MBMlokole Binti
Support HudumaMachapishoIngiaJisajili

Support Huduma

Unga mkono huduma ya Mlokole Binti kwa Sadaka au Mbegu kupitia Mixx by Yas. Kila malipo huthibitishwa na timu ya fedha kabla ya kuhesabiwa.

Lipa Sasa / Support Now

Sadaka | Mbegu

Lipa kwa Mixx by Yas

Namba ya malipo
+255 713 144 639

Hatua za kulipa

  1. Fungua huduma ya Mixx by Yas kwenye simu yako.
  2. Chagua kutuma pesa, kisha weka namba iliyoonyeshwa hapa juu.
  3. Hakikisha jina la mpokeaji linaloonekana kwenye simu yako ni sahihi kabla ya kuthibitisha.
  4. Weka kiasi, kisha thibitisha kwa PIN yako kwenye simu yako pekee.
  5. Utapokea SMS yenye namba ya muamala. Iandike kwenye fomu iliyo hapa chini.
Usalama: Mlokole Binti haitakuuliza PIN yako ya Mixx by Yas wala nenosiri lolote. Usimpe mtu yeyote PIN yako.

Thibitisha malipo uliyofanya

Baada ya kulipa, jaza fomu hii ukitumia namba ya muamala iliyo kwenye SMS. Hatuhifadhi PIN wala taarifa za akaunti yako ya simu.