2024 Brides wangu mpo?, Nusu mwaka ushakata Lakini msihofu God is good all the time, all the time God is good.
Kuna watu mwaka huu waliukamia hatari na wameushika pabaya, Mwaka huu wanaukalishaaa, WENGINE NDIO KWANZA JUNE LAKINI HUKUMBUKI SIKU YA MWAKA MPYA NILI-DECLARE UTAKUWA MWAKA WA NINI, Unajendea zako kama nyumba tu.
WENGI SO FAR SO NOT GOOD,NEHII! SHIDA ZIPO NYINGI LAKINI KUBWA NI UNATAKA UWEKE JUHUDI NDOGO ALAFU UPATE MAFANIKIO MAKUBWA, THUBUTUUU!.
MOST OF YOU ARE PLAYING SMALL HOPING TO CASH OUT BIG, WHO DO YOU TAKE GOD FOR? LOTTERY? WASAFI BET? YAANI HATA BET YENYEWE KUSHINDA PESA NYINGI LAZIMA U-BET DAU KUBWA?, DAU LA BET LINA-AMUA WINNING DAU!
Mnajua uswazi slavery is still operating!, Umaskini ni mbaya sana, Hunger can make you sell your soul for peanuts, and it is your only chance and you have to take it regardless part of you died!. Sasa kwa tuliokulia uswazi we know how to counter offer! Unatoa ofa ya kwanza inakataliwa,una double down hapo hapo, unachezea NO nyingine, unatoa invitation to treaty aseme YEYE Sasa anatakaje, Unaenda na Game inavo-enda!
Mpendwa, NO doesn’t mean the end, simply inatakiwa ujimalize zaidi, NO MEANS NEGOTIATIONS ARE TOUGH!, USE YOUR HEAD!, THINK GIRL THINK!.
Mfano issue ya biashara, NO ndiyo kama karibu, Tena wanao toa no niwatu wa chini sanaa!, Akili O! Sasa unachukua NO yao unapanda nayo juu, Kwa watu wenye akili timamu wanao-lipwa vizuri, Wakisema NO , unajichekesha chekesha kama Chizi kaona jalala jipya! yaani You befriend them, Mpaka wakwambie kwanini NO, Unatumia human relations!, Mpaka mnakuwa familia sasa na kazi wanakupa.
HIVYO-HIVYO KWENYE MAOMBI, NO DOESN’T MEAN HUTOPEWA KABISA, COULD MEAN MUDA BADO OR YOUR SHORT OF GLORY KU DEAERVE IKO KITU AU KUNA JAMBO UNATAKIWA KUREKEBISHA, ENDLESS POSSIBlLITIES.
WENGI MKISHA CHEZEA NO, KOSA YAANI MNASUSA NA KURUDIA NJIA ZENU ZA UPUUZI, LIKE THIS YOU WILL NEVER WIN, UNAPIGA HATUA 3 MBELE ALAFU 10 NYUMA YAANI ILE STAGE YA KUCHEKA-CHEKA KAMA CHIZI KAONA JALALA JIPYA NI STRATEGY MUHIMU SANA, IT BUYS YOU TIME AND PATIENCE KUJUA UNA KWAMA WAPI NA KWANINI!, UKIRUHUSU MIND YAKO IWAZE STRAIGHT HASIRA ZINAKUINGIA, KIFATACHO HASARA HIVYO CHA MUHIMU NIKJICHEKESHA TU.
YAANI HAHAHAA MUNGU BWANA, KWA HIYO MKESHA WOTE BILA BILA, HAHAAHAAA! LAKINI NAJUA MUNGU WEWE NI MUAMINIFU SASA, HAHAHAA! NAJUA SHETANI ANATAKA KUNIVURUGA! SHETANI BWANA HAHAHAA! HUNIPATI! HAHAHAA!.
MPENDWA UKIFANIKIWA KUTO-KUKASIRIKA NA KUPANIC NI RAHISI KUTAFUTA CHANZO KWANINI UNA KWAMA NA KUKIPATA LAKINI UKISHAKASIRIKA HUWEZI KUKIPATA MAANA TAYARI UNAKUWA BIASED NA OFF MOOD.
MPENDWA EVEN DURING THE NO-PERIODS INATAKIWA USHINDE EMOTIONS ZAKO NA KUWEZA KUTUNZA UHUSIANO WAKO NA MUNGU NA KUWEZA LUMSIKILIZA AMIST CHAOS ZILIZO TARADADI KWENYE MAISHA YAKO!
WENGI SO FAR NIMEONA NA NINA UHAKIKA MNATAKA MATOKEO MAKUBWA LAKINI HAMPO TAYARI KUFANYA IBADA KUBWA YA KUPATA HAYO MATOKEO YA UKUBWA HUO, WACHACHE KWELI WAMENISHANGAZA ILA WENGI WENU MIYEYUSHO, MDOMONI WATAMUU HATARI LAKINI MATENDO SIFURI, KU-LIST DEMAND WEPESI, TO LIVE TO THE EXPECTATIONS ZA HIO LIST NAJITEKENYA MWENYEWE NA KUCHEKA MWENYEWE.
MAOMBI YA MAHUSIANO YALIYOFUNGWA WALIO-PANDA MBEGU HAWAFIKI 100, KATIKA WATU 18,000 MLIO-FOLLOW, MAANA YAKE 100 NDIO KIDOGO WALIO-KAMILISHA IBADA, YAANI SIJITEKENYI MWENYEWE NA KUCHEKA MWENYEWE? HAO 100 NA UHAKIKA KUNA WATU IBADA HAWAJAFANYA NA MBEGU WAMEPANDA LAKINI HAPO MNANGOJA AUGUST HAWA 100 WAKIANZA KULETA SHUKARANI ZAO WAMEPATA WATU WANAENDA KUWAPOSA, NA MKIONA PALE NILIPANDA MBEGU ……! NA WEWE NDO UNAPANDA SASA MBEGU AUGUST KWA IBADA ULIO FANYA MAY NA UKIPANDA INAOTEA TUMBONI KWANGU KWA TAARIFA YAKO MAANA YAKE HUPANDI KWA KUMUAMINI MUNGU ATAFANYA KWAKO NA KUIOTESHA UNAPANDA SABABU YA USHABIKI TU UMEONA IMEOTA KWA MWENZIO, UANVUNJA AMRI YA 10 KWA KUTAMANI MATOKEO YA MWENZIO! NISIONGEEE SANA JUA INAOTA TUMBONI KWANGU.
Mwaka Jana umejibalaguza mwaka mzimaaaa ukaisha biLa matokeo, Mwaka HUU Wembe ule-ule! lbada kidogo, sadaka hamna na ushabiki wa kutosha wa dini. Wapendwa kuna binti alikuja akaniambia Mama mimi sipo serious kabisa, Nimejichoka, Niambie CHOCHOTE nitafanya ili-tu niwe serious! Mmmmmmh!, Nikamwambia hainashida, Tangaza una mchumba anakuja kutoa mahari December! Tena waambie key people, Wale Goliat wako kabisa, Akasema mama si uongo huo?, Nikamwambia hapana ni PROOF OF FAITH, SIJAKWAMBIA UDANGANYE ILA SEMA KWA IMANI, NA AS LONG AS UTAKUWA ACCOUNTABLE KUFANYA IBADA LITIMIE SIO UONGO LAKINI UKILETA UNYUNGUNYA WAKO WA MIAKA VOTE PLAIN DAY LIGHT LIES, INTENTIONS ZAKO NDIYO ZITA AMUA WAPI HIO KAULI IEGAMIE
Haiwezekani umemwambia Mama yako mtu na miaka yake 60 kuwa utaolewa December, Ilhali una kazi ya kuzini hovyo hovyo, Ibada hufanyi, Zaka hulipi, sadaka hutoi, upo upo tu! HUO NI URONGO Lakini ukiwaambia mimi NAOLEWA DECEMBER na kuanzia hapo unapambana uweponi kwa MUNGU, ili alitimize neno lake kupitia wewe kwa ulio washuhudia in advance huo SIO UONGO, NI IMANI NA MATUMAINI!
HAKUFANYA, NA HAKUFANYA KWA SABABU NIA HANA, YALE YALE ANATAKA MUNGU AM-SURPRISE NA HARUSI DECEMBER, NDIO TUNAYOSEMA YAANI UFANYE IBADA NDOGO UPATE MATOKEO MAKUBWA!
Mwezi wa sita ni nusu kwa nusu, Muda umeisha nusu na bado upo nusu, Wewe tu kuamua kucheza karata zako au kulamba.
MPENDWA MAMBO KWENYE ULIMWENGU WA ROHO HAYATOKEAGI GHAFLA SANA, KUNA MADAI YASIPOLIPWA YATADAI MPAKA, KUNA UHALALI WA MAMBO,USIPO-ONDOLEWA UTA HALALISHA MPAKA. KUNA WASHTAKI WAKIONA UNAPATA KITU GHAFLA LAZIMA WAHOJI GHAFLA HIYO VIPI? SO KUJIAMINISHA MAMBO YATATOKEA GHAFLA SANAA NI KUJITEKENYA NA KUCHEKA MWENYEWE.
MPENDWA MATOKEO PRACTICAL YANATAKA IBADA PRACTICAL, SADAKA PRACTICAL! MAAGANO PRACTICAL, MAANDIKO PRACTICAL, ZAKA PRACTICAL,NA ONLY RESULTS ZAKO ZITAKUWA PRACTICAL NA KILA MTU ATAZIONA NA UTAISHI KUZI-SHUHUDIA.
Acts 3:1-5
One day at three o’clock in the afternoon, Peter and John were on their way into the Temple for prayer meeting. At the same time there was a man crippled from birth being carried up.
Every day he was set down at the Temple gate, the one named Beautiful, to beg from those going into the Temple.When he saw Peter and John about to enter the Temple, he asked for a handout. Peter, with John at his side, looked him straight in the eye and said, “Look here.” He looked up, expecting to get something from them.
HUYU KIWETE KINA ANAWAKABA KINA PETRO WATOE CHOCHOTE KITU, WANAMKAZIA MACHO NAYE ANAKOMAAA ANAKAZA MACHO AKITEGEMEA KUPOKEA CHOCHOTE TOKA KWAO! MPOOO?, NA MIKWARA YAO MITUME TENA NDIO MUDA HUO WANA-TREND WATU WANA VIBE NAO HATARI LAKINI MLEMAVU ANAKAZA MACHO KWA MACHO AKITEGEMEA NINI? KUPATA CHOCHOTE TOKA KWAO, ALAAAA!
Acts 3:6-8
Then Peter said, “Silver and gold Ido not have,but what I do have I give you:In the name of Jesus Christ of Nazareth, rise up and walk.”
Acts 3:6-10
He grabbed him by the right hand and pul ed him up. In an instant his feet and ankles became firm. He jumped to his feet and walked. The man went into the Temple with them, walking back and forth, dancing and praising God.
JE WEWE UNATEGEMEA KUPOKEA NDOA I KAZI/ AFYA YAKO KUTOKA MBINGUNI 2024?, KAMA IBADA YAKO YA KUSUA-SUA MOYO WAKO WENYEWE UTAKUSALITI!, UPOKEEE NINI?, KUTOKA WAPI? NA KWA IBADA GANI BIBI WEWE?
MPENDWA LAKINI NAKUHAKIKISHIA UKIFANYA IBADA ZA UHAKIKA, KUBWA NA ZA KUTOKA NJE YA COMFORT ZONE YAKO LAZIMA UTATEGEMEA KUPOKEA CHOCHOTE TOKA MBINGUNI, YOU WILL EXPECT TO RECEIVE YOUR MARITA BREAKTHROUGH, CAREER BREAKTHROUGH! UZAOOO, ETC. NO ONE WILL TELL YOU OTHERWISE NOT EVEN THE DEVIL. HIVYO ONGEZA VIWANGO VYA IBADA.