Fatilia hii series uweze kuvuka! Kuna watu mmekwama kwenye mtu sahihi basi mnataka kurukia ido! (nawaelewa) Niliwmhidi kama umefunga 7 (atleast 80%) kikamilifu majibu kwenye huduma hll tutayasaka above and beyond ! General ! Niko na nyie all the way!, Fatilia hii series utajua ulipo blander!, Ukiona hupati matokeo jua tu kuna sehemu una blander afu unajinunisha! Utavuka vipi? Kukata tammni usaliti! Unatususia ill iweje? Kuwa serious!
PART 1
WRONG MOTIVE
UNAOMBA MUME ILA NIA YAKO YA KUOMBA HUYO MUME/MTU SIO YA KUMPENDEZA MUNGU
Kuomba Mume nijambo jema ila sababu za ndani kwanini unataka Mume ndo zina ku cost Shosti nakuchana live! Umri umeenda Nina 50 ( wrong motive nani umri wake hauendl? wajan, watalaka, wanaoteseka kwenye ndoa, kila mtu umri unaenda. Not a good enough reason to move God in your favor)
Hanna alikuwa kila mwaka anaomba mtoto sababu Penina mke mwenzie alikuwa anamkeraa sana. Mungu alikuwa hampiiii!Kukerwaaa na mke mwenzie was not a good enough reason to move God in her favor. Kila mwaka Mungukimyaaa! Mara ya mwisho aka badili motive na kumwambia Mungu nipe mtoto atumike na ufalme wako! On the spot!, Akapewa hitaji la moyo wake.
Most of you mnataka waume for your selfish reasons, unataka Mume ujipooze na masimango shoga angu, nakuelewa sanaa ila Mungu bado hujamgusa, Unataka Mume utambeee Jiji zima Kama Diva,unataka Mume iii uheshimike. Ukijichunguza utagundua kwanini unataka Mume, mostly ni for selfish reasons to satisfy worldly desires hamna hata nukta ya mpango wako kumtukuza Mungu wala kukuza UfaIme wake. Utasubiriaaa sanaaaa.
lbada hata iwe sahihi vipi Kama motive yako ni wrong matokeo hamnaaa! Mungu Ana scan mpaka roho. Maombi yako wala kiongozi wako wa kiroho wala sadaka zako hazina neno! Ziko perfectooo! Nia dada niaaa ndo imeunguza picha. Badili nia! Unataka Ex arudi mkamilishe uzinzi hatorudiiii ngoo! Unataka upate Mume uache kusaliii upumue? Utasubiriaaa.
Makinika, Omba Mume kwa nia ya kumtukuza Mungu na kujenga Ufalme wake. Mwambie Mungu ukinipa Mume sitakosa kanisani Kama ambavo nipo lizikizo ya kanisa sasa hivi. Mwambie Mungu ukinibariki Mume sio tu nitakuwa naomba hivi nitafungua page kufundisha.
Mwambie Mungu unajua mimi boss lady nijari bu na Mume ile huduma wale watumishi kwenye payroll yangu uhakika. Mwambie Mungu naomba Mume tatuakae kumtumikia wote mpaka uzee!
GODLY MOTIVE PEOLE! GODLY MOTIVE IS THE PASSWORD.
PART 2
JIFUNZE KUELEWA UKIMYA WA MUNGU NA BADO UKINGOJEA JIBU LAKO!
Wengi imani ya kuomba ipo kubwaaa ila ya kutegemea jibu hamnaaa kabisaaa! Mtu anafunga Siku 7! Akiona kimya hafanyi ajizi anarukia maombi mengine. Anatoa sadaka kimyaaa! Anakimbilia kutoa nyingine. Mwisho anakataaa tamaa!
Mungu sio kiziwi iwe hakusikia maombi au hakuona ibada yako. Pia Mungu wetu sio mtu wa hila useme anakuko meshaa au anakuko moa hasikilizi maombi yako mwaka huu mpaka mwakani. Au Ana upendeleo wengine anawasikia wengine mtaisoma namba. Hapanaaa! Mungu ni mtukufu kwelikweli Hana hata nukta ya hilaaa! Hilo nakuhakikishi. UKIMYA wa Mungu juu ya Issue yoyote una sababu kubwa sana. Sasa badala ya kurukia maombi mengine tafuta sabu kwanini Mungu akalie kimya ombi lako.
Yohana 11 : 1 -44
Soma kwenye bible yako ila ni kisa cha Lazaro na Yesu. Yesu anapewa taarifa Lazaro anaumwa Sanaa. Ila anakaa alikokuwa kwa siku 2 zaidi.
Hakimbiliii kwa Lazaro. Baadae anajua Lazaro ameshafariki ndo anaenda sasa. Ikumbukwe Siku si nyingi huo Judea Mayahudi walitaka kumipiga YESU mawe hadi afe. Wanafunzi wanamkumbusha tutarudije wakati last time ilikuwa soo soo kweli. Hatari tupu. Yesu anawaambia twendeni. Yesu anawaambia kiukweli Lazaro hatunae tenaa ila naenda kumuamsha. Thomas akijua show ya mayahudi ya Judea anawamabia wenzie twendeni Tukafe nae tu, haina jinsi ndo Ticha tena. Tutafanyaje. Wakazuka Judea.
Yesu anafika pale Lazaro ana Siku 4 kaburini. Soma mwenywe details acha uvivu. Point ni kwamba Yesu na hii familia ya Lazaro walikuwa Karibu sana na bado hakuja kwa mda wanao muhitaji. ALIKUJA KWA RATIBA ZAKE MWENYEWE. Yamkini hata wewe unamuita sanaaa tu aje kwako sasa akuokoe n hizo changamoto zako. Kuja atakuja ila sio kwa ratiba zako. Kwa ratiba zake yeye.
JIFUNZE KUELEWA UKIMYA WA MUNGU NA BADO UKINGOJEA JIBU LAKO!
Yesu angewahi kwa Lazaro akamponya kawaidaaa tu, utukufu wa Mungu us ingekuwa mkubwa kama alivochelewa na kumfufua Lazaro. Yamkini Yesu wako anachelewa kuja na majibu sababu kuna utukufu mkubwa unangojewa utimilizwe, na wewe ndo unasusa katikati ya process sasa itakuwaje?, Katika hii chapter Yesu anatuac hia password moja kubwa sanaaa juu ya maisha yetu ya maombi ya kusimama nayo. Anytime una doubts kwenye maombi simama na hii password
Yohana 11:41-42
Yesu akaangalia mbinguni akasema, “Baba ninakushukuru kwa kunisikia. 42 Ninajua ya kuwa huwa unanisikia wakati wote.
PART 3
FINAL DELIVARANCE
Mithali 26:2
Kama shomoro katika kutanga-ta nga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu.
Ukiona unafanya kila kitu na bado ngoma nzito haisogei lazima kuna Laana inayotoa uhalali kwa hizo limitations kuendelea kukutesa. Kwa Sheria za ulimwengu wa roho, Kama Laana ina uhalali lazima ivunjwe na declaration zifanyike ndo matokeo yatokee. Leo usiku tunavunja hizo laana kwa kupitia principles na maandiko, na Tutafanya decree na declaration za kukuweka Huru kwenye eneo lako la mahusiano. Baada ya Leo utakuwa Huru.
Ndo maana nikasema usikimbilie kubadilimaombi. Pambana na kinachokwamisha mpaka kiishe. Tukutane jioni