HAKUNA KINACHOKUZUIA KUWA UNACHOTAKA KUWA

Its new year but old same shit, Iget it! Lakini sio sababu ya wewe kuunajisi mwaka mapema hivo! You can blame God, Me, the Pastors, Angels, Devil, Dark forces for not succeeding in 2023 and the years before lakini ukweli ukisemwa NOTHING! ABSOLUTELY  NOTHING WAS STOPING YOU! ALL YOUR PROBLEMS ARE NOT REAL RATHER ILLUSIONS! ( NISIKIZENI KWANZA KABLA HAMJANIPIGA MAWE)

 

Nothing is stopping you and no one is against you!Well except maybe the Devilto some extent!, But me and the heavens we are on your side! We are rooting for you!

KILICHOTOKEA KWAKO NI, YOU WERE DEFEATED LONG AGO INTERNALY AND YOU GAVE UP YOUR WILL TO FIGHT FOR YOURSELF!, YOU GAVE UPON YOU!

The spirit world is the world run by Power!, So the more you have it, the better! And power is not given rather taken by force! Through constant wars!

 

Matthew 11:12

And from the days of John the Baptist until now the kingdom of heaven suffers violence, and the violent take it by force.

 

Wengi wenu you are SOFTIES! Laini laini! Unataka vita na shetani afu unakuwa laini laini! Ndio maana mnapigika! Wengi nilio waongoza mwaka Jana ni SOFT SANAAA! Watoto laini! Shetani mwenyewe sasa? Ni Mgumuuuu kama jiwe la Volcano!, Wengi mlishapigwa na shetani huko nyuma na mme surrender!,  YOU ARE DEFEATED INTER NALLY! TOTALLY DEFEATED! NA MTU AKISHAPIGWA KWENYE NAFSI YA KE KUSHINDA VITA VYA NJE YA NAFSI YAKE SIO RAHISI!

 

Kwamba hutakaa uende kazini ITS AN ILLUsSION!, HUTO OLEWA !Its  Ilusion! HUTOZAA! Its Illussion! HUTOPONA! Its Illussion!

KUVUKA HAPA INATAKIWA UWEZE KU-ATTAIN INNER PEACE  ILI UWEZE KUONA RIGHT THROUGH BULLSHIT ZA SHETANI! WATUMISHI WANAONA LAKINI WEWE NI STEVE WONDER!

Nakwambia acha ZINAA utapata mtu! Unaacha Siku 3, Ya nne una panic unalalwa na wanaume hata hawakupendi! Siku Ya 5 unarudi! NONSENSE! Kwanini ulirudia zinaaa? HUNA INNER PEACE NA SITUATION YAKO! BADO INA KU-CONTROL NA ITA KU-CONTROL SANAA TU!

 

Yohana 14:25-27

25 “Nimewaambia mambo haya wakati nikiwa bado nipo nanyi. 26 Lakini yule Msaidizi, yaani Roho Mtakatifu, ambaye Baba yangu atamtuma kwenu kwa jina langu, atawafundisha mambo yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.27 Ninawaachia amani, Nawapeni amani yangu; amani hii ulimwengu hauwezi kuwapa.

 

Msifadhaike mioyoni mwenu,wala msiogope. Ukiwekeza kwenye dini kuna Level za ulimwengu wa Roho unafika unakuwa Invisible ! Ukiwa invisible unashinda Vita zoteeee!, Bwana Yesu anaongelea AMANI  ANAYO TAKA KUKUPA! ANAKUHAKI KISHIA ULIMWENGU HAUWEZI KUKUPA HIO AMANI ! ONLY YEYE NDO ANAYOWEZA KUKUPA!, ANAACHA WOSIA MSIFADHAI KE MOYONI MWENU WALA MAIOGOPE! NA HAYA NDO MMEBAKIA KUYAFANYA ALL DAY EVERYDAY!, NI FULL WOGA NA KUFADHAIKA NON STOP!

 

Shetani anatumia WOGA wako na MFADHAIKO kuku-control na kukuendesha! Mambo hayajatokea bado lakini unavo haha sio kidogo!, UKIFANIKIWA KU ATTAI N INNER PEACE UTAONA YOTEEE YANAYO KUPANIKISHA NI ILLUSIONS TU!, Kwamba hutakaaa uende kazini ITS AN ILLUSION!, HUTO OLEWA ! Ilusion! Hutozaaa ! Ilusion!, Hutopona! Ilusion

KUVUKA HAPA INATAKIWA UWEZE KU-ATTAIN INNER PEACE  ILI UWEZE KUONA RIGHT THROUGH BULLSHIT ZA SHETANI!WATUMISHIWANAONA LAKINI WEWE NI STEVE WONDER!

Nakwambia acha ZINAA utapata mtu! Unaacha Siku 3, Ya nne una panic unalalwa na wanaume hata hawakupendi ! Siku Ya 5 unarudi! NONSENSE! Kwanini ulirudia zinaaa? HUNA INNER PEACE NA SITUATION YAKO! BADO SITUATION INA KU-CONTROL NA ITA KU CONTROL SANAA TU!

 

Kama hivo mtu huna ndoa, huna kazi, Situation yoyote! YOU ALREADY LOST sasa unapaparika Nini?, ACCEPT SITUATION YAKO NA COME TO PEACE WITH IT! SIO PEACE YA NJE RADHER IN PEACE!, MUOMBE BWANA YESU AKUPE AMANI YAKE IPITAYO AMANI ZOTE HILO ENEO ULILO KWAMA UKUBALIANE NALO!

Let’s say una 35 huna ndoa! Uki-attain inner peace unaweza ku Focus na fanyia kazi Situation yako ukaolewa by 36! By 44 utakuwa na miaka 9 Ya ndoa!

INNER PEACE ITAKUSAIDIA KUONDOA KIRARU RARUUU ILI UWEZE KUONA MAMBO YALIVO SIO SHETANI ANAVOKUTETEMESHA  NAVO NA ITAKUSAIDIA KUACHA UPUUZI NA UPUMBAVU!

 

Ukipata inner peace ,ushajua uko 35, utafanya programs clear of mind! Hutakuwa bothered na EX, hutaleta ujinga wa kula badala Ya kufunga, hutaleta upuuzi kwamba, Najisikia uchungu, hutaleta uzazwa wa kusali kwa attitude kama una mdai Mungu! Mambo mengiYa kijinga kijinga utaacha! NA IBADA ZAKO ZITAANZA KUKUPA MATOKEO MAKUBWA SANAAA!, WENGI MNAFANYA IBADA DHAIFU SANAA KUTOKANA NA MADHAIFU MLIYOBEBA KWENYE NAFSI ZENU,KUVUKA NI NGUMU!

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top