LOOKING ON TO JESUS (SUNDAY WORD)

 

Hebrews 12:2

Looking unto Jesus the author and finisher of our faith; who for the joy that was set before him endured the cross, despisingthe shame, and is set down at the right hand of the throne of God.

Hii mada nimejaribu kui-hubiri si chini ya mara  tatu (3) naishia njiani, Mpaka leo ndio nimepata revelations za kuweza kuimaliza na kuihubiri nyinyi mkanielewa kwa level yenu inayo-gusa maisha yenu.

Kuna UTATA kama ni Mtume Paul au asiejulikana ndio alia-ndika huu waraka lakini tuzingatie ujumbe wa Muandishi, ANASISITIZA TUMU-ANGALIE YESU, KAMA MUANZILISHI NA MMALIZAJI WA IMANI YETU, SASA ISSUE INAKUJA TUANGALIE NINI? NA TUANGALIE MUDA GANI HILO SUALA ?

Tunatakiwa tuangalie MAISHA YOTE YA YESU, ITIKADI ZAKE, MISIMAMO YAKE, NA KILA KITU ALICHOFANYA DUNIANI  na kumtumia kama ROLE MODEL wetu, KWENYE KILA SWALA UNALOTAKA KUFANYA USINGALIE AKILI YAKO INATAKA UFANYAJE ANGALIA YESU ANGEFANYA NINI? AU BWANA YESU ANATAKA UFANYE NINI?

Issue ya Muda gani YESU awe Role model wako?, MUDA WOTE WA MAISHA YAKO, SEHEMU ZOTE. Mwanzo unaweza kuona ni kitu kigumu na hakiwezekani, Lakini ukianza huu utaratibu PRACTICALY utakuja kunishukuru.

Mimi pia mwanzo I had lots of doubts and concerns, itikadi za Yesu ni kali-kali alafu Mwana wa MTU alikuwa KANYOOKA na kila wakati ana NYOOSHA tu, Nikasema hapa si nitabaakia kama KISIWA.

LAKINI LOOKING ON TO JESUS INA PANDE MBILI AMBAYO YA KWANZA NI WINING EFFORTLESS, MAANA YESU HAKUWAHI KUSHINDWA NA KUPISHANA NA WATU KIMTAZAMO, MPAKA MITUME WAKAMWAMBIA WE JUZI SI WALITAKA KUKUCHAPA HUKO ALAFU TWENDE TENA HUKO HUKO? TWENDENI TUKAFE.

Siwadanganyi LOOKING ON TO JESUS kwenye misimamo sometimes utawaelewa wanafunzi wake, Lakini kwenda walienda! Na wewe utaenda hivyo- hivyo, LAKINI KUNA THE GOOD SIDE OF LOOKING ON TO JESUS, LEO NITAKUWA CASE STUDY YENU!

LOOKING ON TO JESUS INA-ANZA  NA KUMPA YESU MAISHA YAKO NA KUKIRI KWAMBA NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO. Wapendwa Mimi sikuwa tayari kuokoka if we are being honest, Sababu kwanza niliona  mimi ni mkristo by birth na sakramenti zote nilipata, I was raised as a church goer. Not a believer but Church utaendaa tu and  I studied Bible Knowledge hivyo sikuona umuhimu wa wokovu sababu nili-hisi nimesha-okoka.

Kuokoka nilifanya kama ku FIT-IN, Sababu it was a traditional question, anywhere you go UME OKOKA ? And I lied everytime, Wapendwa shida ya Walokole ni moja ukisema SIJA-OKOKA,  Umeishaaa! Ni Kama wanasikia ukisema I’M VERY PAGAN, I HATE CHRIST, I HATE APOSTLES, I LOVE THE DEVIL AND I WILL NEVER REPENT, DON’T WASTE YOUR TIME ON ME.

Sasa nikaona ukweli utanigharimu, what will a tinny little lie affect, Sio kwa ubaya madai yangu! I’m just looking out for me. Raha ya wokovu haina CERTIFICATE ya ku-prove umempokea YESU kama bwana na MWOKOZI wa maisha yako! USO MKAVU, Nimeokoka mimi na kumpa Yesu Maisha yangu, Wapendwa hii password inafungua tu milango kwa WATUMISHI ILA SIO KWA MUNGU, Sababu ukweli wote anao, Kwa hamna wokovu ndaniyako wala hamna lolote!

Mtumishi ata decree vitu vikubwa vizuri na anajua Wewe na Yeye mpo wote Roho Moja katika Kristo, Kumbe hio Roho  Moja (1) ni yake na Wewe haupo, NOTHING EVER COMES TO PASS. Mtumishi anaumiza kichwa kwanini? Mimi sababu naijua, I am an imposture kwenye dini ya watu, Mipango ikawa ina haribikaaaa, Nikawaza sababu wokovu is not like a CULT! Kwamba once you join ndo no exit, Ni free entry and exit, Ngoja nika OKOKE kweli, Nikaenda kusema sala ya wokovu, wakaniambia ume okoka, Hamna kilicho badilika.

SABABU MIMI YULE YULE NDUMILA KUWILI, NIKO KWENYE MISSION IMPOSSIBLE YA KUZITUMIA MBINGU KUPELEKA MIPANGO YANGU MBELE, NOTHING MOVED! NIKAWA SINA UHAKIKA NIMEOKOKA AU SIJAOKOKA.

Nikaja sasa kuokoka mwenyewe, Serious! I am giving up the world to receive Salvation, ONCE YOU GIVE UP THE WORLD SALVATION IS EASY, UNAKUWA HUNA CHA KUFANYA NA MUDA UNAO TELE, NIKAANZA KUSOMA SASA MAANDIKO FOR UNDERSTANDING PURPOSES SIO KUSOMA KUZUGA AU ILI UMJIBU PASTOR ILE AKIKUPIMA IMANI.

NIKAFUNGUA MOYO WANGU SASA KUMSOMA NA KUMJUA HUYU YESU WA NAZARETH, Kama huyajui maisha ya YESU huwezi kuona logic ya KUMPOKEA, Ukimjua kiundani utamlilia aje maishani mwako, You will BEG day and night.

WAPENDWA SASA NITACHAMBUA VITU VICHACHE AMBAVYO MIMI VIMENISIAIDIA NA NAISHI NAVYO KWENYE HII DIMENSION YA LOOKING ON TO JESUS MPAKA KESHO MACHO NA AKILI ZANGU ZIPO FOCUSED ON JESUS SINA UJANJA.

WAPENDWA, KUOKOKA KUMENIFANYA NIWE MPYA KATIKA KRISTO, YA KALE YAMEPITA NA YAMEPITA HASA Zingatia ” BEHOLD THINGS ARE TO BECOME NEW”

2 Corinthians 5:17

17 Therefore if any man be in Christ, he is a new creature: old things are passed away; behold, all things are become new.

WAPENDWA KAMA HUJASOMA INJILI LAZIMA UTAJIULIZA KIVIPl?, INAWEZEKANAJE ? lakini Kama umesoma INJILI zote nne (4) unazo na tamba nazo, Automatically utasema tu AMINA.

Kama umesoma injili automatically utagundua YESU alizaliwa kwenye ZIZI LA NG’OMBE, We umezaliwa hospitali, Lakini Yesu pamoja na kuzaliwa sehemu LOCAL alimnyima raha Mfalme Herode kweli kweli since he was few hours old, Hii itoshe kukwambia ANA KITU HUYU YESU NA ATAKUFIKISHA MBALI.

YESU hakuwa mtabibu wala hakuwahi kukanyaga darasa la tiba, wala hakurithi mkoba ila ALIPONYA mpaka ukomaaa, Ububu, Mapooza nk. Maradhi yalikuwa yakomuona yanaondoka mwilini bila kuaga, YESU hakuwa mwana Zuoni wala Msomi lakini alifundisha na watu walimfata kusikia MORE and MORE, Wao ndiyo walimpa Cheo cha RABI yaani MWALIMU, Maana aliwafuta ujinga sio kidogo.

YESU hakuwa na jeshi wala eneo lenye mipaka rasmi lakini alikuwa MFALME mwenye Wafuasi wake ambao huwa-ambii kitu, MFALME WA MAYAHUDI, Mpaka wafalme wenyewe kina Herode na Ceaser wana shangaaa huyu mfalme wa ghafla-ghafla wa Mayahudi vipi, Mbona ghaflaaa sana?

UKISOMA INJILI UTAONA KILA ALICHOFANYA YESU KILIKUWA NJE YA BOX, HAMNA JAMBO LOLOTE ALILOFANYA IN THE ORDINARY, NDIYO MAANA NAWAAMBIA JESUS WAS A LOT OF THINGS, BUT NEVER BORING, NEVER! HE WAS FULL OF DRAMA AND SUSPENSE, YOU CAN’T HATE JESUS EVEN IF YOU WANT TO, ALIKUWA  NA MIKWARA  “WAKINYAMAZA NITA AMURU HAYA MAWE YAIMBEEE”, KUDADADEKI.

MPENDWA WAKATAKA KUMTUPA AKAPITA KATI-KATI YAO, WAS IT NECESSARY IWE KATI-KATI YAO? SI ANGEWA CHOROPOKA MAYBE, HELL TO THE NO, KAKATISHA KATI KATI YAO MNATAKAJE SASA ? ANIZUIE MTU AONE SHOW! “MWAMBIENI YULE MBWEHA”,  MFALME HERODE NDIO MBWEHA.

BAADA YA KUCHANA MIKEKA YOTE NA KUONESHA KWAMBA SHETANI NI MUONGO NA HANA JIPYA, MIFUMO YA  KIFALME NI UPUUZI MTUPU TENA HAWANA AKILI HATA MOJA, AGANO JIPYA NA MWACHIA MUNGU NDIYO KILA KITU,  ASIWATISHEEE MTU YOYOTE.

John 4:24

24 God is Spirit, and those who worship Him must worship in spirit and truth.”

MARADHI NIMEPONYA, MAPOOZA NIMETIBU, MFU NIMEMFUFUA, NENO NIMEFUNDISHA MWISHO WAME NIUA NA NIMEFUFUKA VILE-VILE, NA KUPAA JUU MBINGUNI, KAZI NIMEIFANYA NA NIME-IKAMILISHA, KWA MODEL HII YOYOTE ATAKAYE AMINI ANAWEZA KUOKOKA SABABU NJIA NA FRAME WORK NISHA WAWEKEA, NYIE NI KUPITA TU MULE MULE, NA MSAIDIZI NAWALETEA VILE-VILE, ASIYE OKOKA HATAKI TU, LAKINI RESOURCES ZOTE ZA KUJINASUA KWA YULE MWOVU ZIPO AT YOUR DISPOSAL.

UKIWA NDANI YA YESU MANAKE INJILI ZOTE NNE (4) UMEZIJUA NA KUZIAMINI, HILI NDIYO LITA KU-QUALIFY KAMA UPO NDANI YA YESU AU HAPANA, HAIWEZI YESU HUMJUI ALAFU UPO NDANI YAKE, KIVIPI SASA.

Ukiwa ndani ya YESU utafanyika mpya sababu UTAKUWA UMEJUA UKWELI WOTE, Kwamba kuna POWER OF GOD, Na shetani ana dhibitika, Ukizingatia KANUNI za maandiko USHINDI NI UHAKIKA. YOUR PAST WILL NO LONGER THREATEN YOU, THE FACT UMEZALIWA MASKINI BECOMES  NOTHING,  ABSOLUTELY NOTHING, Sawa nimezaliwa Tandale! Vipi YESU aliyezaliwa kwenye zizi la Ng’ombe ?, THROUGH CHRIST I HAVE BEEN MADE A NEW CREATION, Haijalishi nime ZALIWA wapi I can still access POWER OF GOD through Christ Jesus.

Umelala na watu wengi sana, Una Soul ties kama zotee sawa, I’M NEW CREATION IN CHRIST, FORMER THINGS HAVE PASSED,  JESUS FORGAVE SINS, HE HAS FORGIVEN ME AND HE LOVES ME AND IHAVE BEEN MADE NEW THROUGH  HIM, WEWE UKITAKA  KUNISAMBAZA NISAMBAZE ILA NAJUA NIMESAMEHEWA DHAMBI.

KWENU FUNGU LA KUKOSA, HAMNA ANAYE-OLEWA KWENYE UKO WENU, MAMA YENU MALAYA KAWAZA MALAYA MUENDELEZE KAZI YAKE!, I AM NEW CREATION IN CHRIST! FORMER THINGS HAVE PASSED AWAY, SITAFANYA KAZI ZA MAMA NA BIBI ZANGU.

Romans 7:6

6 But now, by dying to what once bound us, we have been released from the law so that we serve in the new way of the Spirit,and not in the old way of the written code.

Ukoo wenu hamshikagi pesa kabisa, Ni mwiko labda kwa msaada wa mganga, Jamani Mimi ambaye niko UNDER THE NEW LAW?, Thubutu PESA NITASHIKA NA ZITANIKUBALI, OLD WAY OF THE WRITTEN CODE KWANGU ISHA EXPIRE, NIMESIMIKA NEW RODER, NEW TESTAMENT, NEW LAW OF THE SPIRIT MPOO?

ONCE YOU KNOW THESE FACTS LOOKING ON TO JESUS IS EASY PEASE, MAANA YOU KNOW FOR A FACT YESU NDIYO ALIKUWA MKALI WA HIZI KAZI NA MKALI KWELI KWELI, HANA FLOP HATA MOJA. SASA KAMA HUJASOMA INJILI NA HUJUI KAZI YA YESU KWA KINA NA UWEZA WAKE NA UTUKUFU WAKE KUMFATA NI NGUMU SANA, UTAKUWA UNAISHI KWA MASHAKA SANA.

LAKINI KAMA UNAJUA SHOW ZAKE UNAJUA UPO UPANDE SALAMA, USHINDI NI LAZIMA KAFANYA MAKUBWA MANGAPI , LIWE LAKO DOGO HILO ?

1 Corinthians 15:57

57 But thanks be to God, which giveth us the victory through our Lord Jesus Christ.

YESU ASISHINDWE AKIWA DUNIANI NDIYO ASHINDWE AKIWA MBINGUNI?, THUBUTUUU! USHINDI NI UHAKIKA.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk