Zab 51:17
Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika, Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, huta udharau.
MPENDWA MOYO ULIOVUNJIKA NA KUPONDEKA NI MOYO UNAO-MTEGEMEA MUNGU PEKE YAKE!, MOYO ULIO-SURRENDER NA KUSALIMU AMRI, MOYO USIO NA PLAN A AU B. MPENDWA MOYO WAKO UKIFIKA STATE HII MAJIBU YANAKUWA FASTER SANA NA EXPRESS, KWA SABABU NAFSI YAKO INAKUWA NYEPESI KAMA NYOYA HIVYO MAOMBI YAKO YANA DIRECT CONNECTION NA MBINGU.
WENGI IBADA ZENU NI NZITO, MIOYO NI MIZITO SABABU YA KIBURI, PLAN B, COMFORT ZONE, KURIDHIKA, VISASI, HILA NA UPUUZI UPUUZI MWINGI TU, KAMA HAPA NIMESEMA OMBA 3 TIMES A DAY, MTU ANAONA HANA MUDA, ANAOMBA MARA MOJA TU.
AU MTU ANAOMBA HUKU BADO ANA KINYONGO NA EX WAKE, HUYO EX ALIYE MBEBA ANA MKE WA NDOA NA WATOTO WA 3 NA MAISHA YAKE YANASONGA FRESH TU LAKINI WEWE VICTIM NDO UMERIHUSU HILO TUKIO LIKUFUNGE KIFUNGO CHA MAISHA, TUKIO LENYEWE LINA MIAKA 10, KAMA ALIKUZALISHA MTOTO ANA MIAKA 10 WEWE UNAYE HUYO MTU ROHONI MPAKA SIKU UNAENDA KABURINI.
HII MIZIGO MINGI NI UPUUZI TU, SANA SANA INAKUWA KAMA GRAVITY FORCE PALE ROHO YAKO INPOTAKA KUINUKA MBELE ZA MUNGU, ILI ROHO YAKO IINUKE VIWANGO LAZIMA IWE NYEPESI NA FREE OF BULLSHIT.
LAZIMA UWE UME SURRENDER KWA MUNGU MAMBO YAKO YOTE, UKI-SURRENDER NDIO UNATOA NAFASI YA KUWA CARRIED BY THE SPIRIT, MTU MWENYE MIZIGO MOYONI MWAKE, THE SPIRIT OF GOD CAN NEVER FLOW THROUGH THEM!, KWA VAINS GANI? VAINS ZIMEJAA EX NA BABY DADY, THUBUTUU.
TO BE CARRIED BY THE SPIRIT YOU HAVE TO BE LIGHT, ITS A PRINCIPLE! ITS NOT DEBETABLE! ROHO WA MUNGU HAWEZI KUJI SQUEEZ SQUEEZ AMI D YOUR CHAOTIC SPIRIT AND MIND!, THE QUICKEST WAY TO MOVE FOWARD IS TO SILENCE YOUR HEART! NYAMAZISHA NAFSI NA AKILI HIYO IACHE KELELE NA KUFOKA FOKA ILI UMSIKIE MUNGU, SASA NAFSI MUDA WOTE INAPIGA KELELE ZA KUSIKIA UCHUNGU, KUUMIZWA, NAFSI INAFOKAA HATARI NA KUDEKA DEKA MUDA WOTE, SASAS SAA NGAPI UTAMSIKIA MUNGU NA KUSIKIA ANASEMA NINI JUU YA MAOMBI YAKO?, NA UKIFANYA MCHEZO UTASIKIA MAKELE TU YA NAFSI YAKO, AMBAYO HAVANA JIPYA NA HAYAKUPELEKI POPOTE.
NDIYO MAANA NAWEZA KUWAPA MAOMBI SAWA SAWA WEWE NA WENZIO, WENZIO WAKASHUHUDIA WEWE BILA BILA, SHIDA SIO MAOMBI!, SHIDA NI WEWE MUOMBAJI.
MPENDWA ILI USONGE MBELE LAZIMA U-BALANSI SHOBO ZA NAFSI NA AKILI YAKO, UZI BALANCE NA KUWA NAZO IN CONTROL, ZISHIKE ADABU ZAKE NA KUACHA KELELE NA KUDEKA DEKA! ZIKAE KIMYA ILI UMSIKILIZE MUNGU ANASEMAJE?, NDIO MAANA UNAWEZA KUTA MTU ANA WATOTO WA 3, BABA TOFAUTI PROBABLY TALAKA 2 ANAVAAA SHELA NA BIKRA AU MDADA MLOKOLE HAVAI SHELA MPAKA MIAKA 40!
HUYU MWENYE WATU WA 3 NI MWEPESI WA KUSAMEHE NA KUBALANCE NAFSI NA AKILI YAKE NA KUWEKA ROHO YAKE NYEPESI ROHO WA MUNGU KU-FLOW, NA UKIANGALIA UKALI WA MAKOSA ALIYO TENDEWA HUYU MAMA WA 3 NI WA KUTISHA, IMAGINE UNACHUKULIWA NA FAMILIA KWA NDOA MAANA YAKE ITS OFFICIAL UNAZAA NA MTOTO BAADAE UNA FURUMUSHWA, UNAPATA PENGINE UNAFURUMSHWA TENA AND KiIDS ARE INVOLVED, LAKINI WANAKUWAGA PURE OF HEART, ALL THE TIME!
KAMA WIFI YANGU MAMA WA WATOTO WANNE, WORD ON THE STREET IS KAKA ALITAKA KUMUUA FOR REAL-REAL, LIKE HE POISONED HER, TWICE BADO ANAONGEA NAYE, SABABU WANA WATOTO AND EVERYTHING!
Mimi nilishangaaa how on earth kanisa tena la Roman watoe talaka kiwepesi Sana, Ndiyo kupenyezewa grounds za divorce, Nilichokaaa, yaani Why ? I don’t know kwa kweli, Labda Mali, Labda! Imagine mtu umemzalia watoto wa 3 kwa shida yule Dada anazaaa kwa shida sana robo Tatu ya kufa, And he poisons you, Wifi can be stubborn lakini poison kweli?, Na hakwenda police only asked for divorce, NA NAWAHAKIKISHIA AMEMSAMEHE 100%!, TUKI MPA CHAKULA ANAKULA NA WATOTO ANATUPA MUDA WOWOTE, Na ameolewa zake mji mwingine, amezaa watoto wengine wa mji huo, na she is absolutely happy!
SASA WAPUUZI WENGINE NYIE MTOTO MDOGO IN YOUR PRIME AGE OF 205 ‘S UNAISHI KAMA MSUKULE KISA KAMTUUU TU MLIOKOTANA BARABARANI, MKAZINI WOTE MARA KADHAA, HAKUTAKI TENA, KOSA UNAISHI KAMA MSUKULE, MOYO WAKO MWEUSI UMEJAA KUTU MTOTO MDOGO HUWEZI KUOMBA OMBA USIOMBE WEMBE NI ULE ULE HUTAKIWI.
YANI WENGI SHETANI AMEWAPA KAMBA MJINYONGE WENYEWE NA UJINGA WENU, MTU KAKUKATAA KWANI YUKO PEKE YAKE DUNIANI?, UMEZALIWA NAYE TUMBO MOJA ? UPUUZI MTUPU HUJAPITIA HATA KI-DIVORCE KIMOJA UONJE KUDHALILIKA MBELE YA WABAYA WAKO, WAKURUSHE ROHO MIDAWA IMEISHA NDOA ZA MIDAWA ZINAKAA BASI, NDOA SIO MAKALIO KILA MTU ADUMU NAYO, MGANGA WAKE KAFA, WE UMEACHWA KIMYA-KIMYA KAMA MLIVYO KURUPUANA UNAJITIA UNAKUFA WAKATI NI JAMBO LA KUMSHUKURU MUNGU AIBU YAKO UNAWEZA KUI-CONTAIN UKAIZIMA KIMYA KIMYA.
KAMA UNATAKA MAJIBU HARAKA NA MILAGE KWENYE MAOMBI YAKO HAKIKISHA UNA SURRENDER KWA MUNGU KILA KITU, MIMI NAWASHANGAA UGUMU WA KUSURRENDER MATATIZO, NUKSI, MIKOSI UKO WAPI?, MTU UNA NUKSI KIBAO MIKOSI KAMA YOTEEEE NA BADO MGUMU KU-SURRENDER, UNAN’GANG’ANIA HIO MIZIGO YA NINI? ISHA KUKAUSHA DAMU YOTE HAPO ULIPO KAMA VAMPIRE.
INGEKUWA KU-SURRENDER MALI KWELI UGUMU UPO, MI SHIDA NA MATATIZO KWELI!, MIMI SIKU NAFUNDISHWA HILI NILIBWAGA KILA KITU, MPAKA MTUMISHI AKANIONA MBONA KAMA NA SURRENDER FASTER FASTER SANA, YAANI NILIBWAGA!, MOYONI MWANGU I WAS LIKE HAWA WAJINGA WAJINGA HAWAWEZI KUNIUA MARA 2, NAWA BWAGA MAZIMA, MARA YA KWANZA ILIKUWA ROHO ZAO MBAYA, ILA MARA YA 2 ITAKUWA UZEMBE NA AIBU YANGU, HAWAWEZI KUNIHUJUMU MARA 2 KIJINGA KIJINGA! NILIWABWAGA HEKALUNI NA SIJAGEUKAAA NYUMA, NILINYOOSHA KULiKO RUTU AKITOKA SODOMA!
NA WAJINGA WENGINE WASHANI UMIZA WALIVOONA NIMEPONA WAKAJARI BU KUJA KUNIFUMUA MSHONO THUBUTU, WAKANI KUTA MGUMU KAMA JIWE LA CHUMVI ALILOGEUKA MKE WA RUTU.
WANAJARIBU KUTUMIA MATUKIO YA NYUMA KUNIJERUHI TENAAAA! NIKAWAAMBIA MIMI NISHA WATELEKEZA HEKALUNI KAMA HAMJUI HATMA ZENU ZIMEFUNGWA KWENYE ILE MADHABAU! NA NIMEMKABIDHI MUNGU AMALIZANE NA NYIE.
ATAKAVYO ONA, I DON’T GIVE A SHIT!, HATA KAMA MNGEKUWA MNA NING’INIA KWENYE CLIF NEEDING JUST 1 SHIT FROM ME ,I WOULD NEVER GIVE IT!, MIMI KWANGU NAWAHESABU MSHAKUFA ZAMANI ZA KALEEE, MTU AKIWAZUNGUMZIA NAMSHANGAA HUYU MBONA ANAMUONGELEA MFU, NIKISIKIA MMENISEMA SIJALI NAONA TU DEAD PEOPLE TELL NO TALES., HAMNA KITU MTAFANYA KWENYE MAISHA HAYA NIPEPESE KOPE, HAMNA.
WATU MNAFUNGWA VIFUNGO VIKUBWA NA MAMBO MADOGO MADOGO YALIYO FANYWA NA WATU WADOGO SANA KWA KUGOMA KU SURRENDAR!, MNAPOTEZA HATMA ZA MAISHA YENU KWA MAMBO YA KIJINGA KIJINGA!, MAMBO AMABAYO MKIAMUA KUYA-SURRENDAR MNAWEZA KABISA.
IT IS NOT WORTH IT KUBEBA MIZIGO MOYONI MWAKO, KUJIZUIA KUTUMIKA NA MUNGU NA KUISHI UTUKUFU WA MUNGU KWA MAMBO YA KlPUUZI SANA CHOCHOTE ULICHO KIBEBA NA KINA KUTESA SURRENDER TO GOD!, NYAMAZISHA AKILINA NAFSI YAKO IACHE MAKELELE, VUNJA VUNJA MOYO WAKO MBELE ZA MUNGU, MTEGEMEEE MUNGU PEKE YAKE KWENYE HIYO SITUATION NA ATAKUJIBU KWA KUBWA NA HARAKA SANA MPAKA UTASHANGAA.
MPENDWA SIYO PROCESS RAHISI LAKINI INFANYIKA KABISA KAMA UMECHOKA KWELI NA HALI YAKO! YOU DEFINITELY CAN DEFEAT YOUR ENEMIES AND MOST OF ALL YOUR SELF!, KAMA NI SWALA LA KAZI SURRENDER MA-BOSS WOTE WALIO KUPIGA MKUKI MOYONI, SAMEHE WOTE WALIO KUONA PIECE OF TRASH IN YOUR CAREER, SAMEHE WALIO-ONGEA SHIT KWAMBA KUFIKI POPOTE YAANI WE PITISHA MSAMAHA WA RAISI, MKABIDHI MUNGU HAKO KAMOYO KALIKO JERUHIWA, MWAMBIE MUNGU SITAKI KUWA MZITO TENA SITAKI MIZIGOOO MOYONI MWANGU!, SINA MWINGINE WA KUNISIADIA JAMBO LA KAZI ISIPOKUWA WEWE!ZINGUMZA NA MIMI KUHUSU KAZI, NIME MUTE SHOBO NA KELELE ZA NAFSI YANGU NA AKILI YANGU NAKUSIKILIZA WEWE TU BWANA, NENA KWA KUWA MTUMISHI WAKO NINA SIKIA! UNATULIA KUMSIKILIZA MUNGU!.
UTAITWA INTERVI EW, UTAPIGIWA TUMA APPLICATION SEHEMU FLANI, KAMUONE FLANI, MARA ULIFANYAGA INTERVIEW HUKU, NJOO SIKU FLANI, MY FRIEND THE SPIRIT OF GOD WILL FLOW KWENYE HILO JAMBO LAKO HUTAAMINI, WEWE UTA RELAX SI UME SURRENDER NA MAMBO YATA FLOW.