SEMA NENO MOJA TUUU NA ROHO YANGU ITAPONA!

Matthew 8:8-10

5 And when Jesus entered Capernaum, a centurion came to Him, begging Him,
6 and saying, “Lord, my servant is lying paralyzed at home, fearfully tormented.”
7 Jesus said to him, “I will come and heal him.”
8 But the centurion replied, “Lord, I am not worthy for You to come under my roof, but just say the word, and my servant will be healed.
9 For I also am a man under authority, with soldiers under me; and I say to this one, ‘Go!’ and he goes, and to another, ‘Come!’ and he comes, and to my slave, ‘Do this!’ and he does it.”
10 Now when Jesus heard this, He was amazed and said to those who were following, “Truly I say to you, I have not found such great faith with anyone in Israel.”

 

ZINGATIA NENO: FEARFULLY TORMENTED!!!

Maana yake alikuwa anateseka haswaaaa haswaaaa na hofu! Kukata tamaa! Panic! Kama wewe tu!, Hatma yake ya kesho haijulikani! Kama wewe, shoga angu, hujui kama utaolewa kweli na lini?! Au utazeeeka mwenyewe! Muda unaenda—kuwa single mother unaona nacho kikombe kikuepukeee!

People have the right to talk, ila kama wanavuka mipaka sasa! Na zaidi ya kuwa fearfully tormented, huna uhakika wa maisha!

Hujui kama utaenda kazini maana kila siku “Not Selected for Oral”! Mpaka unaanza kuhisi yamkini wewe ni bolizozo na vyeti vyako ni vya mchongo! You seriously doubt your upper second GPA!

Yamkini una watoto wako who you born out of love and weakness for a wrong man! Sasa shetani anawatumia kama chambo to keep men away from you! “Nimekupenda sanaa ila watoto wa 3 ni wengi sanaaa! I can’t deal! Ndugu zangu hawatakubalii!”

Sasa jamani, watoto wangu si wakubwa na wana maisha yao nje ya mwili wangu! Sio kusema ni ulemavu nitembee nao kila mahali! Ni separate entity huko???

Usipokuwa makini, unaanza kuwachukia mpaka wanao!

Kama maji kumwagika, yasha mwagika tayari, hayazoleki! Huwezi tena kuwa kigori! Mlangoni pa labor hujui! Trip za labor ni 3it is what it is!

Kutumia vile na cut-throats za dunia hii utabambwaaa tuuu! Unajifanya hujazaaa? Nido ipo tumboni! Hizi bad genetics tu! Kuku wa kisasa wananiharibu! Mummy poch kama lote! Ubongee tu huu! Na kama hukupigwa kisu basi ndo unakuwa uso mkavuuu kweli kweli maana huna mshono!

Sijazaaa mimi! Wapiii? Watoto umewatelekeza? Au unapunguza idadi, unamkubali mmoja tu! 3!

Kama mwanaume hataki watoto wa mtu—muaminiii! Ooohhh! Hata mkae miaka 10, bomu likilipuka anakufukuza wewe na watoto wako!

Au ndo uuze nafsi yako kupata ndoa at the expense of motherhood blessing! Watoto wanaambiwa umekufa kumbe uko hai, unajifinyia kwa ndani bila haya wala hujui visaya.

 

Cut-throat techniques za kumpigia magoti mwanaume akuoe: unamhudumia kila kitu, unafumbia macho maovu yoteee, unajitoa kufanyiwa vitu ungodly—all for what? Ujue umeuza nafsi yako kwa shetani!
Utaishi umepiga magoti maisha yako yote.

Maana lengo la ndoa ni usiwe mpwekee! Upate mtu wa kuspend nae your life, not finance someone to spend his life with other people, wewe ubakie lonely!

Ndo maana unaweza kuta mke na mume hawana hata hela ya nyama, ila wana furaha na amani. Na wakichagua tena, watachaguana vile vile.

 

Cut-throat methods za kukubaliku-zinishwaaaa ili uolewe! Kukubali kumzalia mtu hajalipa hata 10 kwenu—upo radhi uwadhalilishe wazazi kanisani ila umfuraheishe mwanaume.

Kukubali kuchunwaaa visnet vyako! Hata chupi mpyaaa hunaaa! Chupi zote mipira imelegea! Unamhudumia bwana!

There is no limit of how low you can go for the wrong men!

The man is just wrong! He screams WROOOOONGGG all over all day everyday! Ila upooo tuuu!

 

FIND YOU A GOOD GOD SENT MAN.

Mimi kuna watu 2022/2023 walikuwa huko wananambia, “Mungu si atupe tu God-sent man!”
Yaani wakiwa bado na wrong men, wanaendeleza libeneke la zinaa mfululizo, Mungu awaleteee mume!
Like Prince Charming coming to rescue them!

It never—like neverrrr—works that way!
Wewe kamilizeee tu huko! Me and the heavens we will be watching you go down kwa masikitiko.
Like “Angewahi angepona kabisa huyu!”

Ukiona umetumia akili zako zooootee na mwili wako umetumikaaa umeishaaa,
jitafute kama mwana mpotevu na tafutaaaa njia ya kurudi kwa Baba yako aliye juu!

Malizana na tamaa za mwili!
Tamaa za hela za masponsor!
Tamaa tamaa za kijinga kwenye vitu vya dunia hii!

TAFAKARI mateso na gharama za kiakili, kisaikolojia, na kiamani ya roho unazoingia na kuwa fearfully tormented.

Njoo kwa Yesu! Sababu Yesu anakwambia:
“I will heal you.”

Wewe ni kuamua na kuona kwamba kwa ulivyopambanaaa na kuhangaikaaa na kufosi mambo—lakini wapiiii!
Only JESUS can heal you! Only JESUS!

Ni kusema tu kwa dhati ya moyo wako kwamba:
“Bwana Yesu, sistahili uje kwanguuuu, sababu pamoja na kuzaliwa Mkristo na kuzijua amri zako,
lakini sio tu kwamba nimezini sanaaa tu, nimeenda kuzaa watoto wa kutosha kabla ya ndoa!
Nimeenda kwa waganga!
Nimezini na watu kibaoo kibaooo!
Nimetoooo mimbaaa!
Nimechuna mabuziii!
Nimefanya uasherati!

Mind you—uasherati sio zinaa!
Zinaa ni kama wote hamjaoa wala kuolewa, ila ukilala na mwana ndoa, huo ni uasherati maana umeingilia Mungu alichokiunganisha.
Utakomaaa!

Unakuwa tu mkweliiii—
Bwana Yesu hastahili kuingia kwako, sababu umefanya machukizo ya kutosha mbele za Mungu!

Lakini kama yule mjedaaa, mwambie kwa Bwana Yesu kwa imani:
“SEMA NENO MOJAAA TUUUUUU NA ROHO YANGU ITAPOONAAA!”

 

Roho yako itapona kivipiiiii???
Itapona kwamba mahusiano yako yatapona kwa kupata mwanaume ambaye atakukubali na watoto wako wa 3 na madhaifu yako mengine.

Hita kulazimu wewe kujibadilisha uendane na mwanaume, bali mbingu zitakupa mwanaume wa kuendana na wewe na hali yako!

Mbingu zitakupa mwanaume ambaye anapenda vibonge—yaani nyamanyama ndo maradhi yake!
Sio unaishia bila kula ili usinenepe maana ukinona tu, bwana hunaaa!

Mbingu zitakupa mtu ambaye atakuja kuikamilisha furaha yako, sio kukuvuruga na kukunyonya damuuu!
Mtu ambaye ataiona thamani yako!
Mtu ambaye ana nia na kiu ya kuishi na wewe kama mke, sio yale majokeriii uliokuwa unayakumbaaaa!

 

Na this can only happen kama ume-reform njia zakooo!

Kama bado upo kwenye njia za zinaa na upwiruuuu, Mungu hawezi kumleta mtu wake mwema ili umharibuuu na mitego ya zinaa zako?
Thubutuuuu!

Kama moyo wako bado upo Sodoma na Gomora, God will never move in your direction!
He will know it is a trap!

Na sio tu zinaa! Kama moyo wako umejaa sumu ya kibriiii! Jeuriii! Dharauuu! Insubordination!
He will never send you His best men for you to destroy!

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top