SUNDAY WOR D – LUKA 11:1-13

WANAFUNZI WALIMUOMBA YESU AWAFUNDISHE KUSALI!

YESU AKAWAPA FORMULAR YA IBADA YOYOTE ILE!, AKATOA PASSWORD YA KUWA KARIBU NA MUNGU.

UNFORTUNATELY watu hii formular tumeifanyia mapokeo na tumejikuta tunaitumia kimazoea kwa kucremu alicho sema na kukirudia over and over bila kulitafakari wala pouring your spirit in it!
Hata uamshwe usingizini utarudia neno kwa neno vizuri ILA HAMNA KITU NDANI YAKO!
Na miaka 20 ya kujiua hii sala haijakuingia moyoni wala kubadilisha chochote maishani mwako.

SABABU? Unaishi nayo kimazoea!
Utukufu haupo kwenye kujua maneno yaliyo tamkwa, rather kuelewa context na maana kilicho tamkwa.

He said to them, “When you pray, say: ‘Father, hallowed be your name, your kingdom come.'”
Luka 11:2

FATHER!!!!

DO YOU REALLY FEEL GOD IS YOUR FATHER???
DO YOU!
Do you really mean it from the bottom of your heart GOD is your FATHER?

Ile “Father” eeeh inakupiga shot kama ukisikia “baba yako mzazi” ???
Maana ukiambiwa “baba yako mzazi” akisema kitu, lazima zikukae sawa na ujipangeee!

Ukiambiwa “baba yako mzazi ndo kasema” BASIIIIII!!! You automatically feel powerless and defenseless!
Lazima uwe makini sanaaa na kila kinachofuata—lasivyo, consequences zitakuwa kubwa.

JE UNAPO SALI NA KWENDA KWA MUNGU KAMA BABA YAKOOO…

At what extent do you really feel God is your Father???!!!

STATE YA MOYO WAKO WAKATI WA IBADA NDO KILA KITUUU!
BABA wenzi e ni OBEDIENCE!

Hata ulanduke vipi huwezi kumleta Baba yako wazimu!
Akili lazima zikukae sawa.

Huwezi kuweka uzito kwenye ubaba wa Mungu wakati you don’t obey Him!

Una makando makando mengi afu unajizima data “BABA”!
Wewe mwenyewe unajua Mungu na baba yako mzazi—una muogopa baba mzaaa chema.
Una muheshimu baba mzaa chema zaidi!

Unaweza kutoka ndani ukaenda kazini na kurudi week nzima huja msalimia Mungu wako kwa ibada yoyote!
Nini week, hata mwezi mzima unafutaaa!

ILA THUBUTUUU YAKO HUWEZI TOKA ASUBUHI NA KURUDI KULALA USIMSALIMIE BABA YAKO MZAZI!
Jeuri hiyo hunaaa!

Ili Mungu awe Baba yako aliye Mbinguni FOR REAL…

It starts with obedience and constant consistent communication!

Huwezi kumchunia Baba yako siku 3!
Unless sio Baba yako!

Ukiwa unamheshimu Mungu, unampenda, una mahusiano nae ya kila siku,
hata ukimuita “Baba” ina SWIIIIT!
Na Yeye anaona wewe kweli mwanae
maana unamheshimu, unampenda, na kumtii.

Jina lako litukuzwe

Ukitamka hili andiko — kuwa specific.

Litukuzwe na nani? Na kwanini?
Most of you it’s like mna ropoka tu: “Jina lako litukuzwe” na whoever, wherever, for whatever.
TOTALLY SPIRITLESS.

Yesu alitoa formular: jina la Mungu litukuzwe na wewe unayefanya ibada.
Hakuagiza wewe uwaagize wengine walitukuze jina la Mungu!

Au utamke kwa formality tu.

What He actually meant is: tafakari kwa kina jina la Mungu alilojijengea kwa uweza wake.
Tafakari the depth of God and His mighty with a touch of His glory!

Tafakari Mungu amefanya nini kwenye maisha yako na ukuu gani amekutendea!
Tafakari matendo ya Mungu siku ya jana au week hiyo, na ulitukuze jina lake sababu umeonaaa uwezo wakeee.

Ufalme wako uje

Kama kawaida ni kuropoka tu!

Ufalme wake uje?
Nani ana uleta? Kivipi? Lini?

Yesu alicho maanisha ni kwamba wakristo tuwe na kiu ya kueneza ufalme wa Mungu duniani!
Tuwe na kiu ya kuwaokoa wengine na kuwatangazia habari njema!

Unaposema “Ufalme wa Mungu uje” — umaanishe kweli!
Ikiwezekana uambatanishe na mambo wewe kama wewe uliofanya kuhakikisha ufalme wa Mungu unaenea kweli duniani!

It is about facts not clichee and satire!

Utupe mkate wetu wa kila siku

Hapa ndo mnapo patakaaa au siooo!
Hapa hata hamuitaji pindi wala nini—mnamaliza kila kituuu!

Kwa kuongezea tu, hapa spend time discussing your career moves and business strategies za siku hiyo.

Huo mkate wako wa kila sikuwhere and how do you like it served? By who and when?

Kama mkate umekwama, hapa ndo pa kukomalia kwamba mkate jana haujaja wala juzi,
na Mungu asipoingilia uta kufa njaa mwanaye hivi hivi!

Forgive us our sins, for we also forgive everyone who sins against us.

Hapa sio pa kupita kama mshale!
BE SPECIFIC AND DIRECT!
Which sins? Miminika!
Committed when? Against who? Why?

Una mihakikishiaje Mungu huta rudia tena?

Umesamehe nani? Liniii? Kwa asilimia ngapi?

Msipeleke mambo ilimradiii!
Mtu una kinyongo na baba mtoto afu mkavu: “Kama tunavyo wasamehe waliotukosea ila siyo yule mbwa! Nipo nae mpaka siku naingia kaburini.”

And lead us not into temptation.

Vishawishi vipiii? Weka wazi!!!

  • Vishawishi vya kumchapa boss makofi na kuacha kazi!

  • Vishawishi vya kuiba hela ofisini sababu ya ugumu wa maisha!

  • Vishawishi vya kumkubali mume wa mtu sababu ya upwiruuu kutokana na kuwa mpweke kila siku!

  • Vishawishi vya kumuacha mchuchu sababu hasemi ndoa ni lini!

Hii sala IPO SO PERFECT for everyday life communication with God!

Kila siku ina support new and fresh materials while keeping the format constant!

It is a complete package with full coverage.

Na ina kuakikisha uhusiano wa uhakika na Mungu.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top