Zaburi 68:6
Mungu huwapa wa pweke makao yao; Huwapa wafungwa uhuru na kuwafanikisha; Bali wa kaidi huishi katika nchi kavu.
Psalm 68:6 (KJV)
6 God setteth the solitary in families: he bringeth out those whic h are bound with chains: but the rebellious dwell in a dry land.
Psalms 68:6
6 God sets the lonely in families,he leads out the prisoners with singing; but the rebellious live in a sun-scorched land.
NAVOWEKA MUONGOZO USllSHIE NAPOISHIA CAPTION! PALE SASA NIWEWE KWENDA PERSONAL NDANIYA NDANIYA HILiJAMBO NA MUNGU!, HATA YALE UNAYOTUFICHA TALK TO YOUR GOD!
THE ANGER!, DEPRESSION!, FRUSTRATION!, DISAPOINTMENTS!, PAIN!, GIVING UP OPEN TO THY LORD!
INTERVAL NAZOKUPA POST KWA POST SIO ULAZE UBAVU KIDOGO! ZAMA IN PRAYER! KESHO WAKIANZA KUSHUHUDIA UWEPO!
1Timothea 1:18 SRUV
Mwanangu Timothea, nakukabidhi agizo hilo liwe akiba, kwa ajiliya maneno ya unabii yaliyonenwa awalijuu yako, iii katika hayouweze kupigana vile vita vizuri
Cement maneno yote ya unabiii yaliyonenwa juu yako lea. Weka zege la kutosha katika declaration ulizofanya usiku huu na details zake zote isipungue hata detail moja. Na Hakika Mungu wako alie muaminifu sana anaenda kutimiza vyote na kuzidi.
UNAWEZA KUPANDA MBEGU YAKO YA MKESHA HUU KWA NAMBA
0713144639
AU KWA KUWAPA WAJANE,YATIMA NA WAH ITAJI WENGINE.
1Wakorintho 3:6
Mimi nilipanda mbegu,Apolo akamwagilia maji;lakini aliyeiotesha mbegu ni Mungu.