SELF DELIVERANCE (SUNDAY WORD)

PART 1

Wapendwa wengi mlijaza Questionaire Sasa nawapa summary ya deliverance ili kuweza  kujua nini hasa inaweza kuwa shida kwako, Sio uhakika  asilimia 100% lakini Possibility ni 80%, Nita discuss shida nilizo wakuta nazo watu wengi na jinsi ya kuzitatua, Wengi wamaniambia mbona kuomba tunaomba miaka yote hatupati reactions zozote, Mimi niliwapa customized prayer points kutokana na changamoto aliyo nayo, Uzito wa dozi ulitoshana na Uzito wa tatizo na ndio maana nime wahakikishia USHINDI LAZIMA, Nafuu wengine mshaanza kuiona, Sasa customized Prayer point sio rahisi maana lazima ufanye 1 to 1, kidogo inilaze, Mpaka nimechukua likizo lakini ukijua shida kuitatua hata solo ni rahisi!

 

1. ABORTION

Watu wengi waliofanya abortion wanatembea na LAANA YA CAIN, The curse is realand and is very bad, Mlimwaga Damu na Mungu alichukia, I had people with  five (5) abortions na the most alikuwa na seven (7) , hata moja (1) ina warrant LAANA YA KUTOSHA TU, Na issue sio hufanyi toba issue wengi bado mna-justify the muder you commited.

 

Katika toba zenu unakuta mtu anatubu lakini anajisemesha ili mbidi atoe mimba either alikuwa mdogo, au mwanaume hakueleweka au hakuwa na kitu.

 

WAPENDWA ALL REASONS ARE BULLSHIT, HOLY CRAP TO BE PRECISE, NDIYO MAANA MUNGU HASAMEHI NA LAANA YA CAIN UNAYO NA UNA DUNDA NAYO.

 

Wapendwa anachotaka kusikia Mungu kwenye toba yako nikwamba YOU WERE WRONG 100%, NO JUSTIFICATIONS, Watoto wanazaliwa na machizi wanakula jalalani na wanakua watu wazima kwa kudra za Mungu, Watoto wanazaliwa mama anakufa hospitali analelewa kwa yatima mpaka ana kua. YOUR REASONS ARE TOTAL BULLSHIT, NA WENGI EVEN AFTER TEN (10) YEARS BADO MPO VERY DAFT.

 

The hard truth ni kwamba ULI- UA KIUMBE CHA MUNGU, MUNGU ALIKUWA NA MIPANGO NACHO ILA HUKUJALI KUWA UKI – KIUA MIPANGO YA MUNGU INAKUWJAE? ULIJILIPUA TO HELL WITH GOD AND HIS CREATIONS, UKAPOROMOSHA ENGINE AND LIKE THAT YOU WENT TO GODS BAD BOOKS, AKA LIMIMINA LAANA LA CAIN JUU YAKO, UNALO NA UNAHANGAIKA NALO.

 

Mwanzo 4:10-12

Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi. 11 Basi sasa,umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kutoka kwa mkono wako.12 Utakapo ilima ardhi haitakupa mazao yake; utakuwa mtoro na mtu asiye na makao duniani.

 

Cain katika case yake nzima HAKUOMBA MSAMAHA wala KUJUTA alichokifanya, Ukisoma mbele aliridhia kutimikia adhabu yake ya kutanga tanga, Aliomba tu asiuliwe na Mungu anamuwekea KATAZO na ALAMA kwamba haruhusiwi KU-UWAWA. Wengi mnafanya toba, lakini bado hampo SAME PAGE na Mungu hasa katika kukiri kosa lako, Wengi mpo kama Cain eager to discuss JUDGEMENT than kufanya toba upate rehema na neema.

 

Toba ya kweli unaanza kwa kutambua GRAVITY ya kosa lako, Kwamba uliingilia uumbaji wa Mungu! Uka haribu mipango ya Mungu, Uliwakosea watoto wako ambao Mungu alikupa,Tofauti na wazazi wenzio wanao panga kuwapokea watoto na kugawana nao kidogo wanachopata wakiwapambania, Mzazi wewe Gaidi ukaamua NO MEETING, NO WHAT YAANI BACK TO SENDER MAPEMA SANA.

 

Anachotaka Mungu utambue ni kwamba IT WAS WRONG AND EVIL OF YOU PERIOD, NO JUSTIFICATIONS NA UAPE KWAMBA KAMA SCENARIO INGERUDIWA UNGEFANYA MAAMUZI TOFAUTI NA YA MWANZO NA HATA IKITOKEA TENA IKIBIDI UZAE BARABARANI UTAZAA.

 

WAPENDWA KUTEGEMEANA NA DETAILS NILIWAPA PRAYER POINTS, YET STILL BILA PRAYER POINTS TOBA YA DHATI INAPITA NA MUNGU ANA ANGALIA MOYO WA MTU SIO JINSI ANAVYO NATA NA BEAT LA TOBA.

 

 

2. MAAGANO YA WAGANGA

Watu wengi walisha enda kwa waganga sasa hapa details  zinapishana, Wengi walienda wadogo kwa kupelekwa na wazazi, baada ya kukua hawa kwenda lakini MAAGANO YAPO LIVE JUU YAO NA YAPO TRENDING, Na dalili kubwa una maagano ya Waganga ni CHALE mwilini, Chale ni BY PRODUCT ya AGANO ACTIVE NA NGUVU ZA GIZA.

 

Na kuna walio endelea kwenda wenyewe kwa akili zao hasa hasa kwa mambo ya Mapenzi na mambo ya kazi na biashara, Wakachanjwa CHALE zingine mpya, maana wakaingia MAAGANO mengine mapya kabisa, Unakuta mtu ana maagano matatu (3)  mpaka kumi (10) hapo kuna ya kurithi na yake mwenyewe.

 

KIBAYA ZAIDI MOST OF YOU WERE CHEATED KWENYE HIZO EVIL COVENANT KULIKO KUSAIDIKA, WAGANGA WALICHOFANYA NI KUTOA VITU VIKUBWA MUNGU ALIVYOWEKA NDANI YAKO KAMA KIBALI, RIZIKI, NYOTA, ETC NA KUWAACHA KOPO TUPU.

 

Hivi vitu Mungu anaweka ndani ya mtu HAVIWEZI KUTOKA ndani yake bila IDHINI YAKE, KUWAIBIA ISINGEWEZEKANA BUT THEY CHEATED YOU, WALITUMIA TAMAA YAKO KUKUTAPELI VITU VIKUBWA MUNGU ALIVYO WEKA NDANI YAKO.

 

Wewe unataka libwata dada, Mganga anakwambia SEMA TAWIRE, Ulivo genda heka unaitikia TAWIRE kwa herufi kubwa, Lugha anayo ongea ya waungwana huijui lakini kwa kutaka kumroga Bwana tenaa unaitikia, Mambo ya  ki-urogi urogi, Mganga  anasema NATOA NYOTA YAKO, Wewe huku TAWIREE!, Anasema NATOA RIZIKI YAKO YOTE!, Wewe Kubwa Jinga tena unaitikia TAWIREE! yaani TOA YOTE BABA, Anasema NATOA NYOTA YAKO YOTE, Wewe tena Madam zero brain ni TAWIREEE!, Kuna muda anapata shida vitu vinagoma kuhama anakwambia sema TAWIREE Mara 7 kwa Sauti kubwa,  Ulivyo kichwa maji unapaza sauti kabisaa kuidhinisha utapeli unaofanyiwa.

 

 

Mara nyingi at this stage MBINGU ZINAFUNGA RASMI JUU YAKO, YAMKINI ZINASEMA JINGA KABISAA HILI, UKITOKA HAPO HUINGII OFISNI, HUNGAI KWENYE MAHUSIANO, HUNGAI KOKOTE! NYOTA ZIII, NYEUSI  YAANI BLACK MAMBA, RIZIKI HUNA DADA, MAMBO YAKO PAPATU PAPATU, MIKOSI NDO KWANZA  IMEZIDI.

 

ISSUE NILIO WAKUTA NAYO WENGI ZAKA ZAO NIMEKULA LAKINI RIZKI EITHER ZIMEFUNGUKA NUSU AU ZIMEFUNGA NGANGA, SHIDA KUKIWA NA AGANO LIVE LA NGUVU ZA GIZA MBINGU ZINAONDOKA NA KUFUNGA MlLANGO, HIZI FALME  MBILI (2) HAZIKAI NDANI YA  MTU MMOJA ABADAN  ASILANI.

 

WENGI UROGAJI WAMEACHA LAKINI MAAGANO HAYA KUVUNJWA, BADO YAPO ACTIVE NA TRENDING KWENYE MAISHA YAO, NA VILE VITU MGANGA ALIVYO SEPA NAVYO TUNA VIHITAJI, HUYU KIUMBE AWEZE KUSONGA MBELE, HUWEZI PATA PROMOTION BILA KIBALI,  HUWEZI KUFANYA BIASHARA BILA NYOTA, HUWEZI KUPATA MAFANIKIO BILA RIZIKI NA GENDA HEKA WEWE UMESHAFANYA BIASHARA YA KIJINGA SANA NA MGANGA KAKUPA LIBWATA KASEPA NA NYOTA.

 

Kusema Mungu kukupa tena ni uongo Maana PAMOJA NA KATAZO PRO MAX LA USIENDE KWA MIUNGU MINGINE, Wewe KJ ( As in Kubwa Jinga) umeenda, umefanya nayo karamu dada, umetuzaaa dada, umetoa sadaka dada, umei-abudu na kutafuta USAIDIZI, UKAFUJA FUJA HAZINA MUNGU ALIZO WEKA NDANI YAKO ZIKUFAE MAISHANI MWAKO KWA KUZIUZA KWA BEI YA PIPI KWA HII MIUNGU MINGINE.

 

AFTER ALL THIS DON’T BOTHER KWENDA MBELE ZA MUNGU KUOMBA AKUPE NYOTA NYINGINE, KIBALI KINGINE, RIZIKI NYINGINE, NEVER EVER HUPATI KITU, HAKUPI NG’OO, THUBUTU YAKO MAANA ANAKUJUA UKIYUMBA KIDOGO TU YOU ARE BACK KILINGENI CUTTING NEW DEAL, EVEN MORE STUPIDIER THAN THER PREVIOUS ONE, WENGI MMEJARIBU SANA SANAAA HII ROUTE ILA INAISHIA NO REPONSE, HAMNA MAJIBU WALA VITU VINAVYO SHUSHWA NI KAMA KUMPIGIA MBUZI GITAA ACHEZE, MMENASA HAPA.

 

MIMI WATU WANGU NIME WAAMBIA UKWELI MCHUNGU, GOD IS NOT GOING TO SEND ANYTHING, VITU USHAPEWA NA UME-MUHONGA MGANGA, THE ONLY WAY YA KUPATA TENA HIVO VITU NI KWENDA KUVICHUKUA ULIPO VIACHA, VUNJA MAAGANO, KANE KANE MIUNGU YAO, DENOUNCE MAAGANO MLIOKUBALIANA KWAMBA UNAVUNJA VUNJA NA HUTAKI TENA USHIRIKA NA KILINGE WALA MGANGA, COMMAND THEM TO RETURN BACK WHAT IS YOURS.

 

KULE ULIKO TAPELIWA TUNAENDA KUCHOKOZA MZINGA WA NYUKI NA KUDAI CHETU MPAKA TUPEWE LASIVYO KILINGE TUNA KIWASHA MOTO, MWENDO WA VITA NA SILAHA ZINAZO TUMIKA NI ZA NUCLEAR TUPU, MIMI NAKU SUPPLY TU NICLEAR ARSENAL AND WAR ARTI LERY ZA KUKUTOSHA KUENDESHA VITA NA MGANGA NA KAMA WENGI WAGANGA NA VILINGE VYAO NA POWER BEHIND HIVYO VILINGE.

 

WALIO LIAMSHA NA KUKIWASHA VITU VIMERUDI, WAMEREJESHEWA LAKINI KUNA MTU HAJAWAHI ITWA INTERVIEW TANGU AMALIZE CHUO, ANA CHALE MWILI MZIMA! KAPAMBANA NA JUZI AMEITWA INTERVIEW YA UTUMISHI NA POSITION NI WATU WATANO (5) TU, NA WAME ITWA 20 TU, KANIHAKIKISHIA MAMA HII KAZI NARUDI NAYO, SITAKI UPUUZI MIMI.

 

NA KWA JINSI ALIVYO UWASHA MOTO MPAKA KUREJESHEWA MALI ZAKE NDANI YA WEEK 1 TU AAH HUYU MTOTO ANA BALAA AU SIJUI MGANGA WAKE ALIKUWA MWEPESI YAANI SINA MASHAKA NAYE KAMA KILINGE KIMEKALISHWAA, SASA ITAKUWA UTUMISHI !!? THUBUTU! KAZI TUNAYO TUNA TAMBA NAYO.

 

Maagano ya nguvu za giza, yana vunjwa na AGANO NA MUNGU, Either uingie jipya au utumie EXSTING ambayo yapo tayari, Unaanza kusimamisha Agano na Mungu kwanza, then ndiyo una DENOUNCE usharika wako na Miungu mingine na madhabahu zao, Then unavunja maagano pending yaliyopo baina yenu na kufuta uhalali wowote juu yako tena kuanzia sasa.

 

Wapendwa ninavyosema hii kazi ngumu mnielewe, Kwa wale nilio wafanyia nimewapa customized prayer points za issue nzima, Again ku-customise lazima tufanye 1 to 1, nijue issue yako kwa kina, Sio guess work, Nijue silaha gani za nuclear ni ku-koki nazo!

 

Yet again bila hata prayer points wala mimi kukufanyia unaweza kutafuta mtumishi akakusaidia kuvunja, It’s a normal Christian tradition kama zana unazo unapeleka zinachomwa, Mimi niliwaelekeza wachome wenyewe, Waka choma, Walifukua na kutoa vyote na kuchoma.

 

EASY WAY TAFUTA KANISA LA PENTEKOSTE WAAMBIE KUNA-AGANO UNATAKA KUVUNJA NI CHAAP KWA HARAKA TU.

 

PART 2

3. LAANA ZA UKOO

Wapendwa Laana ni by product ya AGANO ACTIVE ambalo HALIJAVUNJWA na HALITEKELEZWI, LAANA inakuja kama matokeo ya NON-PARTICIPATlON kwenye hio Evil Covenant ya one party, The other party ambayo ipo involved ndiyo inapitisha LAANA / CURSE kama consequence kwa upande ambao umetelekeza agano bila sababu za msingi.

 

Mithali 26:2

Kama shomoro  katika kutangatanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpati mtu.

 

LAANA INAYO RINDIMA KWENYE UKOO INA UHALALI JUU YENU, KWANINI MTELEKEZE MADHABAU ZA UKOO?; ZAMANI KOO NYINGI MABINTI WAKIFIKA UMRI WA KUOLEWA WANA CHINJA KWA MIZIMU INATOA IDHINI WANAOLEWA FASTA, SASAHIVI MMEKIMBILIA DAR-ES-SAALAM KILINGE KINAPIGWA VUMBI KUDADADEKI, MIZIMU IMEKASIRIKA NA KUMIMINA LAANA MOJA MATATA INARINDIMA, HAOLEWI MTU NA UKIOLEWA UNA- ACHIKA MAPEMA SANA.

 

Laana hizi nyingine zipo 4th generation, nyingine 3rd, 2nd hadi 1st, hivyo kuna watu kama ni 2nd maana yake na wanao watakuwa 3rd, wajukuu watakuwa 4th, Kwenye maandiko LAANA zinaenda vizazi mpaka vinne (4).

 

Deuteronomy 5:9

9 Thou shall not bow down thyself unto them, nor serve them; for I, the Lord thy God, am a jealous God, visiting the iniquity of the fathers upon the children unto the third and fourth generation of them that hate me.

 

HIVYO LAANA NI ZAO LA MAAGANO YALIYO TELEKEZWA AU YALIYO SAHAULIKA AU KUVUNJWA KIHOLELA, NA KAMA IMEKUPATA MAANA YAKE UHALALI UPO WA KUTOSHA TU.

 

SASA WENGI TUME LAANIKA, HATA MIMI NIMETESEKA SANA SANA NA LAANA ZA UKOO, NA UKOO WETU NI MAJANGA MATUPU KOTE KWA BABA NA MAMA, TULIO OKOKA TU NA KUMPOKEA YESU NDIYO KIDOGOO MAISHA TUMEONJA, NA PIA MIMI NILIKUWA MTOTO WA AUNTY SO AUNTY ALITUOMBEA SANA SANAA ALIKUWA ANABADILI WATUMISHI NDIYO KIDOGO WATOTO WA AUNTY WOTE TUKO VIZURI.

 

Kuna Maeneo kwenye maisha yetu wote woteee ni GIZA TUPU, Even after kuokoka na kumpokea Yesu kuna maeneo UPAKO ni mkubwa sana lakini kuna maeneo BADOOO KABISA. Wapendwa mwaka jana nilienda kwa Mtumishi wangu gaidi kama Yohana nilikata tamaa ikani lazimu kwenda kumuuliza HAYA MAENEO INAKUWAJE?, MUNGU ANASEMAJE?, TENA NILIENDA NA MILLIONI 3 CASH KATIKA KUMUWEKA IN MY GOOD SIDE.

 

JIBU ALILONIPA LILINICHOSHA MWILI NA ROHO; BADO MAAGANO YA UKOO YAPO ACTIVE! NA BAADHI YA PASSWORD ZIPO VILE-VILE, UNLESS YAVUNJWE NISITEGEMEE PROGRESS YOTOTE, NA PESA YANGU NDIYO KIENDACHO MADHABAUNI HAKIRUDI; HE OFFERED TO PRAY FOR ME AND ALL LAKINI IT WAS UN-SUCESSFUL, MUDA MWINGI YUPO SAFARINI AU UNASHINDA OFISINI KWAKE SIKU NZIMA, IT WAS JUST NOT FEASIBLE.

 

Kwa kweli nilichoka Roho na yalinifika hapaa, Nikasema kwa nilipofika NIRIDHIKE TU na changamoto zilizobakia niishi nazo, I will not spend one more second of my precious life fighting the ghosts of my fore fatheres, Nikajiambia I DIDN’T DO NOTHING!, GOD KNOWS IT, KAMA NA ADHIBIWA  KWA DHAMBI ZA WENGINE BASI NIMEKUBALI, WAMESHINDA WAO NA WANIWEKE TU MATEKA SIJALI WALA NINI, TO HELL WITH EVERYTHING.

 

NIKIWA NIMECHILL BABELI NAJILAZIMISHA KUKUBALIANA NA HALI HALISI YA KUWA MATEKA MTIIFU NIKAANZA KUTAFUTA BORDER ZA KUMSHAWISHI MUNGU ANIOKOE YEYE I WAS HOPING GOD MAY FIND IT IN HIS HEART TO COME AND RESCUE ME BASI HATA KAMA ITAKUWA CONDITIONAL POA TU, ANIOKOE HATA IN EXCHANGE NIMFANYIE MISSION! WAPII NIMETULIA BABELI MWAKA.

 

NIKAANZA KU-HOPE MAYBE MTUMISHI WA MUNGU AMEKOSEA KU-DISCERN AU KUNA ERROR TU, KAMA ALIVYO PROPHECY KAMA MAAGANO HAYATA VUNJWA NA LAANA KUFUTWA KAMA KAWAIDA NI MWAKA MWINGINE WA NO PROGRESS, NA MWAKA NDIYO UNA ISHA KAMA HIVI, NACHEKA LAKINI NAOGOPA.

 

BAADA YA KUPOA HUKU BABELI NA KUJITAFUTA NA KUJIPATA NIMEONA SASA NIPO TAYARI KUVUNJA VUNJA MAAGANO, NA NISHAANDAAA UFUTIO WA LASER YA KIROHO KUFUTA LAANA ZOTE, NARUDI UPYA VITANI NA SILAHA ZA NUCLEAR, NA SAFARI HII NIMEWEKA NIA, SIONGEI SANA, NITAKUJA KUWAPA USHUHUDA.

 

UZURI NA DADA YANGU NAYE KACHOSHWA NA KILINGE CHA UKOO,  NA YEYEE AME-DHAMIRIA PRISON BREAK, TENA AMEAJIRI WAOMBAJI WAWILI (2) FULL TIME KUSAMBARATISHA TU HIO MADHABAU YA UKOO.

 

WAPENDWA LAANA ZA UKOO SIO NYEPESI BILA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU HUCHOMOKI ,PRISON BREAK YA MAAGANO YA MGANGA NI NYEPESI KULIKO HII YA MADHABAU ZA UKOO, MAAGANO YANA MVI MAANA NI VIZAZI NA VIZAZI, STRONG HOLDS ZIKO STRONG KWELI KWELI.

 

ASILIMIA 80% YA WALIOFANYA DIVINE INTERVENTION ABOVE 30 NA ABOVE 35 WENGI WANA SHILIKIWA HAPA, NA WENGI MPAKA LEO MAMBO MEUSI VILE-VILE SABABU WANALETA MADEKO WAKATI STRONG HOLDS NI KIBOKO; NA MIMI NDIYO MAANA NILIWAACHA KWENYE MATAA, MAANA BILA IBADA YA KUFA NA KUPONA HATOKI MTU, SASA WATU UMRI MKUBWA LAKINI DRAMA NYINGI, IBADA HAKUNA; WALIOKOMAAA WAKACHOMOKA WENGI WAMEOLEWA MWAKA HUU NA WENGI WASHALIPIWA MAHARI.

 

WAPENDWA NA WAAMBIA NA NYIE WANANGU, SAWA ZAKA UNATOA LAKINI USIPOWEKA MSULI NA KUPAMBANA BILA KUKATA TAMAA KAA UKIJUA KIENDACHO MADHABAUNI HAKIRUDI, BORA UPAMBANE KUFA NA KUPONA UCHOMOKE ZAKO.

 

HIZO PRAYER POINTS NILIZO WAPA NDIYO MIMI MWENYEWE NAJIANDAA  KUUWASHA MOTO WA GAS, UKIKOMAA NAZO USHINDI NI LAZIMA, NILIMSIHI SANA SANAA  ROHO MTAKATIFU KWAMBA SITAKI KWENDA VITA NYINGINE YA KUSHINDWA, HII NDIYO LAST WAR KWANGU, AKANIONGOZA MAFUNUO NA NDIYO NIKATENGENEZA HIZO PRAYER POINTS.

 

NA WAPENDWA UNAWEZA KUWA NA PRAYER POINTS LAKINI MOYO WA IBADA NA NIA YA IBADA VIKAKOSEKANA IKAWA KAZI BURE, MIZIMU YA UKOO HAINA HURUMA NIULIZE MIMI MWAKA MZIMA, INANITOA DRY  MTUMISHI MZIMA WA BWANA KWELII?.

 

 

Wapendwa kuna this Pastor, He is good in deliverance, Too good lakini alikiri kwamba mizimu ya ukoo ndiyo ilimgharimu kweli- kweli kuvuka, Alikata tamaa na kuinuka mara nyingi mnoo, Wajinga walimshika haswa haswaa.

 

Mpaka aliamua kwenda kuhubiri vijijini ile chaka to chaka kwa miaka miwili (2) tena alienda vijiji vya kwao hukooo, ambapo kilinge kipo ili wapambane vizuri sasa, Si wameamua iwe mbwai na yeye akafanya na iwe mbwai, Alikuwa level ambayo yupo tayari hata KUFA ikibidi lakini lazima wamuachilie uchumi wake, Ni Miaka by the way.

 

Anakwambia kwenye kuhubiri huko vijijini hakuna ambacho hakukutana nacho, Alishapigwa Kimbunga! kimbunga kipo eneo lake tu akiweka stage ya mahubiri, na speaker zake! Akaacha Kimbunga kinaendelea akaendelea kupita mtaani anawahubiria majumbani kabisa si hawataki uwanjani, Alikuwa kama mtu aliyedata yaani haogopi Dudu wala Mende!

 

Alisha kabwa usiku, kumwagiwa michanga usiku, alisha pigwa mayai visa, na tafrani zote akaanza utaratibu wa kukesha ana imba na kuomba, NO RETREAT NO SURRENDAR,  YUPO NA MUNGU MPAKA RAIA ZIMUUE.

 

Anasema alikonda, Alichakaa maana alikuwa na suti mbili (2), Akirudi anafua aliyovaa  siku hiyo, mazingira mabovu, chakula  kibovu,  Aliugua malaria kidogo AFE akalazwa kwenye vi-zahanati tu! Mpaka mama yake alimfata arudi mjini, Akasema YUPO ON A GODS MISSION MPAKA MIAKA  MIWILI (2) IISHE, KAMA AKIFA NDANI YA HIO MIAKA  MIWILI (2) BASI NDIPO MPANGO WA MUNGU, ASILAUMIWE MTU YOTOTE.

 

ALICHOSEMA YEYE ALIONGEA NA MUNGU KWAMBA UHALALI ILIYONAYO MADHABAU YA KWAO NI UHALALI GANI AMBAO HAUISHI?, SADAKA GANI WANAYO MDAI HAILIPEKI? YEYE PESA HANA ZA KULIPIZA HIZO SADAKA LAKINI ATAFANYA HUDUMA SEHEMU AMBAYO HAWANA PESA YA KUMLIPA MUNGU ASIMPUNGUKIE CHAKULA TU, KWA MIAKA  MIWILI (2) THEN APEWE UHURU WAKE NA KUTOLEWA  MATEKA.

 

PRIOR HII MISSIONARY ROUTE ALISHAFANYA HUDUMA MIAKA KUMI (10) NYOTA NYEUSI TII, HAKUPATA MAFANIKIO YOTOTE NA ALISUMBULIWA NA UMASKINI HATARI ANA WA-DELIVER WATU WANAFUNGULIWA AKLAFU YEYE ANAWAPIGA VIZINGA, AKAONA HUU NI UPUUZI KABISA.

 

AFTER  TWO (2) GOOD YEARS ZA LIFE AND DEATH AKARUDI MJINI SASA NA NYOTA IKAWA NGARII NGARII KIBALI KIKATOKA JUU KIMENYOOKA, ANA GARI KALI HATARI SASA HIVI ANA ISHI.

 

 

Wapendwa huyu ndiye amenitia moyo kwamba, NO RETREAT NO SURRENDER, IF THEY GO LOW I SHOULD DEFINATELY GO LOWER, NIFIKE LEVEL ZAO, WHAT PRAYERS CAN NOT SOLVE, MORE INTENSE PRAYERS CAN SOLVE. UKIDHAMIRIA KUCHOMOKA UNACHOMOKA, NA NIME DHAMIRIA KUCHOMOKA NDIYO MAANA HATA WANAOFANYA DELIVERANCE NIMEWAAMBIA UKIUNGUA MOTO KIFUA AU TUMBO KUNYWA MAJI YA BARIDI AU PEPSI YA BARAFU ENDELEZA MAPAMBANO.

 

WATU MLIO ABOVE 30 NA HAMJAOLEWA AU HAMNA UCHUMI SHIDA KUBWA IKO HAPA NA NIKIPENGELE KWELI-KWELI, BORA HATA PEPO LINAKEMEWA LINATOKA, STRONG HOLDS AND FOUNDATIONS DAWA YAKE NI KUZIBOMOA NA IT IS ALOT OF HARD WORK, HELL LOT BELIEVE ME.

 

SIYO SAFARI YA KWENDA KWA KU-BEEP, NI SAFARI YA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU KWAMBA NAENDA KAMA NITAFIA HUMO FAMILILAH, LAKINI NITAPAMBANA MPAKA PUMZI YA MWISHO; KUNA MUDA WATU WANAKATA TAMAA NA WAMEANZA JUZI JAMANI HATA MWALIMU WAO SIJAANZA KWELI, NAWAKUMBUSHA TU HILO SWALA LINA MIAKA MINGAPI HALISOGEI? UKIJIENDEKEZA LEO MWAKANI UNAJUTA, MTU ANAJITWIKA MSALABA WALE TEKE TEKE GOLIGOTA.

 

NIME WAAMBIA UKWELI ILI ZIGO LIKIWA ZITO SANAA MJUE TU HATA WATUMISHI SALABA NI ZITO HIVYO HIVYO, ISIPOKUWA SISI NI WAZEE WA KUJILIPUA TUPO NA MUNGU MPAKA RAIA ZITU UE, IT IS A HARD JOURNEY BUT WORTH GOING; WALIOPIGA TEKE TEKE TOKA MWAKA  2022 WENGI WAMEVUKA EVENTUALLY, SASA USIPOJIDEKEZA HII 2024, KESHO 2025 UNAVUKA ZAKO, UKIJIDEKEZA ITAFIKA 2030 HIVI HIVI KIMASIHARA.

 

ZAMANI UNASEMA KUNA YULE SHANGAZI HAOLEWAGI ANA ZEEKEA NYUMBANI; WEWE NDIYO YULE SHANGAZI SASA KAKUPASISHIA KIJITI CHA LAANAKUM, LAANA SHATA SHATA LA UKOO; YULE UNCLE MASKINI MASKINI ANAISHI KWA VIZINGA NDIO WEWE SASA, UCHUMI UMEGOMA NA UNAITAFUTA 40 YRS, KUSEMA UKAE HIVI-HIVI SHOW YA MADHABAU UMEIONA KWA MASHANGAZI NA WAJOMBA TAYARI WANA TAFUTA 60 ZAO WAKIWA UBAONI, TRACK RECORD YA MADHABAU IMENYOOKA KAMA RULER.

 

DADA YANGU KAONA ISIWE TABU WATUMISHI WAWILI (2) KAWAWEKA KWENYE PAYROL, MMOJA SHIFT YA ASUBUHI WANAVUNJA MAAGANO NA KUFUTA LAANA, MWINGINE USIKU! ALUTA CONTINUA NA MWENZETU NIDA YAKE ISHATOKA NA MAMBO YAKE YAMEANZA KUNYOOKA, MIMI NDIYO NIPO KWENYE MSTARI NAANZA OLYMPIC USIKU HUU, WEWE ENDELEA KUJIENDEKEZA.

2 thoughts on “SELF DELIVERANCE (SUNDAY WORD)”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top