Baada ya kujumlisha na kugawanya na kuona LEVEL ya u-serious wenu, nimeona niwaletee maombi ya muda mrefu!, Nasababu ni muda mrefu nimejitahidi iwe ni someting manageable kufanya hata mara mbili (2) kwa siku kwa dakika 10, Sio page 20 alafu kutwa mara mbili (2).
Uzuri maombi ya muda mrefu una muda wa kutosha kutengeneza Momentum!, Huwezi kuona mabadiliko kesho asubuhi lakini ukikomaa utaanza kuona mabadiliko kidogo-kidogo, Na maombi ya vifungo yote sio ya kubembelezana, Hivyo kama unataka kuvuka pigana vita yaani fanya Prison Break! na kama hujiskiii kutumikia muda wa mfungo mpaka uishe basi ndio iko hivo, Vinginevyo nitakuwa nakudanganya, Walio kufunga wako serious sana kutoka na wewe basi uwe serious sana!
Taking into consideration WENGINE wana vifungo vya muda, mshatumikia nusu ya kifungo, Nguvu hamna na mmekata tamaa, ndio maana nimetafuta vitu vyepesi ila equaly effective, Usi under-estimate nguvu ya consistency kwenye ibada, Just show up everyday!, Mimi ni mtu wa vita, na mpenzi wa shortcut lakini wengi hamna Roho ngumu, Waliokamilisha delivarence ya Siku 30 hamfiki robo!, Waliokomaaa wamevukaaa na mlio shindwa kukomaa inakuwaje?. Ndio maana nimewaletea program hii ya ku-relax, Kula shibaaaa dakika zako 10 asubuhi, 10 jioni, Prayer points 5 tu, Ukishindwa Sasa hapa yaani huna nia kabisa.
MPENDWA ALL YOU HAVE TO DO NIKUWEKA TU MOYO WAKO WOTE, KWAN MAANA NGUMU ZIMEKUSHINDA NA HII PIA ?, Nimejitahidi kukuelekeza UNA KWAMA WAPI?? Maombi ni kama dawa tu baada ya Operation na Ukifanya haya maombi wakati BADO UNAZINI sioni yaki-kuvusha, Sababu shida mpaka umechelewa haikuwa maombi, ilikuwa zinaa na kukomaaa na maombi na zinaaa iko pale-pale ONLY GOD CAN JUDGE YOU!
Mpendwa kama issue ni TABIA usipo-amua kubadilika na kuji-challange maombi hayata mpofusha mchumba asione tabia zako chafu, MAOMBI YATAKUSAIDIA TU KUZI HOLD NGUVU ZA GIZA ZISIKUHUJUMU ILI UPATE FAIR CHANCE, SASA KAMA HUJUMA NI – HILA ZA MOYO WAKO, UTAKUWA UMEJI-FELISHA!
ILE ADDED ADVANTAGE WALIOKUWA NAYO WALIO-KUFUNGA NDIYO INAENDA KUTOKOMEZWA NA MAOMBI NA KUKUPA FAIR GAME, UTAKUWA HURU KUSHINDANA NA SIO LIMITED KAMA MWANZO! NA USHINDANI UKO PALE-PALE HENCE COMMON SENSE, GOOD RADIANCE NA MAARIFA NI MUHIMU SANA MAOMBI HAYATA MFANYA MWENZIO MUME BWEGE, CHOCHOTE UTAKACHO MWAMBIA TAWIREE AU YATAONDOA USHINDANI NA KUKUPA USHINDI WA MEZANI, WASICHANA WENZIO USHINDANI UKO PALE PALE, SASA JIBEBE KIFALA-FALA UJIPE MOYO YALE MAOMBI KIBOKO.
MWANZO ILIKUWA KUSHINDA WEWE HAIWEZEKANI, WAMEKUWEKA GEREZANI WATATOA HATA JOKERI, WALIKUWA WANAKUCHEZEA FOUL KAMA ZOTE, WANAKUPAKA UBAYA,WANAHARIBU MAAMUZI YA MWENZIO, ILIMRADI USITOKE.
MPENDWA MAOMBI YANAENDA KUSTOPISHA HILA ZOTE SASA NI FAIR GAME TU, NJIA YAKO ITAKUWA NYEUPE, Unapo Ona uvivuuu Kusali at one point jua tu nguvu za Giza zina tabia ya kukaa pembeni kwa muda ku- ku Monitor!, Ukilegea tu wamerudi, Wanao-rudi huwa ni wabaya kuliko walio-toka!
Matthew 12:43-45 (Return of an Unclean Spirit)
43 “When the unclean spirit has gone out of a person, It passes through waterless places seeking rest, but finds none. 44 Then it says, ‘I will return to my house from which I came.And when It comes, it finds the house empty, swept, and put in order. 45 Then It goes and brings with-it seven other spirits more evil than itself, and they enter and dwell there, and the last state of that person is worse than the first. So also will It be with this evil generation.”
HIVYO NDIYO MAANA WATU WENGI WANAANZA MAOMBI WANAPATA HATUA ZA MATOKEO, MTU ANAPATA MTU MZURI TU, AKIACHA IBADA MAOMBI YANA GEUKA NA KUWA HOVYO KWELI-KWELI KULIKO MWANZO. NI MUHIMU UKIANZA IBADA UKOMAE MPAKA UVAE-SHELA, SASA WENGI AKIPATA MTU ANARUDIA ZINAA UPYA AKIRUDIA ANAJIKUTA KWENYE KIFUNGO KIPYA KABISA, BORA KILE AM BACHO ALISHATUMIKIA NUSU YAANI ANAJIONGEZEA MASHITAKA UPYA YA JARIBIO LA KUTOROKA.
BORA KAMA UNAANZA FANYA UCHOME DARAJA KABISA USIWEZE KURUDI NYUMA, KAMA HAUPO SURE NA COMMITMENT YAKO KAA KWA KUTULIA KWANZA, USICHOKOZE NYUKI WAKATI MBIO HUNA NA KUSTAHIMILI MANUNDU HUWEZI.
MPENDWA KWELI DAKIKA 10 ZA ASUBUHI NA JIONI ZA KUKUSHINDA ? UTANENA KWA LUGHA KWELI WEWE ? BUT YOU CAN DO BETTER FOR YOURSELF.
MAOMBI YA MAHUSIANO YALIYO FUNGWA
(FANYA MPAKA UPATE MATOKEO! ASUBUHI NA JIONI!)
1 Mambo ya Nyakati 4:10
Lakini Yabesi alimwomba Mungu wa Israeli akisema, “Ee Mungu, nakusihi unibariki na kuipanua mipaka yangu. Mkono wako uwe pamoja nami na unilinde kutokana na jambo lolote ovu, lisiniumize.” Naye Mungu akamjalia yale aliyoomba.
MUNGU ULIYE MJALIA JABEZ MAMBO YOTE MA NNE ALIYO KUOMBA SAWASAWA NA NENO HILI NAKUOMBA NITOE KWENYE KIFUNGO CHA MAHUSIANO NA KUNIACHA HURU, NIKUTANISHE NA MWENZANGU NA KUNIWEZESHA KUFIKIA HATMA YANGU YA NDOA TAKATIFU NA KUANZISHA FAMILIA KWA JINA LA YESU.
Marko 7:34
34 Ndipo Yesu akatazama mbinguni, akahema kwa uchungu, akamwambia,”Efatha!” yaani
”Funguka!”
BWANA YESU NAKUJA MBELE YAKO LEO HII KWA HABARI YA VIFUNGO VYA MAHUSIANO YANGU NA MARITAL DELAY NAYOPITIA, NAKUSIHI KAMA ULIVO MFUNGUA YULE MTU, LEO HII TAZAMA VIFUNGO VYANGU, SIMANZI YANGU, KUKATA KWANGU TAMAA, NIFUNGUE NA MIMI PIA, MAHUSIANO YANGU EFATAA KWA JINA LA YESU! ( HAKIKISHA HILO GEREZA WALAU UNALILAMBA EFATAA MBILI KWA SIKU)
Kumbukumbula Torati2:3
Mmeuzunguka mlima huu vya kutosha, geuken iupande wa kaskazini.
Baba nimehangaika na mahusiano vya kutosha, Sawa-sawa na Neno lako hili, naomba nioneshe direction ya kwenda ilikufikia hatma yangu ya Ndoa kwa Jina la Yesu. Nioneshe kaskazini yangu leo hii.
lsaya 45:1-3
Haya ndiyo BWANA amwambiayo Koreshi, masihi wake, ambaye nimemshika mkono wake wa kulia, ili kutiisha mataifa mbele yake, nami nitalegeza nguvu za wafalme ili kufungua milango mbele yake, hata malango hayatafungwa. Nitakwenda mbele yako,na kupasawazisha mahali palipoparuza, nitavunja vipande vipande milango ya shaba, na kukatakata mapingo ya chuma;nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofichwa za mahali pa siri,upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, Naam,Mungu wa Israeli
BABA PEKE YANGU NIMESHINDWA, NAOMBA UNITOE KWENYE GEREZA LA MAHUSIANO, LEGEZA NGUVU ZA WALIO-NIFUNGA, FUNGUA MALANGO YANGU YA MAHUSIANO, VUNJA VUNJA MILANGO YA SHABA NILIPO FUNGIWA, NIVUSHE HILI ENEO IN JESUS MIGHTY NAME I PRAY! ( ADD YOUR TOUCHES, POUR ALL YOUR SPIRIT )
Mwanzo 26:12
Mwaka huo lsaka alipanda mbegu katika nchi ile, akavuna mara mia zaidi, maana Mwenyezi-Mungu alimbariki
Genesis 26:12
12 Isaac planted crops in that land and the same year reaped a hundred fold, because the Lord blessed him.
BABA ISAC ALIPANDA MWAKA ULE NA AKAVUNA MWAKA ULE-ULE MARA 100 YA ALICHOPANDA SABABU MUNGU ULIMBARIKI NA MIMI KWA IMANI KUU NAPANDA MBEGU ( KAMA UNA WIWA NDANI YAKO) KWA HABARI ZA MAHUSIANO YANGU KUFIKIA HATMA YA NDOA, NIBARIKI NA NIJALIE NA MIMI NIVUNE MWAKA HUU-HUU KAMA MTUMISHI WAKO ISAC, BY THIS TIME NEXT YEAR NIWE KWENYE NDOA YANGU IN JESUS MIGHTY NAME IPRAY
Hapo kwenye mbegu ni wewe na Mungu wako sasa, Kama unayo ya kumpendeza Mungu unaipanda Mara moja na kuimwagilia kwa kumkumbusha Mungu uaminifu wako wa kupanda, Kama huna unapanda kidogo kidogo kila mwezi au ukijaliwa!.
Muhimu ni UAMINI KATIKA IBADA YA MBEGU NA MUNGU KUIOTESHA MBEGU YAKO, MAFUNDISHO YA MBEGU YAPO POST ZA CHINI KWENYE SADAKA INAYOLETA MATOKEO! ITAFUTE KWA MUDA WAKO UELEWE NDIYO UPANDE.
KAMA UNAONA MBEGU WANAFAIDI WATUMISHI, HALI YENYEWE NGUMU KAMA NINI,IT IS OKAY! SIMAMA NA PRAYER POINT NNE(4) SIO KESI, LAKINI USIMWAGILIE MANENO MATUPU, ISAKA ALIPANDA WEWE UMEAMUA KULA MBEGU, MKULIMA KALA MBEGU ANATAKA KUTU-UA NJAA, Huyu Muumini au Mwijuma mbona kama simuelewi elewi na Huu wimbo Wake, Anatutaka nini watumishi?
MPENDWA KIKUBWA MIMI NA MOYO WAKO CHA KWANZA UKIAMKA NA KABLA YA KULALA KILA SIKU, OMBA KWA MOYO NA IMANI NA MATUMAINI MAKUBWA, NDANI YA MUDA MFUPI UTAONA DRASTIC CHANGES KWENYE ENEO LAKO LA MAHUSIANO!, UTAONA HATUA KUBWA NA UKIKAZA MATOKEO KAMILI!
UKISHAPIGA VITU VYAKO HIVI ASUBUHI UKATOKA UTAANZA KUONA UWEPO WA MUNGU UNAONGEZEKA KWA KASI SANA NDANI YAKO, UKAPIGA NA USIKU NDIO DOUBLE DOSE YENYEWE! NA KAMA UNA AKILI NYEPESI UNAWEZA KU-CREMU UKAWA UNA MEDITATE PRAYER POINTS ZAKO MUDA WOTE KIBISHI.
1 Jabez aliomba mambo manne (4) na akajibiwa yote., 2 Efataaaa! maana yake Fungukaaa!, 3. Direction ! Mmehangaika vya kutosha nendeni kaskazini, 4. Nitakwenda mbele yako na kupazawazisha palipo-inuka, nitavunjavunja malango ya shaba, nitakupa hazina za gizani ujue Mimi ndimi Mungu wako., 5 lsaka alipanda mbegu mwaka ule na mwaka ule-ule Mungu alimbariki akavuna Mara 100.
UKIWEKA HIi FRAME WORK KWA KICHWA UNA KWAMAJE ?? , KULIJAZA NYAMA NA KUMEDITATE KWA KU-CUSTOMISE KUMUOMBA MUNGU AKUJENGE KA KITU KWENYE MAHUSIANO YAKO?, HOW EASIER CAN IT GET???, There are days hita-jisikia kulisikia Jina la Mungu acha la Jabez wala lsaka!, ALUTA CONTINUAA! THE WAR MUST GO ON .