DIVINE JOB APPOINTMENT PROGRAM (DIVINE CAREER)

DAY 1

Watu wengi mna kwama  kuvuka eneo la kazi kwa sababu FOCUS YENU  IPO KATIKA KUJIULIZA KWANINI MUNGU HAJATENDA AU HATENDI KULIKO KUSHUHUDIA NGUVU NA UWEZA WAKE WA KUTENDA!

Wapendwa hata utumie karne saba (7) kuwaza kwanini hajatenda ndio hivyo hajatenda, Cha muhimu ni kubadilisha focus na ku-focus kwenye UWEZO WAKE WA KUTENDA NA KUMSIHI ATENDE.

Wengine mnakwama kuvuka kwa sababu ya kuamini katika MUNGU KUTENDAGA TU KWA WAKATI WAKE, WAKATI UPI TENA UNAIKIMBIZA 4TH FLOOR,  KITU CHA 40 YEARS OLD.

MUNGU KAMA KUTENDA ANGESHA KUTENDEA TANGU ENZI ZA UJANA WAKO, SIO KWAMBA HAJATENDA AU HATAKI KUNA VIZUIZI AMBAVYO VINA UHALALI WA K-BLOCK MATOKEO YAKO, NA ILI MATOKEO YATOKEE LAZIMA TUVIONDOE NA BILA KUONDOLEWA HIVI VIKWAZO VYA KIUCHUMI ULIVYO WEKEWA NA ULIMWENGU WA GIZA UTAZEEKA NYUMBANI.

WAPENDWA NDIYO MAANA WENZENU WANATUMIA PROGRAM HIZI HIZI NA KAZI WAMEPATA WANATAMBA NA ZAKA LAKINI NYIE BILA-BILA, IKO SHIDA MAHALI NA INATAKIWA TUI TATUE; MWAPENDWA DELIVERANCE SIO LELE MAMA, DELIVERANCE SIO ZOEZI LA KUFANYWA NA ATTITUDE YA SLAY QUEENS! DELIVERANCE INATAKA KUJITOA HASA NA KUPIGANIA CHAKO.

SIKU ZOTE  SABA 7 NAENDESHA DELIVERANCE TU, SASA MTU UNAAMBIWA  FUNGA  HUFUNGI NGUVU ZA GIZA FULL BURUDANI, ZINAONA  NAJIKAUSHA  UZAZI TYU  NA NAJIKAUSHA KWELI SIO MASIHARA!

WAPENDWA THE DEBATE NI KWAMBA UMEFUNGWA AU HUJAFUNGWA IS UNECESSARY, IT IS MORE THAN OBVIOUS HATA VILAZA KULIKO WEWE WAPI KAZINI, KAZI WANAYO NA WANA TAMBA NAYO; THE SOONER YOU ACCEPT YOUR FATE IS INTERFEARED BY EVIL POWERS THE BETTER YOU WILL GET IN PRAYERS.

MPEDNWA MUNGU ANAKUPENDA  SANA-SANA NA ANATAMANI KUKU-OKOA LAKINI WEWE NDIYO UMEGOMA KUOKOLEWA, MPAKA NGUVU ZA GIZA ZIKUUE KABISA CAREER-WISE NDIO UPATE AKILI!

Wapendwa Mimi mwenyewe kazi za Deliverance sio mambo yangu, Sio Passion yangu lakini ndio kazi za Legacy na Ndiyo kazi YESU alizokuja kufanya duniani, Ndio kazi za wokovu, Mwaka unaisha huu, ndio kwanza program ya 2 ya DELIVERANCE kuendesha, Ikipita tungoje mwakani kwa hiyo give it your all. Japo sio mambo yangu lakini NIMEWAHURUMIA, Na kuja front kuwapambania, Sasa ukihurumiwa hurumika, Give it your all!

SADAKA NAYOTAKA KWENU NI MOYO WA IBADA, MOYO SHUPAVU WA KUAMUA THIS TIME LAZIMA NIENDE KAZINI, MOYO MBISHI NA KING’ANG’ANA KWAMBA HII IBADA LAZIMA IPITE HAKUNA IBADA NYINGINE, NIKISEMA RUKA WEWE NI KUULIZA KUSHOTO AU KULIA SIO KUANZA KWANINI NIRUKE? KWANINI  LAZIMA LEO?, NISIPORUKA JE? NANI AMESEMA NIRUKE? NAMNA HII UTAJIFELISHA.

THINK OF YOUR PARENTS WAME-INVEST KWENYE HIYO ELIMU, WAME-INVEST PESA, MUDA, HOPE, EXPECTATIONS, SASA WEWE KUKWAMA IMEKUWA MTIHANI MKUBWA SANA KWAO!, MIMI NINA WAZAZI HUKU WANAULIZA NILIKOSEA WAPI? BADO NAMLISHA NA PENSION! ATAOA KWELI?, ATATUNZA  FAMILIA KWELI NIKIWA SIPO DUNIANI? WANAUMIA  JUU YAKO!, NILIMKASIRISHA NINI MUNGU KIKUBWA? WEWE MWENYEWE MUDA HUO UNACHEZA COMMA CAVA, CAVA BIEN!.

WAPENDWA UKIKAA MKAO WA MUNGU KUKU-OKOA LAZIMA ATA-KUOKOA; HIVYO ANDAA VYETI VYAKO UWE NAVYO KARIBU, UTAVIOMBEA NA ANDAA CHUMVI YA JIKONI, ANDAA MAJI YA KUNYWA KWENYE GLASS  NA AIDHA ANDAA MOYO WA IBADA.

Wapendwa don’t get-it twisted nilivyosema Deliverance sio mambo yangu kwamba nipo shallow, Nipo very deep! Na wanaokesha wanajua moto wangu kuwa SIBAHATISHI NA LET US GET ONE THING CLEAR, TUWEKE KARATA ZOTE MEZANI.

MIMI SIFANYI HILI ZOEZI KWA AJILI YENU, KWAMBA NAWAPENDA SANA, MUNGU ANAWAPENDA SANA HILO LIKO WAZI, MIMI SINA UHAKIKA SANA; MIMI NIME WACHANA LIVE  NAFANYA  HILI ZOEZI  KUTENGENEZA LEGACY YANGU NA KWA AJILI YA  UBINAFSI WA LEGACY YANGU NIMESAKANYUA MAANDIKO MPAKA SIO  POA NA NIMEJIPANGA SINA MPANGO WA KUJIFELISHA.

MPEDNWA SASA NA WEWE FANYA HAYA KWA AJILI YAKO, KWA AJILI YA WAZAZI WAKO NA KWA AJILI YA MKE AU MUME WAKO WA BAADAYE AU KAMA UKO NAYE, FANYA KWA AJILI YA KUJI SPOIL NA MSHAHARA HATA UKITAKA KUGHAIRI ZINGATIA IT IS ALL FOR YOU, KWAMBA UKILEGEA UMEJIFELISHA, JIPAMBANIE AFE KIPA AFE BEKI!

MPENDWA ANDAA HIVYO VITU, ANZA KUABUDU MPAKA SAA 5 USIKU, KISHA ANZA KUOMBA KWA MANENO YAKO KUOMBEA VYETI VYAKO, UFAHAMU WAKO, UCHUMI WAKO, HATUA ZAKO OMBA  HIVI KWA DAKIKA 30 NON STOP.

TUMEKUBALIANA NIKISEMA RUKA UNA-ULIZA KUSHOTO AU KULIA, SASA NIMESEMA DAKIKA 30 NON STOP ZIWE 30! SIO UOMBE 10, NATAKA UPANDE RELIM, NIKIJA SAA 6 TUNAKUTANA RELIM YA JUU, TUNAMALIZA SHOW KlBABE ILA UKIWA RELIM YA CHINI SIGNAL ZITA KUKATIKIA!

Isaiah 41:21-43:13

21 Produce your cause, saith the Lord; bring forth your strong reasons, saith the King of Jacob.

Isaiah 43:26

26 Put me in remembrance; let us plead together; declare thou,that thou mayest be-justified.

Mpendwa kumbusha-kumbusha mbegu na sadaka zako, kumbusha ibada zako, kumbusha nadhiri zako, Kama huna weka kabisa nadhiri zako.

NENDA MKAHOJIANE UPATIWE HAKI YAKO, SAA 6 NARUDI!.

Ayubu 6:13

Je, ninao uwezo wowote wa kujisaidia mimi mwenyewe, wakati ambapo mafanikio yamefukuziwa mbali nami?

Mwambie Mungu kwamba UWEZO WA KUJIPELEKA KAZINI HUNA KAMA UNGEKUWA NAO UNGEKUWA KAZINI; MPENDWA SIMAMA NA ANDIKO HILI.

Mpendwa Watu wengi riziki zimefungwa sio na wao mwenyewe kwani Wengine tangu tumboni wakiwa Mimba tu! Watu wanapiga password HAKATAFANIKIWA HAKO KATOTO, Wengine mkiwa wadogo mliugua, Wazazi wenu wakawapeleka kwa Sangoma sio kwa ubaya kutafuta tiba, Sangoma kawatibu na kuwapiga passwOrd za uchumi .Wengine wenyewe tu mlijipeleka vilingeni huko kwenye moja na mbili mkachezea password za uchumi.

Mpendwa usiikatae haiwezekani, Mimi mwenyewe Dada yangu alikuwa HAPATAGI KAZI, Kateseka sana mpaka alienda kwa Nabii Flora Sala-Sala na Kwenda enzi hizo mnawahi namba saa 9 usiku, Aka mwambia Mama yenu alienda kwa Kalumanzila akiwa na mimba yako lakini nimekufanyia deliverance, Mama aliakataaa KATU KATU akasema nabii feki, Kweli Dada angu baada ya pale anapata kazi zenye utukufu tu!

Sasa Siku ya Siku mama kajisahau, ndugu yake Alifariki. Katika kuomboleza akasema alinipeleka kwa mganga Mimba ya mwanangu (dada sasa) ingetoka mimi, Mimi ndo kumuuliza unasema? Akashuka, Akasema achana na maisha yangu; Na nisikie Kokote utanitambuaa! Nimesema nilipelekwa,Kumbe nabii hakuwa muongo.

Mzazi wako akikanusha kwamba sio kweli usimuamini sana, Jinsi mama yetu alivokuwa anapinga mambo ya waganga mpaka kukosana na mama mkwe wake, Kama nisingemsikia kiki mponyoka nisinge amini, Bibi yetu alikuwa mke wa Mwinyi, Anapenda mambo hayaaa hatari anaChale kama Zote! Mda wote ana mashaka ya kulogwa!

Alifika miaka 90 kwa tabu sana, Sasa Mama ndio mpinzani wake tunashukuru hatuna Chale hata moja! Alikuwa hatakii hatakiii!Yupo radhi aachike, Kumbe alishatumia Service za Kalumanzila.

MPENDWA RIZIKI YAKO KUFUNGWA SIO LAZIMA IWE WEWE NDIO UMEFANYA MAAGANO! WAKUBWA ZAKO NDIO HAWA-AMINIKI.

Waamuzi 6:11-29

11.Malaika wa Mwenyezi-Mungu akaenda, akaketi chini ya mwaloni  wa Yoashi, Mwabiezeri, huko Ofra. Gideoni mwana wa Yoashi, alikuwa anapora ngano ndani ya shinikizo la kusindikia zabibu ili Wamidiani wasimwone.

12 Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamtokea, akamwambia,”Mwenyezi-Mungu yuko pamoja nawe,ewe shujaa.”

13.Gideoni akamwambia,”Ee Bwana wangu, ikiwa Mwenyezi-Mungu yuko pamoja nasi, mbona mambo haya yote yametupata? Yako wapi matendo yake ya ajabu ambayo wazee wetu walitusimulia,wakisema: ‘Mwenyezi-Mungu ndiye aliyetutoa nchini Misri.’  Lakini sasa Mwenyezi-Mungu ametutupa na kututia mikononimwa Wamidiani!

14.Mwenyezi -Mungu akamgeukia,akamwambia,”Nenda kwa uwezo ulio nao,ukaikomboe Israeli kutoka Wamidiani. Ni mimi ninayekutuma.”

15 Gideoni akamjibu,”Tafadhali Bwana, nitawezaje kuikomboa Israeli? Ukoo wangu ndio dhaifu zaidi katika kabilala Manase,na mimi mwenyewe nimdogo kabisa katika jamaa yetu!”

16 Mwenyezi-Mungu akamwambia,”Nitakuwa pamoja nawe; nawe utawaangamiza Wamidiani kana kwamba wangekuwa mtu mmoja.”

Wapendwa Gideon anatokewa na Mungu na anatumwa akawaokoe Wasraeli kwa UWEZO WAKE ambapo Mungu ana muhakikishia yupo pamoja nae!;  Gideonianaibomoa madhabahu ya Baali.

25 Usiku huo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Gideoni,”Chukua fahali mmoja wa baba yako, fahali yule wa pili wa umri wa miaka saba.Bomoa madhabahu ya Baali aliyo nayo baba yako na kuvunja sanamu ya Ashera iliyo karibu nayo.

26Halafu ,unijengee mimi Mwenyezi­ Mungu, Mungu wako, Madhabahu nzuri juu ya mwinuko huu. Kisha unitolee sadaka ya kuteketezwa ya yule fahali wa pili ukitumia kuniza ile sanamu ya Ashera uliyoivunja.”

27 Basi, Gideoni akachukua watumishiwake kumi, akafanya kama alivyoagizwa na Mwenyezi­ Mungu lakini kwa kuwa aliiogopa jamaa yake na watu wa mjini, badala ya kufanya hayo mchana,a lifanya wakati wa usiku.

28 Wakazi wa mji walipoamka asubuhina mapema waliona madhabahuya Baali na sanamu ya Ashera iliyokuwa karibu nayo vimeharibiwa.Yule fahali wa pilialikuwa ameteketezwa juuya madhabahu iliyokuwa imejengwa mahali hapo.

29Wakaulizana,”Nani amefanya jambo hili?” Walipofanya uchunguzi wakagundua kwamba Gideoni mwana wa Yoashi ndiye aliyekuwa amefanya hayo. 30 Wakazi wa mji wakamjia Yoashi,wakamwambi a, “Mtoe mwanao tumuue, maana ameharibu madhabahu ya Baali na kuivunja sanamu ya Ashera iliyokuwa  karibu nayo.”

 

HATUA YA KWANZA YA UKOMBOZI MUNGU ANA-MUAGIZA GIDEON KUVUNJA MADHABAU YA BAAL NA KUMJENGEA MUNGU MADHABAU YAKE ILE WAWEZE KUFANYA KAZI PAMOJA!

MPENDWA HATUA YA KWANZA YA KUKOMBOA CAREER YAKO NA UCHUMI WAKO NI KUVUNJA MADHABAU ZILIZOPO KWENYE UKOO WAKO NA FAMILIA YAKO, MADHABAU ZENYE ALAMA ZAKO ZA WAGANGA NA NGUVU ZA GIZA, HUWEZI KUVUNJA MADHABAU ZA GIZA KABLA YA KUSIMAMISHA MADHABAU YA MUNGU AS PER AGANO JIPYA YESU NI MADHABAU MPYA INAYOISHI MBADALA WA ZILE MADHABAU ZA KALE.

 

Waebrania 13:10-15

Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la Wayahudi hawana haki ya kula vitu vyake. Kuhani mkuu wa Kiyahudi huleta damu ya wanyama katika Mahali Patakatifu na kuitoa tambiko kwa ajili ya dhambi;Lakini nyama za hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.

Ndiyo maana Yesu pia, kusudi apate kuwatakasa watu kwa damu yake mwenyewe, aliteswa na kufa nje ya mji. Basi, tumwendee huko nje ya kambi tukajitwike laana yake. Maana hapa duniani hatuna mji wa kudumu; Lakini tuna-utafuta ule unaokuja.Basi, kwa njia ya Yesu,tumtolee Mungu tambiko la sifa daima, yaani sifa zinazotolewa kwa midomo inayoliungama jina lake.

SIMAMA NA BWANA YESU KUKANA, KUBOMOA , KUJITENGA NA KUKOMBOA NA MADHABAU ZOTE ZA GIZA ZINAZO SHIKA VYETI VYAKO, NAFASI YAKO YA KAZI, UCHUMI WAKO,HATUA ZAKO!

 

NALETA PRAYER POINTS !

ANZA NA MAOMBI YAKO BINAFSI SAA 6:40, NAANZA KUWEKA PRAYER POINTS ZA KUJITENGA NA MADHABAU.

KAMA UMEFUNGWA RIZIKI UTAPATA SHIDA SANA KUTAMKA PRAYER POINTS NA UTAPATA SHIDA KWA UJUMLA TU, KAZA ROHO, NDIO DELIVERANCE YENYEWE.

 

1 Wakorintho 6:17

Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni Roho moja naye.

Mpenda Nakiri kuanzia sasa Mimi ( Taja Mahon yako matatu 3) najiunganisha na Bwana YESU, na kuanzia sasa ni roho moja naye. Najiondoa, Kujivua, kukana na kujitenga na madhabau zozote zisizo na utukufu wa Mungu kwa Jina la Yesu.

Najiunganisha na Roho ya Mungu na kubatilisha miunganiko yoyote isiyo ya Mungu wa kweli, nabatilisha miunganiko yoyote na nguvu za Giza kwa Jina la Yesu. Damu ya Yesu ikavunje na kubatilisha miunganiko yoyote isiyo ya Mungu kwenye maisha yangu.

Father God, I believe that Jesus died on the cross for my sins and rose again from the dead. He redeemed me by his blood and I accept Him as my Lord and Savior. I belong to You and Iwill live for You.I confess my sins-known and unknown.I repent and ask for Your forgiveness. Please cleanse me with the blood of Jesus Christ.

I renounce Satan and all his works. Lord Jesus Christ, I come to you as my mighty Deliverer. You know every evil and un-clean spirit that has bound, tormented and defiled me and my blood line.

I claim the promise of Your Word, “Whoever calls on the name of the Lord shall be saved.” I call upon You now. In the name of the Lord Jesus Christ,I thank You for delivering me and setting me free.

As You forgive me for my sins and make me free,I also forgive myself for sinning against the Lord and for sinning against my body

By the power of the Holy Spirit,I forgive my ancestors, descendants, and everyone who has ever hurt me in any way, and Iask You to forgive them as well.

You said,”Behold, I give unto you power to tread on serpents and scorpions, and over all the power of the enemy: and nothing shall by any means hurt you.” I know exercise that same power to set myself free.

Wapendwa According to the Word of God,I stand strong in the Lord and in the power of His might with the whole armor of God. In the finished work of Jesus Christ and in His name,I stand against the wiles of the devil; all principalities, powers, rulers of the darkness of this age, and against spiritual hosts of wickedness in high places. Satan,I come against you in the name of Jesus Christ, by the blood of Jesus, by the Word of God,by power of the Holy Spirit,and by the authority of the Believer. Amen.

I remind you that I sit in heavenly places with Christ Jesus. Jesus has given me power over you, your fallen angels, your demons and all forces of evil. Therefore, I command all evil and unclean spirits to line up in rank and file order, starting with the root, and come out quickly without hurting, harming or endangering me. Come out now in Jesus’ name.

Father God, thank You for making me free. Thank you Jesus for destroying the works of the devil.Thank you Holy Spirit for restoring my fragmented soul – my mind, will and emotions.

Now,I ask you to fill me with your holy power.Fill me with love, joy, peace, long-suffering, kindness,goodness, faithfulness, gentleness and self-control. I thank you in the name that is above all names, the name of our Lord and Savior Jesus Christ; My Deliverer, King and Master.

 

MPENDWA RUDIA HII SALA KWA KUMAANISHA SIO CHINI YA MARA TANO (5) UKIWA UMESHIKA VYETI VYAKO.

 

Yesu Amponya Mtu Penye Bwawa La Bethzatha

1.Baada ya haya, Yesu alikwenda tena Yerusalemu kuhudhuria sikukuu mojawapo ya Wayahudi.

2 Huko Yerusalemu, karibu na mlango uitwao Mlango wa Kondoo, pana bwawa moja ambalo kwa Kiebrania linaitwa Bethzatha ambalo lina baraza tano zenye safu za matao.

3 Wagonjwa wengi sana, vipofu, viwete, na waliopooza walingojea kwenye baraza hizo. Walikuwa wakisubiri maji yatibuliwe.

4 kwa maana ma laika wa Bwana alikuja mara kwa mara akayatibua maji na yule aliyekuwa wa kwanza kuingia bwawani baada ya maji kutibuliwa alipona ugonjwa wowote aliokuwa nao.

5.Mmoja wa wagonjwa waliokuwepo alikuwa ameugua kwa muda wa miaka thelathini na minane.

6 Yesu alipomwona amelala hapo, na akijua kwamba amekuwa katika hali hiyo kwa muda mrefu, alimwuliza, “Unataka kupona?”.

7 Yule mgonjwa akajibu, “Bwana, sina mtu wa kuniingiza bwawani maji yanapotibuliwa. Ninapoanza kwenda bwawani, mgonjwa mwingine huniwahi akaingia kabla yangu.

8.Yesu akamwambia, “Simama, chukua mkeka wako, utembee!”.

9 Mara moja yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea, Jambo hili lilitokea siku ya sabato.

10 Kwa hiyo Wayahudi wakamwambia yule mtu aliyeponywa, “Leo ni sabato. huruhusiwi kubeba mkeka wako.

11Yeye akawajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Chukua mkeka wako utembee.”

12 Wakamwuliza, “Ni mtu gani huyo aliyekuambia uchukue mkeka wako utembee?”

13 Yule mtu aliyeponywa hakufahamu ni nani aliyemponya kwa sababu palikuwa na umati mkubwa wa watu na Yesu alikuwa amepenyezea humo akaondoka.

14.Baadaye Yesu alimkuta yule aliyemponya Hekaluni akamwambia, “Sasa umepona angalia usitende dhambi tena usijepatwa na jambo baya zaidi.”

15. Yule mtu akaenda, akawaambia wale Wayahudi kuwa ni Yesu aliyemponya.

16 Kwa sababu Yesu alikuwa amemponya siku ya Sabato, walianza kumsumbua.

17 Yesu akawaambia, “Baba yangu anafanya mema siku zote. Mimi pia sinabudi kufanya mema.”

18 Maneno haya yaliwaudhi sana viongozi wa Wayahudi.Wakajaribu kila njia wapate kumwua, kwa sababu, zaidi ya kuvunja sheria za sabato, alikuwa akijifanya sawa na Mungu kwa kujiita Mwana wa Mungu.

 

Yohana 5:5-6

5.Mmoja wa wagonjwa waliokuwepo alikuwa ameugua kwa muda wa miaka thelathini na minane.

6.Yesu alipomwona amelala hapo, na akijua kwamba amekuwa katika hali hiyo kwa muda mrefu, alimwuliza,”Unataka  kupona?”

Mpendwan yamkini imekuwa miaka na miaka huna kazi, huna uchumi huna maisha, Umekata tamaa! Unasononeko, Huna wa kukupa conection, Huna wa kukupeleka kazini!; USIKU HUU BWANA YESU ANAKUULIZA UANTAKA KWENDA KAZINI ?

 

I STAND BY PROPHETIC AND APOSTOLIC RELIM IN THE NAME OF JESUS, BY THE POWER OF THE HOLY GHOST COMMAND YOU CHUKUA VYETI VYAKO NA UENDE KAZINI SASA.( RUDIA MARA  TANO )

NATAKASA HIVYO VYETI NA CAREER YAKO KWA UJUMLA KWA DAMU YA YESU ILIO MWAGIKA PALE CALVARY, HUTAKUWA MAPOOZA WA KAZI TENA, KABLA YA MWAKA HUU KUISHA UTAENDA KAZINI, UTAFANIKIWA NA UTA-STAWI KWENYE KAZI MUNGU WAKO ALIO KUKUSUDIA KWA JINA LA YESU.

 

2 Wafalme 2:19-22

  1. Watu wa mjini wakamwambia Elisha, angalia,twakusihi, mahali pa mji huu ni pazuri, kama bwana wangu aonavyo lakini maji yake hayafai, na nchi huzaa mapooza. 20.Elisha akawaambia, “Tieni chumvi ndani ya bakuli jipya, kisha mniletee.” Nao wakamletea.21. Elisha akaenda kwenye chemi-chemi ya maji, akatupa chumvi hiyo ndani na kusema,”Mwenyezi-Mungu asema hivi, Nimeyafanya maji haya kuwa yenye kufaa, tangu sasa hayatasababisha vifo au kutoa mimba.”22. Na maji hayo yamekuwa ya kufaa mpaka leo,kama alivyosema Elisha.

 

Mpendwa Elimu yako ni nzuri na ya gharama sanalakini inazaa mapooza, Grade zako ni nzuri lakini zina zaa mapooza, Ufahamu wako ni mzuri lakini unaaza mapooza, Kama ule mji aliopita nabii Elisha ulikuwa mzuri sana lakini ulizaa mapooza.

Mpendwa sawa-sawa na neno aliloachilia nabiii Elisha, Tia chumvi kwenye maji hayo, Na Siamama na huu Mstari kutamkia hayo maji kwa imani yako yote!; Mwenyezi-Mungu asema hivi; Nimeyafanya maji haya kuwa yenye kufaa; tangu sasa hayatasababisha vifo au kutoa mimba.

KWA MAMLAKA YA JINA LA YESU, BY THE POWER OF THE HOLYSPIRIT MWENYEZI MUNGU ASEMA KUANZIA SASA VYETI VYAKO VITAKUWA VYA KUFAA NA VITAKUPATIA KAZI WALA HUTA HANGAIKA NA MAMBO YA AJIRA, CHOCHOTE KINACHO KUFUNGA ENEO LA AJIRA NA UCHUMISIKIA SAUTI YA MUNGU NA TOKA MWILINI MWAKO UTAKAPO KUNYWA MAJI HAYO KWA JINA LA YESU , KUNYWA MAJI, SHUKURU NA KUSIFU ASANTE YESU KWA KUWA NAENDA KWENDA KAZINI.

 

 DAY 2

Wapendwa hakuna mtu anayeshinda medali, au kombe akiwa nyumbani kalala zake bila kushiriki mashindano na kushinda, HAKUNA! YOU CAN NEVER BECOME A WINNER ACCIDENTALLY, NEVER EVER! KWAMBA IPO SIKU MAMBO YATAKUWA MAZURI NA UTASHINDA TU!, THUBUTU!.

MPENDWA USHINDI WOWOTE KUPATIKANA KWAKE NI KWA KUSHINDANA NA KUSHINDANA KUFA NA KUPONA, UKIONA MTU ANASHINDA MEDALI  KWENYE OLYMPICS JUA AMEPAMBANA  MWAKA MZIMA KUUPATA USHINDI ULE KWA DAKIKA TANO (5)  AMEKESHA ANAKIMBIA PORINI, WAKATI WENZIE WAME LALA SAA  KUMI (10) LAKINI YEYE  ANAKIMBIA HAJALI KUKABWA WALA KUBAKWA, YAANI SAA KUMI (10) USIKU ANATOKA NDUKI MPAKA SAA MOJA (1), KILA SIKU, WITH EACH TRAINING THEY BECOME BETTER AND BETTER.

HATA WEWE UNAWEZA KUZISHINDA NGUVU ZA GIZA NA UKAWAFUNGA WOTE WANAO CHONGA SANA JUU YAKO KWA KUTINGA KAZINI NA SKUNA INCH 4, KUDADADEKI! KWENYE PAYROLL UMETIMBA KWA HERUFI KUBWA, LAKINI SIO KINYONGE NA SIO KWA BAHATI, WALA SIO KWA ZALI PAMBANA, PAMBANIA FUTURE YAKO!.

MPENDWA WENZIO WAKIWA WANAKULA MAISHA WE PAMBANA NA MIKESHA KAMA HIVI, WAKILA MCHANA WEWE PAMABANA NA NJAA YA MFUNGO, NEVER EVER LOSE FOCUS, NEVER EVER GIVE UP, YOUR TIME WILL COME, UTUKUFU WAKO UJAO NI MKUBWA KULIKO TABU NDOGO-NDOGO HIZI.

 

Haggai 2:9

‘The glory of this present house will be greater than the glory of the former house,’ says the LORD Almighty. And in this place Iwi lgrant peace,’ declares the LORD Almighty.”

 

MATHAYO 25

Mfano wa wasichana kumi

1 “Wakati huo, ufalme wa mbinguni utafanana na wasichana kumi waliochukua taa zao, wakaenda kumlaki bwana arusi. 2 Watano miongoni mwao walikuwa wapumbavu na watano walikuwa wenye busara. 3 Wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta.4. Lakini wale wenye busara walichukua mafuta katika chupa pamoja na taa zao.5 Kwa kuwa bwana harusi alikawia kuja, wale wasichana wote walisinzia, wakalala.6 Usiku wa manane kukawa na kelele: ‘Haya, haya! Bwana arusi anakuja; nendeni kumlaki.’ 7 Hapo wale wasichana wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao. 8 Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara: ‘Tupeni mafuta yenu kidogo maana taa zetu zinazimika.’ 9 Lakini wale wenye busara wakawaambia, ‘Hayatatutosha sisi na nyinyi!, Afadhali mwende dukani mkajinunulie wenyewe!’. 10 Basi, wale wasichana wapumbavu walipokwenda  kununua mafuta bwana harusi akafika, na wale wasichana waliokuwa tayari wakaingia pamoja naye katika jumba la harusi, kisha mlango ukafungwa. 11 Baadaye wale wasichana wengine wakaja, wakaita: ‘Bwana,Bwana, tufungulie!’ 12 Lakini yeye akawajibu, ‘Nawaambieni kweli, siwajui nyinyi.”13. Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa.

 

SATANIC CAREER DELAY

KAMA BWANA HARUSI ASINGE DELAY HARUSINI WALE WALI, WASINGEISHIWA MAFUTA KWENYE TAA ZAO!, HIVYO MPENDWA KAMA KAZI YAKO HAITA KAWIA MPAKA UJANA WAKO UPITE BASI UTAFIKIA HATMA MUNGU ALIYOKUKUSUDIA KWENYE CAREER LIFE YAKO!, DELAY YA BWANA HARUSI ILI-WACOST MABIBI HARUSI WAKAIKOSA KARAMU HIVI-HIVI WAKISHUHUDIA!

MPENDWA MWAMBIE MUNGU KAZI YAKO HAITA-DELAY KWA JINA LA YESU, UTAKWENDA KAZINI WAKATI WA UJANA WAKO NA DELAY HAITA KUZUIA CHOCHOTE!; OMBA MUNGU KWA MANENO YAKO LISAA ZIMA MPAKA SAA 6 KAMILI, NAKUJA NA PRAYER POINTS!

 

PRAYER POINTS

KWA JINA LA YESU, NIKISALI NA KUKIRI PRAYER POINTS HIZI KINYUME NA SATANIC DELAY, MKONO WAKO TUKUFU NA WENYE NGUVU BABA UTATEMBEA KWA HABARI YANGU!

NAKUSHUKURU BABA KWA UAMINIFU WAKO, NA AHADI YAKO YA KUJIBU MAOMBI YA WANAO, NAAMINI KATIKA NGUVU NA MAMLAKA YAKO NA KUWA HAKUNA LISILO-WEZEKANA KWAKO!

BABA NASALIMISHA KILA ENEO LA MAISHA YANGU LILILOFUNGWA NA SATANIC DELAY HASA HASA ENEO LA AJIRA!; I ask for your Divine Intervention and Supernatural Breakthrough. Lord, let Your fire consume every obstacle standing in the way of my progress.Your word says in Isaiah 43:19, “Behold, I am doing a new thing; Now it springs forth, Do you not perceive it?”,  I believe that you are making a way for me where there seems to be no way in the name of Jesus.

I rebuke every spirit of stagnation and declare that Iam moving forward in every aspect of my life. I break free from the chains of delay and step into the divine acceleration that you have ordained for me. Your word says in Habakuk 2:3 ,”For still the vision awaits its appointed time; It hastens to the end-it will not lie. If it seems slow, wait for it; It will surely come; It will-not delay.” I hold onto this promise and trust that my breakthrough is on its way by the power in the name of Jesus.

Lord, I ask for your favour to rest up-on me. Open Doors of Opportunity that no man can shut. Lead me to the right connections and divine appointments that will propel me into my destiny. Your word says in Psalm 84:11, ” For the Lord God is a sun and shield; The Lord bestows favor and honor. No good thing does he with hold from those who walk uprightly. ” I walk in righteousness and trust that your favor will surround me in the name of Jesus.

I pray for Divine Wisdom and Discernment in making decisions. Guide me on the right path and help me avoid any pit-falls or distractions that may lead to delay. Your word says in Proverbs 3:6,”In all your ways acknowledge him, and he will make straight your paths.” I acknowledge you, Lord, as the source of all wisdom, and I lean on your understanding in  the name of Jesus Christ.

Father,I ask for divine protection against the schemes of the enemy. Shield me from every attack and strategy that seeks to hinder my progress. Your word says in Psalm 91:11,”For he will command his angels concerning you to guard you in allyour  ways. ” I thank You for the angelic protection that surrounds me always, in the name of Jesus.

In the mighty name of Jesus, I declare that every arrow of evil delay targeted at my life shall back-fire and have no power over me.

I command every force of backwardness hindering my destiny to backfire and release its hold over me by the power in the blood of Jesus. The chains of stagnation fired against my career shallbe broken by the consuming fire of God.

I decree that all delay tactics organized against me shall scatter by fire, allowing me to walk in the perfect timing of God in Jesus’ name. By the authority in the name of Jesus,I declare that every delay programmed to tie me down shall die and have no effect on my progress.

I command every arrow of disappointment aimed at my destiny to die and lose its power over my life right now in the name of Jesus.I command every power and structure, physicalor spiritual, set up to delay my breakthroughs to die and crumble in the mighty name of Jesus. Curses and covenants of satanic delay shall die and lose their grip over my life.I command every deep pit that has swallowed my virtues to vomit them out by the fire of the Holy Spirit. Let the chain of delay holding me down be broken and shattered into pieces, allowing me to move forward in my destiny. I declare that every cloud of darkness surrounding my spiritual and material breakthroughs shall scatter, making way for the manifestation of God’s blessings in my life. By the authority given to me in Jesus Christ,I pull down every stronghold of satanic delay in my life.

I decree that every strongman assigned against my progress shalldie and be rendered powerless. Every satanic decree over my life shall die and have no effect on my destiny. I refuse to be identified with failure, delay, disappointments,and  calamity. My identity is in Christ, and I walk in his victory and favor. Let the power of stagnation dry up andlose its grip over my life in the name of Jesus.

Ooh Lord! Every padlock holding down my progress shall catch fire and be destroyed by the fire of the Holy Spirit. I command every satanic court summoned to deliberate on my progress to scatter and be rendered in-effective by the blood of Jesus. I decree restoration of every wasted month, season, year, and missed opportunity in my life by the fire of God in the name of Jesus.

Ooh Lord!, By the wind of the Spirit,I am carried to my ordained destination in life.I declare that failure is not my portion, for I am an overcomer through Christ Jesus. Let every anti-favor oilon my head dry up,andlet the oilof God’s favor and grace flow over my life. I receive blessings from unexpected quarters in the name of Jesus. Holy Ghost fire, Please convert my delay into speedy results by fire. I open myself up to receive favor from all corners in the name of Jesus.

I declare that the glory of thelater house catches up with me, and I will walk in divine acceleration and increase in every area of mylife in the name of Jesus.O thou that troubleth my Israel, The God of Elijah shall trouble you today, and your plans shallbe thwarted. O God, arise and uproot anything You did not plant in the foundation of my life, and establish only that which aligns with Your  divine purpose for me in Jesus’ name.

Lord, I thank You for hearing and answering my prayers.I declare that satanic delay has no power over me, for I am a child of God, redeemed by the blood of Jesus Christ.I walk in victory and claim the abundant life that you have promised me. In Jesus’ name, Amen.

 

OMBA KWA KUMAANISHA NA KURUDIA RUDIA SIKU NZIMA

 

Yeremia 1:12

Ndipo BWANA akaniambia, Umeona vema, kwa maana nina liangalia neno langu, ili nilitimize.

I stand by the Prophetic and Appostolic relim to decree and declare in the name of Jesus  BWANA WAKO ATATIMIZA NENO LAKE LA KUKUPELEKA KAZINI NA UKALIPWA MSHAHARA.

 

Isaiah 60:21-22

21.Then all your people will be righteous and they will possess theland forever. They are the shoot I have planted, the work of my hands for the display of my splendor. 22 The least of you will become a thousand, the smallest a mighty nation.I am the Lord; in its time Iwilldo this swiftly.”

Mpendwa Bwana wa Majeshi, Mungu mwenye uweza ninaye mtumikia, akufanye Taifa kubwa katika hili eneo la kazi kwa Jina la Yesu!, Akakufanyie Nafasi pasipo na nafasi!. Kwa wakati wake aka-litimize hili.

Zaburi 31:1-2

Kwako, Ee Mwenyezi-Mungu, nakimbilia usalama, usiniache ni-aibike kamwe; kwa uadilifu wako uniokoe. Unitegee sikio,uniokoe haraka!

Bwana Mungu wako unayemtumikia akupelekee msaada wake haraka wa kwenda kazini, akuzingatie maombi yako kwa Jina la Yesu.

 

1Wafalme 18:46

Mkono wa BWANA ulikuwajuu ya Eliya; akajikaza viuno, akapiga mbio akatangulia Ahabu mpaka kuingia Yezreeli.

Mkono wa bwana uliokuwa juu ya Elia Nabiii na kumpa devine speed, UKAWE JUU YAKO KUANZIA SASA UKAKUPE DIVINE SPEED KWENYE ENEO LA KWENDA KAZINI KWA JINA LA YESU.

 

DAY 3

 

CAREER LIMITATIONS (VIKWAZO NA MIPAKA KWENYE KAZI)

 

Ayubu 13:27

Waitia miguu yangu katika mkatale, na kuyakagua mapito yangu yote; Wajiandikia alama kuzizunguka nyayo za miguu yangu.

 

Job 13:27

27 You put my feet in the stocks, And watch closely all my paths. You set a limit for the soles of my feet.

 

Numbers 11:23

And the LORD said to Moses, “Has the LORD’s arm been shortened? Now you shall see whether what I say will happen to you or not.”

 

Luka 8:43-48    

43 Katika umati huo alikuwepo mama mmoja ambaye alikuwa na ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, wala hakuna mganga aliyeweza kumponya. 44 Akaja nyuma ya Yesu, akamgusa pindo la vazi lake. Mara damu iliyokuwa ikimtoka ikakauka, akapona. 45 Yesu akauliza: “Nani amenigusa?” Kila mtu alipokana Petro akasema, “Bwana, watu ni wengi mno wanaokusonga kila upande.” 46 Yesu akasema: “Kuna mtu aliyenigusa maana naona ya kuwa nguvu za kuponya zimenitoka.” 47 Yule mama alipofahamu ya kuwa amegundulika akaja huku akitetemeka akapiga magoti mbele ya Yesu. Akamweleza Yesu mbele ya watu wote kilichomfanya amguse, na jinsi alivyoponywa mara.  48 Basi Yesu akamwambia, “Binti, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani.”

Limitations ni mipaka kwenye jambo fulani, Na ili uwe mpaka lazima kwanza uwe umekaaa muda mrefu na kukutesa kwa muda, Pili huna uwezo wa kuvuka huo mpaka wewe binafsi bila USAIDIZI!.

Ayubu anasema MIGUU YAKE IMEWEKWA MINYORORO NA HATUA ZAKE ZIMEZUILIWA, Yule Mwanamke Mjane alikumbwa na hali ile kwa Miaka 12, Hakuweza kuvuka, wanasema alitafuta Tiba  mbalimbali lakini HAKUPONA!, Hakuna mganga aliyeweza kumponya.

Mpendwa yamkini una miaka mingi  kazi hupati, Unahangaika unavyo-hangaika, mwaka unaisha na kazi hupati, Maisha yako yamewekewa mpaka wewe kutovuka au ukivuka ni mahara flani tu marufuku kuzidi walipo-kupangia.

Mungu wa haki unayemtumikia anaenda kukuondolea mipaka yako leo, Na ni kazi ya Mungu wakati wote kuondoa mipaka kwa watu wake, Utavuka Hilo eneo na utafika zaidi ya pale unapo muomba Mungu. Mpendwa kuwekewa mipaka siyo lazima umkose mtu kikubwa, Au ufanye balaa lolote, Ni mtu akiamua kukuwekea mpaka anaweka, Na sababu hujui unajikuta umekata ndani ya mipaka yake muda mrefu sana. Mpendwa dawa ya mipaka ni ndogo sana, Ni kui-ondoa, Kuifutilia mbali, Na kukomboa hatua zako kama zimefungwa zifunguke ili uweze kuchapa mwendo!.

 

Zekaria 1:16-21

  1. Kwa sababu hiyo BWANA asema hivi, Ninaurudia Yerusalemu kwa rehema nyingi; Nyumba yangu itajengwa ndani yake, asema BWANA wa majeshi, na kamba itanyoshwa juu ya Yerusalemu. 17 Piga kelele tena, na kusema, BWANA wa majeshi asema hivi, Miji yangu itajawa na ufanisi tena; Naye BWANA ataifariji Sayuni tena, atauchagua Yerusalemu tena. Maeneo ya pili; Pembe na wafua chuma. 18 Nami nikainua macho yangu, nikaona, na tazama, pembe nne.19 Nami nikamwuliza yule malaika aliyesema nami, Nini hizi? Naye akanijibu, Hizi ndizo pembe zilizowatawanya watu wa Yuda na Israeli, na Yerusalemu.20 Kisha BWANA akanionesha wafua chuma wanne. 21 Ndipo nikauliza, Hawa wanakuja kufanya nini? Akasema, Hizi ndizo pembe zilizowatawanya watu wa Yuda, hata ikawa hakuna mtu aliyeinua kichwa chake; lakini hawa wamekuja kuzifukuza, kuziangusha pembe za mataifa,walioinua pembe yao juu ya nchi ya Yuda,ilikuwatawanya watu wake.

 

NYOOSHA MIKONO YAKO JUU SOMA HILI ANDIKO KWA SAUTI NA LIKIRI JUU YA MAISHA YAKO!;  RUDIA MARA 5!; KIRI HAYA MAONO YATA TENDEKA JUU YA MAISHA YAKO!

 

PRAYER POINTS

Kila mpaka na zuio la nguvu za giza nililowekewa kwangu kazi yangu na maisha yangu na uondoa kwa Jina la Yesu!

Every evil pattern of non-achievement in my family break now by the power in the blood of Jesus, in the name of Jesus Christ. Every strongman of limitation which has limited our ancestors and now has vowed to limit my destiny and those of my family members; you are aliar, die by fire, in the name of Jesus Christ.

O you Divine craftsmen, arise, terrify and cast down every satanic horn that has scattered my family, in the name of Jesus Christ. Kila agano linalolifanyia kazi kwenye ukoo wangu na maisha yangu kwa KUNIWEKA MIPAKA na vizuizi kwenye uchumi wangu nalifuta kwa Jina la Yesu!

My Father, arise and separate me from anyone who is serving as a channel of limitation in my life, in the name of Jesus Christ. You the weapons of limitations assigned against my destiny,I render you useless, in the name of Jesus Christ. Every evil arrow of demotion and embarrassment released against me, receive the thunder fire of God and be destroyed, in the name of Jesus Christ.

Every foundational padlock in my life,shatter into pieces, in the name of Jesus Christ. I command the power drinking the milk and eating the food of my life to begin to vomit them now, in the name of Jesus Christ.

Let the blood of Jesus erase thelegal ground the enemy has against me today,in the name of Jesus Christ. Let all the foothold and seat of the enemy in my life  be dismantled by the thunder fire of the Holy Ghost, in the name of Jesus Christ.

Every cycle of confusion operating in my life break by fire, in the name of Jesus Christ. Every inherited destiny paralyzers in my family, come out with all your roots, in the name of Jesus Christ. I break andloose my fami y from the grip and control of fami y idol spirit,in the name of Jesus Christ. I break every curse of backwardness operating in my fami y,in the name of Jesus Christ. I dash every evil clock controlling my family into pieces, in the name of Jesus Christ.

0 Lord restore my fami y back to your original design for us,in the name of Jesus Christ. Every satanic embargo on my family, be-lifted off today, in the name of Jesus Christ. Every damage done to my life and destiny,be repaired by the power in the blood of Jesus,in the name of Jesus Christ. 0 Lord let my family attract prosperity, in the name of Jesus Christ. I command all words contrary to God’s word spoken against my life to fall dead to the ground and bear no fruit,in the name of Jesus Christ. Let the tongue of the enemy of my soul that is speaking against my life be divided by fire, in the name of Jesus Christ.

You voice of witchcraft speaking against my breakthroughs, I bury you today,in the name of Jesus Christ. My placenta, my blood reject destiny be-witchment, let it backfire by fire, in the name of Jesus Christ. Every  platform of failure prepared by my ancestors for me I am not your candidate, shatter into pieces today,in the name of Jesus Christ.

Let the plantation of impossibility in any department of my life receive fire and be roasted, in the name of Jesus Christ. Every lion of limitation roaring against my generation, my life and family, are not your candidate catch fire and burn to ashes,in the name of Jesus Christ. Thou strongman of limitation controlling my environment, release me and let me go by fire,in the name of Jesus Christ.

 

PROPHETIC DECLARATIONS

 

Revelation 3:8

  1. I know thy works: behold, I have set before thee an open door, and no man can shut it; for thou hast a-little strength, and hast kept my word, and hast not denied my name.

 

In the name of Jesus, I stand by the Prophetic and Appostolic Relim,I decree and declare KUFUTWA NA KUONDOLEWA MIPAKA YOTE NA VIKWAZO VINAVYO-KUZUIA USIENDE KAZINI KWA JINA LA YESU; KAMA MUNGU AISHIVYO BY THE POWER OF THE HOLY-GHOST IN THE NAME OF JESUS NAKUVUSHA ENEO HILI LA KAZI NA UTAENDA KAZINI NA KULIPWA MSHAHARA KWA JINA LA YESU!

 

Ezekieli 18:20

Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake,wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.

I Stand by the Prophetic and Apostolic Relim, in the name of Jesus and by the power of the Holy Spirit   remove you from all evil covenants operating in your family ambazo zinakulimit na kukuzuia kwenda kazini. Maandiko Matakatifu yanasema Mwana hatalipa uovu wa baba zake, In the name of Jesus, by the power Holy Ghost maagano yanayo kuzuia kwenda kazini yashike moto kwa Jina la Yesu na kukuacha huru.

 

2 Wakorintho 5:17

17 Kwa hiyo mtu akiwa ndani ya Kristo, amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita, tazama, mapya yamekuja.

I stand by the Apostolic and Prophetic relim to decree and declare NEW BEGINNING IN YOUR CAREER LIFE IN THE MIGHTY NAME OF JESUS; Mambo ya kale ya wewe ku-struggle eneo la kazi yamepita na kuanzia sasa utapata kila kazi unayo tamani kwa Jina la Yesu.

 

Yoshua 1:3

Kila mahali zitakapo pakanyaga nyayo za miguu yenu,nimewapa ninyi,kama nilivyomwa pia Musa.

 

By the power of the Holy Ghost, In the name of Jesus, I decree and declare popote utakapo omba na kutamani kufanya kazi, Mungu wako atakufanyia nafasi, Popote utakapoitwa interview Mungu wako atakufanyia nafasi pasipo na nafasi kwa Jina la Yesu.Kama Mungu aishivyo utaenda kazini

 

Zaburi 24:7

Inueni vichwa vyenu, enyi malango, Inukeni, enyi malango ya milele, Mfalme wa utukufu apate kuingia.

 

By the Power of the Holy ghost Malango yote ya kale yanayo kuzuia kwenda kazini, na Kukuwekea mipaka yafunguke upite sasa kwa Jina la Yesu; Kila Lango linalozuia mafanikio yako kupita nalingo’a sasa kwa Jina la Yesu; By the power of the HOLYGHOST in the Mighty name of Jesus Christ kuanzia sasa utavuka hayo malango, Utavuka  hio  mipaka, Na utavuka hilo eneo la kazi; KAMA MUNGU AISHIVYO UTAENDA KAZINI KWA JINA LA YESU

And I lifted my eyes and saw, and behold,  four horns! And I said to the angel who talked with me, “What are these?” And he said to me, “These are the horns that have scattered Judah, Israel, and Jerusalem.”

Then the LORD showed me four craftsmen. And I said, “What are these coming to do?” He said, “These are the horns that scattered Judah, so that no one raised his head. And these have come to terrify them, to cast down the horns of the nations who lifted up their horns against the land of Judah to scatter it.”

 

Sawa sawa na maono ya Nabii Zakaria, kila pembe zinazotumika kuzuia wewe kwenda kazini na mafanikio yako, Mungu wa haki na Mungu wa kweli wa Elia atume Malaika zake toka Mbinguni wanapambane na wanao-operate hizo pembe na kuziharibu kabisa kwa Jina la Yesu; Moto wa roho Mtakatifu Uzitekeze kabisaa hizo Pembe na kuondoa uhalali wake wowote wa kucheza maisha yako kwa Jina la Yesu!

 

Yohana 8:36

Hivyo Mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli.

 

May Our Lord Jesus Christ in his mercy and grace set you free from all limitations in your life and in your career tonight

 

Isaya 43:19

Tazameni, Mimi ninafanya kitu kipya. Kinafanyika sasa hivi, nanyi mtaweza kukiona. Nitafanya njia nyikani, na kububujisha mito jangwani.

 

KAMA MUNGU AISHIVYO AKUFANYIE USHUHUDA MPYA  AMBAO UTAONEKANA KWA MACHO, AKUFANYIE NAFASI PASIPO NA NAFASI KWA JINA LA YESU.

 

DAY 4

MUNGU ATAPIGANA VITA YAKO!

Leo siku ya nne, ambayo pia ni siku ya mwisho ya maombi ya vita katika safari yetu ya kiroho ya kuomba kwa ajili ya ajira. Tumepitia maombi ya toba, ukombozi, na kuondoa vizuizi. Leo tunasimama katika nafasi ya kimbilio, tukimwita Mungu mwenyewe ashuke kupigana vita vyetu.

Maandiko yanaonyesha wazi kuwa kuna vita ambavyo binadamu hawezi kuvishinda, ni Mungu peke yake anaweza kushuka na kupigania watu wake. Kama vile aliwahi kufanya kwa Waisraeli, atafanya tena kwa ajili yako!

🔥 Neno Kuu la Leo

Kutoka 14:14
“BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.”

Wakati mwingine, njia pekee ya ushindi ni kimya chenye imani – kuabudu, kutulia, na kumtazama Bwana atakavyopigana kwa niaba yako.

📖 Somo la Maandiko: 1 Samweli 5 – 6

Katika sura hizi mbili, tunajifunza hadithi ya ajabu kuhusu sanduku la agano la Mungu lilipotekwa na Wafilisti. Wakalichukua hadi kwenye hekalu la mungu wao Dagoni. Lakini usiku ulipofika, Dagoni alianguka kifudifudi mbele ya sanduku la Bwana. Asubuhi iliyofuata, Dagoni alikuwa amevunjika kichwa na mikono!

Ufunuo:
Mungu hashindwi. Wanaokuzuia kuingia kazini au kuendelea kimaisha hawatashinda – miungu yao itaanguka kifudifudi mbele za Mungu aliye hai!
Kila Dagon aliyesimama dhidi ya maisha yako ya ajira atapondwa usiku huu kwa jina la Yesu!

🙏 Prayer Focus: Maombi ya Ushindi wa Kiroho

Leo, tumia saa moja kusikiliza nyimbo za kuabudu ukiwa kimya, ukimwambia Mungu:

BWANA, PAMBANA VITA ZANGU!

🛐 Vipengele vya Maombi

  1. Bwana, inuka upige na kutawanya kila mpango wa adui dhidi ya maisha yangu na hatima yangu.

  2. Mungu wa Abrahamu, achilia moto wako uteketeze kila kifaa cha kishetani kilichotengenezwa dhidi yangu.

  3. Baba wa mbinguni, changanya lugha za maadui zangu, waibike na kusambaratika kwa jina la Yesu.

  4. Ee Mungu wa haki, nipe ushindi dhidi ya kila tuhuma za uongo na hila za watu.

  5. Ee Bwana, vunja minyororo yote ya kifungo na utumwa katika maisha yangu.

  6. Mungu wa Daudi, nipe moyo wa shujaa kuweza kushinda majitu yote ya maisha yangu.

  7. Roho Mtakatifu, pambana kwa ajili yangu na nivushe mpaka wa ajira yangu.

🔥 Tamko la Kinabii

Kumbukumbu la Torati 33:26–27
“Hapana aliyefanana na Mungu wa Yeshuruni, apandaye mbinguni kwa msaada wako… mbele yako amemsukumia mbali adui, akasema: Angamiza!”

🌟 Ninatangaza kwa mamlaka ya kinabii:

Kila adui anayezuia njia yako ya ajira, amemsukumia mbali Mungu mwenyewe, na sauti kutoka mbinguni inasema: ANGAMIZA!
Sema mara tano kwa imani: DESTROOOOOY!

💥 Tamko Maalum:

Isaya 45:2-3
“Nitakwenda mbele yako, na kupasawazisha mahali palipoparuza…”

👉 Mungu anakutangulia kwenye kila usaili, kila barua ya maombi, kila mlango uliofungwa. Hazina zilizofichwa, nafasi ambazo hazikuonekana – sasa zinafunguliwa kwa ajili yako!

🎯 Unabii wa Ushindi

Yeremia 29:11
“Nayajua mawazo ninayowawazia… mawazo ya amani na si ya mabaya, kuwapa tumaini siku zenu za baadaye.”

🕊️ Hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu (Luka 1:37). Kila hali ya kukataliwa, kufungwa kwa milango ya ajira, au kuchelewa kwa miradi yako imevunjwa leo kwa jina la Yesu!

✅ Mungu hatakusahau. Atafanya njia ambapo hapakuwa na njia, atakufanya kuwa mtumishi rasmi kwenye eneo lako la ajira.

🎤 Tamko la Imani (Sema kwa Sauti):

  1. “Jesus has set me free now!” (Rudia mara 5)

  2. “Nimewekwa huru kutoka kifungo cha ajira!”

  3. “Miungu yote iliyokuwa inanizuia imeanguka kama Dagoni!”

  4. “Ninaenda kazini kwa jina la Yesu!”

  5. “Mungu amenikumbuka – sitateseka tena!”

📝 Hitimisho

Usiku wa leo ni wa mwisho wa maombi haya ya vita – lakini ni mwanzo wa ushuhuda mpya katika maisha yako ya ajira. Mamlaka zote za giza zinazozuia maendeleo yako zimevunjwa. Mungu hajawahi kuchelewa, na leo, anaanzisha hatua mpya ya neema na ushindi kwa jina la Yesu!

DAY 5

BWANA FANYA NJIA YA KWENDA KAZINI

Isaya 43:19


Tazama, nitafanya neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.

Tunapomaliza hatua za kuondoa vizingiti na kuangamiza minofu ya zamani, sasa tunaanza sehemu mpya kabisa—soft life ya kujenga upya, maisha na miji iliyoanguka baada ya kuondoa wavamizi wa roho na maovu.

Lakini kujenga upya sio jambo la haraka au rahisi. Hii ni safari ya kiroho ambayo inahitaji uvumilivu na kuendelea meditate neno la Mungu kila siku—kusikiliza, kuutafakari, na kuutoa ndani ya moyo wako mpaka lifanyike halisi katika maisha yako.

Katika muktadha huu, unapaswa kujiambia:
“BWANA FANYA NJIA PASIPO NA NJIA YA MIMI KWENDA KAZINI.”

Hii maana yake ni kwamba njia hii si ya mimi au ya uwezo wangu, bali ni ya Mungu. Siku zote ninatakiwa kuomba, kutafakari na kuomba msaada wa Bwana kuunda njia mpya maishani mwangu na kazini. Unapojifunza kuomba na kuendelea kujiimarisha kwa neno hili, unajenga njia mpya kiroho—njia ambayo haikuwepo hapo awali!

PRAYER POINT (Kitu cha kuomba leo)

“Bwana, fanya njia yako mpya katika maisha yangu. Nifungue macho ya kiroho kuona njia ambayo haikuwepo hapo awali. Nisaidie kusimamia njia hii na kuifanya kuwa halisi katika kazi na maisha yangu yote. Amen.”

Kumbuka:


Meditate (kutafakari kwa kina) neno hili kila siku, usiku na mchana. Hii ndiyo njia ya kuumba njia mpya kiroho. Hata kama umefunguliwa na kuokolewa, bado unaweza kuwa mateka wa mifumo na njia za zamani. Leo ni hatua ya kuanzisha upya kwa meditation na kuomba njia mpya.

DAY 6

BY THIS TIME TOMORROW

2 Wafalme 7:1-3, 16-20

“Elisha akasema, ‘Lisikieni neno la BWANA; BWANA asema hivi, Kesha panapo saa hii, kipimo cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli, langoni pa Samaria.’
Basi yule afisa, ambaye mfalme alikuwa akitegemea mkono wake, akamjiibu yule mtu wa Mungu, akasema, ‘Tazama, kama BWANA angefanya madirisha mbinguni, je! Jambo hili lingewezekana?’ Akamwambia, ‘Angalia, wewe utaliona kwa macho yako, lakini hutakula.’
Basi watu wakatoka wakaziteka nyara hema za Washami. Ikawa kipimo cha unga mzuri kikauzwa kwa shekeli, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli, sawasawa na neno la BWANA.
Naye mfalme akamweka yule afisa mlinzi, ambaye alitegemea mkono wake, awasimamie watu langoni; na watu wakamkanyaga langoni, akafa, kama alivyosema yule mtu wa Mungu aliyeambia mfalme alipomshukia.”

(2 Wafalme 7:1-3,16-20)

Unapokutana na Mambo Yasiyoonekana Kufanyika…

Mara nyingi maisha yanatupa changamoto kubwa sana, changamoto ambazo zinaonekana kama hazitoweza kumalizika wala kufanikishwa. Mwaka na miaka imepita, lakini bado hatujapati mafanikio. Unajikuta ukijibwaga na hali ngumu kama ile ya Waisraeli waliokuwa katika njaa kubwa kabisa, mpaka hata mfalme mwenyewe anapinga na kushuku manabii wa Mungu.

Lakini hata pale ambapo hali inakuwaje ngumu, Mungu hawezi kukushinda. Anaposema, “Kesho panapo saa hii…” anakuahidi neema mpya, suluhisho la kipekee, na njia mpya ya kufanikisha maboresho katika maisha yako. Hata kama inakuwaje sasa, unahitaji kuamini kwamba kuna mabadiliko makubwa yakiandaliwa kwa ajili yako.

Mfano wa afisa wa mfalme, ambaye alikataa kuamini maneno ya Mungu, unatufundisha kuwa hata tukijua zawadi ya Mungu ipo, bado tunaweza kushindwa kuimwamini na kuona matokeo. Lakini maneno ya Mungu ni kweli, na yatatimia—labda hutakuwa umeona mabadiliko kwa macho, lakini kwa hakika mafanikio yako yameanza kutimia.

PRAYER POINT

“Mungu wa Elisha, BY THIS TIME TOMORROW, nitendee kama ulivowatendea kina Elisha. Suala langu la kwenda kazini ambalo limekuwa gumu, limezidi kwa miaka mingi, hata kama ungefungua madirisha ya mbinguni lingekuwa gumu kufanikisha. Nisaidie kuingia kazini kimazingira, kipekee, na cha miujiza kama bei ya unga ilivyo poromoka kwa ajira na mafanikio. Amina.”

Kumbuka:

Jitahidi kuamini na kuendelea kuomba kwa imani tele, hata kama hali haijaonekana kubadilika mara moja. Muda wa Mungu uko karibu na hukosei. By this time tomorrow, mafanikio yako yatajulikana kwa macho yako!

DAY 7

 

FROM ASHES TO BEAUTY

📖 Isaya 61:1-3

“Bwana Mwenyezi-Mungu amenijaza roho yake, maana Mwenyezi-Mungu ameniweka wakfu, akanituma niwaletee wanaokandamizwa habari njema, niwatibu waliovunjika moyo, niwatangazie mateka kwamba watapata uhuru, na wafungwa kwamba watafunguliwa… niwape wale wanaoomboleza katika Sayuni tajila la maua badala ya majivu, mafuta ya furaha badala ya maombolezo, na vazi la sifa badala ya moyo mzito…”

🔥 Kutoka kwenye Majivu hadi Uzuri

Kuna nyakati ambapo maisha yanavunjika vipande vipande. Ndoto zinayeyuka, matumaini yanachakaa, moyo unajaa maombolezo, na maisha yanatupatia majivu badala ya uzuri. Lakini katika maandiko haya, Mungu anatangaza “mabadiliko ya msimu”— kutoka kwenye huzuni, maombolezo, na kuvunjika moyo hadi msimu wa furaha, uponyaji, na kurejeshwa kwa utukufu.

“Ashes to beauty” siyo tu maneno ya faraja, bali ni ahadi ya Mungu. Wakati watu wanaona kilichobakia ni magofu, Mungu anapanda tena. Anabadilisha mavumbi ya huzuni kuwa taji ya uzuri, mafuta ya furaha badala ya maombolezo, na vazi la sifa badala ya roho ya kukata tamaa. Hii ni kazi ya Roho wa Bwana kwa ajili yako!

Mungu hajakusahau. Ikiwa umepitia kukataliwa kazini, kupoteza mwelekeo wa maisha, kukosa nafasi au hata kuvunjwa moyo na watu uliowaamini — ujue hii ni siku yako ya kipekee ya kurejeshwa.

🧎🏽‍♂️ PRAYER POINT

“LORD, BESTOW ON ME THE CROWN OF BEAUTY INSTEAD OF ASHES — IN MY CAREER, IN MY PURPOSE, AND IN EVERY AREA WHERE THERE HAS BEEN LOSS. NITOE KWENYE MAAJIVU YA KUKATA TAMAA NA NIVAISHE TAJI YA UZURI NA USHINDI. Amen.”

 

 

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top