MTUMIKIE MUNGU KAMA LIFESTYLE SIO KWA SABABU UNATAKA KITU (SUNDAY WORD)

Wafilipi 4:19

Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utaji ri wake,katika utukufu,ndaniya Kristo Yesu.

 

2 Wakorintho 9:8

Mungu anaweza kuwapeni nyinyi zaidi ya yale mnayoyahitaji, mpate daima kuwa na kila kitu mnachohitaji, na hivyo mzidi kusaidia katika kila kazi njema.

 

Watu wengi wanafanya Grave mistake ya kumtafuta MUNGU wakati wa shida!, Yaani shida ndio zinawafanya wamtafute Mungu!, Timing can never be more wrong!, Sababu tayari shetani ameshakushika pabaya!, Hutaweza kumtafuta MUNGU kwa amani na utulivu kwani tayari shetani ana-manipulating factors juu yako, Ata kucheza kama mdako!

 

Mtu anakaa kazini miaka 10 hamtumikii Mungu wala zaka halipi!, Aki-sikia barua ya kufukuzwa au kupunguzwa imetoka ndo analipa ZAKA moja anampigia magoti mtumishiafanye kitu.

 

Mi nazijua hizi!, Mtu ghafla nimelipa zaka!, Nakuwa nasikilizia!, Either hapo hapo au zaka ya pili (2) anakwambia mwezi HUU mkataba unaishaaa, hizi na kutana nazo sana sana.

 

Kuna mmoja nae hivyo hivyo, Na mimi huwaga nakasirika why will you try to finese God and Me mtumishi wake? Kuna mmoja akanisinulia matatizo yake mazito na alikuwa na vimeo kibao there is no way wange renew ile contract bila spiritual measures and she knew all this!, Sasa ni kajanja sana ati kakanielezea matatizo 1000, Kisha kakaniomba tufanye jambo wa renew, Atabadilika!

 

Yaani kwa Jinsi alivyo haribu huko nyuma, na deadline aliyo-nipa chini ya 30 days mtoto gaidi yuleee!, Ilibidi nitulie kutafuta gap ya kimaandiko mpaka kichwa kiliwaka moto, Hamna gap, Hakusimamisha hata msingi wa chelewa kwenye kazi yake, Past career life giza tupu.

 

Mpendwa Apostolic Relim haijawahi hata kununua kijiko au  KUJENGA Ufalme wa Mungu!, Ikabidi Nitumie prophetic RELIM na alinibahatisha KWELI kufanya all this hard-work!. Nikamwambia inabidi umuahidi Mungu vitu,uji -commit kwamba aki -renew hio contract you will do better, Nitumie unabiii wa mambo yajayo juu YAKO sababu as of now huna merits zozote! Akakubali!

 

Mpendwa waka renew ile contract,  Ni miaka mitatu mitatu!, Hivyo sasahivi mambo yamenyooka Lakini Najua kanyooka sababu anajua miaka 3 sio mingi, Na anasimaisha merits ili aje azidai contract ikiisha, Good  move lakini very weak move!.

 

UNACHOTAKA KWA MUNGU NI KIDOGO MNO UKILINGANISHA NA UWEZO WAKE WA KUKUPA!, MTAFUTE MUNGU KAMA LIFESTYLE ILI NA YEYE MUNGU AKUPE UNACHOSTAILI AU  UNACHOTAKA, UNACHO PAMABANIA, UNACHO KOMAA KUTAFUTA KWA MUNGU NA IBADA ZAKO ZA MCHONGO NI KIDOGO SANA SANAA KULKKO AMBACHO UNGE STAHLI KUPATA KWA KUMTUMIKIA MUNGU KIHALALI KWA MOYO WAKO WOTE!

 

WATU WANAO ZIMA MOTO KWA MAOMBI YA KUENDEKEZA ZIKI WANAPATA VITU KIDOGO SANA HATA KAZI ZA MAOMBI YA ZIMA MOTOOO ZINAKUWAGA KAZI FLANI ZA MCHONGO KAMA, AINA YA  MAOMBI ULIOFANYA!

 

HUTAKAAA UPATE KAZI CREAM DE-LA CREAM NAZUNGUMZIA THE 1% YA KAZI ZA MISHAHARA YA MILLION 8 -30 KWA MAOMBI YA MCHONGO, HUTAPATA NDOA YA KUWATOA WATU POVU, MWANAUME HEAVENLY SENT KWA MAOMBI YA MCHONGO YA KUFUNGA NA KUKESHA UNAOMBA MUME TU!, MUME UTAPATA LAKINI WA KAWAIDA SANA AMBAYE KATI-KATI UTAANZA KUJIULIZA HIVI KATOKA KWA MUNGU KWELI MBONA KAMA ANA USHETANI MWINGI NDANI YAKE.

 

THERE ARE LEVELS TO THESE THINGS, TOKA KWENYE LEVEL YA KUMTUMIKIA MUNGU KWA SHIDA MIXER MATATIZO INDUCED FAITH, TO PURE FAITH YA KUMTAFUTA MUNGU FOR WHO HE IS.

 

Mama yangu alikuwa mtumishi wa shirikala Uma, Lakini most of all ni Mtumishi wa Mungu by Heart!, Alikuwa sio mwizi ofisini, hadhulumu haki ya mtu na most all analipa ZAKA zake zote!, Amefanya kazi miaka 30! na redundancy zilizo hit miaka 2001-2005!, Jina Lake linatoka!, Anamshukuru Mungu!.

Lakini baadae jina lake linafutwa anaambiwa abakie. Mwaka 2008 ikapita kubwa kabisa akatolewa analipwa mafao yotee. After 1 month akarudishwa mpaka alivyo-staafu!, Na yale mafao aliyolipwa kwa redundancy wakasahau kuya reflect kwenye retiring package, So alilipwa benefits mara 2!.

 

Kastaafuuu mwaka 2018 Mungu ame muweke hai anakula pension yake taratibu na bado analipa ZAKA from pension. Anasema Nilichangia hii pension kihalali Mungu nipe uhai na afya nipe jasho langu halali. Na mpaka anastaafu alipata vyeo -vyote alivyostahili kupata.

 

SASA WENGI HATIMA ZENU NI KUBWA SANA- SANA lakini kubwa ni KOTE KOTE KWENYE UCHUMI NA MAHUSIANO LAKINI IBADA ZENU! NI  ZA MCHONGO MNO.

 

2 Wakorintho 9:8

Mungu anaweza kuwapeni nyinyi zaidi ya yale mnayoyahitaji, mpate daima kuwa na kila kitu mnachohitaji,na hivyo mzidi kusaidia katika kila kazi njema .

 

Mtume Paul kilikuwa kichwaaa cha hatari, Yule mtu habari nyingine kabisaaa! ALIMJUA MUNGU ANAWEZA NINI NA ALITUJUA BINADAMU TUNA-TAKA NINI HASA, ALAFU AKAACHIA MKEKA WA DOCTRINES, HATARI NA NUSU.

 

Hapo juuu aliye-achana kanisa la WAKORINTHO kwenye Waraka Wake wa 2, Waaache mbambamba zao! bali wa focus KUISHI KWA KUMTUMIKIA MUNGU KWANI MUNGU ANAWEZA KUWAPA ZAIDI YA YALE WANAYO HITAJI, ZINGATIA NENO ZAIDI!, ANACHANA MKEKA KABISA DAIMA MPATE KUWA NA KILA KITU MNACHO HITAJI HIVYO MZIDI KUISHI KWENYE KUMPENDEZA MUNGU!.

 

SASA NYINYI MNAFANYA KAMA WAKORINTO YAANI VICE-VERSA IS ALSO TRUE,  UNAMTUMIKIA MUNGU SABABU YA SHIDA NA SHIDA IKIISHA NA BISHARA NA MUNGU UMEMALIZA!, SEE YOU UNTIL NEXT SHIDA! BYEEEE!.

 

MPENDWA UKISHAKUWA NA SHIDA MAANA YAKE RESOURCES ZAKO TAYARI ZIPO LIMITED, HUWEZI KU AFFORD BEST HUDUMA! NA KUMBUKA HII DUNIA NI YA KAISARI NA KAISARI KUPEWA KILICHO CHAKE NI LAZIMA AU UTACHINA HAPOOO!

 

UKIWA NA KAZI NZURI YA MILLION 3 KUPATA YA MILLION 12 NI RAHISI SANAA!,  YOU CAN AFFORD BEST PASTORS! YOU CAN NEGOTIATE NA EMPLOYERS BILA MASHAKA KWA SABABU KAZI UNAYO HUBABAISHWI! NA UNAWEZA KUTEKETEZA MSADAKA MPAKA YA SIFA KUZITIKISA MBINGU!, YOU CAN BURN 3 MILLION TO 3 PASTORS EACH 1MILLION NDANI YA MWEZI 1!, WHY BECAUSE YOU CAN AFFORD IT! WHY ??? THE QUESTION SHOULD BE WHY NOT?, SIKU 30 ANOTHER ONE YA 3 MILLION INATUA BANK!, WHY CHOOSE BETWEEN 3 PASTORS IF YOU CAN USE ALL OF THEM.

 

Luka 19:26

“Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba kila aliye na kitu, ataongezewa. Lakini yule asiye na kitu, hata alicho nacho atanyang’anywa.

 

JESUS WAS BRUTALY HONEST THIS DAY!, HE WAS SPITTING NOTHING BUT FACTS!, SASA USIKAE UNABISHANA AU K- CONDEMN MAANDIKO! IF YOU CAN’T FIGHT THEM JOIN THEM!, KAMA HUJAWAHI KUPATA KAZI HAKIKISHA UNAPATA KAZI YOYOTE AMBAYO UTAITUMIA KUPATA KAZI NZURI ZAIDI AMBAYO UTAITUMIA KUPATA YOUR TYPE OF JOB!

MIMI NIMEFANYA RESEARCH ZA MABOSS WENGI WANAO PATA HIZI MILLION 8 AND ABOVE, THEY SERVE GODS PEOPLE!, EITHER THE LIVING GOD OR GODS OF DEATH! LAKINI SIO BUREEE BUREEE!. KUNA KITU LAZIMA WANAUTUMIKIA NA WANATUMIKIA KWA MOYOOO WOTE! KATIKA MASAA YAO 24 WANASALI HAMNA HAMNA MASAA 6 KWA SIKU!, KWA WEEK SIKU 3 WAPO KWENYE MFUNGO!

 

MPENDWA SINCE THEY CAN AFFORD THEY HAVE PASTORS BEHIND THEM, WANA MADHABAU HATA 10 YOTE WANACHOMA UBANI KUPELEKA MAMBO YAO MBELE ZA BWANA,WANA FINACE KINGDOMS OF GOD!, EVERYTHING THEY HAVE THEY EARN IT FAIR AND SQUARE!.

 

SASA WEWE KAZI YAKO YA 800,000 MPE MUNGU BASI HIO 80k YAKE HUTAKI!, UNALETA UBABAIFU! HAPO HAPO UNATAKA USHARIKA NA MUNGU WA MILLION 8 WA MANENO MATUPU, NA NDIO UNACHO AMBULIA KILA SIKU PASTOR WAKO ANAKUPA MANENO MATUPU KWAMBA UTAPANDA CHEO KAMA MANENO MATUPU UNAYOPELEKA MBELE ZA BWANA KAMA UBANI.

 

Gal 6:7-9

Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi, kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna. Maana yeye apandaye kwa mwili wake,katika mwili wake atavuna uharibifu, bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.Tena tusichoke katika kutenda mema, maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho.

 

UNADHANI BIBLIA INA FUMBA FUMBA MAMBO BASI?, ZINGATIA MSIDANGANYIKE / USIJIDANGANYE/ USIJIZIME DATA.

 

Wafilipi 4:19 SRUV

Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu.

 

UTAJIRI WA MUNGU NI MKUBWA KULIKO UTAJIRI UNAO HANGAIKA KUJIPATIA KWA KUMUACHA MUNGU!, UTUKUFU WA MUNGU NI MKUBWA KULIKO KA UTUKUFU UNACHO-FORCE KUJIPATIA KWA KUPELEKEWA MOTO NA HUYO NA HUYO KAHABABA,KUTOA MIMBA, KUFANYA MPAKA 3 SOME ILI TU UPATE KAUTUKUFU KADOGO KA NDOA NA PEPO MTU!. MUNGU ANAWEZA KUKUPA CHOCHOTE UNACHO HITAJI NA ZAIDI YA AMBAVYO  HATA HUJAVIWAZA  UKIMTUMIKIA!.

 

Acheni kuendekeza njaaa na shidaaa!, Mtumikieni Mungu kwa MOYO wenu wote awape kila mnachohitaji na ZAIDI kwa kadri ya utukufu Wake!. Mpendwa focus KUJENGA mahusiano na Mungu, Focus kumtumikia MUNGU sehemu kubwa ya muda wako!, Jifunze Neno la Mungu ili ajifunue kwako, BUILD A SOLID RELATIONSHIP WITH GOD!

 

Mambo mengine yote Mungu atakupa kwa ziada, Kazi zitakufuataa!, Utazikataaaa!, Wanaume watakusumbuaaaa!, Utaonaaaa keroooo! Wateja watageuka adhabuuu sasa kwakoooo!, Kila mtu anataka kununua kwako!.

 

IBADA ZA MCHONGO MCHONGO NA UBABAIFU HAZINAGA MATOKEO MAKUBWA, ZINA-TATUA TU SHIDA NDOGO NGOGO NA HIVYO NDO UNAIKOSA HATMA YAKO ILIYOKUWA KUBWA UNAMALIZA MAISHA YAKO KUTATUA SHIDA NDOGO-NDOGO ZA SHETANI!, WHAT A WAY TO WASTE YOUR  PRECIOUS LIFE? AND GOD IS NOT TO BLAME!, SI UMEKATA MAHUSIANO NAYE! DO YOU PAL! DO YOU!.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top