PROVE OF FAITH / KUTHIBITISHA IMANI YAKO

Kusema una -imani wakati huwezi kuithibitisha ni kujidanganya, Wengi wanasema nina imani sana lakini Mungu yuko kimya , SIO KWELI, Unatakiwa muda wote umthibitishie Mungu na wanadamu una imani kweli kwa MIZANI ifuatayo.

 

1.KUWA NA AMANI NA UTULIVU JUU YA MUNGU KUFANYA HILO JAMBO.

MPENDWA UCHUNGU, ROHO KUUMA, MASHAKA, SONONEKO, WASIWASI, HOFU, WOGA  HIZI ZOTE NI DALILI ZA KUPUNGUKIWA IMANI NA ILI KU-PROVE YOUR FAITH LAZIMA U-OVERCOME VYOTE HIVYO NA KUTULIZA NAFASI YAKO NA KUPATA AMANI KWAMBA MUNGU ANAENDA KUFANYA.

 

NDUGU KAMA UNA-MUAMINI MUNGU KWA LANGO LA KAZI, PATA AMANI KABISA KWAMBA KAZINI UTAENDA, KAMA NI NDOA PATA AMANI KWAMBA MUME ATAKUJA TU, SASA UNAPATAJE AMANI? UNACHAGUA-TU KUMUAMINI MUNGU THIS TIME NA SIO MAZINGIRA YANASEMA NINI NA WATU WANASEMA  NINI YAANI  AKA UNAJIZIMA DATA AU KUYUMBISHA DISHI,UNA REFUSE TU KUWA INTIMIDATED NA REALITY NA KUAMUA KITEMBEA KIROHO NA KIMAANDIKO HILO ENEO.

 

2.KUMSHUHUDIA MUNGU NA UKUU WAKE JUU YAKO JUU YA HILO ENEO! 

MPENDWA OFCOURSE YOU ARE THE LEAST PERSON AMBAYEE UNATAKIWA KUMSHUHUDIA MUNGU HILO ENEO SABABU YOU LACK RESULTS COMPLETELY! NA IT IS UNDERSTANDABLE KUTOJISIKIA KUFANYA HIVYO, LAKINI KAMA UNATAKA KUTEMBEA KIROHO LAZIMA USHUHUDIE IMANI YAKO KWA MUNGU KWA WATU WENGINE, NDIYO MUNGU ATAJITHIBITISHA KWAKO KWA WATU WENGINE WAPATE KUAMINI NA KUOKOKA.

 

SAMWELI HUKO MISPA ALIWAAMBIA WA ISRAEL WAKUSANYIKE KUTOA SADAKA NA KUMSHUDIA MUNGU KWAMBA ATAKUJA KUWAOKOA TOKA KWA PHILIPIANS, WAFILIPI WALIPATA HABARI KWAMBA WAISRAEL WAMEKUSANYIKA NA WANATANGAZA UJIO WA MUNGU WAKO KUJA KUWAOKOA NA MUNGU ALIKUJA KUWAOKOA NA KUWAPIGA RADI WAFILIPI.

 

ELIA ALIMWAMBIA MFALME KUSANYA WATU WOTE WANAOBI SHAAA NA MUNGU ATAJIONESHA MUNGU WA KWELI NI YUPI? MIND YUO HAPO ELIA ALIKUWA AMESUBIRI NA-KUFA NJAA NOT LONG AGO!, LAKINI ALIAMINI AKIMUITA MUNGU AJITHIBITISHE ATAKUJA NA MUNGU ALIKUJA AKALAMBA SADAKA, MOTO MPAKA MAVUMBI.

 

UJIO WA YESU ULITANGAZWA KARNE NA KARNE! ATAKUJA, ATAKUJA MASIAH WA BWANA NA ALIKUJA KWELI!

 

MPENDWA TANGAZA UJIO WA BWANA KWENYE HILO LANGO LILILO FUNGWA, TANGAZA HASWA HASWA MPAKA MAADUI ZAKO WASIKIE NA BWANA ATAKUJA KWELI MUDA SIO MUDA.

 

3 ELEKEZA IMANI YAKO VOTE KWENYE HILO JAMBO.

 

MPENDWA UNAWEZA KUWA NA IMANI KUBWA TU ILA MUDA WA KUITUMIA HUNA, MUDA WA KUFOCUS NA KUITANDAZA SASA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO IFANYE KAZI UNAYOTAKA NDO HUNA, YAANI UNAJIFANYA UKO BUSY NA KAZI ZA KAISARI, IMANI YAKO HAITAKUFAA KITU CHOCHOTE, SABABU SAWA UNAYO KUBWA LAKINI JE UNAITUMIAJE??

 

MPENDWA UNAWEZA KUJUA MAANDIKO YOTE YA KUFUNGUA MALANGO LAKINI MUDA WA KUSIMAMA NAVYO NA KUYAKIRl NA KU-MEDITATE HUNA HAYATAKUFAA KITU,YATABAKI KAMA MAANDISHI TU KWENYE KITABU!

 

MPENDWA HAKIKISHA 22 HRS A DAY UNA-KIRI HAYO MAANDIKO KWA KUYASEMA NA KUYATAFAKARI, UNA MEDITATE KWENYE HAYO MAANDIKO 24 HRS A DAY, UNA MLILIA MUNGU ATIMIZE HILO ANDIKO JUU YAKO 24HRS A DAY!

 

MFANO!

Zaburi 24:7-10

Fungukeni enyi milango, fungukeni enyi milango ya kale, Ili Mfalme mtukufu aingie. Ni nani huyo Mfalme mtukufu? ni Mwenyezi-Mungu, mwenye nguvu na uwezo, Mwenyezi-Mungu, mwenye uwezo vitani. Fungukeni enyi malango,fungukeni enyi milango ya kale, Ili Mfalme mtukufu aingie. Ni nani huyo Mfalme mtukufu? Ni Mwenyezi-Mungu, wa majeshi, yeye ndiye Mfalme mtukufu.

 

Mfano ndio umeandika hapo Lango unalotaka kufungua ni la kazi, Andiko ndiyo hilo hapo juu, Kazi inabaki moja! Ku -excercise your faith juu ya hilo Lango!

 

MPENDWA 24 HRS WEWE NI KUTAFAKARI ROHONI FUNGUKA LANGO LA KAZI, FUNGUKENI ENYI MALANGO YA KALE YA KAZI, FUNGUKENI ENYI MALANGO YA KAZI NIPATE KAZI AMBAYO ITAMRUDI SHIA MUNGU SIFA NA UTUKUFU.

 

FUNGUKENI ENYI MALANGO ILI MUNGU WANGU NINAYE-MTUMIKIA ALIYE HAI AINGIE SAWA SAWA NA NENO LAKE KWENYE ZABURI YA 24, MALANGO YOTE YA KALE YANAYO NIZUIA KWENDA KAZINI NAWAAMURU FUNGUKENI SASA SAWASAWA NA ZABURI YA 24 MFALME APATE KUPITAAA! KAZI YANGU IPATE KUPITAAA SASA, NAFASI YANGU IPATE KUPITA SASA, YAANI SIKU NZIMA NI UNATAFAKARI HILI ANDIKO, UKILA!, UKIOGA NA UKIWA UNATEMBEA, UKILALA YAANI UNAKUFA NA HILO LANGO NA HILO ANDIKO 24 HRS A DAY.

 

NAKUHAKIKISHIA WEEK HAITAISHA HUJAITWA INTERVIEW AU KUPATA CONNECTION YA KAZI!,  MALANGO YENYEWE MEPESI SANA SEMA SISI WAVIVUUU SANA KUDHAMIRIAA ILE ILE KUYAFUNGUA.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk