Mathayo 16:19
Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni, na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni, nalolote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
Mathayo 17:20
Yesu akawajibu,”Kwa sababu ya imani yenu ni haba. Nawaambieni kweli, kama tu mkiwa na imani, iwe ndogo hata kama mbegu ya haradali, mtaweza kuuambia mlima huu: ‘Toka hapa uende pale, nao utakwenda .Hakuna chochote ambacho hakingewezekana kwenu.
UNAWEZA KUFUNGA NA KUFUNGUA MILANGO UTAKAVYO, NA IMANI YAKO NA HII NDIYO PASSWORD YA KUFUNGUA NA KUFUNGA MALANGO.
NUMBER 1 RULE YA KUFUNGUA MALANGO SUGU AKA ANCIENT DOOR NI KUAMINI ( SIO KIZEMBE ZEMBE) NI KUAMINI KWA KUFIA IMANI, KWA KUNGANGANIA NA KUFOSI KWELI KWELI KWAMBA MUNGU ANAWEZA NA ANAENDA KULIFUNGUA HILO LANGO, THIS TIME HILO LANGO LAKO LAZIMA MUNGU ALIFUNGUE.
MPENDWA SASA HAPA NDO PAGUMU, SABABU GOD IS NOT CHEAP, HE WILL REQUIRE PROOF OF YOUR FAITH, HAMANA JANJ- JANJA YA NAAMINI TU MOYONI MWANGU, BALI NI PROVING YOUR FAITH, IS ALL ABOUT PROVING TO PEOPLE KWAMBA UNA MUAMINI MUNGU JUU YA HILO KWAMBA ANAENDA KUFANYA KWA UKUBWA, UNAMSHUHUDIA MUNGU KWA UKUBWA KWA WATU SIO MOYONI KWAMBA MUNGU ANAENDA KUKUPA NDOA/ KAZI/ MTOTO TENA UMSHUHUDIE KWA WABAYA WAKO WALE WANAO KUTETEMESHA UTUMBO.
THE HARDEST PART IS WATAKUONA DISH LIMESHA-YUMBA, NAKWAMBIA KABISAA PEOPLE WILL NEVER BE POSITIVE ABOUT HIKO UNACHO SHUHUDIA SABABU KWANZA KINA KINZANA NA RELIM OF THE FLESH BY LAWS NA PILIWHERE WAS YOUR GOD ALL THIS TIME??
MPENDWA JIANDAE TU KISAIKOLOJIA IT IS GOING TO GO DOWN NASTY, SOMETIMES WEWE MWENYEWE UTAJIONA DISH LIMEYUMBA LAKINI KUMBUKA IMANI KIDOGO TU, THE THING ABOUT GOD HE REQUIRE HIS ANOUNCEMENT OF HIS COMM ING BEFORE ACTUALLY COMING.
UKIANGALIA SEHEMU NYINGI KWENYE MAANDIKO KABLA YA MUNGU KUJA KWA MUNGU, KABLA YA UJIO WAKE ULITANGAZWA NA ANAKUJA KUFANYA NINI!, THE GRAND ANOUNCEMENT TYPE OF STYLE, HAJAGI KIMYA KIMYA WALA GHAFLA HATA SIKU MOJA! THE ONLY TIME ILIANDI KWA MUNGU ATAKUJA GHAFLA SANA NI SIKU YA KUHUKUMU ULIMWENGU.
UKITAKA THIS TIME MUNGU AJE MFANYE JAMBO JUU YA HILO LANGO, GIVE HIM HIS GRAND ANOUNCEMENT KWAMBA WAJA NAWATANGAZIA KABISA ANAKUJA, ANAKUJA, ANAKUJAAA KUNIOKOA.
HII ITA BUILD EXPECTATIONS NA REVOLUTION, WEWE UTAKUWA UNA EXPECT KWAMBA ANAKUJA, HE BETTER BE COMMING FOR REAL MAANA UMEJIWEKA ON THE LINE NA WAJA WATA BET MAISHA YAO KWAMBA HAJI NG’OOOO, MAISHA YAKO! TUMEKAA PALE YAANI AKIJA TUITE MBWA! NA WENGINE WAPO 50/50 AKIJA UTATUELEKEZA AMEKUJA VIPI NA ASIPOKUJA KUCHEKA NI LAZIMAA.
Hapo Sasa ndo ushachoma DARAJA, your reputation is at stake, Gods reputation is at stake, Maana yake you already announced him kwa ukubwa kwamba anakujaaa. Mpendwa Katika kitu ambacho God never jokes about is his reputation!, LAZIMA ATAKUJA! lli asiwakatishe tamaa wale wanao muamini, Na ili awazodoe tu wale wasio Amini kwamba anakujaga ili waamini kupitia wewe na wapate kuokoka.
HOW SOON AND HOW QUICK GOD WILL COME KWENYE CASE YAKO INATEGEMEA THE CALIBER OF HOAX UTA BUILD KWENYE ISSUE YAKO, NUMBERS MATTER, UKIJI RISK VIKUBWA UKAJENGA EXPECTATIONS KUBWA ATAKUJA HARAKA!
NDiyO MAANA HATA MTUMISHI ASI E MCHA MUNGU AKIITA KONGAMANI KUBWAAA LIKAJA AKATANGAZA MUNGU ATASHUKA SIKU ZOTE MUNGU ANASHUKA SIO KWASABABU YA YULE MTUMISHI BALI NI KULINDA REPUTATION YAKE KWA ULE UMATI ULIO MUAMINI NA KUJITOKEZA.
Kuna Binti mwaka jana ni mdogo wa rafiki yangu, Alinyimwa VISA ya USA! Alisha-endaga USA mara ya kwanza then akarudi, alivyotaka kwenda tena wakamnyima, Kuna vitu vingi walidanganya, Vikawa exposed, It was BAD! REALLY BAD! akanitafuta! na ndugu yake akanitafuta! kiukweli Dili lilikuwa limekaaa VIBAYA, Nikamwambia uwe unaombaaa sana mambo yatakaa vizuriii!
Binti aliombaaa, Alishuhudia kila sehemu Mungu anampeleka USA, Alikuwa anasali masaa yote, Mpaka ndugu yake akaniambia mbona kama anakuwa chizi? It’s too much! Dish Kama limeyumba hivi, Nikamwmabia too much praying haijawahi kumuua mtu, Muacheni tu. Alisali hivyo kama mwezi.
Ubalozi wa USA ukampigia simu wame-review tena Application yake. Na wanamuitaji for interview, Ile ile iliyokuwa denied, Kama Umewahi kuomba VISAS utajua hili jambo ni IMPOSSIBLE!, Ukisha nyimwa ume nyimwa, Kumbuka walimwambia apeleke documents kibao ambazo alidanganya na hanaaa, Akaenda hiyo interview ya 2 hana hata document 1! Hataa kuzi-ulizia lakini wakampa Visa!, Yupo USA sasahivi, HATA MIMI NIKITAFAKARIGI HILI I’M JUST LIKE WOOOW!, YOU CAN OPEN THE ANCIENT DOORS BUT INABIDI UWE SERIOUS NA IMANI YAKO.