MAANDIKO NI MATAMU MDOMONI LAKINI UTEKELEZAJI WAKE UNA UMA HASWAAA HASWAAA

Ezekiel 3:3

3 And he said to me, “Son of man, feed your belly with this scroll that I give you and fill your stomach with it!” Then I ate it, and it was in my mouth as sweet as honey.

Revelation 10:9–10

9 So I went to the angel and told him to give me the little scroll. And he said to me, “Take and eat it; it will make your stomach bitter, but in your mouth it will be sweet as honey.”
10 And I took the little scroll from the hand of the angel and ate it. It was sweet as honey in my mouth, but when I had eaten it my stomach was made bitter.

NENO LA MUNGU NI TAMUUU HASAAA! PALE UNAPOSIKIA HAKUNA ALIE JUU YAKE! VEVE NI MUNGU WA WOTE WENYE MllLI — JE KUNA JAMBO GUMU LOLOTE ASILO LIWEZA? NOTHING IS IMPOSSIBLE TO GOD!

BWANA BWANA NENO LA MUNGU MDOMONI TAMUUU!
NA MASIKIONI NDO KABISAAA.

NABII YOHANA KWENYE UFUNUO ANA SEMA:
LILIPOFIKA TUMBONI NENO LIKAGEUKA CHUNGU MNOOO MNOOOO!

NA KWA WENGI WETU WEMBE NI HUU HUU!
UKISIKIA NENO NI TAMUUU BALAAA!
UKIANZA KULlSHI NA KUWEKA UZANI WAKE KWENYE MAISHA YAKO NDO UTAJUA YOHANA MTUME NA NABII ALIMAANISHA NINI NENO KUWA CHUNGU KULiKO SIFONGO.

KWA WATU WA MUNGU KWELI TUNA UHAKIKA MUNGU ATAFANYA KITU LAZIMAAA! LAZIMAAAA!
ANAACHAJEEE KWENYE MFANO?
WE KNOW FOR A FACT IT IS COMING!
WE SEE VISIONS, WE GET WORD OF WISDOM, WE HEAR PROPHECY.

UCHUNGU WA MAANDIKO TUNAULA SASA HIVI — HUU MDAAA WA KUSUBIRIA.
ALAAAAASSS!
ASIKWAMBIE MTUUU!
MAANDIKO YANA UMAAAA KWELI KWELIIII!
APOSTLE AND PROPHET JOHN DIDN’T LIE IN HIS REVELATIONS! NOT ONE BEAT!

KUNA MDA MPAKA UNAJUUTA SIKU ULIOAMUA KUFAKAMIA MAANDIKO KAMA KESHO HAKUNAAAA!
IT’S TOO LATE!
NA MAUMIVU YAKE HAYAPOI KWA GANZI — YANAPOA KWA MUNGU KUTENDA BAAAAASSSS.

IT HAPPENS KWA KILA MTU!
HASA PALE ANDIKO UNALIJUAAA KABISAA NA UNAJUA NINI KINATAKIWA KITOKEEEE
AND YOU CAN BET YOUR LIFE ON IT
NA HAKITOKEI HIVOOO ???!

KUACHA DINI HUWEZI SABABU YOU ALREADY KNOW TOO MUCH TO RETURN PAGAN!
YOU KNOW TOO LITTLE TO PROCEED FURTHER IN THE DARK FOREST.
YOU ARE TOO FRUSTRATED KUBAKIA KAMA ULIVOO!
ACHA TUUU!

MWENYEWE NILi WAAHI DI WATU MAMBO MENGI TU,
LAKINI AFTER EVERYTHING NIPO NAUGULIA MAANDIKO.
SINA NGUVU YA KWA KWELI!
NIMEISHIWA POWER!

Genesis 50:19–23

Joseph replied, “Don’t be afraid. Do I act for God? Don’t you see, you planned evil against me but God used those same plans for my good, as you see all around you right now — life for many people. Easy now, you have nothing to fear; I’ll take care of you and your children.”

He reassured them, speaking with them heart-to-heart.

Joseph continued to live in Egypt with his father’s family. Joseph lived 110 years. He lived to see Ephraim’s sons into the third generation. The sons of Makir, Manasseh’s son, were also recognized as Joseph’s.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top