KUMFATA YESU NI MAAMUZI YENYE GHARAMA KUBWA

Mathew 16:24-26

Then Jesus said to his followers,”If any of you want to be my follower, you must stop thinking about yourself and what you want.You must be willing to carry the cross that is given to you for following me.

Any of you who try to save thelife you have willlose it.But you who give up your life for me willfind true life.

 

Mathayo 16:24-26

Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mtu yeyote akitaka kuwa mfuasi wangu, lazima aji-kane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.

Maana, mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza; lakini mtu  anaye-yapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayapata.

 

Ukisoma English version ipo more clear Yesu alisema nini hasa na alimaanisha nini hasa, He definitely gave some hard pointers! THERE WILL BE A CROSS TO CARRY!

 

Mpendwa Bwana Yesu aliweka wazi mambo kadhaaa ya msingi sanaaa kwenye hili andiko kama utakuwa serious kumfata!

1.”IF ANY OF YOU WANT”

Mpendwa  maana yake ni THE CHOICE IS IMPLIED, Ni uchaguzi wako kuamua kumfata Yesu au kuto-kumfata!, Yesu HAMBEMBELEZI MTU MPENDWA ELEWA NENO “”UKITAKA/ UKIAMUA” maana yake usipotaka au usipo-amua pambe tu!, Kiu ya kutaka kumfata Yesu inatakiwa itoke ndani YAKO, Wewe ndo utamani kumfata Yesu. Ulokole wa kubembelezwa au kufata mkumbo hauna matokeo, Dhamira yako ya kutaka kumfata Yesu ndo msingi wa maamuzi yako.

 

2 DECISION MAKING IS REQUIRED!

Mpendwa Kumfata Yesu is a life Long commitment, Sio jambo la msimu au la emotions au mood! NI MAAMUZI AMBAYO YANATAKIWA KUWA BACKED UP WITH COMMITMENT TOKA NDANI YA MOYO WAKO!, ONLY WHEN UKIWEKA NIA YA DHATI NA DHAMIRA YA KUMFATA YESU NDIO MBINGU ZITAKUSAIDIA KUITIMIZA!

Mpendwa kumfata Yesu SIO jambo la USHABIKI na KUFATA MKUMBO, Yaani Sababu watu flani wameokoka wana ku-inspire basi unawafata blindly kwenye wokovu, Ni jambo jema lakini hauta-dumu! Huna dhamira wala commitment, Kuna Siku utaamka unajisikia kama kuokoka kuna Siku utaamka na kuona to hell with all this charade!

Wengi mna okoka SABABU YA TR END au kutaka vitu flani kutoka kwa MUNGU, Mkivipata Motivation ya kubakia kwenye wokovu  hamna, Mkipata tena shida mna-okoka tena! Matokeo yake hamfikii VIWANGO VYA JUU VYA WAKOVU KUWEZA KUWA NA USHARIKA NA MBINGU NA BWANA YESU WA MOJA KWA MOJA.

Kuna watu wanafikiria wokovu ni kuwa Assemblies of God, EAGT au Pentekoste associations na kubatizwa maji mengi! Unaweza kuwa umezaliwa Marengo huo na HUNA WOKOVU HATA NUKTA NDANI YAKO, CHURCH GOER II and BELIEVER X!

Ni Kama Romans or Lutherans ambao wengi wetu are living semi-pagan life au total-pagan life, Kama ni Lutheran au Anglican na unaenda kwa mganga vizuri na tawiree unaitika, na waungwana wa mganga una watolea sadaka those are whole pagan gods there, DHEHEBU LA MTU SIO WOKOVU WAKE!

MPENDWA INATAKIWA UFANYE MAAMUZI KWAMBA UNAMFATA YESU AU UNAENDELEA NA SEMI PAGAN LIFE! HENCE THE SONG I HAVE DECIDED TO FOLLOW JESUS! NIMEAMUA KUMFATA YESU. DECISION AU MAAMUZI YAKO YANATAKIWA KUGOMA KUFANYA MAAMUZI NAYO NI MAAMUZI YA KUAMUA KUTO-KUAMUA HENCE KU POST-PONE WOKOVU WAKO.

 

3.GIVING UP YOUR WILL AND DESIRES

Mpendwa hii inakuja baada sasa kufanya maamuzi kwamba, namfata Yesu from now on!, Yesu alisema “YOU MUST STOP THINKING ABOUT YOURSELF AND WHAT YOU WANT”, Kamwe hutaweza kumfata Yesu  na kujifata wewe mwenyewe bangi zako zinavyo-kutuma! UTA-DATA NA UTACHANGANYIKIWA, Yesu anasema USIZINI, Mwili una UPWIRU, WHO DO YOU LISTEN TO! LISTEN TO YOUR HEART NA LISTEN THE VOICE OF GOD HAVIENDAGI PAMOJA.

 

Jeremiah 17:9

9 The heart is deceitful above all things and beyond cure.Who can understand it?

WENGI MMESHINDWA SAFARI ZA WOKOVU KWA KUSHIKILIA WHAT YOU WANT, NATAKA NDOA, NATAKA KAZI, NATAKA MSHAHARA MKUBWA, NATAKA UCHUMI NATAKA WATOTO NEEDY NEEDY PEOPLE EVERYWHERE YAANI MATAKWA MWANZO MWISHOO!

 

Unajiwaza wewe 24/7, Mimi sijaolewaaa, Mimi sijazaaa, sina kaziiii, Mimi masikini, Muda wote unawaza ME, MYSELF & I. Mungu aanzeje kukuamini kwa mambo makubwa ikiwa ubongo wako umejaaa YOURSELF AND WHAT YOU WANT, HAMNA NAFASI FOR GODS MISSION! HAMNAA!

 

JESUS WAS BRUTALLY HONEST AND CLEAR UNATAKA KUNIFATA ACHANA NA MAMBO YA YOURSELF NA WHAT YOU WANT, ACHANA NAYO TUPA KULE. MPENDWA ONCE YOU FOLLOW ME, YOU ARE NOTHING AND NOBODY ONLY THE MISSION OF GOD IS VITAL AND IMPORTANT! UFALME WA MBINGUNI NDO UNAKUWA KILA KITU KWAKO NA YOUR MAIN FOCUS!

 

BEFORE WE TRUST YOU WITH GODS MISSION YOUR MIND MUST BE CLEAR OF ALL BUGGAGES, MUNGU ANAJUA  HUNA MUME, HUNA KAZI, SHILLINGI MIA MOJA (100 TSH) HUNA NA AS LONG AS YOU ARE PULLING THE SELFISH CARD HE IS NOT INTERESTED IN YOUR MISREY!

 

Lakini uki-FOCUS na kuamua kuwa KAMANDA WA YESU, Kuwa mpambe wa Mbinguni, Kuwa na usharika na Yesu! YOU  GIVE ROOM FOR GOD TO USE YOU IN HIS MISSIONS,  NA HATAWEZA KUKUTUMIA IN HIS MISSION WITH YOUR VULNERABILITY, HE WILL PROVIDE YOU NA KILA HITAJI TO EQUIP YOU FOR HIS MISSION

 

YALE MAMBO YAKO YA NDOA, KAZI,FAMILIA, LAZIMA AYATATUE I l UWEZE KUWA WELL EQUIPED KWENYE NAFASI YAKO YA KUJENGA UFALME WA MBINGUNI, NdIo unashangaaa huna Hili wala tile unakuwa promoted, Unashangaa Bwana katoka ulaya anataka ndoa, Mambo yanapelekwa fasta fasta uka kamilishe majukumu yako ya Ufalme!

 

Kuna watumishi wengi huduma zimestack kisa hana Mume, Anaanza kuwaza yale yale MATAKWA YAKE NA MATAMANIO YAKE, Come on, You are chosen for Christ sake! Oooh kanisa lina STIGMA wananiona na pwaya, Kuwa serious! Kanisa lina STIGMA tangu enzi za Mitume na STIGMA haitaisha na wewe, Simama katika kusudi la Mungu kujenga Ufalme Wake, Mungu ataku equip na Mume na kila unachohitaji kuhakikisha unakamilisha majukumu yako kikamilifu! Lakini kuwaza Mume mda woteee safari inakushinda meli una izamisha,wokovu unakushinda!

 

4.”YOU MUST BE WILLING TO CARRY THE CROSS THAT IS GIVEN TO YOU FOR FOLLOWING JESUS”  

Wengihapa   mnapotezwa na Translation ya Kiswahili, JITIKWE MSALABA WAKO NA UNIFATE! Mnahisi MSALABA unaozungumziwa ni hizo DELAYED OR DENIED REQUEST! @@@! HAPANAAAA! HUO MSALABA WAKO WA KABLA YA KUOKOKA ULITAKIWA U UTELEKEZE MAPEMAAA TU ULIVOTELEKEZA YOUR WILL AND DESIRES NA KUMFATA YESU!

MSALABA UNAO-ONGELEWA HAPA NI INCOMMING AU APPROCHI NG AMBAO UNALETWA KAMA GHARAMA KAMILI ZA KUAMUA KUMFATA YESU! KUMFATA YESU SIO BURE, KUNA GHARAMA KUBWA NA KUNAKUJA NA MISALABA MIZITO SOMETI MES AMBAYO UNATAKIWA UWE TAYARI KIROHO NA KIMWILI KUIBEBA HUKU TEKETEKE UNAMFATA YESU MDOGO MDOGO!

Mfano Msalaba wa kuonekana OUTCAST na mashostito zako wa ukwee, Huna vibe tenaaa, Unaleta za kishamba!, Kuonekana umepagawa na stress kuonekana kubwajinga na wanaume! Una mtoto alafu unasema NO SEX.

 

MPENDWA WOKOVU UNA GHARAMA KUBWA SANA ndiyo maana ili azimu ufanye maamuzi na commitment ya dhati mwanzolasivo UTAKIMBIA MSALABA, BAADA YA KUFANYA MAAMUZI YA KUMFATA YESU YOUR LIFE WILL NOT BE THE SAME, UTAANZA KUJARIBIWA UKO SERIOUS AU UNA BEEP NA PANDE ZOTE, MUNGU NA SHETANI! MUNGU ANATAKA KUONA UNA AMINIKAAA FOR HIS VISION! SHETANIANATAKA KUONA UTATOKA GHOMORA BILA KUGEUKA NYUMA?

 

UKIFAULU SASA KUJITWISHA MSALABA NA KUKIMBIA NAO RELAY AU RACE KABISAA NDO MUNGU ANAANZA KUKUAMINI KWA HIZI MISSION!ANA ANZA KU PROVIDE HATA

AMBAVYO HUJAOMBA WATU WALIO KATAAA KUFANYA KAZI NA WEWE WANAANZA KUKULAMBA MIGUU, KAZI ULIZO TAFUTA KWA SHIDA UNAANZA KUZIKATAA! FOCUS YAKO INAKUWA TENA SIO HIKI WALA SIO KILE NI GODS MISSION VINGINE VYOTE UNAPEWA TU KAMA BONUS AU ZIADA FLANI! NDO MNAONA PASTORS ANA RANGE MTU ANA MBARIKI DISCOVERY JUST BECAUSE TU.

 

KUNA MWANANGU ALINIFATA KUJENGA CAREER HAKUWA NA KAZI! KAPATA KAZI ANASHI KA HELA MPAKA ANATETEMEKA! NA NADHIRI YAKE ALIJIMALIZAAA MPAKA NIKASEMA MSHARA WOTE SI UTAISHIA KWENYE NADHIRI.

 

Ni kingdom financier mzuri Sana, Ana vows kubwa on going! Lakini hio kazi aliyopata it’s CASH COW, Money is just ping, Anasafiri like every-day,  Amepewa ACESS ya vitengo vile vinono, anshika pesa mpaka ANATETEMEKA, IT’S RAINING CASH ALL OVER HER!, Ananiambia kama lile agano tusingeweka wote kwa kunipa vifungu ninge-ogopa Sasa umenifanya Nini ?

 

Mpendwa Mimi nadhiri yangu na yeye ilikuwa One time, na tulimalizana, Changu nilipewa, Hizo vows zingine anazitimiza bila ku-lift a finger!, VOWS NI KUBWA ILA BARAKA NI KUBWA ZAIDI! MPAKA NIKAWAZA AU NIKA COPY AND PASTE LILE AGANO  NIJIFANYIE MWNEYEWE  NINI  AU NDUGU YANGU BASI

 

TEKE TEKE NDO NIMEJITISHA NYIE MSALABA WANGU, NA MLIVO HAMBEBEKI SASA, KUJISHIKILIA HAMTAKI KAZI   NINAYO,  SI  TUMEAMUA  KUMFATA YESU AU SIO?  BASI TEKETEKE TUTA SONGA KWA UWEZA WA MOLA.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top