UKIOGOPA KUFA HUTAWEZA KUFUFUKA HILO ENEO (SUNDAY WORD)

Mhubiri 3:1-8

Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake, wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa, wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa;, wakati wa kuua na wakati wa kuponya.

 

Isaiah 40:6-8

All flesh is as grass, and all the Glory of Man as the flower of grass.The grass withereth, and the flower there-of falleth away,  but the word of our God shall stand forever .

 

Kumbukumbu 30:15

Tazama, naweka mbele yako leo uzima na mafanikio, mauti na maangamizo.

 

Yeremia 21:8

Nawe waambie watu hawa, Bwana asema hivi, tazama naweka mbele yenu njia ya uzima, na njia ya mauti.

 

Mpendwa mauti ni sehemu ya maisha, Mauti ni nini ? Mwisho wa uhai wa kitu, wengi mna hisi mauti ni kifo chako!, Kifo chako is too final!, amini nakwambia vitu vyako vingi vitatangulia kufa na kuonja mauti kabla ya wewe kumalizia kazi kwa kufa rasmi.

 

Mauti nyingi za watu zinaletwa na mauti ya vitu vingine, Mauti za biashara zinaleta maradhi ambayo ya-naleta mauti ya mtu, Mauti za career zinaleta ulevi, ubakaji,umalaya ,kamari kutokana na kukosa kazi, akili ipo idle masaa 24 inageuka devil workshop, unaanza kumuona housegirl mbona kama kanona-nona  , unatamani shemeji zako si unashinda nao unawaona mchana, unatamani mpaka vitoto vya jirani, Ukiendekeza tamaa umeishaaa! Baadae usipo shikwa, guilt is too much una-jiua.

 

Mauti za Mahusiano zinakuacha na majeraha unaanza kunywa kupitiliza kukimbia pain, Kijana mdogo figo zina fail! Tayari tumpeleke na miaka 30 yako! Au unaanza kugawa gawa hovyooo, zinaanza homa-homa ukienda kupima kitu na box, Tayari upungufu wa kinga mwilini, Unachoka kumeza dawa, CD4 zinashuka tunakupeleka kwani tuna hiana basi, wakavuuu! Tena sisi wachungaji ndIYo we were special attire kabisa for the job, Tunakusindikiza sio kwa ubaya!

 

Mauti ya vitu ni mbaya sanaa kuliko mauti yako,  Ukifika  ni mwendo wa ku rest in eternal peace!, Mambo yako yakifa ni mwanzo wa eternal mahangaiko, Ukifa wewe is final ni mwisho wa story, yakifa mambo yako ni mwanzo ya sequel ya wewe kiteseka mpaka kufika mwisho wako rasmi. Watu wengi wapo concerned na kufa wao zaidi kuliko mambo yao kufa, Matokeo yake wanaishi kati kati ya mizogaaa maisha yao vote na kufa kwa Mambo yao evetualy kuna waua na wao ofcourse mauti ipo katikati yetu all the time.

 

2 wakorintho 4:12

Hii ina maana kwamba ndaniyetu kifo kinafanya kazi, lakini ndani yenu uhai unafanya kazi.

 

Mpendwa Mauti ni sehemu ya maisha, Vitu vitakufa tu from time to time! Kama alivosema  muhubiri, Kuna mwanzo na kuna mwisho wa msimu wa vitu!

Mpendwa Daudi mfalme ana acknowledge uwepo wa bonde la uvuli wa mauti kwenye maisha yetu, Kuna muda utajichanganya tu kukutana nalo macho kwa macho na kujikuta ndo the only way na huna budi kupita kati-kati yake sasa!

 

Psalms 23:4

“Yea,though I walk through the valley of the shadow of death, I will fear no evil.

 

Mauti zita struck tu in your life, Your career may die! Your marriage life may die, Your love life may die, your business may die, your spiritual life may die, your happiness may die, your dignity may die but as long as unaishi jua kifo kimo ndani yake na uhai na kifo vina operate ndani yake, As scarry and terfying death is good news is death is not  final!, Mauti ya mtu na vitu vyote sio final!

Isaya 25:8

Bwana Mungu atakiangamiza kifo milele, Atayafuta machozi katika nyuso za watu wote na kuwaondolea watu wake aibu duniani kote.bBwana mwenyezi-mMungu ametamka.

 

Yohana 11:25-26

25 yesu akamwambia,”Mimi ndiye ufufuo na uzima, Mtu akiniamini mimi, hata akifa ataishi. 26 na yeyote anayeishi akiwa ananiamini hatakufa kamwe. je,unaamini haya?”

 

Yohana 5:25

Amin, Amin nawaambia, Saa inakuja, na sasa ipo, wafu watakapo isikia sauti ya mwana wa Mungu, na wale waisikiao watakuwa hai.

Yohana 10:10

Mwizi huja tu kuiba, kuua na kuharibu, mimi nilikuja ili wawe na uzima,tena wawe nao tele.

 

Mauti ilisha-shindwa miaka mingi iliopita na maandiko ya ku officiate hilo yapo, Wewe tu kufunua biblia yako. Shida kubwa ya watu wengi hamkubali hayo maeneo yafee, Na bilia kukubaliana na death process hutaweza kuyafufua! Ili kitu chochote ki-qualify kufufuliwa lazima kwanza kiwe kimekufa rasmi huwezi kufufua kitu ambacho kipo hai Abadan-asilani!

 

Wengi mna-goma kuzika maeneo yaliyo kufa kwenye maisha yenu miaka mingi nyuma, Mna komaaa kuishi na mizogaaa, inayo wanukiaaa na funza za hio mizoga zinetafuna mmeisha, Kuzika bado wagumu mmegoma na bila kuzika hata mtumishi hawezi kuinitiate process za ufufuo wa hayo maeneo, Mwisho wenu ni luuliwa na hio mizoga rasmi tu!

 

Wapendwa wengi mpo kwenye mahusiano yamekufaaaa na kuozaaa yanatema janaba la uzinzi watoto wa Kikristo hata wa kiislam mnafanyishwa there-somes in the name of spicing things up god damn, Mnafanyishwa vitu expilicit in porn movies vote in the name of relationship, Relationship ya nyoko?, Mpo kwenye makaburi ya mapango kabisa na sizani kama mtatoka humoo! Why? Hutaki kuwa single, Hutaki huo uozooo tena una funye-funye kabisa ufikie kikomo! You Sold your Precious Soul to the Devil to keep that stinking rotten relationship alive! God forbid.

 

Wengi mmenda kwa waganga, mmeabudu binadamu wenzenu na mashetani yao, Yani umeabudu mashetani ako umeonaaa haijatoshaaa u recruit mashetan iya watu wengine  kwa tamaaa za mali, vyeo na mafaniko.

 

Mmeuza nafsizenu mchana kweupee kwa shetani in exchange for nafasi na vyeo makazini au Biashara zisife na mfanikiwe kibiashara yaani kuokoa bias hara zako na kujiklnga usi-filisike umetumikia miungu mingine mpaka basi!, umemaliza ma  baali, dagoni, ashtorati, ashera, chemosh, zeus yaani umefuta na umesafisha Kisa???? Biashara isife, cheo kazini usikikose, Usiporomoke  kiuchumi! Khaah!, We huogopi?

 

Wengi ile fear ya hiki kitu kitakufa na nita kikosaaaa mazima ndio inawafanya mfanyee the worst of the worst!, Ile hofu ndoa itafika mwisho ndio unaanza kulala na miungu mingine,unafukiza Madawa kwenye Papa, unaweka viungo vya chakula ukeni mwisho ndoa inaweza ku-survive ila kansa ya kizazi haitakucha salama unakufa unaiacha ndoa wenzio wanakusaidia kuitumikia.

 

Ile woga biashara inakufaaa unaanza kuzurula kwa waganga na kuyafungulia mashetani dukani kwako na nyumbani kwako na kuanza kuishi navyo paaa moja! Utayawezaaa?  Biashara inaweza kubakia lakini ndo kustuka watoto wote wana mapepo ya ngono, bBaba yao nae ana mapepo ya Ngono, baba anatembea na watoto wake, Watoto wana lala na humo ndani, yaani nyumba yako imekuwa madhabau ya Miungu usio-ijua, Ukitafakari hio bishara ni ndogo sanaa ulio pewa na walicho chukua kwako ni kikubwa sanaa! Walichokupa  hakina thamani na hawataki re-negotiations! Biashara  ishafanyika ishafanyika, The only way ni mkataba kuvunjwa labda wewe ufe, Ndio unasikia mfanyabiashara mkubwa kajirusha gorofani, kajinyonga, kanywa sumu, Hajaacha  ujumbe, ataacha  ujumbe gani hata kama ni wewe msomaji? Wakusamehe au ?

 

Kama  eneo la maisha yako linataka kufa is okay liache life Let it die!, Litafufuka na kuchipua tenaaaa! Unavo lingangania unaishi na mzoga!

 

Yohana 12:23-24

23 yesu akawaambia,”Wakati umefika wa mimi mwana wa Adamu kutukuzwa. 24 ninawaha kikishia kuwa, Mbegu ya ngano isipopandwa ardhini ina kufa, hubakia peke yake. Lakini ikifa inazaa nafaka kwa wingi. 25 mtu yeyote anayeishi kwa ajili ya nafsi yake tu, ataipoteza, lakini mtu anayeishi kwa ajili ya wengine, atasalimisha nafsi yake kwa maisha ya milele.

 

Chochote unacho-teseka kukiacha hai na kuhofia kukipoteza, Kiruhusu kifeee na kizike, Mungu atakushia vingi zaidi , vikubwa zaidi na vya kufaa,  zaidi kuliko hiko ulicho kipoteza kulinda uhusiano wako na Mungu.

 

Hio kazi uliyotaka kwenda kutumikia Miungu mingine kui-retain mungu atakupa Kampuni kubwa zaidi na mshahara mara 5 zaidi, Hiyo biashara atakupua kubwa mara 5 yake, huyo mchumba atakupa mwenye uwezo na ukarimu zaidi,huyo mume atakupa mwema zaidi.

 

Mauti ya mambo yako isikufanye ukaharibu mahusiano yako na Mungu, Mungu pekee ndio anaeweza kufufua hilo eneo na kulistawisha tena.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top