UCHUMI WA MTU UNAONGOZWA KWA KANUNI ZA KIMAANDIKO SIO FEELINGS WALA UBABAIFU!

Mimi nime acha kufundisha uchumi hadharani kama zamani kwa sababu hamna wanafunzi, Ubabaifu mtupu, hivi sasa nafundisha mtu akija yeye kama yeye lakini akatafakari tufanye kazi ya kiroho apande viwango na uchumi wake ili uchumi wake ukue.

 

MAHUSIANO YANAONGOZWA NA NEEMA YA MUNGU, EITHER HE GIVES YOU THAT GRACE OR HE DOESN’T UNAWEZA FANYA KILA KITU SAWA NA BADO HIYO NEEMA UKAWA HUNA KWA MUDA HUO, NA UNAWEZA KUBORONGA KILA KITU LAKINI NEEMA YA MAHUSIANO IKAWA JUU YAKO UKAWA UNAPATA SECOND CHANCE MPAKA SEVENTH CHANCE YAANI MTU ANAA ACHIKA NA KUOLEWA MARA NNE (4), NEEMA YA MAHUSIANO ANAYO NA ANATAMBA NAYO; MPENDWA  AFYA ,UZAO PIA NI MAENEO YANAYONGOZWA NA NEEMA YA MUNGU.

 

UCHUMI IS STRICTLY LIKE 100% UNAENDESHWA NA KANUNI ZA KIMAANDIKO ALIZOWEKA MUNGU, UKIFATA KANUNI UTAINUKA UKIPUUZA UTA-ANGAMIA, NO GRAY AREA, NO MIDDLE GROUND, NO UBABAI  NA KONA KONA.

 

Uchumi ni QUANTITATIVE hence growth yake ina-pimika vizuri kabisa, Kama mwaka jana ulikuwa unalipwa Millioni  na mwaka huu hiyo-hiyo HUJAKUA kiuchumi, Kama unauza million 7 kwa mwezi, ikipanda unajua unakua, ikishuka unajua una-angamia. NUMBERS DO NOT LIE, UCHUMI IS A GAME OF NUMBERS.

 

NIMEFUNDISHA KWA KINA KANUNI ZA UCHUMI KWENYE PROGRAM YA SADAKA INAYOLETA MATOKEO NA BUSINESS FAVOR, ANDIKO KWA ANDIKO, LEO NITADOKOA KIDOGO TU KATIKA KUKUMBUSHANA, ZITAFUTE UZIPITIE.

 

1.KANUNI YA ZAKA

BILA KULIPA ZAKA KUKUA KIUCHUMI NI DANGANYA KUBWA MAANA SIO TOTO,                      KAMA KWA KIDOGO MUNGU ALICHO KUPA UMEKOSA UAMINIFU KABISAAA ANAANZAJE KUKUAMINI KWA KIKUBWA ? NDO MAANA WATU MNAFANYA KAZI NAFASIZA CHINI MPAKA UNA STAAFU! UNAPATA KAZI MBAYA MBAYA UJANA WAKO WOTE!

 

Leviticus 27:30

” ‘A title of everything from the land,whether grain from the soil or fruit from the trees, belongs to the LORD; It is holy to the LORD.

 

Mambo ya Walawi 27:30

Tena zaka yote ya nchi, kama ni mbegu ya nchi, au kama ni matunda ya nchi, ni ya BWANA; ni takatifu kwa BWANA.

 

NANI ANASEMA WATU WALIPE ZAKA ? NI MUNGU, KWA HIYO KANUNI YA ZAKA KWENYE MAPATO ILIWEKWA NA MUNGU MWENYEWE. TUNAKUJA WHO ARE YOU FAITHFUL TO? GOD ? YOUR GREED?, PEOPLE OPINION ? WEWE UNA MTII NANI? MUNGU KASEMA LIPA ZAKA! TAMAA ZAKO ZINASEMA KULA ZAKA HIYO ACHA UFALA, WATU WANASEMA KULA ZAKA ACHA KUCHOTA MAJI MTONI KUPELEKA BAHARINI, WATUMISHI ARE LIVING LARGER THAN LIFE! EXTRA LARGE TO BE PRECISE HAPO HAPO WEWE MIFUPA MIKAVU UPELEKE TENA, MJINI HAPA.

 

JE UNA MTII NANI KATIKA HIYO PARADOX?

Ukimtiii Mungu hutasumbuliwa na tamaa zako wala watu, SABABU KAMA KUANDIKWA IMEANDIKWA BLACK AND WHITE LIPA ZAKA NA SIO MARA MOJA NA MOST TIMES MUNGU NDIYO AUTHOR WA HAYO MAANDIKO ANAFANYA KUNUKULIWA TU NA MANABII.

 

Malaki 3:10

Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu,mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.

Mpendwa This was God himself OFFERING YOU INVITATION TO TREATY, LETA FUNGU HILO UONE KAMA SIJAFANYA, HE GOES ABOVE AND BEYOND FOR YOU KWA KUKU-DARE! ANA KU-CHALLANGE UMJARIBU KWA NJIA HIYO, HALLELUYAH.

LAKINI UMESHUPAZA FUVU HUTOI HATA SH.10 YAKO WALA MAMBO YA MAJARIBIANO HUYATAKI WEYE, KAMA MUNGU UNANIPA WE-NIPE TU LAKINI ROHO YANGU NYEUSI TI!, SASA NDO KAFUNGA MADIRISHA YAKE YA MBINGUNI KWA KUFULI LA DIGITAL LINAFUNGULIWA KWA NAMBA SIO FUNGUO! KAA HAPO UCHINE.

Mungu kaweka kanuni ya Zaka wewe kwa akili zako timamu umeamua KUPUUZA hio kanuni na hakuna wa kukufanya kitu! Aje mtu aguse Fungu la 10 lako ndIo atakujua , SISI HATUNA SHIDA TUMEMUACHIA ALAYE AJE KUKUSANYA KILICHO CHA MUNGU TOKA KWAKO,  NA HUYU ALAYE HANA KAZI MBOVU OGOPA JITU SIJUI SPIRIT SIJUI LININI LIMETAJWA TU KAMA ALAYE/ DEVOURER FULL STOP KWENYE MAANDIKO NA KAZI YAKE NI KUMANGA MAANA SIO KULA.

 

Malaki 3:11

Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi.

 

Malachi 3:11

11 And I will rebuke the devourer for your sakes, and he shall not destroy the fruits of your ground; neither shall your vine cast her fruit before the time in the field, saith the Lord of hosts.

 

WAPENDWA MUNGU HAKUWA NA KONA-KONA, UKILIPA ZAKA ATAMZUIA ALAYE ASILE WALA UHARIBIFU WOWOTE USITOKEE KWENYE MAVUNO YAKO AND VICE-VERSA IS ALWAYS TRUE, MAANA YAKE USIPO LIPA JIANDAE KUKUTANA NA ALAE USO KWA USO, NA HUYU ALAYE AU DEVOURER NOTHING CANT STOP HIM MZAZI ONLY GOD HIMSELF NA GOD HIMSELF CAN ONLY STOP HIM KUPITIA ZAKA ZAKO TU, HII NI KANUNI MY-FRIEND!

 

SASA WEWE KWA KUGOMA AU KUSITISHA KULIPA ZAKA YA BWANA MANAKE UMEKAA UMEWAZA NA KUWAZUA KWAMBA WEWE HUYU PIMBI DEVOURER A.K.A ALAYE UNA MMUDU PAMBEE TU YAANI  ZAKA HUTOI NG’OOO AKITAKA AKUTAFUNE MPAKA MIFUPA!, AMA NENE? THAT IS ECONOMIC DEATH WISH MY FRIEND, ALAYE  HABIPIWI

 

UKIANZA KULIWA DOUBLE-DOUBLE UNAKUJA KWANGU MIMI MTU NIKUPE MAANDIKO YA KUKABILIANA NA ALAYE HUYU HUYU DEVOURER?, YOU ARE JOKING MY FRIEND! NIPE TU ANDIKO NINA HALI MBAYA; MPENDWA ANDIKO KUPEWA SIO SHIDA SHIDA MAANDIKO YENYEWE YAMEANDIKA DEVOURER ANAWEZA KUKEMEWA NA MUNGU TU SIO NABII, SIO MTUMISHI SO MTU NA MUNGU ATAMKEMEA ONLY WHEN AKIPOKEA ZAKA YAKE TOKA KWAKO! UPO?

 

MTUMISHI UTANIANGALIA NIKIANGAMIA KABISA? DO SOMETHING!; UNLESS NINA BLANCE YA KUKULIPIA MALIMBIKIZO YAKO YA ZAKA MY HANDS ARE TIED, UTALIWA UISHE MBELENI MUNGU ATAKUREHEMU MWAYA!.

 

Hapa nina hela moja na Nadaiwa zaka na mchezo, Mchezo watu  wanaocheza  nao  ni Mafioso  kweli kweli, Watanifanya kitu mbaya lakini na ugaidi wao wote  hawa mfikii DEVOURER, (JITU MPAKA LIKEMEWE NA MUNGU TU, TEKE-TEKE NAENDA KULIPA ZAKA I WILL TAKE MY CHANCES NA HAWA WATU WENYE ROHO MBAYA, CHOCHOTE WATAKACHO NIFANYA KAMA KUNIZALILISHA POA TU LAKINI I HAVE SEEN THE WORK OF THE DEVOURER AND I NEVER WISH TO CROSS PATH WITH THAT THING, I WILL TAKE GODS INSURANCE ANYTIME ANY DAY THANK YOU.

 

LIPA ZAKA WEWE KIUMBE! AU UTACHEZA MDAKO NA UCHUMI WA MAISHA YAKO, DEVOURER HATAKI SHOBO!  NIMEKAA  PALE!

 

2. KANUNI YA  MBEGU.

Uchumi unakuwa operated na KANUNI YA SEED AND HARVEST / MBEGU! Nimefundisha kwa kina hili kwenye sadaka inayoleta matokeo, Sitarudia sana hapaaa!, Japo Nitapiga angle moja tu iliyo direct.

 

Mwanzo 26:12

Mwaka huo Isaka alipanda mbegu katika nchi ile, akavuna mara mia zaidi, maana  Mwenyezi-Mungu alimbariki.

 

Genesis 26:12

12 Then Isaac sowed in that land, and received in the same year an hundred fold; and the Lord blessed him.

 

NI KANUNI YA MUNGU KUBARIKI MBEGU, HILI ANDIKO KAMA HUJASOMA NYUMA KUJUA ISAKA ALIPANDA WAPI? HIO ARDHI ALIOPANDA ISAKA ILIKUWA NA BALAA GANI?, HUTA SHUTUSHWA NA HUKO KUVUNA MARA MIA NA KWA KINGEREZA WALISISITIZA ALIVUNA LINI ?; NI MWAKA ULE-ULE! MPO, UKITAKA KUJUA UZITO WA HILI ANDIKO ANZIA KUSOMA MWANZO 26!

 

MWANZO 26:1-4

1.Baadaye palitokea njaa nchini humo, njaa tofauti na ile ya hapo awali wakati wa uhaiwa Abrahamu; lsaka akaenda Gerari kwa Abimeleki mfalme wa Wafilisti. 2 Mwenyezi-Mungu akamtokea Isaka na kumwambia,”Usiende Misri, bali kaa katika nchi nitakayokuambia. 3Kaa ugenini katika nchi hiyo, nami nitakuwa nawe na kukubariki. Nitatimiza ahadi niliyompa baba yako Abrahamu, kwani nitakupa wewe na wazawa wako nchi hizi zote. 4Nitawazidisha wazawa wako wawe kama nyota za mbinguni na kuwapa nchihizi zote. Kutokana na wazawa wako, mataifa yote duniani yatabarikiwa.

 

NCHI ALIYOPANDA NA KUVUNA MWAKA ULE-ULE MARA 100 NDIYO NCHI ILIKUWA NA UKAME WA KUTISHA MPAKA ISAKA AKATAKA KWENDA MISRI KUTAFUTA CHAKULA, HALLELUJAH! MUNGU FUNDI.

 

Wewe upo kwenye ukame,  Umenyauka kweli-kweli, Ukipata pesa kidogo PANDAPO TU MBEGU KWENYE UFALME WA MBINGUNI MUNGU ZIBARIKI UCHIPUEPO KIDOGO NA UVUNEPO YAANI KWAKO NI HAPANA BORA HELA YAKO UKA-BET MPIRA,  NA UKIBET UNALIWA MWANZO MWISHO KUDADADEKI, UKIPATA HELA BORA UHONGE WANAUME NA PESA YAKO WANAILA NA BADO HAWAKUTAKI, SALALE.

 

MTU AKISEMA HANA HELA YA KUPANDA KWENYE UFALME WA MUNGU NAMUHURUMIA SANA MAANA DAWA YA JANGWA NI KUOTESHA MBEGU JUU YAKE NA KULIA NA MUNGU AZIBARIKI ZICHIPUE LILE JANGWA LITOKOMEE; SASA MTU JANGWA KAMA LA SAHARA HAPATAGI KAZI MIAKA 10, PANDA MBEGU UTOKOMEZE HILO JANGWA, HAPANA! YEYE YUKO MTUMISHI WEWE NIOMBEE TU!, MPENDWA KANUNI YA KUTOKOMEZA JANGWA NI KUOTESHA MBEGU NA KUMUOMBA MUNGU AZIBARIKI, IKIOTA HATA KAZI YA LAKI TATU (3) MAANA YAKE UMEPATA MTAJI WA MBEGU ZAIDI UNAZIDI KUOTESHA MPAKA UNAKUWA WA KWANZA KWENU KUFANYA KAZI YA MILLION 4, UMEMALIZA JANGWA.

 

KANUNI ZIPO NYINGI PITIA PROGRAM NILIZO-KUTAJIA, NITAANZA KUFUNDISHA TENA UCHUMI LAKINI ILI UNUFAIKE NA MAFUNDISHO YANGU YAJAYO HAKIKISHA TAYARI UPO KWENYE KANUNI ZA UCHUMI TAYARI, NALETA MUENDELEZO WA ZILE PROGRAM 2 ADVANCED VERSION.

 

PIA NAFUNDISHA UCHUMI PRIVATELY KWA WATU SERIOUS TU WANAO-TAKA, CHA KWANZA ULIPE ZAKA KWANGU ( SABABU LAZIMA NIHAKIKISHE UMELIPA KWELI NA ULIPE CONSISTENTLY SIO CHINI YA MIEZI 6 BILA KURUKA) KUNA WALIO-ANZA MWEZI WA KWANZA WALIKUWA WANASUMBULIWA NA ALAYE TU SASAHIVI WAMEKUWA, KUNA AMBAO TUNATAKIWA KUANZA DELIVERANCE, SHIDA SIO ALAYE WALA ZAKA, WANA VIFUNGO VYA UCHUMI, HATUA ZIMEFUNGWA, MIKONO IMEFUNGWA, WAMECHOREWA MISTARI, WANA STRONG HOLDS, LAANA ZA UKOO, UGANGA! YAANI KAZI NI PEVUU! ZAKA ZAO NIMEKULAAA SINA BUOi KAZI YAO KUIFANYA, UZURI SIO WENGI!KWA HIYO HII  AUGUST TUNAANZA MOJA !, VIFUNGO NIWAFUNGUE, NIRA HIZO NIZITIE MAFUTA  NA NURU YA BWANA LAZIMA IWAZUKIE MWAKA HUU, MPO NDANI YA KANUNI SO LAZIMA UCHUMI WENU UKUE.

 

WANAFUNZI WANGU FANYENI REFLECTION MALENGO YA MWAKA YALIKUWAJE NA MKO WAPI? NAWADAI AU MNA NIDAI?, KAMA BARAKA ZIME MIMINIKA NA BONUS,  KAMA MBOMBO-NGAFU UNATUDAI MIMI NA MBINGU MAANA UMETEMBEA NA KANUNII, HIVYO TUTAKUPA  MAJIBU YALIYO-NYOOKA.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk