Hii series mpya na ilitakiwa niiunge kwenye Deliverance yani iwe bandika Bandua lakini nikaona nitoe grace period ya Siku Saba (7) kwa wale waliojivuta-vuta ili nao wamalizie, Probably nitaanza ljumaa, Nikiyeyusha ni Jumatatu.
Basically kama nilivyo waahidi mwaka HUU Mungu anaenda kuwafanyia Restoration na kama mkiji-beba na kubebeka, Hatua ya kwanza ilikuwa ni kung’oa vizuizi through Deliverance ambayo walio-komaaa walishuhudia kwa macho yao vizuizi vikitoka mwilini na sasahivi wako huru kabisa.
Stage (Ngazi) inayo fata ni kuachilia NEEMA YA MUNGU kwenye hayo maeneo kame sababu vizuizi hamna itaflow na kustawi aidha itaonekana kwa macho na kama neema ipo sehemu haijifichi.
Hii stage ya 2 hatufungi lakini ni RELIM ya juu, kuliko ya kwanza sababu tuta tembea kwa imani sana tu, This is advanced level sio Sunday School na ndio maana unakula ushibe kwanza, Ogopa ibada ya kuambiwa ULE USHIBE, JUA HAPO NI KUTUMIA AKILI KULIKO MWILI, ILI UPATE MAJIBU HALISI HAYA MAMBO NI PROCESS, UKIISHIA NJIANI UTAJIKOSESHA MAMBO MAZURI.
Vizuizi kuondoka, maana yake tu umekuwa huru na no longer in bondage of Darkpowers, ni kwamba umetoka mateka umekuwa mtu wa kawaida.
Sasa kuwa mtu wa kawaida hakukufanyi kuwa mtu mwenye neema zake, Kumbuka kukaa mateka kumekurudisha nyuma miaka na miaka, Wakati umekuhukumu Kipindi wenzio wanapata kazi wewe hukupata, kipindi wanaolewa wewe upo utumwani, wana anzisha familia wewe upo Babeli, Sasahivi watoto wao wapo Secondary na wewe ndo kwanza umefunguliwa, UKISEMA UPITE NORMAL ROUTE YA KAWAIDA UTAWAFIKIA KWELI.
MPENDWA UNAHITAJI NEEMA KUBWA SANA YA MUNGU, KUFIDIA MUDA ULIOPOTEZA UKIWA MATEKA WA NGUVU ZA GIZA, MAYBE BEFORE ULIKUWA HUONEKANI WALA HUTONGOZEKI, SASA MUNGU MUAMINIFU UNAONEKANA.
KUNA MWANANGU KAFANYA PROGRAM HII YA DELIVERANCE, SASA TANGU KATIKATI ANATONGOZWA TU ANANIULIZA NAANZIA WAPI ? AGE IS ALREADY GO HOME! THE SUN HAS SET!, MAANA YAKE KATI YAO KUNA AGE GO MWENZIE ANATAKA KWENDA KUJITAMBULISHA ANANIULIZA HIVI, NIKIWAITA KAKA ZANGU SI WATANIONA KISHOIA, MAANA WAZAZI WASHATANGULIA SASAHIVI TUNAOZESHA WATOTO, MIMI LISHANGAZI OG NA MIMI NAITA KIKAO CHANGU, NIKAMWAMBIA ANZIA HAPO HAPO MAMBO YATAJULIKANA MBELE KWA MBELE.
KIUKWELI AFTERMATH YA UTUMWAAA NI MBAYA KULIKO UTUMWA WENYEWE, HATA KWENYE HISTORY MLIONA POST INDEPENCE ILIVOKUWA NGUMU KULIKO COLONIAL RULE.
YAMKINI USHAONA HUOLEWI,WATOTO WASHAKUWA WAKUBWA SECONDARY HUKO, KAMA UNA 36 ULIZAA 24 YRS TOTO LIKO FORM 2 HILO MAMA ZIMA AU BABA LA BABA, WASHAZOEA WAO NA WEWE BASI, MARA UNATAKA KUOLEWA MITOTO HAITAKI.
Haitaki ushirikiano na Baba yao wa kambo, haitaki chochote ilivo selfish inaona wewe siupo menopasue na 36 tu jamani, Haitoi ushirikiano unakuta na kwa kijana wakijua una mitoto mi 3 mikubwa ya secondary wanaona utakuwa Menopause kweli, Mayai yapo kweliiiYa kuzaa kwenye hii ndoa yako mpya yaani una miaka 12 hujakatiza corridor zalabor, Ukirudi unakuta hata mapazia hamna kuna vioo, Mambo ya mama kizimkazi na Ma Dr wote hapa ipo na Wakwe hawakutaki na Mzee ndio, You might be young at heart lakini mambo yanavyonekana hayapo upande wako.Nina wifi yangu tushampa talaka zake 3, huu mwaka wa 3, Anaolewa tena, Watoto wamegomea harusi Ipo Secondary, Tulimuoa 21 kadogo kaniomba Shangazi niseme nao, Mitoto ya Bongo fleva NITASEMA Nini?
BILA NEEMA YA MUNGU HUTOBOI HUPENYI, YAANI SHETANI SAWA USHAMALIZANA NAYE, WAJA NDIYO WANAKUNGOJA KWA HAMU KUBWA.
POST DELIVERANCE NI NGUMU MUDA MWINGINE KULIKO BONDAGE YENYEWE, KUNA WATU WENGI WAMEANZA KUITWA KWENYE INTERVI EWS! AFTER LONG TIME, HAWAJUI TU WANAENDA KUKUTANA NA AFTER DELIVARENCE PROGRAM.
MPENDWA UNAKUTA UNAULIZWA HUU MUDA WOTE TANGU UMALIZE CHUO 2010 AU 2012 ULIKUWA WAPI?, MBONA UMRI WAKO MKUBWA SANA KUWA OFFICER ? WEWE SI KAMA BABA YAO UNAIKIMBIZA 40, SASA WATOTO WA 24,25 WATAKUONGOZA VIPI?, SHIDA TENA SIO MIZIMU YA KWENU SIO SHETANI WALA WATAWALA WA GIZANI NI MUDA NDIO USHAKUHUKUMU, UKIJIDOGOSHA PRIMARY CERITIFICATE INASOMA 1999.
MPENDWA BILA NEEMA ZA MUNGU HUTOBOI, MIMI NAKWAMBIA HILO FROM EXPERIENCE KWA SABABU ULIKUWA UTUMWANI BABELI YOU MISSED THE REAL LIFE BULL SHIT TIME LINE! THE CORPORATE BULLSHIT TIME LINE!
SITAKI KUKUDANGANYA KWAMBA BULLSHIT HAZIAKUJA KAMA PACKAGE NA NEW BLESSING, BULLSHIT COMES WITH THE TERRITORY, JIANDAE TU KUISHI NAZO NA KUJIPA MOYO KUTO KUKATA TAMAA.
IMAGINE UKO UNAKIMBIZA 40YRS NDO FRESH HIRE UNAELEKEZWA AI SYSTEMS KWA JOB ,THEM 24/25 WILL EA YOU FOR BREAKFAST WITH NUTELLA, LAKINI SHUPAZA SHINGO, ASK GOD FOR GRACE! YOU WILL BE OKAY, MAYBE NOT FINE BUT OKAY! ATLEAST NOT DEAD YET.
WIFI YANGU ANAYEOLEWA TENA ANANIAMBIA HUKO UKWENI KUPYA UTAMBULISHO WAKE NI38 YRS OLD WITH 3 KIDS, HUYO MWANAMKE MWENYEWE YAKO NA 38YRS WITH 3 KIDS ZA BABA WA WENYEWE! ATLEAST MTOTO WETU AMEAMBULIA HAPO KATOTO KAMOJA NA HILO TOTO LAKO LIKO 47 NA DIVORCED WITH 2 KIDS.
MPENDWA HAYA MAMBO YANAHITAJI NEEMA YA MUNGU SANA, WIFI ANANIAMBIA AKO SUICIDAL MANAKE HUYO LAST BORN ALIMZAA KWA SHIDA ALIKAA ICU MONTHS, ANAZAAGA KWA SHIDA MARA ZOTE NA HAOGOPI LABOR, KAENDA 4 TIMES! NA HII YA MWISHO JUA LIMEZAMA MWILI UMEKATA RINGI!NDO KIDOGO IMUONDOE! KUNA BATTLE NA MTAKALA WAKE, TALAKA SIO RAHISI WANAUZA MALI WAL IZO CHUMA PAMOJA KAMA HAWANA AKILI NZURI WANAKOMOANA HASWA.
MITOTO NAVO THEY HAVE HER ON THE HOOK FOR DIVORCE! HANA CHA KUWAAMBIA! WANAMUONA MUASI AMEACHA DADY YAO NIAKO TU SELFISH, SHE SHOULD FOCUS ON HER NEW FAMILY SINCE WAO SI FAMILY ENOUGH MPAKA AKAENDA HUKO KUANZA INGINE, MITOTO IKIKUA INAKUWA NDIYO MSALABA WAKO, BADO WAKWE WANA VISAAA VYAO BADO EX WA NEW HUBBY NAE ANA DRAMA ZAKE! BADO MITOTO YA KAMBO NAVO HAIJA TOP-UP DRAMAA, IT IS A MESS, BILA NEEMA YA MUNGU HATOBOI NI KWA NEEMA TU, ANANIAMBIA NENO REST IN PEACE ANALIELEWA SANA, NIKAMWAMBIA HIO MIZIGO 4 UMUACHE NANI? THUBUTU.
NI KWA NEEMA TU NDIO UTAANZA KIELEWA HII KAULI KWA UKUBWA WAKE, MBINGU ZIMECHEKA NA BARAKA ZIMESHUKA ZA KUTOSHA, JE WAJA WATAKUACHA SALAMA U ENJOY HIZO BARAKA? THUBUTU.
BILA NEEMA ZA MUNGU HUTOBOI JAMBO AMBALO LINGEKUWA ZURI KWAKOOO NA KUKULETA FURAHA NDO LINAKUTIBUA AKILI YOTE NA THIS TIME WAKWE SIO MAPEPO USEMEEE UWAKEMEE, BOSS SIO SPIRIT USEME UMTEKETEZA NA MOTO WA ROHO MTAKATIFU, NI KWA NEEMA TU ZA MUNGU NDO UTATOBOA MAHI WANGU.
TUNAPOENDA KUANZA KUJIFUNZA KUHUSU NEEMA NA KUIACHILIA NIAMINI MIMI UNA-IHITAJI SANA SANA KU-MAKE UP FOR THE TIME LOST IN BONDAGE, UNIHITAJI KU-DEAL NA POST DELIVARENCE ERA, UNAI HITAJI KU-SURVIVE HUKUMU YA MUDA, SO JIMALIZEE.