DOING THINGS IN SPIRIT WITH CLEAR UNDERSTANDING (SUNDAY WORD)

Wakolosai 1: 9-10

 

Kwa sababu hiyo tumekuwa tukiwaombeeni daima tangu wakati tulipopata habari zenu. Tunamwomba Mungu awajazeni ujuzi kamili wa matakwa yake, pamoja na hekima yote na ujuzi wa kiroho. Hapo mtaweza kuishi kama anavyotaka Bwana na kutenda daima yanayompendeza. Maisha yenu yatakuwa yenye matunda ya kila namna ya matendo mema na mtazidi kukua katika kumjua Mungu.

 

Mpendwa Unaweza kufanya jambo la kiroho kwa Malengo mazuri kabisa lakini KATIKA kufanya kwako hilo jambo ukajikuta HUNA UELEWA KAMILI wa kwanini unafanya hilo jambo na matokeo ya wewe kufanya hilo jambo yatataishia vipi, KWA HIYO UNAJIKUTA UNAFANYA BILA CLEAR UNDERSTANDING YA KWANINI UNAFANYA!

 

Kwa Mfano unaweza kuwa unalipa zaka ili ufanyiwe deliverance, Umeona kuna maeneo umekwama kwenye maisha, na kila unapo tafuta msaada jambo ni lile-lile. Yaani UNALIPA ZAKA ?, Ukaamua Ngoja nilipe tu nimebanika kila kona, Yaani NO WAY OUT, Ukawa unalipa zaka kamili na kwa ukamilifu!

 

MUNGU AME DEMAND ULIPE ZAKA KWELI, NA WEWE KWELI UNALIPA ILA SIYO KWASABABU YA KUTII MAAGIZO YA MUNGU, UNALIPA KU-OVERCOME MANIPULATION ZA WANADAMU NA KWENDA SAWA NA WATUMISHI ILE USHAHIDI, UNALIPA ZAKA ? NDIO NALIPAA! MIAMALA  HIYO.

 

MPENDWA UNAFANYA JAMBO JEMA SANA LA KIROHO LAKINI WITHOUT CLEAR UNDERSTANDING KWANINI UNALIFANYA  NA NI KWA LENGO GANI UNAFANYA NA LITA COMAND MATOKEO GANI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO?.

Mfano wa pili (2), Unafanya maombi ya kufunga na kukesha ili UPATE MUME au KAZI!, Je Mungu alisema watu Wafunge ? ABSOLUTELY YES, Mwanae mwenyewe alifunga sana tu, Kitu cha siku 40, Je Mungu alisema watu wakeshe? ABSOLUTELY YES, Mwanae YESU wa Nazareth alikuwa mkeshaji mzuri tu, SO UNACHOKIFANYA AS IN PROCESS WISE KIPO SAWA KABISA NA UNAPITA MULE MULE, LAKINI IN TERMS OF CLEAR UNDERSTANDING  YA KWANINI UNAFUNGA NA KUKESHA WENGI MPO CHAKAA KAMA SIO MSITU WA EQUATOR KABISA.

 

MUNGU AMESEMA WATU WAFUNGE NA KUKESHA KUMKARIBIA YEYE KWENYE VIWANGO VYA IBADA, KUONGEZA FOCUS, KUMSIKILIZA KWA MAKINI NA KUWEZA KU-DISCERN MAJIBU TOKA KWAKE, KUMTAKA YEYE ASEME NA WEWE USIKIE, THE ENTIRE PROCESS YA KUFUNGA NA KUKESHA SHOULD BE DIRECTLY LINKED NA KUMFANYIA MUNGU IBADA.

 

WENGI MNASHINDA NJAA, MUNGU HUMKARIBII,WALA IBADA HUFANYI!, ACHANA NA KU DISCERN MAJIBU, MNA SHINDA NJAA THEN MNA LINK KUSHINDA KWENU NJAA NA KUJA KWA MUME MTARAJIWA AU KAZI TARAJIWA!, SANA SANA MNA CHUJA TU MAFUTA MWILINI TUKIWA WA KWELI!.

 

Sawa njaa umeshinda Siku 7, Lakini ibada hujafanya na Mungu hujamtaka aseme chochote na Wala hujajitahidi kusikiliza chochote hata kama angekwambia wazi wazi!

 

YAANI SAWA UNAFUNGA LAKINI WITHOUT CLEAR UNDERSTANDING  YA KWANINI UNA FUNGA, NA KWA KUFUNGA KWA USAHIHI UTA ALTAR LAWS GANI ZA SPIRITUAL WORLD AMBAZO ZITAWEZA KUKUPA MATOKEO UNAYOTAMANI KUPATA.

 

NDIYO MAANA ZITAPITA SIKU 7, UTARUDIA MARA 20 NA BADO HUTAKUWA NA MATOKEO YOYOTE,AND IT IS NOT NEWS!

 

UMEFANYA MAMBO SAHIHI YA KIROHO LAKINI BILA UELEWA SAHIHI HENCE UME BUMBA BUMBA NA KU-BET BET VITU, SASA KWA TAARIFA YAKO ULIMWENGU WA ROHO SIO WASAFI BET, NA KIMKEKA CHAKO ULICHOBETIA KIMECHANIKA MAPEMA, NGUVU ZA GIZA ZENYEWE UNAZO JARIBU KUZI  CAST-OUT KWA KU-BET ZINA KUONA UNA WAZIMU WEWE! TANGU LINI TUKAONDOLEWA KWA KU-BET NDIYO MAANA UNAFUNGA SIKU SABA (7) NA UKIMALIZA SPIRIT HUSBAND ANAKUPIGA SHOW LIVE LIVE, KUKUONESHA BADO NIPO NIPO SANA NDANI YAKO.

 

Mfano wa tatu (3), Mnaleta Michezo ya pesa kwenye pesa zenu kwenye eneo la zaka, sadaka , mbegu, nadhiri na matoleo yenu kwa ujumla!

 

MAMA NATAKA KUSAPOTI HUDUMA NIPE NAMBA LAKINI SINA KAZI NIAMBIE NIFANYE PROGRAM GANI?, SASA MWANANGU KAZI HUNA HIYO HUDUMA UTA SUPPORT NA NINI? THE FACT KAZI HUNA HATA CLEAR UNDESTANDING KWAMBA SABABU KAZI HUNA MUDA UNAO WA KUPITIA PROGRAM NA KUELEWA KWA SHIDA ZANGU NIFANYE HII, LAKINI JAPO UPO KIJIWENI NAFSI YAKO HAIWEZI KURUHUSU KU-RESIST KUNITIKISA MTUMISHI KWA SUPPORT YA HUDUMA ?

 

HAPA EVERYTHING IS WRONG FROM THE BEGINING, NA CHA KUSITIKISHA ALL THAT IS WRONG INA HUSISHA YOUR HARD EARNED MONEY,  MICHEZO YA PESA TUNASEMA WATOTO WA MJINI, UNATAKA KUFANYA MICHEZO YA PESA!

 

SASA KAMA I AM THAT WASHED OUT MPAKA UNA NITIKISA NA 50,000/=,  HOW CAN YOU REALY BELIEVE NITAHUSIKA NA PROCESS YA WEWE KUPATA KAZI YA MILLION 5? KAMA 50,000k YAKO NAWEWESEKA NAYO ? MTUMISHI AKIENDEKEZA NJAA TU NI DALILI TOSHA AMEFELI  SPIRITUAL ECONOMICS LAWS ZOTE! NA YEYE VILE VILE HANA CLEAR UNDERSTANDING HANA LOLOTE, 50,000/=, INAMTOA ROHO HIO KNOW HOW NA FAITH YA WEWE KUPATA KAZI YA MILLION 2 TU ATAITOA WAPI?

 

MICHEZO YA PESA MNAIANZISHAGA WAUMINI WENYEWE,  MTUMISHI AKIWA SERIOUS NAYO  MNAANZA KUONA NI EXTORTION NA UTAPELI, MTUMISHI ANA JUAJEE?? WEWE UNA PESA ?

 

Mimi mtu kianza tu najaribio la kunimanipulate na pesa najuaaa kabisa, BIASHARA HAPA HAKUNA, THE FACT UNAANZA KWA KUAMINI PESA YAKO NDIYO ITAFANYA NIKUSAIDIE TAYARI UMENITOA KWENYE INTEGRITY YA MTUMISHI WAKO NA UNATAKA KUNIPELEKA KWENYE LEVEL YA YOUR PUPPET! KWA SH NGAPI KWA MFANO?, KWELII MTUMISHI MZIMA NIKIONA NOTI NIPIGE MAGOTI?, SASA NITAKUWA NAMTUMIKIA MUNGU AU NOTI?

 

HAYA TUJE KWENYE SPIRITUAL TECHNICALITY WEWE KU-SUPPORT HUDUMA, KUNI SPOIL, KU-GRAB MY ATTENTION NA MICHEZO YAKO YA PESA KUNA CONNECTION GANI NA MUNGU ALIYE MBINGUNI KUKUPA WEWE KAZI AU MUME ? ABSOLUTELY  NONE!.

 

NDIYO YALE NIME NUNUA GARI YA MTUMISHI LAKINI SIJAPOKEA KUTOKA KWA MUNGU,  MUNGU NDIYO ALIKWAMBIA UNUNUE AU MWENYEWE TU ULIKUWA UNA FEEL GENEROUS TOWARDS THE MAN OF GOD, SASA HOW CAN YOU BLAME GOD OVER YOUR GENEROUSITY?

 

MIMI MTUMISHI HATA ANIAMBIE ANACHANGAMOTO GANI BINAFSI SIMPI NASISITIZA SIMPI HATA SH 10!, YANI NAMTOA DRY-DRY HATO AMINI MACHO YAKE HATA KAMA NINACHO SABABU NINA CLEAR UNDERSTANDING NI JUKUMU LANGU KULIPA ZAKA KWA MUNGU AMBAYO MTUMISHI NA HUDUMA WATA SURVIVE TOKA KWENYE HIO ZAKA, HILI NI DENI KAMILI LA KIMAANDIKO, NA NALITEKELEZA KILA MWEZI, MUNGU KANIPA RIZIKI LAZIMA CHAKE HALALI NIKIPELEKE KWENYE HUDUMA ZAKE NA KAZI ZAKE KWA FORMULAR YAKE ILI NI-ISHI  AHADI ZAKE! NAYOOSHA!.

 

ANYTHING APART  FROM THAT KAMA NINA MAAGANO NITALIPA MAAGANO KUTIMIZA NADHIRI ZANGU KWA MUNGU, KAMA I’M FEELING GENEROUS NATOA SADAKA YA KUTEKETEZA KWA MUNGU KUPITIA HUDUMA ZAKE, AMA SIYO NAPANDA MBEGU KWA MUNGU JUU YA MATAMANIO YA MOYO WANGU.

 

CHOCHOTE NACHOTOA NA POPOTE NAPOTOA NI WITH CLEAR UNDERSTANDING NAMTOLEA MUNGU WITH CLEAR GUIDELINES ZA KIMAANDIKO NA CLEAR EXPECTATIONS! NJE YA MAANDIKO SITOI CHOCHOTE KWA YOYOTE NA SILAANI-KI WALA NINI!

 

KUNA MTUMISHI ALIKUWA NA UCHU KWELI NA PESA ZANGU ALAFU NIKAMTOA DRY AKA PROPHECY KWA MY SIS NITAFILISIKA ALIMTETEMESHA KWELI, ANANIAMBIA MPE TU! NANI? THUBUTU, NIKAMWAMBIA TU SIMPI SH 10, TENA ASINIZOEEE, MIMI NINA VERY CLEAR UNDERSTANDING NITOE SH NGAPI KWA NANI NA KWA NINI!, KIMAANDIKO! SO YEYE A PROPHECY MPAKA ACHOKE! APANDE NA MLIMANI NA KUVAA GUNIA KABISAA HAPA HAPATI KITU.

 

WENGI MNAFANYA MAMBO BILA CLEAR UNDERSTANDING KWANINI MNAFANYA NA MNAFANYA BILA CLEAR EXPECTATIONS KWAMBA BAADA YA KUFANYA  NINI MTARAJIE KUPOKEA!; MNA FANYA MIFUNGO BILA CLEAR UNDERSTANDING, MNATOA SADAKA NA MATOLEO BILA CLEAR UNDERSTANDING, MNA FANYA MIKESHA BILA CLEAR UNDERSTANDING INSHORT IBADA ZENU ZIME-GUBIKWA NA UTATA MTUPU,MNA JIENDEA ENDEA TU KAMA VIPOFU NA MNAJIKUTA MNA BET MATOKEO YA KIROHO NA KILA SIKU SHETANI ANA CHANA CHANA MIKEKA YENU!

 

NI WEPESI WA KUKURUPUKA KUANZA VITU NA KUDANDIA VITU NA WAGUU KWELI KWELI KUJIFUNZA KITU KWA UKAMILIFU ILI MFANYE KWA CLEAR UNDERSTANDING!

 

ILE PROGRAM YA SIKU 30 YA JUZI ILIANZIA NA TEARING DOWN OF ALTARS LAKINI WENGI WALIRUKA NAVYO FROM DAY ONE (1) ,BILA KUSOMA SALVATION WALA TEARING DOWN OF ALTARS NA WAKAFUNGA SIKU THELATHINI (30), BILA CLEAR UNDERSTANDING KWANINI WAMEFUNGA NA MPAKA SASA  30,  WAMETOBOA LAKINI HAWANA CLEAR EXPECTATIONS WA EXPECT NINI TOKA KWA MUNGU KUTOKANA NA ILE TOPIC NZIMA SITASHANGAA KAMA HAKUTAKUWA NA JIPYA KWENYE MAISHA YAO!

 

IBADA IMEFANYIKA KWELI LAKINI BILA CLEAR UNDERSTANDING, UNA PATAJE AU KUONGEZA CLEAR UNDERSTANDING YA SPIRITUAL ISSUES?

1. Acha kusikiliza ibada nusu nusu kama kuanzia katikati au kuishia katikati!, Utaishia na nusu uelewa ambao utakupeleka Chaka tu!

 

Kuna mtu aliniambia kasikiliza 70% ya ibada za Mwalimu Mwakasege, Nikasema SISTER PLEASE!, Mwalimu ambae anafundisha topic moja Siku 5 mpaka 7, Ana cross maagano jipya nala kale  hatari Well  referenced, Thubutuuu!, Mimi mwenyewe sometimes na sikiliza ibada moja mara hata 5 na kila nikisikiza naona mpyaaa na kuna mambo kibao sikusikia mara iliyopita, Kumbe yeye anamsikiliza kama redio for entertainment sio educational wala application purposes, Mimi nilimtega tu, Seminar iliyopita alizungumzia nini?, Na ilikuwa just 2 weeks ago wakati namuuliza, Akaniambia sikumbu kiu chochote!

 

2. Rudia, rudia Message na mafundisho mpaka uelewe level ya kuweza ku-apply,  Kama hapo juu kuliko usikilize meseji (20) usikumbuke hata moja bora ukasikiliza meseji tatu(3) tu na kuzirudia rudia mpaka ziishi ndani yako. Huwezi ku-apply kitu huna uelewa nacho.

 

3. Soma Maandiko wewe kama wewe suala la kusikiliza uchambuzi wa maandiko ambayo hujasoma ni mwanzo wa kupelekeshwa na kushikwa akili, Hata kama anadanganya hutojua. Hata kama anaku manipulate hutojua, Yale-yaale ya Mtumishi kuna laana kisa nime goma kuchunika.

 

Ningekuwa sijasoma maandiko ya utoaji mimi kama mimi ningechunwa mpaka mifupa mimi na nilivyo bahili, Na nisinge mkatalia kwa mapana Sitini (60), KITOKUJUA NI KUBAYA, Wewe una shida ya Mume maskini, Mtumishi anasema Mungu kasema utoe Millioni 2 utapata Mume unatoa maskini, Mume hupati! Na Mungu yupo kimyaaaa! Ukituliza Shetani anasema uvivu mbaya sana ume M-Cost yule kiumbe Millioni Mbili (2)  kwa uvivu wa kusoma maandiko.

 

4.NENDA POLE POLE LAKINI NENDA KWA UELEKEO SAHIHI,  MTU ANAKWAMBIA NIMEFANYA PROGRAM ZOTE LAKINI KICHWANI MWAKE HANA HATA ROBO PROGRAM ILIYO ISHI NAE HAKUNA, ANAFANYA FOR THE SAKE YA KUNIAMBIA MIMI KAFANYA , SISTER PLEASE,  BORA UFANYE PROGRAM MOJA MIEIZ HATA MIWILI (2), LAKINI UIFANYE AT YOUR MAXIMUM LEVEL, UIRUDIEEEE RUDIE MPAKA UPATE CLEAR UNDERSTANDING KWANINI TUMETUMIA MAANDIKO YALE, TUMEFUNGA  ILI TUMSIKIE MUNGU UNAFANYA REAL EFFORTS ZA KUMSIKIA MUNGU HILO ENEOLA MAHUSIANO KWA SIKU SABA (7),  UKISEMA NIMEFANYA MTU SAHIHI KWELI UMEFANYA TO WHICH LEVEL NA UNA UHAKIA MUNGU ATAKUPA MTU SAHIHI MAANA VINA VYA IBADA.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk