POWER AND AUTHORITY BEHIND DELIVERANCE – SUNDAY WORD

KATIKA KITU WENGI WENU MNA PUYANGA NI KUWAZA KWAMBA IPO SIKU!
ONE DAY YES! KUNA WAKATI HIKO KITU KITA KAA SAWA!

Lakini TIME DOES NOT CHANGE ANYTHING!
It will only reveal your spiritual investment!
MUDA UTA THIBITISHA TU KAMA YALIYOMO YAMO AU HAMNA KITUUU.

KITU KINACHO LETA MATOKEO KWENYE ULIMWENGU WA ROHO NI POWER OF GOD — ambayo ili i-operate i-toe matokeo, lazima uwe na authority ya kufanya hivyo, na ufanye hivyo under the jurisdiction ambayo umeruhusiwa kufanya hivyo.

Hii equation ndo inayoletea shida kubwAAA!
Unakuta Power of God ipo, ila hujui jinsi ya kui-access.
Unajua ku-access ila hujui kusimamia authority uliopewa na maandiko ku-administer Power of God to compel compliance.

Kama vile unavyosema kilekile alichosema mtumishi — wewe bila matokeo, ila akisema mtumishi imooo!
Au unapita jurisdiction ya kimaandiko na kutaka ku-access Power of God nje ya maandiko!
Unataka uzini kwenye hayo mahusiano na Mungu akuonekane a kwa ukubwa vilevile kwenye hayo hayo mahusiano!

Hata ukipatika power na authority, unachotaka kipo nje ya jurisdiction ya utukufu wa Mungu!

WHAT IS POWER OF GOD?

Power of God ni force that compels compliance!
Authority ni legitimacy to administer power.
Jurisdiction ni mipaka ambayo mtu anaweza kutumia authority yake.

Mfano — Mkuu wa Mkoa wa Dar akifika Morogoro, japokuwa bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar, hana authority ya kufanya maamuzi ya kiutawala Morogoro, sababu hiyo si jurisdiction aliyo pangiwa. Akifika Moro, veve ni mwananchi kama wengine.
Hata Rais akifika Kenya — veve ni raia kama raia wengine!

Anae toa Power ndio anae toa Authority na ndio anapanga ampe nani kwa level gani — na ndio ana supervise matumizi ya Power yake aliyoitoa na anapanga jurisdictions nani a-operate mpaka wapi na kwanini!

TO ACCESS POWER OF GOD

Lazima kwanza uwe na solid relationship na Mungu na mbingu zake kwa ujumla.
Huwezi kuvuta cha Arusha ukalanduka na mbingu!
Wengi mna jaribuuu — lakini mna kula za usooo.

Usione mtumishi anasema kirahisi “Pepo tokaaaa!” likatetemekaaaa na kusema “Basi naendaaa!
Wewe unaweza kusema vilevile, lika kusonyAAA — au mbaya zaidi, lika mwaga madudu yako hadharani uka kimbia wewe, likabakia lenyewe likijizatiti kwa kiti chake!

Yule mtumishi ana u-pako wa kulitoa pepo dakika 2 — lakini ameujenga kwa miaka 10 ya utii, unyenyekevu kwa Mungu, na endless study of Scripture.
Ame-invest kujenga relationship solid na Mungu na mbingu kwa ujumla!
Ameteketeza sadaka mpaka za nafsi yake — ameziweka madhabahuni kama sadaka.
Veve haimiliki tenaaa! Mpooo?

Sasa, ak-access Power of God, request ikienda mbinguni — mbingu zinamtambua na ku-send reinforcements.
Pepo au nguvu za giza zinaona hiyo picha live kwenye ulimwengu wa roho — zinajua kabisaaa imeishaaa!
“Hapa tukikataa, alie nyuma ya mtumishi atatumalizaaa!”

Lakini wewe ambaye huna relationship yoyote na mbingu — unaweza kujipa authority ya ku-access Power of God kimchongo mchongo!
Uka-imitate scripture alizopitia pastor, uka piga mule mule!
Neno kwa neno, nukta kwa nukta — request yako itafika mbinguni vizuri, lakini mbingu hazikujui!
Hakuna relationship yoyote!
Huzidai chochote, na hazija-kuahidi chochote, maana ulichowahidiwa kwenye maandiko wewe hujakisomaaa na wala hukijui.

Nguvu za giza zikisense hili — umeishaaa!
Sons of Sceva kwenye Matendo 19:13–17 walijaribu kutoa pepo kimchongo mchongo kama mitume.

Walijaribu kumtoa pepo kwa jina la Yesu na Paulo — pepo likawauliza:
Yesu namjua, na Paulo namjua, lakini nyinyi kina nani? Mbona siwasomi?

Lika wachania nguo, lika wa jeruhi — wakatoka nje uchi uchi! Kudada dekiii!

Ibadah walipatijaaa, ila authority ya kufanya walichotaka hawakuwa nayo.
Na pepo liliona kabisa, hawa si familiar!

SASA WENGI MNATAKA KURUKA NA DELIVERANCE ZA AINA HIII!

Huna uhusiano na Mungu wa kueleweka, ibada za ubabaifu, unataka uingie na gia namba moja ya kutumia authority kiholela bila kujua jurisdiction zako za kiroho!

Ndo maana ukambiwa “deliverance miezi 6” — uwe mpoleeee kabla hujakutana na balaaa la Sons of Sceva!
Ukambiwa “acha zinaa kabla hujavunja madhabahu za ukoo” — achaaaa kwanza!
Ukiona upwiru unakushinda nguvu — pita mbali na madhabahu kabla hujabakwa usingizini!

MWANADAMU AMEPEWA JURISDICTIONS 4 TU ZA KUTAMBA:

  1. Power over Satan and evil spirits

  2. Power to change circumstances and situations

  3. Power to administer life

  4. Power to administer light

Hii ni topic nyingine yenye maelezo marefu mno yenyewe!

Kila changamoto inayo msumbua mtu ina jurisdiction yake ya kutatua.

Kama issue ni shetani au evil spirits — hapo power itakayotumika ni ya “cast out the devil and his adversary!
Kama issue ni situations na circumstances — huwezi ku-cast out, utatumia Power of God to change the circumstances.

Mfano: Nabii Elia alifunga mvua akaleta ukame, baadaye akaifungua mvua tena.
Yesu alipovua usiku kucha akaambia “Tupeni nyavu upande wa kulia!” — waka chana nyavu kwa mavuno.

Lakini wewe upo busy “casting out situations!” — mbingu zinajishika vichwa!

POWER TO ADMINISTER LIFE

Kama yule mwanamke mwenye damu alivyogusa pindo la Yesu, au Lazaro alivyofufuka, au wagonjwa walivyopona — hayo yote ni manifestation ya Power to administer life.

Lakini watu wapo busy “Pepo tokaaa!” kwa kila issue — jamaniii? Hiyo mibangi mnayovuta ni stimu za kulandukaaa!

POWER TO ADMINISTER LIGHT

Kama situation ni darkness has prevailed — kiboko ya giza ni mwanga tu!
Hata wa mshumaa, hata wa kiberitiii!
Sasa mpo gizani mna kemee pepo kwa kupapasa kweli jamani?

Wengi deliverance zenu hazifiki popote kwa sababu mnapenda kubaruza baruza mambo!
Mtu anataka deliverance ya week 1 — hajawahi soma Injili hata moja!

Unataka kuvuka, ila kujifunza hutakiii!
Unadai unajua kila kitu — kumbe hujui chochote!
Ndiyo maana maisha yako yako gizani — badala ya kuwasha kiberiti, una kazi ya ku-administer power of God to give life over darkness!

KUFANYA DELIVERANCE LAZIMA UWE FIT KWENYE HAYA MAENEO 5:

1. Umjue Mungu na Mwanae Yesu Kristo.

(John 17:3, Daniel 11:32)
The people who know their God shall do exploits!
Kama humjui Mungu wako — imemwagika!

2. Ujijue wewe mwenyewe in relation to God.

(Psalm 49:20)
Kama hujitambui, hata uwe na neema kubwa, utabaki kama “beast that perishes!

3. Uelewe mysteries of the Kingdom of God.

(Hebrews 10:7, 1 John 5:14, Matthew 6:9–10)
Authority unayopewa ni kwa ajili ya will of God, si personal ambition zako.

4. Mwanga wako uwe mkali kushinda giza lako.

Ukichanganya mwanga na giza — matokeo yatakuwa 50/50.

5. Umjue Shetani na hila zake.

(Isaiah 54:17)
Weapons are fashioned against you — tailored kwa size yako.
Usipomjua adui wako, utachezeshwa shere!

MWISHO:

Acheni michongo michongo!
Anza kusoma maandiko, jifunze, jenga mahusiano legit na Mungu wako.
Hakikisha uhusiano wako na Mungu upo solid kweli kweli — sio wa kushikiliwa na uzi!

Mtii Mungu wako bila shurti.
Mfanyie ibada bila kujibalaguzAAA.
Na utaona — hutatumia nguvu kubwa kupeleka mambo yako mbele!

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top