30 DAYS DELIVERANCE PROGRAM (PART 2) -DAY 19

2 Wakorintho 12:9

9 Lakini aliniambia,”Neema yangu inakutosha, kwa kuwa uwezo wangu unakamilika katika udhaifu. “Kwa hiyo nitajisifu kwa furaha zaidi kuhusu udhaifu wangu ili uwezo wa Kristo ukae juu yangu.

 

2 Corinthians 12:9

But he said to me,”My grace is sufficient for you,for my power is made perfect in weakness.” Therefore I will boast all the more gladly of my weaknesses, so that the power of Christ may rest up-on me.

 

Mpendwa agano hili jipya unaweza kulisoma  kwa kingereza na kwiswahili  na bado ukatoka mweupe, Ukatamani hata ulisome kwa Kiyunani.

 

Nyie si mnajifanyaga wazee wa kuning’inia na ki-mstari kimoja, sasa kwneye HUU wa leo hutoboi bila kusoma aya nzima ya 12  yaani hutoboi maana ni mapicha-picha.

 

Mtume Paulo alikuwa anaongelea Vision kubwa aliyopata, Isome in Details!, Na katika hiyo visions anajiona YEYE ni mkubwa sana. Lakini anashindwa kutamba kwasababu ana msiba ambao ni watesi wa shetani, Anamuomba Yesu amtoleee huo mwiba ili aweze kutamba na Yesu ndio ana-mjibu  kupitia hili andiko letu la leo.

 

INSHORT YESU ALIMJIBU CHANGAMOTO YA PAUL HAIONDOI NG’OO, PAUL AZOEE TU KUTAFUTA JINSI YA KUSIHI NAYO! PERIOD!, TUSIZUNGUKE MBUYU SANA WAKATI MAMBO YAKO WAZI.

 

THE MILLION DOLLAR QUESTION IS WHY?, ETI JAMANI SI SIMPLE TU ANA-UNYOFOA MWIBA KAZI IMEISHA! WHY DOES MWIBA HAS TO STAY?, YESU ALIKUWA NA SABABU ZAKE NZITO.

 

ANAMWAMBIA PAUL SIUTOI HUO MWIBA SABABU NEEMA YANGU INAKUTOSHA NA NGUVU YANGU INATHIBITIKA ZAIDI KATIKA UDHAIFU/ CHANGAMOTO, HAYA ALIYAONGEA KRISTO MWOKOZI!, PAY ATTENTION NENO LIPO KWA KISWAHILI LAKINI KAMA LIMEANDIKWA KIEBRANIA.

 

PAUL SASA BAADA YA KUMSOMA YESU NA KUMFAULU AKASEMA BASI KAMA NDIO HIVYO NA MIMI YAANI YEYE MTU PAULO ATAJISIFU KATIKA UTHAIFU WAKE, MAANA NEMA NA NGUVU ZA KRISTO JUU YAKE ZITAMUWEZESHA  KUFAULU KUISHI NA HIZO CHANGAMOTO, MPENDWA MTUME PAUL WAS NOT A DISCIPLE OF JESUS BUT HE WAS A CHARACTER WORTH YOUR ATTENTION!

 

Apostle Paul was in and out jails mno, Baadhi ya Nyaraka aliwaandikia makanisa akiwa gerezani kwa Waefeso,Wakolosai, Wafilipi na Philemon, Alivyo-ongelea  mwiba mchungu ulikuwa mchungu kweli-kweli, He wished hawa watawala YESU ange-deal nao, Yeye abakie anahubiri injili kwa kuji-nafasi na amani, Alichoka kufungwa.

 

Yesu ndipo alijibu kwa vision and in that vision akai-adresss hio kiu ya Mtume Paul ya kuondolewa mwiba kwamba MWIBA kiukweli HAUTOKI UKO PALE PALE NA KAZI LAZIMA IENDELEE.

 

Ndio akampanga kwamba NEEMA YANGU  INAKUTOSHA MWAMBA NA NGUVU YANGU PAKIWA NA UDHAIFU KAMA HIVI SASA NDO MWAKE-MWAKE INATHIBITIKA BILA UBABAIFU.

 

Mpendwa Mtume Paul anamuelewa YESU, na anafunga mjadala HUU kwa kauli hii!

 

2 Wakorinto 12:10

10 Basi, kwa ajili ya Kristo, naridhika na udhaifu, matusi, taabu, mateso na maafa kwa maana ninapokuwa mdhaifu ndipo nina nguvu.

 

NAJUA HAPO JAPO MNASOMA KISWAHILI LAKINI HAYO MAANDIKO YANA SOUND KAMA MYUNANI TOKA PANDE ZA SIDON NDO ANAKUSOMEA  ALICHOKISEMA PAUL IN CURRENT DAY LANGUAGE.

 

ILI UWE NA NGUVU KATIKA KRISTO INABIDI UONEKANE DHAIFU MNO KATIKA HII DUNIA UKIWA MBABA KATIKA HII DUNIA HUWEZI KUWA NA NGUVU ZA KRISTO NDANI YAKO. KAMA UNA NGUVU ZA KRISTO NDANI YAKO NEEMA YAKE INAKUTOSHA KUVUMILIA NA KUISHI NA MIBA YA MASIHA YAKO.

 

YAMKINI HUNA MUME, UNATUKANWA NA KUBEZWA  KUZARAULIKA, NA UMESHINDWA KUVUMILIA KABISA AND YOU FIGHT THEM BACK OR MAKE SERIES OF STUPID DECISIONS, NEEMA YA KRISTO  HAIJAKITOSHA WALA HUNA NGUVU ZA KRISTO.

 

MIMI WA HIVI NINA NYIE WENGI SANA, INAANZA SINA MUME INAFATA NIMEBEBA MIMBA SITOI WHICH IS GOOD THING, MTOTO ANAKATALIWA.

 

MNARUDI PALE PALE HUNA MUME NA UNA MTOTO MCHANGA NOT LONG AGO ILIKUWA HUNA MUME LAKINI BINTI MWENYE ENGINE YAKO MPYA HAIJAINGIA LABOR, SAHIVI HUNA MUME NI SINGLE MOTHER AU ULIKUWA SINGLE MOM OF ONE, KAMA MASIHARA UMEKUWA OF THREE (3).

 

WHAT APPOSTLE PAUL WAS TRYING TO SAY NI KUWA TUKUBALI KUWA DHAIFU KULIKO KUFANYA MAAMUZI YA UFYORO KATIKA HUO UDHAIFU HIVYO, KUBALIKUONEKANA MSHAMBA WA KUJA HUTOI PAPA KARNE HII YA KIZAZI CHA NYOKA, KUBALI KUONEKANA OLD SCHOOL, KUBALI KUONEKANA OUTDATED KATIKA HAYO MADHAIFU WATU WANAYO KUHUKUMU NAYO  KWANI NGUVU ZA BWANA WETU YESU ZITAJITUKUZA NA KILA MTU ATABAKIA HAAMINI ANACHOKIONA.

 

PRAYER POINT

BWANA YESU NIJALIE NEEMA YAKO ITOSHAYO KUHIMILI CHANGAMOTO.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top