DELIVERANCE PROCESS

Mpendwa Deliverance kwa lugha rahisi ni kufunguliwa kutoka vifungo, vizuizi na kujiweka huru kutoka  katika nguvu za giza ambayo hii inahusisha wewe kuzishinda nguvu za giza zilizo kufunga na kujiweka huru dhidi yake.

 

Mpendwa unaweza kuziondoa na kuzishinda nguvu za giza kwenye maisha yako kwa njia tatu(3) laini  kati ya hizo chagua  unayo mudu kwani  It’s not like kwamba zinataka kutoka by peaceful treaty! inatakiwa utafute namna ya kuziondoa kwa nguvu.

 

1. STARVE THEM OUT.

Mpendwa nguvu za giza huwa zinastawi kwasababu unazilisha na una common ground ambayo wewe na shetani mnaenda sambamba, UKIMTUMIKIA MUNGU KWA MUDA MREFU NA MOYO WA DHATI AUTOMATICALLY NGUVU ZA GIZA ZITANYAUKA NA KUFA KABISA NDANI YAKO KWA KUKOSA SUPPORT YAKO HENCE ZITAONDOKA NA KUKUACHA HURU.

 

Mpendwa hii ni njia ya kwa kwanza ambayo hufanyi lolote ila tu unaishi kwa miongozo ya Mungu na kuacha kumpa shetani kiki na airtime, Kwa kukosa ushirikiano wako tu na support yako hivyo zinaondoka zenyewe, Kwa mfano ukiamua kuanza kusali na  ule ujinga ujinga kama Phonography unaupotezea yaani automaticaly spiritual spouses na majini mahaba yatakuachia na UTASAHAU hio issue kabisa bila kuombewa wala nini.

 

2. SQUEEZ THEM OUT.

Hii ni njia ya pili mpendwa ambayo inahusisha kuijaza akili yako na neno la Mungu, maandiko, mahubiri na hekima to the extent zile mbegu na viashiri vya uovu ndani yako vinakosa nafasi kabisa moyoni mwako na kwenye akili yako na automaticaly unakuwa ume squeeze out evil powers na influence zao juu yako.

 

Kwa Mfano unasumbuliwa sana na madhabahu za ukoo na ukawekeza kujifunza kuhusu Breakthrough za ki-Mungu kwenye uchumi wako, Unajenga madhabahu yako, ukawa na maandiko yako unasimamia, unalipa zaka zako, una-achilia SADAKA za ukombozi yaani ume secure uchumi wako ki-Mungu  na Nguzo 360 kupitia hii automatically BILA ku deal na mizimu wala madhabahu ya ukoo, Knowledge na ibada zako tu zita squeeze infuluence ya mizimu outside kabisaaa ya maisha yako na Hawata kuwa na UPENYO wa kustawi.

 

3.FLUSH THEM OUT.

Mpendwa hii ndio fast and common way only that inahusisha msaada wa Roho Mtakatifu directly na zaidi, kufanya kazi kwake kunaanza na wewe kujua your authority in Christ na nguvu za giza aidha zinajua kama una authority au huna.

 

Mpendwa some how inataka uwe umeokoka na unajua unacho kifanya, PRACTICE MAKES PERFECT SASA BILA KUPRACTISE MWEYEWE UTA PRACTISE LINI NA PIA LINI UTAKUWA PERFECT ?, DAWA NI KUTO-KUOGOPA NA KUJIZIMA DATA TU, YAANI SAWA HUJUI ILA NDO UNAJIFUNZA HIVO HIVO ITAFAHAMIKA MBELE KWA MBELE SASA USIPOJIFUNZA SASAHIVI UTAJIFUNZA LINI?, YAANI UMEWALAMBA WATU MIGUU WEEE WAKUOMBEEE HAWAKUZINGATII SASA SI BORA UJITOSE MWENYEWE.

 

MPENDWA HATA HAO UNAO WAONA WAKIPITA PEPO ZINATOKA ZENYEWE NA VIFUNGO VINAJIFUNGUA ONCE UP ON A TIME WALIKUWA KAMA WEWE.

 

LAKINI WAKAJITAFAKARI WAKAFANYA MAAMUZI MAGUMU MAMBO YA KUMUOGOPA-OGOPA SHETANI MWISHO LEO!, KUANZIA KESHO SIMUOGOPI WALA NINI!, AKITAKA ANIUWE BASI MOJA KWA MOJA SIO KIDOGO KIDOGO KAMA ANAVYOFANYA, KAMA KUNIDHALILISHA  AMESHA NI DHALILISHA SANA, TENA SANA KWA NILIPOFIKA SIJALI WALA NINI, NAMTUNISHIA  MSULI ATATOKA KWENYE MAISHA YANGU. YAANI NASEMAJEE!, NAMFURUMUSHA, NISHAFANYA MAAMUZI! SIOGOPI KITU. MPENDWA WAKAANZA HIVYO HIVYO MPAKA KIKA ELEWEKA  HADI WAMEFIKA STAGE WANAHESHIMIANA NA SHETANI.

 

Kuna siku watumishi wadogo walikuwa wanatoa mapepo, yana wachamba hatari! Masaa sita(6), Pepo halina habari lina mdhalilisha mtumishi mmoja mmoja.

 

Sasa Siku hiyo Masta alikuwepo lakini sio kwenye hio ibada. Alikuwa na issue zake tu!, Wakasema tumuite Masta ili atusaidie, Hapa kazi hamna Hii ngoma ngumu.

 

Mpendwa wakamuita, hakuingia kanisani ila alisimama  mlangoni tu!, Akauliza yuko wapi mwenyewe pepo, Huyo mgonjwa anatikisa tu kichwa kukataaa sio yeye, Pepo maneno kwisha linatetemeka kwani LIMEKUTANA NA SIZE YAKE YUPO NJE HAPO.

 

Mpendwa hakusogea wala hakuongea neno alilionesha tu vidole ile you out, Mgonjwa alianguka kama guniaaaa!, Alafu Mtumishi akaondoka  na kuendelea na mishe zake!, EVERYBODY WAS LIKE WAOOH! AUTHORITY!, SASA AUTHORITY HAIJI BILA KU PRACTISE!, HAIJI BILA KUIJENGA KIDOGO KIDOGO!

 

MAYBE UNAWEZA USITOE PEPO ON THE SPOT LAKINI UNAWEZA KUJI MINISTER HOLLY SPIRIT AKAKUFUNGUA VIFUNGO NDANI YAKO NA UKATAPIKA, UKAHARISHA , UKAONA VITU!, HATUA KWA HATUA!.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top