KUJIRUDISHIA UTUKUFU.

 

YAANI UNAFANYIWA MAMBO MAKUU NA YA KUTISHA NA MBINGU KIASI KWAMBA KILA ANAYE ONA ANATETEMEKA NA KUSUJUDU KWAMBA IT CAN ONLY BE GOD, WATU WANA-ONA UTISHO WA MUNGU KUPITIA MAMBO YAKO WEWE, NDIO PALE UKO NA 40 ZAKO UNACHUMBIWA NA BALOZI WA NCHI FLANI, UNATEULIWA NA RAISI NAFASI FLANI, UNAPEWA CHEO FLANI GHAFLA TU, NEEMA ZA MUNGU ZINAKUFURIKIA NA KUTIRIRIKA SIO WEWE TU UNAONA HATA WANAO-KUZUNGUKA WANA UONA MKONO WA MUNGU WAZI-WAZI.

 

MPENDWA SASA HAYA HAYAWEZEKANI KWA NEW BELEIVER AU NEW BEE, HATA KWA SAVED BELIEVER BADO ATLEAST KUANZIA TRANSFORMED BELIVER NDIO ANAWEZA KUNEEMESHWA AKANEEMEKA, WENGINE NEEMA ZA MUNGU ZIKIZDI UTAKOSA MAARIFA NA KUANGAMIA KWA KUITUMIA VIBAYA.

 

MPENDWA SOMA PART 5 ZA SALVATION SLIDES ZAIDI YA 80, SOMA VITABU VYA INJILI WALAU KIMOJA UKIMALIZE, MPE YESU MAISHA YAKO NA KUPOKEA WOKOVU YAJAYO HUMU YANAFURAHISHA

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top