SIKU SABA (7) ZA USHINDI – TAREHE 5/8/2024 HADI 11/8/2024

WAPENDWA WA WALE AMBAO HAMJAWAHI KUPATA KAZI KABISA-KABISA NA MMEFANYA PROGRAMS ZA PROSPERITY NA CAREER LEVEL-UP NA PROGRAM NYINGINE  ZA KAZI LAKINI BILA-BILA, IT IS OFFICIAL MMEFUNGWA ENEO HILO.

 

KAMA HUJAFANYA PROGRAM ACHA MIYEYUSHO KAFANYE BWANA, HATA HAWA WALIO FUNGWA INABIDI DELIVERANCE IFANYIKE LAKINI LAZIMA WARUDIE TENA, NA KUFUNGWA SIO SIFA WALA JAMBO LA KUJICHOMEKA.

 

NYIE SIKIO LA KUFA KWENYE AJIRA HALISIKII DAWA INABIDI NIWAPIGE DELIVERANCE YA SIKU SABA (&), HAPO MAANDIKO MMEFELI KUJIFUNGUA HILO ENEO INABIDI TUPANDE NGAZI KWA HOLY-SPIRIT, MFUNGULIWE NA MUNGU MWENYEWE!

 

SASA KAMA HUJAOKOKA NA KUMPA YESU MAISHA YAKO CHANCES UTA-FLUNK DELIVERANCE NI KUBWA SABABU WALIOKUFUNGA WAME DHAMIRIA NA WEWE HAUPO SERIOUS NA UKOMBOZI, HONESTLY ITS NOT LIKE YOU HAVE CHOICE ANYMORE WEWE UNATAKIWA KUJILIPUA.

 

WENGI WANANIFATA WAMEMALIZA 2012-2018 UNAONA KA BISAA SIO CHILDREN TENA, AGE GO! NA CAREER IS A VERY TIGHT GAME, HATA ENZI ZETU! NOW NA HII TECHNOLOGY YA “AI” IT IS EVEN WORSE, YOU NEED EVERY HELP OR CONNECTION EVEN IF IT IS DIVINE HELP AND CONNECTION.

 

WAPENDWA NA MWANANGU HAPA NAHANGAIKA NAE TOKA 2022 JUZI NDIYO KAPATA KAZI YA 250,000 FOR CHRIST SAKE, HATA HUKU KWENYE BIASHARA WE PAY MORE, ANA VIFUNGO VYA KIBABE  LUCKLY SHE IS STILL YOUNG AT HER 20sSHE HAS TIME, WENGI WANAKWAMBIA SIJAWAHI KUAJIRIWA, HOW OLD ARE YOU? 37, 38 ,40, SASA TIME IS NOT YOUR FRIEND, UNAWEZA KUDHANIA HAWA NDIYO WATAKUWA SERIOUS NA DELIVERANCE! YOU DEY PLAY UTASHANGAA MTU WA 26 NDIO ANA UCHU WA KAZI HATARI.

 

UKWELI UKISEMWA UMRI WA KUAJIRIKA MWISHO MIAKA 45 SERIKALINI, PRIVATE IS EVEN DEADLIER 35 IF IAM BEING LINENT, LAKINI MOST WANATAK A 26-30 KWENYE SALES NA OPERATIONS, ACCOUNT WANATAK A OLDER PEOPLE SABABU SI WANASHINDA NA MA-FILE, FAMILY, ACHA UJINGA, ACHA KUJIENDEKEZA, ACHA KUJIDEKEZA, ACHA KUSUSA, YOU WENT TO SCHOOL FOR CRYING OUT-LOUD!, YAMKINI MAISHA HUNA LAKINI AKILI NA UELEWA UNAO WA KUTOSHA, DON’T LET THE STREETS DEFEAT YOU,  MWANANGU WA 250K ANA UPPER SECOND NILIMWAMBIA MAYBE SEAT OUT THAT JOB, AKANIAMBIA NAENDA  MAMA! NATAKA KUMU-AIBISHA SHETANI NA YUPO MWEZI WA 3, SHE HAS SEVERAL INTERVIEWS SCHEDULED!

 

MTU AMBAYE HAJASOMA AKIWA MPUUZI UNAMUELEWA HAJAPATA NEEMA YA KWENDA SHULE, LAKINI JITU SOMI LIKIWA LINALETA UPUUZI HIYO NI MAKUSUDI KABISA NA INA KATA SANA SABABU UNAJUA EXACTLY WHAT YOU ARE DOING!

 

WENZENU TULIENDA KUJARIBU MAISHA INTERNATIONAL LABOR MARKETS, IT WAS TOUGH , IMPOSSIBLE, DEADLY LAKINI TULIKAZA MPAKA KIKA-ELEWEKA!, SOKO LA AJIRA NCHINI BADO NI-RIPE UKILINGANISHA NA DUBAI, INDIA, USA, UK, EUROPE YAANI KAZI ZIPO SEMA NDIYO INABIDI KUKAZA HATA KUTUMIA MADHABAU IKIBIDI.

 

USUALLY DELIVERANCE INATAKA MTU SERIOUS NA MAKINI NA ALIYEFANYA MAAMUZI MAGUMU, WALIOGOMA USIENDE KAZINI HAWAWEZI KUKUBALI PENALTY KIRAHISI NA WEWE USIKUBALI KUKAA NYUMBANI KIZEMBE, PAMBANENI NA PAMBANISHENI MADHABAHU USO KWA USO, VILINGE USO KWA USO, MAKUHANI WA MADHABAHU USO KWA USO MPAKA MMOJA AKUBALI KUSHINDWA, SASA WEWE UNATOA USHINDI WA MEZA NI KWELI? BASI VENYE UMEFUNGWA  NDIO WATULIA HAPO-HAPO MPAKA WATAKAPO CHOKA WAO?.

 

WENGI MMEFUNGWA UCHUMI NA UFAHAMU VILE-VILE, MTU ANA 37 HAJAWAHIFANYA KAZI ANA WATOTO WA 2 HAJUI ATAWASOMESHAJE AU NDIO PAPA ECONOMY ANAITEGEMEA WA KATI AGE IKI-GO SOKO LINA POROMOKA KWA KASI NI BORA UKAANZA KUZINGATIA KAZI HALALI!, AKISHADANGANYA ANA MIAKA 25 NA VILE MWILI MKAVU ANAJISAHAU, MIAKA 25 CHUO UME MALIZA 2010.

 

NIMEKATAA  KWA NIABA YA WAZAZI WENU NA SERIKALI, HUWEZI TOROKA DENI LA LOANS BOARD, LAZIMA UINGIE KAZINI UREJESHE MKOPO WA LOANS BOARD, HAUWEZI KU UTOROKA KIRAHISI TU; YAANI KAZINI UTAINGIA NA WAZAZI WAKO WATAKULA MATUNDA YA MIKONO YAKO, SHETANI HAWEZI KUSHINDA MPAKA MWISHO, YOU WILL CHALLANGE DARKNESS AND YOU WILL WIN!

 

WAPENDWA WALIO FANYA DELIVERANCE YA JANUARY SERIOUS NIDA ZAO ZIMETOKA WANA TAMBA  NA  KAZI ZAO  MJINI HAPA, NA  ZAKA  YANGU WANAILA.

 

MPENDWA YAANI MWENYEWE  NI KUWA SERIOUS KWAMBA LAZIMA NIENDE KAZINI ENOUGH IS ENOUGH, SITAKI KUISHIA INTERVIEW NA FAKE PROMISE, LAZIMA UINGIE KWENYE PAYROLL, HATA IKIBIDI U-OKOKE UTA-OKOKA IKIBIDI UFUNGE UTAFUNGA,  IKIBIDI UACHE WOGA UKUTANE USO KWA USO NA ROHO MTAKATIFU MTAKUTA NA SUALA NI MOJA TU KWENDA KAZINI.

 

KAMA SIJAKUSHAWISHI KAA HAPO OSHA VYOMBO MWAYEGO NAYO PIA MAISHA, LAKINI KAMA UMEONA ENOUGH IS ENOUGH FANYA MAANDALIZI KAMA KUMPOKEA YESU KABISA, HOW WILL YOU CHALLANGE MADHABAHU ZA GIZA BILA KUWA NA YESU NDANI YAKO? YOU DEY PLAY, KAMA NILIVYOSEMA WEWE NIMSOMI UKIFANYA MIYEYUSHO UNAJUA KABISA.

 

WAPENDWA RASMI TAREHE 5/8/2024 – 11/8/2024 TUTAKUWA NA SIKU  (SABA)  7 ZA USHINDI; ANDAA VYETI VYAKO MAANA UTAKUWA UNAVISHIKA SIKU ZOTE  SABA (7) WAKATI WA MAOMBI, TUNAWASHA MOTO TUNA WASHA KWELI,  ANDAA MBEGU KABISA, SADAKA ZA AGANO, JIONGEZE UNAVYOWEZA LAZIMA UENDE KAZINI NA UKALIPE MKOPO WA LOANS BOARD, ANGALIA KABISA DENI LAKO LA LOANS BOARD ULIJUE, KITAMBOO!

 

KUNA RAFIKI YANGU JUZI LOANS BOARD WAMEMDAKA  ANA DENI LA UDSM SIO KUBWA KAMA MILLION 7 KITU KAMA HIKO LAKINI ALICHUKUA SCHOLARSHIP ZA CHINA CHINI YA LOANS BOARD KUSOMA MASTERS, KUDADADEKI.

YAANI ANADAIWA MILLION 140,000,000! YANI KWENYE   MSHAHARA WAKE BAHATI ALIWAHI KUUKOPEA WOTE MPAKA KIWANGO AMBACHO HAPASWI KUKATWA, LAKINI LOANS BOARD WANA MFYEKA 1.5 MILLION KWA MWEZI, ANALIA WEE ANATULIZIA  NA GREEN TEA.

 

MPENDWA WATU WAENDE KAZINI WEWE USIENDE KWANINI?, DHAMBI GANI KUBWA ULIO WAHI KUIFANYA HAPA DUNIANI KUSHINDA WENZIO? KAZINI UTAENDA NA DENI LA LOANS-BOARD LAZIMA ULIPE  AMEEN!.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk