WAPENDWA MKAJUA VALENTINE MONTH NITAKUJA MSWEET-SWEET, KULA CHUMA HIKO! ATLEAST I SPOKE ABOUT MALAVIDA! ,SI ETI WANANGU!
1 Kor 13:4-8
Upendo huvumilia, hufadhili, upendo hauhusudu, upendo hautakabari, haujivuni, haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, hauoniuchungu, hauhesabu mabaya, haufurahiI udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli, huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote.Upendo haupungui neno wakati wo wote, bali ukiwapo unabii utabatilika, zikiwapo lugha, zitakoma, yakiwapo maarifa, yatabatilika.
IT’S SUCH A PITY APPOSTLE, PAUL NEVER MARRIED, HE WAS SO ROMANTIC, JIULIZE UNA MPENDA MWENZIO AU NDIYO MATAPELI WAWILI MMEKUTANA ?, WAPI HAPO IME ANDIKWA UPENDO NI KUMCHUNA MWENZIO MPAKA MIFUPA?, WAPI IMEANDIKWA KAMA UNA MPENDA UTAMPA KIPOCHI MANYOYA ?
WANAWAKE WA SASA NA WANAUME MMEKUTANA PIPA NA MFUNIKO!, ZAMANI KWA SISI WA PWANI UNACHEZWA! UKIKAA NDANI KUTOLEWA USUNGO UNAKUTANA NA WATU WAZIMA, WAMEKULA CHUMVI NYINGI KWELI-KWELI WAKIKWAMBIA MAMBO YANA NASA KICHWANI!
MPENDWA UNAFUNDISHWA UPENDO, KWAMBA WAZAZI WA MWANAUME NI WAZAZI WAKO, UKIENDA KWA MUMEO KACHONGE KITI NA MEZA UKI-UCHONGA MDOMO UTARUDI NA JENEZA, MUMEO SIO MKAMILIFU ILA PANAPO PWAYA JAZIA UPENDO NA MVUMILIE, MWANAUME ANA EGO WEWE SHUKA CHINI.AIDHA, WANAUME NAO JANDONI WALI ELEKEZWA MWANAMKE MPUUZI ILA KOMAA NAYE, AKIKOSEA MHONGE HONGE TU VIKANGA ATATULIA.
SASA KAJA MZUNGU NA MELI ZAKE NA UTAMADUNI WAKE MILA ZETU TUPA KULE, TIMES HAVE CHANGED, MZUNGU KATULEA UTAMADUNI WAKE UMEKUJA NA MAJAHAZI WANAUME NA WANAWAKE SAWA SAWAA, TENA MWANAUME AKIZUBAA WEWE KUWA MWANAUME KWENYE HAYO MAHUSIANO, KAMA VIPI UKIVURUGIKA SANA KUWA THEY NA THEM KWANI SH NGAPI? JESUS!, MZUNGU MPUUZI!.
MATOKEO YAKE WATOTO WOTE MISUNGO, ALL THEY WANNA LEARN IS SEX, SEX! AND MORE SEX! VALUES AND MORALS AKHAA! “NIFUNDISHE KUMKATIKIAA BWANAAA” MSUNGO MKUBWA WEWEE!; MATOKEO YAKE UMALAYA NA UZINZI UMETARADADI NA MAHUSIANO THABITI YAME-ADIMIKA KWELI KWELI, MSUNGO WA KIKE UKUTANE NA MWANAUME MSUNGO HAMUWEZI KUFIKA POPOTE , MBWA KALA MBWA.
MZUNGU MWENYEWE AMONG MABALA YAKE ALIYO-YALETA AKASEMA KABISA MKIONA MNACHANGANYIKIWA SANA KUNA DINI HII HAPA YA MAYAHUDI IMETOKA MASHARIKI YA MBALI ITAWASAIDIA MSICHIZIKE.
LAKINI BORA ANGETANGULIZA DINI ALAFU NDO AMOMONYOE MAADILI, KAMOMONYOA MAADILI ALAFU NDIYO ANAJARIBU KUWAPA WATU PANADOL YA DINI, MATOKEO YAKE MISUNGO ILIYOSHINDIKANA MTAANI NDIYO INAKUJA KANISANI, KUPITA NA PASTOR SIO SHIDA ZAO, KASHA-MALIZA MTAA NINI PASTOR ? ANAFYEKA PASTOR, NDUGU ZAKE MPAKA DEACONS! HAACHI KITU, NDIYO ILE NEARER TO THE CHURCH FURTHER FROM GOD!
VIJANA WA SAHIVI ALL YOU KNOW ABOUT IS SEX! YOU HAVE NOTHING TO OFFER ON THE TABLE OTHER THAN SEX, NDIYO MAANA HATA NDOA ZENU ZA MCHONGO HAZIDUMU, MIAKA MITANO (5) MINGI MSHANYANDUANA NA MSHACHOKANA, THE THING ABOUT SEX IS IT HAS DIMINISHING MARGINAL UTILITY AU DIMINISHING RETURNS, KWAMBA KADRI UNAVYOFANYA NA MTU NDIYO UNAVYOZIDI KUMCHOKA NA KUMKINAI NDIYO MAANA WANAUME WANA CHEAT SANA HATA WANAWAKE, MNAISHI DOUBLE LIFE. YAANI THE ONLY LINK YOU HAD IS SEX NA UNFORTUNATELY MME KINAI.
WATU WENGI HAWANA MAHUSIANO REAL LIKE REAL PEOPLE, WANA SEX PARTNERS! KUKUTANA KWAO NI KUPELEKEANA MOTO ALAFU BASI, SASA ARRANGEMENT KAMA HIZI HATA MKIFUNGA NDOA HAZIWEZI KUDUMU LABDA KWA UCHAWI WA MALIBWATA, VILE MMOJA AMFANYE MWENYEWE ZEZETA NDIYO ANGALAU ITADUMU SABABU MMOJA IS NOT OF SOUND MIND!
WATU WENGI WANAKUJA KWANGU KWA MOYO KABISA TUZI OMBEE HIZI SEX PARTNERSHIP ZI-MATURE KUWA NDOA TAKATIFU, WHO ARE WE KIDDING ? ZINAWEZA KUWA NDOA ILA SIO TAKATIFU LABDA NDOA YA MCHONGO, AMBAYO INA 5-10 YEARS ITAKUACHA DIVORCED WITH COUPLE OF KIDS!
WANAUME THEY ARE ALWAYS IN THESE ARRANGEMENTS FOR PLEASURE, WANAWAKE FOR THE MONEY, SHIDA INAANZA SIKU PESA IKIKATIKA KWA MWANAUME MWANAMKE AANZA KUONA MBONA KAMA NAKOPWA KIJINGA HATA KAMA KWENYE NDOA, KWA MWANAUME SHIDA INAANZA HUJAFA HUJAUMBIKA, UMEZAAA WATOTO ENGINE IMESHUKA UBORA LABOR WAMESHONA SHONA KWA KULIPUA, HELA YA VAGINAL PLASTY HUNA DADA JAMBO SI JAMBO!, TUMBO ZIMEKUWA SITA (6) MWILINI YOU ARE NO LONGER IDEAL FOR SEX PARTNERSHIP!
INSHORT FANYA UNAVYOFANYA HIZI SEX PARTNERSHIP WERE NOT MEAN’T TO LAST AND THEY NEVER LAST! NI SUALA LA MDA TU; WANANGU WENGI WANATAKA NDOA ILA NDIYO MISUNGO ALAFU HAWAJIJUI KAMA MISUNGO, ANAKUULIZA MAMA MIMI NINA KASORO GANI ? MWANANGU KIMWILI UME KAMILIKA ILA SOMETHING IS NOT OKAY IN YOUR HEAD! KUNA FUSE HAZIPOOO SAWA.
WENGI NIA WANAYO NA JUHUDI WANAWEKA ILA USUNGO NA KUTOKUELEWA UPENDO NI NINI KWA MUME NA UNATAKIWA UWAJEE INA WACOST VERY GOOD POTENTIAL MEN, WANAUME SAHIHI KABISA ILA NDIYO MSUNGO TENA ATALETA MAMBO YA AJABU AJABU MPAKA YULE KAKA ATANYOOSHA MlKONO JUU, HAWAMSIKILIZI MTU PAUL WALA MTU WOWOTE! BANGI ZAO ZITAKAVYO WATUMA NDO HIVYO-HIVYO!
KIPINDI NAFANYA WAKULUNGWA, MTU ANA MIAKA (38) ALIPATA MTU MPAKA WANASALI PAMOJA, NA AKAMWMABIA MWAKA ULE HAUTA ISHA ATAENDA KWAO, MWANAUME NDIYO KASEMA NO SEX! IMAGINEE! ALIVYO MSUNGO ALITOKA NA RAFIKI ZAKE BILA KUMUAGA YULE KAKA WAMEENDA EXPENSIVE HOTEL! NYIE TENA KWA DRAMA.
KAKA KAPIGA SIMUUU AKAWA KANUNA LIKE ALIHISI KAENDA NA SPONYOO! NA MWANAMKE HAKU OFFER KU-EXPLAIN WALA KU CLARIFY, SHE WAS LIKE HE CAN’T CONTROL ME, NI CONTROL FREAK! IWANT MY FREEDOM, NYE NYE NYE NYE! NA JUST LIKE THAT SHE LOST THAT GOOD MAN! AND SHE EXPECTED ME TO UNDERSTAND! HOLY CRAP!, UKIWA MSUNGO A.K.A SEX PARTNER HATA UKIPATA BAHATI YA MTENDE KUOTA JANGWANI HUTOBAHATIKA! UTAJIHARIBIA TUUU.
BORA HUYO ALIKULA GOODTIME! WENGINE ANAPATA MTU LAKINI ZIKI-IBUKA CHANGAMOTO NDOGO NDOGO SANA, HAMTAKI TENA ANATAKA AOMBE MTU SAHIHI MPYAAA ! HUKO MBINGUNI WAMEJAA WATU SAHIHI WA KUPEWA YEYE TU, FOLLEIN NI NDEFU YOU SNOOZE YOU LOSE!
ONE TIME ANA APIA MPAKA MBINGU YA SABA(7) KWAMBA KARIDHIKA NA KAMPENDA NA YUPO TAYARI KWA NDOA NA HUYO MTU NA SHUKARANI NAKULAGA MWENZENU SIO HABA, THE SECOND MINUTE ZIKIIBUKA CHANGAMOTO NDOGO MNO LIKE A GUY GHOSTING YOU FOR A WEEK OR TWO(2), UNA MWAMBIA LETS PRAY FOR DIRECTIONS AND CLOSURE! HATAKII!, MSUNGO KAMA MSUNGO TENAAA! SIWEZI KUMTAFUTA KAMA HANITAKI BASI DIGNITY YANGU ITAKUWA WAPI? MUDA UNATOA KIPOCHI MANYOYA DIGNITY WAS NOT AN ISSUE, KUPIGA SIMU NDIYO DIGNITY CARD INA SWII!; MPAKA UNAJIULIZA HUUU MSUNGO WANGU ULIMPENDA KWELI HUYU MTOTO WA MAMA MKWE JAPO KIDOGO? SIDHANI.
POWER GAMES MNAZIPENDA HATARI WATOTO WA KIKE WA SASA, ALAFU MNACHO NICHOSHA HIZI POWER GAMES HAMZITUMII KUKATALIA KIPOCHI MANYOYA, MNA LIWAA HOVYO HOVYO BILA MASLAHI ALAFU MKISHALIWA NDIYO MNATAKA KULETA POWER GAMES, WEWE MZIGO KASHAULA SI POWER VOTE IPO KWAKE, KISHA KURAMBA HIKO!, UKITIKISA KIBERITI UNAKUTA KIMEJAA TOP-TOP!
MUNGU ANAWEZA KUKUPA MTU VIZURI ILA SHARTI UMPENDE AS IN KIPIMO CHA MAANDIKO YA MTUME PAUL JUU YA UPENDO! ANYTHING SHORT OF THAT ANAMUONDOA YULE MTU NA KUMPA ATAKAYE MPENDA NA ONLY THEN NDIYO NDOA YAO ITAKUWA TAKATIFU NA ITADUMU!
1Kor 13:4-8
Upendo huvumilia, hufadhili, upendo hauhusudu, upendo hautakabari, haujivuni, haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, hauoni uchungu, hauhesabu mabaya, haufurahii udhalimu,bali hufurahi pamoja na kweli, huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wowote, bali ukiwapo unabii utabatilika, zikiwapo lugha, zitakoma, yakiwapo maarifa, yatabatilika.
MSICHO MUELEWA MTUME PAUL NI KIPII? KWANINI MNAJIZIMA DATA ? YOU WISH USINGE KUTANA NA HILI ANDIKO, TOO LATE! KULA CHUMA HIKO., UPENDO HUVUMILIA SO HATA KAMA MWENZIO MAISHA SIO KIVILE KWA SASA VUMILIA MTOTO WA KIKE,UNAMKATAAA SASA AKIJA KUTOKA KlMAISHA UNAJUTIA KUCHEZEA BAHATI! UPENDO HUFADHILI, HUJASOMA VIBAYAYA NDO HUFADHILI PESA, MAWAZO, FARAJA NA KUMUINUA MWENZIO, SIO KUMKANYAGIA CHINI.
HAUKOSI KUWA NA ADABU, UNDER NO CIRCUMSTANCES, USIPANIC NA KUJIKUTA YOU SAY THINGS WHICH YOU CAN’T TAKE BACK NA INAKUWA DEAL BREAKER, YOU PUT FIRES WHICH YOU CAN PUT OUT NOR BUILD WALLS YOU CAN’T CLIMB.
UPENDO HAUTAFUTI MAMBO YAKE, UKIMCHUNGUZA BATA HUTO MLA EVERY SAINT HAS A PAST AND EVERY SINNER HAS A FUTURE, ACKGROUND CHECK ZITA KUGHARIMU BEING JUDGEMENTAL WON’T DO YOU GOOD EITHER, GIVE PEOPLE A CHANCE TO CHANGE!
UPENDO HAUONI UCHUNGU, KUKOSEWA SAWA ULIKOSEWA, SASA USHA OMBWA MSAMAHA! SO WHAT? LIFE MUST GO ON! UKIJIFANYA UNA UCHUNGU SANAA ITAKUWA SIO RIZIKI YAKO, CHA KUZINGATIA MSAMAHA NI GENUINE AU NI ATTEMPT YA KUKU-FOOL AGAIN? KAMA GENUINE SAMEHE
UPENDO HAU-HESABU MABAYA! SABABU KWANZA THERE IS NO POINT, AS LONG AS NI MWANADAMU SIO MKAMILIFU NA DHAIFU NDIYO KWANZA KUMEKUCHA, BADO MAKOSA YA KWENYE NDOA! UKIANZA KUHESABU NUNUA COUNTER AU FUNGUA EXCEL SHEET FOR PROPER RECORDING.
UPENDO HAUFURAHI UDHALIMU UDHALIMU WA WEWE MTU MZIMA NA VIUNGO VYOTE HUTAKI-KUFANYA KAZI NA ELIMU UNAYO UMCHUNE MWENZIO MPAKA MIFUPA DHALIMU MKUBWA WEWE, KAZI YA KUPIGA VIBOMU TU, SIO UPENDO HUO WAKO NI UNYONYAJI, MWANAUME LAZIMA AKUTUNZEEE! KARNE HII? YAANI KIZAZI HIKI CHA GEN Z? FANYA KAZI DADA MAMBO YA HAKI SAWA KWA WOTE.
UPENDO HUVUMILIA YOTE, MSIJIFANYISHE HIO YOTE HAMJAIONA AU HAMUIELEWI ELEWI, YOTE KIVIPI? HVYO HIVYO MTAJUA HAMJUI, HUVUMILIA YOTE KWA LENGO LA KUMPENDEZA MUNGU LAKINI SIO YOTE YA UPUUZI WENU KUPELEKANA KWA MPALANGE! HUVUMILIA YOTE KATIKA KUHAKIKISHA MNAMPENDEZA MUNGU! KAMA KUKOSA IPHONE 16 NA WASTAAFU WANA JICHANGANYA KWAKO DAILY, SHOW YAKO MOJA NA KIZEEE IPHONE 16 UMEIMILIKI LAKINI HUPIGI UNAKOMAA NA TECNO WEREVA.
UPENDO HUSTAHIMILI YOTE SOMTIMES WANAUME WANAKUWA KAMA WANA PEPO MAMBO YAO KAMA WACHAWI HAWA ELEWEKI FOR WEEKS SOMETIMES MONTH, UNATAKIWA KU-STAHIMILI KUFANYWA KUBWA JINGA HUO MUDA, THEY USUALLY COME ARROUND AND YOU EARN THEIR RESPECT, HATA KWA SISI WATOTO WA NDANI YA NDOA KUNA MUDA MZEE ANAKUWA GAIDI LAKINI MAMA ANAJIFANYA KUBWA JINGA LETING HIM LOSE AND CUTTING HIM SOME SLACK NA UPEPO MBAYA UNAPITA NA AKIRUDI PENZI LINAKUWA STRONG ZAIDI ANGE CALL TRUCE KWISHA HABARI YENU.
UPENDO HUTUMAINI YOTE SOMETIMES THINGS ARE NOT SO POSITIVE AND PEOPLE MAY NOT UNDERSTAND YOU OR YOUR PARTNER!, DON’T LOSE HOPE ON HIM, WEWE NDIYO UNA MPENDA NA UNA BOND NAE!, SISI WE WILL ALWAYS SAY IT AS IT IS! WE WILL CALL A SPADE A SPADE! BUT WEWE UPENDO UTAKUSAIDIA KUONA KILE AMBACHO SISI HATUONI JUU YAKE.
UPENDO HAUPUNGUI NENO WAKATI WOWOTE, UKIMPENDA MTU YOU WILL MAKE IT WORK, YOU WILL FIND A WAY TO ACCEPT MAPUNGUFU YAKE NA KUMKUBALI VILE ALIVYO! USIONE MAMA YAKO WAMEDUMU NA BABA UKAJUA MAMBO YALIKUWA VERE-VERE!, THERE WERE DARK RAINY DAYS, SHE FOUND A WAY TO STAY WITH HIM IN ALL DAYS, THE DEVIL DAYS AND THE ANGEL DAYS!.
UPENDO WA KWELI HAUPIMWI NA MUDA NDIYO MAANA MIMI NAWAHAKIKISHIA MWANAUME ANAYE KUACHA KWA KUMNYIMA PAPUCHI HAJAKUPENDA NA ALIKUWA SEX PARTNER TU, KAMA MTU KAKUPENDA KWELI KUKUNGOJA MFUNGE NDOA SIO SHIDA ZAKE, HATA HUJAFA HUJAUMBIKA KWA WENGINE KWAKE HUTAPUNGUA NENO LOLOTE, UWE NA PESA AU KAPUKU PENDO LA KWELI KWAKE LITAKUWA PALE PALE, HATA IPITE MIAKA MIA (100) ATAKUCHAGUA WEWE TENA NA TENA, NI KAMA MAMA ZETU, BABA ZETU NA UGAIDI WOOTE HAWANA BAYA MACHONI PAO, KAJA MZUNGU NA SERA ZAKE KANISA LINATOA TALAKA KATOKA KAPA, WAKO NA BABA ZETU MPAKA WAWAUWEE.
MKIWA NA LUGHA MOJA YA UPENDO LUGHA NYINGINE ZOTE ZA SISI WAPAMBE NUKSI HAZITA WABABAISHA, MAARIFA YA KUWA ACHANISHA YATA BATILIKA HATA UJE MSHANGAZI NA PESAAA ZAKE MWANAUME BADO ATAKUCHAGUA WEWE OVER AND OVER! HATA LIJE SPONSOR TAJIRI MAPROSO UTACHAGUA KULA UGALI MCHICHA NA MWENZIO.
1 Corinthians 13:4-8
4 Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud. 5 It does not dis-honor others,it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs. 6 Love does not delight in evil but rejoices with the truth. 7 It always protects, always trusts, always hopes, always perseveres. 8 Love never fails. But where there are prophecies, they will cease; where there are tongues, they will be stilled; where there is knowledge, it will pass away.