30 DAYS DELIVERANCE PROGRAM (PART 1) -DAY 2

Yohana 11:38-44

Yesu Amfufua Lazaro.

38. Yesu akafika penye kaburi akiwa amefadhaika sana.Kaburilenyewe lilikuwa katika pango ambalo mlango wake ulikuwa umezibwa kwa jiwe.

39 Akasema,”Ondoeni hilo jiwe.”. Dada yake marehemu, Martha, akasema,  ”Bwana, patakuwa na harufu kali kwani siku nne zimepita tangu azikwe.”

40. Yesu akamjibu, ”Sikukuambia kama ungeamini ungeuona utukufu wa Mungu ?”.

41 Kwa hiyo wakaliondoa liLe jiwe. Yesu akaangalia mbinguni akasema,”Baba ninakushukuru kwa kunisikia.

42 Ninajua ya kuwa huwa unanisikia wakati wote, lakinini mesema hivi kwa faida ya hawa walio hapa,ili wapate kuamini ya kuwa umenituma.”

43 Baada ya kusema haya akapaaza sauti akaita, “Lazaro, toka nje !.”

44. Yule aliyekuwa amekufa akatoka, mikono yake na miguu yake ikiwa imeviringishiwa vitambaa.Yesu akawaambia, “Mfungueni awe huru!”.

 

Mpendwa mefika mahali badala ya kuwavutia watu kwa Mungu unawakatisha tamaa sasa.Ni una-nuka madeni matupu, kudharauliwaaa ,mpaka afya yako tu imedhoofika mpaka nguvu za kiume zimeanza kukuishia.

 

Tumekubaliana tunaongea kiume UCHUMI WAKO NI MZOGAAA!

 

That career is dead sisy before it even began! Kila siku wewe niwa kupambana  watu kukushikilia kazini usifukizwe sio kwenda mbele, Yani HATA vya mbele huhitaji unachoomba usifukizwe tu kazi!, Hata hiko kidogo huna amani nacho kabisaaa! Kila linalokuja upande wako nibaya na baya ZAIDI!, Wakati wenzio career zao zinaenda juu wewe unashuka chini kwa lift any time tu, kuna uwezekano mkubwa usiwe na Career yoyote!

 

Vyeti unavyo lakini kazi huna! Na kama unayo niya chiniya vyeti vvako   STINKING DEAD CAREER, Issue sio  kuwa na Dead career!, au Dead relationship, Dead economy, Dead visions!, VITU VITAKUFA SANA TU SABABU SHETANI YUKO KATIKA UBORA WAKE  NA NDIO KAZI YAKE KUUA VITU!, IT IS JUST WHO HE IS AND WHAT HE DOES!.

 

Yohana 10:10

Mwizi huja tu kuiba, kuua na kuharibu, mimi nilikuja ili wawe na uzima, tena wawe nao tele.

 

THE DEVIL WILL ALWAYS KILL AND DESTROY SABABU THAT IS HIS NATURE AND WHO HE IS, AS CHRISTIANS NI JUKUMU LETU KUFUFUA KILA ANACHO KIUA, YESU ALIKUJA KUTUREJESHEA UWEZO WA KUFUFUA VITU ILI VIWE NA UZIMA NA HUO UZIMA USIWE WA WASIWASI UWE TELEE!

 

YESU WA WATU KAFUFUA WATU WEEE, MWISHO TO PROVE HIS POINT KAFA YEYE MBELE YA MACHO YA BINADAMU WOTE NA KUJIFUFUA LIVE BILA CHENGA!.

 

Mnajua yote hayoooo! Like I said ni SUNDAY SCHOOL MATERIAL, LAKINI BADO MNAISHI NA MIZOGA KWENYE MAISHA YENU INANUKA KULIKO LAZARO! PLAYING VICTIMS!, DEAD PEOPLE WALKING WHILE STINKING, THE MILLION DOLLAR QUESTION IS WHY ??? NA BIBLE MKO NAZO KWA SIMU ZENU, MKO NAZO KWA NYUMBA ZENUUU!

 

SISY MAHUSIANO YAKO STINKS OF ADULTERY, DEPRESSION, FRUSTRATION, INSECURITY, EXTORTION WEWE KWELI YESU ALIKUFA MSALABANI UNUNUE MAPENZI ?!, NO MONEY NO LOVE!, UNAMEGWA KISELA NO COMMITMENT NO NOTHING.

 

HATA KUWA ACKNOWLEDGED PUBLICLY NI HELL NO! IN SHORT WEWE HUPENDWI PAPUCHI YAKO NDO INA PENDWAA, YAANI BLOODY STINKING RELATIONSHIP SIS!, JESUS DIDN’T DIE ON THE CROSS  FOR YOU TO LIVE LIKE THIS.

 

BRO UCHUMI WAKO IS OOZING POVERTY!, UMEVUKA STAGE YA SISY YA STINKING WEWE UMEANZA KUTOA FUNZA KABISAA!!, UCHUMI UNANUKA UMASKINI MTUPUUU!.

 

I GUESS I’LL NEVER KNOW YOUR SIDE OF STORY! LAKINI NACHOONA IF YOU SPEND TIME IN STINKING SHIT LONG ENOUGH IT STOPS TO STINK UNAANZA KUONA KAWAIDA!, UKIKAA SANA NA MIZOGA INAACHA KUNUKA NA UNAANZA KUONA KAWAIDA TU, FRESH TU!

 

Lets assume you are born a little bit dumb, Not that smart! Hell no!, Not at all, Lakini una Common sense ya kungamua tu. Mpendwa Yesu alifufua watu na akafufuka yeye mwenyewe sasa KWANINI  UNASHINDWA KUJIONGEZA KIDOGO TU! JUST A LITTLE.

 

KWAMBA MAYBE, JUST MAYBE, YESU SINCE HE IS THAT GOOD IN THIS RESURRECTION BUSINESS ANAWEZA KUKU-FUFULIA MIZOGA YAKO KWENYE MAISHA YAKO?

 

We all know Jesus! One Good fellow, Hanaga baya na mtu, Kwanini usitenge Siku 30 kwamba hizi Siku 30 najikomba komba kwa Yesu, yaani nakuwa chawa pro max mpaka anifufulie MIZOGA yangu hii miwili tu, Kazi na Mahusiano! Siwezi kufa kizembe hivi!, Haiwezekani nisome nisipate kazi na haiwezekani nisiolewe kirahisi rahisi tu!, It’s official mimi sasa hivi ni chawa wa Mbinguni!, Ziguse Mbingu umegusa jicho langu.

 

WAPENDWA KUJIOKOA NDIO HAMNA YAANI MNATAKA KUVUKA ILA BILA KULIPA GHARAMA!, MAISHA NI SAFARI NA MNAKULA NAULI MAKUSUDI YAANI MSHAZOEA JELA LAKINI NAWAKUMBUSHA TU FREEDOM IS FREEDOM, JELA NI JELA HATA UPEWE UNYAMPARA NA KILA KITU BADO UHURU NA AMANI UTAKOSA TU NA KAMA WAFUNGWA WENGINE LAZIMA UTADHARAULIKA.

 

OKAY MAYBE BEFORE ULIKUWA HUJAJIPATA, SASA NISHAONGEA NA WEWE KIUME, MAN TO MANSITUATION   YAKO NIMEKUCHANA LIVE HUNA HAJA YA KUJIZIMA DATA ! MAJOKA VOTE NIME KULAMBISHA WAZI WAZI SIO PRIVATE!, WHAT TO DO ?

 

Leo na Siku zilizobakia 28 ! Peleka MIZOGA yako kwa Bwana Yesu, Unapo muita Roho Mtakatifu usiku sukuma MIZOGA yako mbele zake, Msihi aifufue, No matter how stinking na imeoza kiasi gani!

 

Maandiko yamesema Kaburi lilikuwa lina NUKA!, Hatariii! Na kilichonuka ni LAZARO mwenyewe IN THE END YEYE ALIMFUFUA MZIMA, UOZO NA HARUFU VYOTE ALIVITI BU!

 

MSIHI BWANA YESU LEO HII AFUFUE MAHUSIANO YAKO! CAREER YAKO! UCHUMI WAKO!, YALE MASAA MAWILI HIVI NDO VITU VYA KUJIMIMINA! MUONESHE ROHO-MTAKATIFU MAFUVU YAKO WAPI.!

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top