MWAKA UMEMALIZAJE NA UNAANZAJE MWAKA MPYA?

Wengi wenu mnapenda kukaaa tu then vitu vitokeee! Vitatokea vipi? Nani atavitokezaa? Unakuja unasoma hapa Kama gazeti unangoja na wewe kushuhudia! Umeisha mwaka bila bila!, Ulimwengu wa Roho unaendeshwa na Principle na protocols!, Moja Ya principles ni ukipanda nothing utavuna nothing! Ndo wengi Kina watoka!.

 

MWAKA JANA KWAKO ULIKUWA MBAYA WA KUKERA WHAT HAVE YOU DONE ABOUT IT YET? NOTHING!  ZIPO KANUNI ZA KIROHO ZA KUDEAL NA MWAKA MBYA! HUZIJUI WALA HUJIONGEZI KUZIJUA! MR NOTHING!.

 

Kuna watu wamekuja kwangu kulalama! It was a bad year! Nikawauliza mliufunguaje mwaka!, Kama kawaida yenu they did nothing as usual !, Mwaka ulijianzia na kuji-ishia kwa raha zake!, Okay you had the worst year! Niwasaidiaje hasaaa?,  What do you need me to do exactly?, Nothing! We were just lettingyou know that’s all!, Haya mambo kwenye ulimwengu wa Roho ni mepesi!, Ukijua maandiko yanasemaje!, Kama hapa issue ya mwaka ni issue ya Maji ra!, Tuone maandiko yamesemaje!.

 

Daniel 2:21

21 He changes times and seasons;he deposes kings and raises up others.He gives wisdom to the wise and knowledge to the discerning.

 

Daniel 2:21, Inakwambia direct Mungu anao uwezo wa kubadilisha nyakati na majira za watu! Straight foward!, Umeona kabisaa nyakati zako zinavo kuendea kama za mwisho mwisho hivi! Lakiniumekaaa umetulia na kujipooza na Shishaaa ! Basi sawa!, Chukua flavor 2  za Strawberry nakuja kulipa!.

 

Zaburi 104:19

Umeuumba mwezi utupimie maji ra;jua nalolajua wakati wa kutua.

 

Psalms 104:19

19 He made the moon to mark the seasons,and the sun knows when to go down.

Kama Mungu ndo alitengeneza hizi majira za miezi na miaka ,would he have a say kwenye majira zako na miaka inavo kwenda ?

 

Mwanzo 1:14

Mungu akasema,”Mi-anga na iweko angani, itenge mchana na usiku ,ioneshe nyakati, majira, siku na miaka.

Kama Mungu alisema LET THERE BE LIGHT!  NA  DUNIA NZIMA IKAWAKA! WHAT IF YOU GET HIM TO SAY THE SAME STATEMENT ONLY THIS TIME OVER YOUR DARK SEASONS AND LIFE IN GENERAL!Look at the bigger picture!

 

Genesis 8:22

22 “As long as the earth endures, seed time and harvest, cold and heat, summer and winter, day and night will never cease.”

 

SEED TIME AND HARVEST!, THE GOLDEN LINE!, KUPANDA NA KUVUNA!  ( NIMEWEKA TOPIC NZIMA JUU YA MBEGU KWENYE POST YA SADAKA INAYOLETA MATOKEO!.

What if you hated 2023 that bad!, You were heart broken!, Jobless!, Lonely!, Definitely depressed!, And YOU JUST NEVER EVER WANT TO SEE AN UGLY YEAR LIKE THAT EVER AGAI N! YOU JUST DONT! AND YOU ARE SERIOUS ABOUT IT! TOTALLY SERIOUS!

 

Neno la Mungu linasema unaweza kupanda Mbegu kumaliza  Msimu kabisaaa! Unanuia mbegu yako kwamba IKIGUSA ARDHI NA KUANZA KUFA NA KUOZA IFE KABISAA NA ALLTHE TERRIBLE ISSUES ZILIZO KUKUMBA 2023!, ZIFE NA ZIOZE NA MBEGU YAKO YOU JUST DONT WANT TO SEE THAT SHIT AGAI N! EVER!

 

Na mbegu yako ikiota, ICHIPUE MSIMU MPYAAA! MSIMU WA TRUE LOVE! LONG LASTING CAREER, PERMANENT JOBS, FAMILY, HAPINESS! WHATEVER YOU MISSED OUT IN 2023 AND YEARS BEFORE!, SEED TIME AND HARVEST SWEETY! SEED TIME AND  HARVEST!, GOD GAVE YOU AN EXIT PLAN IF YOU WANT TO GET THAT SPIRITUAL!, Ni hii level ya kupanda na kuvuna ni Level ndogo mnoooo! Wenzio Tupo mbali!

 

Ecclesiastes 11:1

11 Cast thy bread upon the waters:for thou shalt find it after many days.

 

Tupo huku level za kutosa mkate maji ni na kuupata baada Ya Siku teleee!Achanaaa na Mungu wewe! Balaaa Lake sio dogo!

THEN AGAIN HIVI VITU NI KAMA YOU AR E THAT SPIRITUAL! LAKINI LEVEL YAKO KAMA NDO YA DO NOTHING NDO UTA ACHIEVE NOTHING KAMA KAWAIDA!, USIPO PANDA HUTAVUNAAA NDO IKO HIVO Kila kitu kipo wazi kwenye maandiko! Ni wewe tu kuyapata hayo maandiko na kuyatekeleza!

THE MILLION DOLLAR QUESTION IS, JE UNAMUAMINI MUNGU KIASI GANI?, KIASI CHA NOTHING?, CHA KUPANDA MBEGU NA KUVUNA?, KIASI CHA KUTOSA MKATE KWENYE MAJI (MKATE NI KITU KIKUBWA KULIKO MBEGU! MBEGU NI KITU KIDOGO SANA! KAMA NGANO PUNJE TU INATOSHA KUWA MBEGU! MKATE NI ENTIRE MLO KAMA NGANO IWE KILO MOJA LABDA!) WHICH LEVEL WERE YOU 2023? AND WHICH LEVEL WILL YOU BE 2024?

MAKE YOUR CHOICE BODLY AND WISELY! MWAKA NDO UMEISHA JANA NA NDO KWANZA UMEANZA LEO ! TUPO NDANI YA MDA!.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top