Mpedwa kwa umri wako kama kuna sadaka ambayo inabidi uitoe lakini mpaka uambiwe, au kubembelewa au kupigiwa kelele hiyo sio sadaka BALI NI BAKSHISHI YETU AFTER LONG EXTORTION AND BLACK MAIL BY MEANS OF HEAVY BIBLICAL REFERENCED SCRIPTURES BY ORDAINED MEN OF GOD.
NILITOA SADAKA LAKINI HAIJAJIBU, JE ULITOA WILLINGLY AU ULITAPELIWA YAANI MPAKA WATUMIE EXTORTION KWANI IMEANDIKWA UKITOA UNAMKOPESHA MUNGU.
MPENDWA YAANI MPAKA WATUMIE BLACK MAIL, NDUGU IBRAHIM ALITOA MTOTO ,LAKINI WEWE HUTOI KITU UNAMCHUKULIAJE MUNGU!
KITU ANAKUFUNDISHA MTU MWINGINE SADAKA UNAMTUNUKU MTU MWINGINE AMBAYE KlKOMBE KIMEFURIKA NA HANA MUDA NA WEWE!, SADAKA YAKO YA NGAMIA KWAKE NI KAMA TONE LA NDIMU KWENYE KIWANDA CHA KORIE!, WAKATI MTUMISHI MWINGINE AMEKONDA HATARI! YAANI UNAMKOMOA TU.
MPENDWA SADAKA INATAKIWA ITOKE NDANI YA MOYO WAKO! WEWE NDO UONE GOD DESERVES YOUR MONEY! YOU OFFER GOD ! NOT THE OTHER WAY ROUND! OFFERING!, MAANA YAKE UNAJITOLEA KUTOA SIO KUOMBWA AU KUBEMBELEZWA KUTOA.
Wengi hamjui thamani zenu,Wala hamjui thamani ya Mungu.To make it worse hamjui maandiko na sijui kwanini mna husisha suala kutoa na Pastor kifaidi, Mpendwa kuna kipindi Pastor alinunua Discovery niliapa hata sh.10/= yangu hatokula kwani haiwezekani mimi natembea kwa mguu na Pastor ana Discovery nne (4 ) tu , alafu! Mind you huduma hazilipi taxes kuingiza magari so that car was peanuts! na ilikuwa used from South Africa.
Mpendwa nilikuja kujipata kwa kuona SINA AKILI HATA MOJA!, Sasa kama Mungu hawezi kumpa Pastor Discovery how come mimi na muamini kwa mambo makubwa na mazitooo, Nilijiona hamnazo kabisa hivyo nilienda kumpa Pastor Million (1M) aweke mafuta na kujishauua vizuri na Discovery 4 yake, Lakini sikumwambia ya nini lakini.
Hivyo na mkewe anajishaua nalo hatari kama una moyo mdogo unaweza kuhama kanisa.
TALK IS ALWAYS CHEAP! SO PUT YOUR MONEY WHERE YOUR MOUTH IS!, Mungu sio mjinga hata kidogo! yaani kama hauna anajua kama unayo anajua, you can fool pastors but you can never fool God.
WATU MNATAKA MAMBO MAKUBWA SANA KUTOKA KWA MUNGU WAKATI HAMUWEZI KUFANYA VITU VIDOGO SANA KWA AJILI YA MUNGU!
MTU ANATAKA MUNGU AMPE KAZI YA MILLION NANE (8) WAKATI HIYO YA MILLION MBILI (2) HAWEZI KUTOA LAKI MBILI (2 ) TU AKABAKIA 1,800,000/= Tsh WALAU MIEZI MITATU CONSECUTIVE KWA MWAKA! HAWEZI!, YAANI MUNGU HANA THAMANI HIYO KWAKE!, LAKI MBILI (2) YOTE? THUBUTUU! YAANI AKITOA SANA NI 20,000/=TSH NAYO TENA ANALALAMIKA MUNGU MBONA HAIJA RUDI? MPENDWA UTACHEZEA UKIMYAAAA WA HATARI.
Kuna mtu alikuwa anataka watoto, akaniambia wamepanga kwenda India for IVF na hamna hamna ni 40 Million, Nikamwambia utoe tu sadaka Mungu akupe watoto, IVF sio ya kumtegemea mwanadamu, Nikawambia ni 40M kaitoe kwa yatima tena wako chini ya Kanisa la Roman usione kama mtu atafaidi jasho lako.
Huku na huku anasema hawezi kutoa 40M yote labda atoe laki mojaaaa! Hata kamalaki si pesa Million denithat was insulting God and me his servant nilimwambia kafanye tu IVF mwaego! Manake mtoto wa binadamu yupo worth 40M ila wa Mungu 100,000/=Tshs inamtosha kabisa.
Alifanya IVF na It was unsuccessful sio kwasababu ya mabishano yetu, the procedures are bloody expensive and un-reliable! Inataka uwe na pesa haswa maana unaweza fanya hamna hamna hata tatu (3), Na isipoingia 40M shwaa! Huna wa kulia naeee!, wanakwambia ukiwa 40M nyingine njoo tenaaa.
SASA ANGEMPA MUNGU 40M, SINI BORA KUMDAI MUNGU MAANA SIO MWANADAMU ASEME UONGO! ILA WEWE UNA MUAMINI MUHINDI NA 40M AKUPE MTOTO UNA MUACHA MUNGU YAANI HUNA JIPYA LA KUSHANGAA KILICHOTOKEAA? HATA KAMA KU-BET UKI-BET KWA MUHINDI LAZIMA ULIWE!. DEAL NYINGI SANA ZA SADAKA HAZIPITI KWA MUNGU SABABU NI ZA KIWAKI! HAMPO SERIOUS!.
Mwaka jana kuna binti alitaka kwenda USA, ashinde Green Card!, IT WAS A LONG SHOT! lakini aliweka nadhiri kwamba akifika atatoa 10 million Tsh, Mi mjumbe, Siuwawi na upande wowote.
Alishinda green card yuko USA! na Kazi kashapata!, Na aliitoa ile nadhiri!,Ndiye alinistiri kwenye Charity za December na ni mtu anatoa Sana, Anaomba Mungu ampe Mume huko huko kwa sababu ni mtu ashamsoma Mungu na amejua kwenda naye anavyotaka na inavyotakiwa kwenda nae!.
Kuna mwingine juzi anataka kwenda Canada! Katika maombi yake Katoa pungufu ya 20k, Nikaona sababu ni binti ndo alicho jaaliwa!, Nimetaja figure mjifunze kitu! Na mvuke!
Katika Story akasema kuna mtu ndo anamfanyia Connection za kwenda, anatakiwa kumpa 5 milion Tsh! Ambayo anayooo! Only anasitaaa kuitoaaa!,kwa-hiyo dalali is worth 5 million na Mungu ambaye ndo overall wa his safari amepewa worth 20,000/=Tshs yaani Hata kama wewe ndio Mungu!.
Kwenye Safari hii huyu Binti mategemeo na imani yake ipo kwa nani? Kwa Dalali au kwa Mungu ? yaani kwa dalali 99.9 %, IMANI YOTE NA RESOURCES ZOTE KAWEKA KWA MWANADAMU MWENZIYE! NA HAYA SIKU ZOTE NDO MAMBO YENUUUU!
Maana halisi ya sadaka ni WEWE KUMTOLEA MUNGU KWA HIARI YAKO BILA KULAMBWA LAMBWA WALA KUSHURUTISHWA NA MTU YOYOTE AWE MTUMISHI AU MTOA SHUHUDA!.
NI WEWE KUJIKAGUA NDANI YAKO KUSIKIA MSUKUMO WA KUPELEKA CHOCHOTE KITU MBELE ZA MUNGU WAKO KAMA MWANAE AMBAE UNAJUA THAMAN IYA BABA YAKO ALIYE JUU, NA THAMAN IYA NYUMBA ZAKE ZA HUDUMA.
UKITOA KWA MOYO HUU UTAONA NGUVU YA SADAKA ZAKO!, HUHITAJI SABABU KWANINI UTOE, HUITAJI KUJUA UKISHATOA INAENDA WAPI ? KUFANYA NINI?, NITAHAKI KISHA VIPI? UKISHAANZA UFUKUNYUKU HUJATOA SADAKA UMETOA MSAADA UNA HAKIKISHA WALENGWA WAMEFIKIWA?.
SADAKA ZA KWELI NI NGUZO YA IBADA SIO HIZI BLACKMAIL NA EXTORTION!, SADAKA AMBAYO WEWE UMESIKIA MSUKUMO NDANI YAKO KUTOA KWA HIARI YAKO TENA UKITOA KWA AMANI NA FURAHA ZOTE! KWA KUWA UNA UHAKIKA NA MUNGU UNAE MTOLEA.
KWA NATURE YA DELIVERANCE SIO ENEO UTAVUKA NA SADAKA MOJA AU MBILI (2) INATAKA MFULULIZO WA IBADA NA SADAKA ZA KUTOSHA!
BLACKMAIL AND EXTORTION KWENYE DINI ZETU MIGHT NOT BE GODLY BUT IT’S PERFECT LEGAL KUTUMIKA TOA, NDUGU TOA ULICHO NACHO BWANA ANAKUONA MPAKA MOYONI MWAKO!.
PICHA LINAANZA YESU ANAL PISHWA ZAKA HATA KAMA NI MGENI DUNIANI ZAKA NIZAKAAA!, ANAITOA ZAKA KWENYE MDOMO WA SAMAKI NA ANALIPA YAKE NA PETRO!
UNFORTUNATELY SADAKA YA DELIVERANCE HAITAKIWI KUWA YA KONA KONA!, SABABU ANAYE-FUNGUA VIFUNGO NI MUNGU NA KWENYE SADAKA MUNGU HANA KONA, MIMI SITAKI YAKUKUTE MAMBO YA CAIN! MUNGU AKIKATAA SADAKA NI HAPO HAPO TU!, HANA KONA KONA NA AKIKUBALI NI WEEK HIO HIO UNAONA MATOKEO SIKU 30 ZOTE ZA KAZI GANI ?
KWA MANTIKl HIYO SADAKA YANGU MAPEMA SANAA NAITOA JUMATANO HIO HIO KABLA SIJA INAJISI BUREEEE!, SIKU 30 NYINGI NA SHETANINI MUONGOOO BALAAA! UNAWEZA KUJIKUTA SIKU YA 13 UNAJIKOPESHA SADAKA UZUNGUSHE KIDOGO !, UMEENDA NA MAJI!
NA NIKIFANYA EXTORTION NA BLACKMAIL MTOE SADAKA ZOTE ZITAKATALIWA! BORA NIWAACHE MJIPOZE NA PESPSI MWAYA!