DELIVERANCE
OMEGA ANOINTING PROGRAM (DAY 1 -7 )
Wapendwa tukielekea kumaliza mwaka 2024, basi tutafanya omega annointing, hata kwa huu wasaa mdogo tuliobakia nao tuweze kufunguka, tuweze kuvuka vikwazo…
Wapendwa tukielekea kumaliza mwaka 2024, basi tutafanya omega annointing, hata kwa huu wasaa mdogo tuliobakia nao tuweze kufunguka, tuweze kuvuka vikwazo…
MWANZO PROGRAM NI SIKU 30 Mpendwa utaombea jambo moja (1) na kila siku utasimamia mstari mmoja na nitakuwa nikiutoa usiku, Hakikisha unashinda…
DAY 1 Isaya 45:2 Mimi nitakutangulia, na kuisawazisha milima mbele yako.nitaivunjavunja milango ya shaba, na kuvikata-kata vizuizi vyake vya chuma. Prayer…
Kusema una -imani wakati huwezi kuithibitisha ni kujidanganya, Wengi wanasema nina imani sana lakini Mungu yuko kimya , SIO KWELI, Unatakiwa muda…
Kama nilivyo waambia Jana unaweza kupata matokeo makubwa kwa Njia 2! 1. Becoming best at the RELIM OF THE FLESH kwa…