SIO JITIHADA ZAKO
Mara nyingi we really really want to trust God, we do, lakini ina shindikana sababu we know just a little bit about God, just not enough to trust Him. And we blame Him for our ubabaifu.
Matthew 7:9-11
“Or what man is there of you, whom if his son ask bread, will he give him a stone? Or if he ask a fish, will he give him a serpent? If ye then, being evil, know how to give good gifts unto your children, how much more shall your Father which is in heaven give good things to them that ask him?”
Hata wakati sisi hatuamini, Mungu bado ana aminika na kujiaminisha kwetu.
Ubabaifu wetu una tuweka mbali na Mungu, out of shame, regrets and fear, kwamba hujafanya aliosema afanye kwa kuanzia, nguvu za kumkaribia Mungu utazitoa wapi?
Isaiah 43:1
“But now, this is what the LORD says—he who created you, Jacob, he who formed you, Israel: ‘Do not fear, for I have redeemed you; I have summoned you by name; you are mine.'”
Mungu ana tuita kwa majina yetu, sio dhambi zetu!
Ukienda mbele za Mungu, wewe kwawe ni Yohana, Anna, Peter, Marry; sio yule mzinzi, mliwa kiboga, mwizi, muongo, etc. Ndo anafanya ibada muda huu. Hana haya wala hajui vibaya.
Its bad that you sinned! Very bad! Terrible! But yanazungumzia na Baba yako wa mbinguni. Ni mambo ya wewe kushupaza fuvu na kwenda kuzungumza kiume na Baba yako.
Isaiah 1:18
“Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama damu, zitakuwa kama sufu.”
God wants you back home more than anything else. Toba yako mbinguni ni sherehe. Mambo mbinguni ni contrary na unavyo waza kwamba nobody cares about you! God doesn’t give a shit about you? He does! Very very much.
Luka 15:7
“Nawaambieni, vivyo hivyo kutakuwa na furaha zaidimbinguni kwa sababu ya mwenye dhambi mmoja atubuye na kuacha dhambi zake, kuliko ilivyo kwa wenye haki tisini na tisa ambao hawana haja ya kutubu.”
Na Mungu ameweka mfumo rahisi mnoo mnoo ya mtu kujirudisha kundini chap chap. Na amefanya hivi sababu utukufu wake na dhambi ni tofauti. As long as jitu lina kumbatia dhambi, haliwezi kumkaribia Mungu na kuchangamana na utukufu wake.
Issue sio Mungu hakutaki, hakuhitaji! Issue hiyo midhambi unayo fugo kama rastaa moyoni mwako! Midhambi mpaka ina mvuli imeenda age. Mungu anashinda kuchangamana na wewe, not because it is you, rather ni kinyume cha nature yake kuchangamana na dhambi kabisa! Hio midhambi unayo fugo ndo ina mfukuza Mungu kwenye maisha yako.
Wengi tunakata Mungu ajithibitishe kwanza ndo tuache dhambi, na Mungu anataka uache dhambi kwanza ndo ajithibitishe.
Mungu, kwa kujua ugumu wa mioyo yetu kuacha dhambi, ikabidi sasa aweke mfumo wa wokovu wa kukusaidia wewe kufanya upatanisho kati yako kiumbe dhaifu na veve.
Ameachi lia neema ya wokovu (saving grace) ili wewe kuokoka iwe ni kwa neema yake na mapenzi yake kwa dunia, na sio kwa juhudi za mtu na utu wa mtu. Kwa style ya matendo na juhudi za mtu hakuna ambae angeokoka. Ni kwa neema tu ya wokovu tunaokolewa.
Tukisema kwa neema/grace, maana yake ni kama baraka na zawadi toka kwa Mungu kuja kwako! Sio kwa mapambano na ku fight na kufosi kiji.
Waefeso 2:8-9
“Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, nikipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu aweye yote asije akajisifu.”
Kinachotakiwa mtu ili kupokea wokovu ni kuamini tu kwamba Mungu yupo, akazi fata na kuzishika amri zake na kujenga nae mahusiano.
Unatoka wapi, na how bad it is unapozanzia sio issue. Issue ni how much you are willing to trust Him from now onwards and walk on His walk.
Mt 11:29-30
“Jitieninira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi nimpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsi zenu; kwa maana nira yangu nilaini, na mzigo wangu ni mwepesi.”
