JINSI YA KUPOKEA NA KUITA DIVINE INTERVENTION – SUNDAY WORD

Kuomba divine intervention sio kazi, Unaweza kuruka live upo serious ukaomba MBlNGU ziingilie kati na kukusaidia, Ni jambo jema sana na smart move. Maandiko yenyewe yameweka bayana!

 

2 Kings 6:27

27 The king replied, “If the Lord does not help you, where can I get help for you? From the threshing floor?, From the winepress?”

 

UNAWAZA MWENYEWE,UMEZIDISHA NA KUGAWANYA, UNAFANYA MAAMUZI MAGUMU KAMA VIPI NAJILIPUA, NAOMBA  MBINGU ZllNGILIE KATI, KAMA KUNIUA WANI-UE TU, LAKINI SAFARI HII NAENDA MBELE ZA KITI CHA ENZI AND I WILL STAND MY GROUND MPAKA NIZINGATIWE!, MIAKA 40 KAMILI YAANI SIKUBALI NAKOMAA.

 

Cha kwanza Dhambi zako zina-kuhukumu, Akili yako inaanza kukumbuka moja moja!, FLASH BACK! Mpaka waliokufa iLa ulishiriki nao dhambi unawakumbuka mmoja mmoja, IT IS LIKE UOVU WAKO UNA KU-CHALLANGE ARE YOU REALLY SURE YOU WANNA GO DOWN THIS ROAD? BECAUSE DEFINITELY THERE IS MORE DIRTY AGAINST YOU,  WE HAVE WHOLE CENTURY FOR THIS,  WENGI SAFARI INAISHIA HAPA, NOT BECAUSE MUNGU HAWASIKILIZI KWANI NI WAOVU LAKINI ILI UMKARIBIE MUNGU LAZIMA UTUBU NA KUUKANA UOVU WAKO WOTE, WEWE UACHE BOOTY CALLS THUBUTU,  UNAFANYA MAAMUUZI MAGUMU WHAT DOESN’T KILL ME MAKES ME STRONGER, DEVIL BRING IT ON!, NIKO NA WEWE MPAKA UNIUE, KWANZA WALIO OLEWA IN THEIR 20’s WASHAPIGWA CHETI CHA KWANZA CHA TALAKA TUPO NAO KITATAA! IT IS LESS LONLIER NOW THAN 5 YEARS BACK.

 

Cha pili kwa wale wenye uyuda mpaka kwa shetani, Wanamkana shetani mchana kweupee, Devil your time is up, Narudi nyumbani kwa Baba and nothing you say is going to stop me, I know you liar, Destroyer of the breathen.

 

Matthew 16:23

23 Jesus turned and said to Peter,”Get behind me, Satan!, You are a stumbling block to me;you do not have in mind the concerns of God,but merely human concerns.”

 

Mpendwa unatubu kwa MOYO na kustaafu rasmi kona-kona zako, Unanyoosha maisha YAKO! si umedhamiria, Unataka kupata unachotaka, Mpaka shetani anakaaa pembeni, Haaamini Macho yake.

 

UNAJIKOKI NA KUFIKIA VIGEZO VYA KUKARIBIA KITI CHA NEEMA NA REHEMA, MKAVU SANA DADA WEWE, IN A GOOD WAY!

 

UNAJILIPUA SASA KU-SUMMON DIVINE INTERVENTION , SASA KWA SISI WAZOEFU UKISEMA DIVINE INTERVENTION TUTA TAKA KUJUA ON WHICH DIMENSION ? MBINGU KUBWA SANA WHO SPECIFICALLY ARE YOU PLANNING TO SUMMON?, ANGLES !!!? WHICH ONES EXACTLY?, CHERUBS?, SERAPHIMS? ARCH ANGEL? WAKIKUULIZA WHO ARE YOU SUMMONI NG US ?MKAVU  SANAA!

 

Sababu hujui lolote na hujaliii kujua, Malaika ni Malaika, Maserafi au Makerubi sijali, Sijui na Mungu anajua sijui, Siwezi kuhukumiwa kwa nisicho-kijua!, Mtanisaidia! Najua-jua kwamba naweza kuwa tuma!, Tuta tumana hivyo-hivyo!

 

Cha Tatu  definitely you need SCRIPTURES, Lazima upate andiko la kupitisha nguvu za MUNGU ili uweze kuzi-access! LAZIMA UPATE ILIPO ANDIKWA KUWA MBINGU ZINA SAIDIAGA BINADAMU! REFERENCE MY DAUGHTER REFERENCE, Na wewe husomagi maandiko, Lakini kuna Uba au Bolt yako Ya maandiko, Mimi Au mtumishi wako, UNA REQUEST ANDIKO. Tena unatoa specifics kabisaa just like Uber!, Boda, Bajaji au Car!, La kupitisha fasta-fasta, We huogopi?, Ushafanya maamuzi magumu! Ku-wa summon  Cherubs  na Seraphims Need it be, Itakuwa ku-summon andiko kwa binadamu? Zaka zangu imekula andiko utatoa au hutoi?

 

Cha 4!, Kama Mtumishi siamini lakini ndio it is going down, and going down right now and right infront of my eyes, Najaribu kuwaza fasta fasta!Is she for real? lakini Kama kadhamiria kuwa summon Maserafi na Makerubi maybe with the right scriptures she can go before God himself, Maybe she has what it takes!

 

Maybe she is not ready now, lakini kama imemchukua 40 years kuweza kujilipua, nikimkatisha tamaa it will be another 40 years, She willbe 80yrs, Maybe have more faith in her, She may have what it takes!. Fine I will give her the SCRIPTURES, Yet again WHAT SCRIPTURES?  Given  ni mchanga katika imani, na katika haya mambo ya kiroho. Anyways nampa andiko la muujiza wa kwanza wa Yesu, Alio ufanya akiwa bado kijana mdogo sana, Jesus as a young boy SUMMONED THE HEAVENS NA ZIKAITIKA

 

Yohana 2:1-11

Yesu ahudhuria Harusi Mjini Kana

2 Siku ya tatu kulikuwa na harusi katika mji wa Kana ulioko Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo na Yesu pamoja na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa pia. 3 Divai ilipowaishia, Mama yake Yesu alimwambia, “Hawana divai.”

4. Yesu  akamjibu,”Mama, mbona unanihusisha kwenye jambo hili? Wakati wangu bado haujafika.”

5 Mama yake akawaambia watumishi,”Lolote atakalowaambia,fanyeni.”

6 Basi ilikuwapo hapo mitungi sita ya kuwekea maji ya kunawa, kufuatana na Desturi ya Wayahudi ya kutawadha. Kila mtungi ungeweza kujazwa kwa madebe sita au saba ya maji.

7 Yesu akawaambia wale watumishi,”Ijazeni mitungi hiyo maji.” Wakaijaza mpaka juu .

8 Kisha akawaambia,”Sasa choteni maji kidogo mumpelekee mkuu wa sherehe.” Wakachota, wakampelekea.

9 Yule mkuu wa sherehe akayaonja yale maji ambayo yalikuwa yamegeuka kuwa divai. Hakujua divai hiyo imetoka wapi ingawa wale watumishi waliochota yale maji walifahamu. Basi akamwita bwana harusi kando wakamwambia,”Watu wote huwapa wageni divai nzuri kwanza kisha wakianza kutosheka huwaletea divai hafifu.Imekuwaje wewe ukaiweka divai nzuri mpaka sasa?”

11. Hii ilikuwa ishara ya kwanza aliyofanya Yesu. Muujiza huu ulifanyika katika mji wa Kana huko Gali aya, ambako Yesu alidhihirisha utukufu wake, na wanafunzi wake wakamwamini.

 

SASA ANDIKO NDO HILI,  WEWE NDIO HUYU MTU NINAE MZUNGUMZIA TOKA PAGE 1, MAYBE YOU AINT 40 LAKINI DEFINITELY YOU NEED GOD’S INTERVENTION IN YOUR LIFE RIGHT NOW NA HII NDIO PROCESS YA WEWE KUPATA HIO DIVINE INTERVENTION KWENYE HILO ENEO!

 

MAFUNZO KWA VITENDO

Mambo ya kuwafundisha HUU NIUFAA…… mnamalizia GIO tushavuka huko, Sasahivi ni mwendo wa    INTERGRATION na DIFFERENTION!

 

YOU WILL PRACTICALLY PRAY FOR DIVINE INTERVENTI ON THIS WEEK FOR YOURSELF BILA KUFANYA KWA VITENDO UTAJUA LINI? HATA UKIKOSEA HUNA LA KUPOTEZA, UKIPATIA IT IS EVEN BETTER.

1.ANDI KA ENEO UNALOTAKA KUOMBA DIVINE INTERVENTION.

 

2.PROCESS NI HII NILIYO-TOA, JIONGEZE UFIKE KWENYE MAANDIKO KAMA NI TOBA FANYA! KAMA NI WOGA JIKAZE NA PAMBANA.

 

3. ANDIKO NDIYO HILO NIMEKUPA, YES MAYBE HAUWEZI SANAA KU-DECIPHER MAANDIKO UKATOA PRAYER POINTS LAKINI PAMBANA KWA UWEZO WAKO, UTOE PRAYER POINT HATA 3 TU!

 

UKISHINDWA PAMBANA UNAVYOWEZA WEWE KUOMBA MSAADA WA KIMBINGU KWENYE HILO ENEO KUPITIA ANDIKO HILI.

 

MPENDWA NEXT SUNDAY NITA DECIPHER HAPA, SIYO KAMA HUKUFANIKIWA UTAJI SAHIHISHA NA KURUDIA! LAKINI NAWAJUA NYINYI NI WABISHI MTA-TELEZA NA KU SUPERCEED MY EXPECTATIONS!, CHA KUWAHAKIKISHIA NI KUWA HILI ANDIKO NI SAHIHI SANA, SANA KWA SABABU YESU ALITUMIA TU IMANI YA MAMA YAKE, WAFANYAKAZI, NA YA KWAKE KUMALIZA MCHEZO WOTE.

 

HAKUOMBA NENO LOLOTE WALA KU-REFER ANDIKO LOLOTE LA TORATI, ILIKUWA MWENDO WA KUTOA ODA NA IMANI.

 

KILA KITU ALICHOKUWA NACHO YESU UNACHO, KILICHO BAKIA NI WEWE KUGEUZA MAJI KWENYE HILO ENEO LA MAISHA YAKO YAWE DIVAI KWA MSAADA WA MBINGU,  IF NEED BE YOU CAN SUMMON HELP OF JESUS HIMSELF TALK OF CHERUBS AND SERAPHIMS.

 

I have altmost faith in you and you doing this, Kiukweli nimechoka kufundisha watu wababai, Watu wasio na matokeo, Watu wa kujivuta-vuta yaani Mwaka umefika nusu bado UNABABAIKA BAIKA kizembe tu, Mwaka uishe uje-ujilalamishe, 2024 bride, June hii na bado ni Bila-bila, Bora ufanye maamuzi magumu tu, Peke yako una sua-sua na huna matumaini yoyote SABABU YOU ARE TALKING IT SLOW.

 

MUNGU YUPO TAYARI, YESU YUPO KULIA KWAKE YAANI SAFU NZIMA YA MASERUFI NA MAKERUBI IKO STANDBY, MIMI KAMA KOCHA WAKO NIKO STANDBY, WOTE TUNATAKA KUONA WEEK HII UNA-THUBUTU KWENDA MBELE ZA MBINGU? MBINGU ZITA  KUITIKIAAA?  SHETANI YUKO STAND-BY KUONA JE, UTAKUWA NA JEURI YA KUMUAIBISHA?, NAWATEGEMEA  SANA.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top