Wapendwa wengi hamna NENO ndani yenu na hamtaki kusoma NENO, mmekalia UBABAIFU wa ku follow watu lnstagram, Vitabu 66-73 hujasoma hata kimoja tu,just 1 ukamaliza na kuelewa the whole PLOT, KAZI YAKO NI KUJUA VIPANDE VIPANDE NDIO MAANA MAISHA YAKO NAYO MAMBO YANAENDA VIPANDE VIPANDE
MIMI NA WAFOLLOW INSTAGRAM WATUMISHI, ALIYEKWAMBIA NENO LINAINGIA NDANI YA MTU KWA KUFOLLOW INSTAGRAM NANI? ACHA DINI YA USHABIKI KUITIKIA AMINA ZA UONGO NA KWELI, AMINA MAANA YAKE NI “NA IWE HIVYO” SASA IWE HIVO VIPI WAKATI KICHWANI MWEUPE.
Yer 17:5
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake na moyoni mwake amemwacha BWANA.
Tabia ya husomi neno na ukalijua na likaingia ndani yako una kazi ya kumtegemea Mtumishi kama GOOGLE yako ya kiroho KITA KURAMBA. Haya Mtumishi nipo likizo sasa na unahitaji huduma na ndio siingiii DM mpaka week ijayo unafanyaje? Hakija kuramba?, Ndiyo maana mnasababisha watumishi wanapata jeuri ya ku-demand more than allowed cut ya matokeo, Wanaanza kutanga rate zao sasa sio tena muongozo wa maandiko.
Una Amboss sasa unaleta Million 3 kila mwezi macho yana kutoka kama Mjusi aliyebanwa na geti, Unabakia unawonder kwa rate gani? Kwa KANUNI ipi ya KIMAANDIKO? Sio EXTORTION hii kweli ? WEWE UNAVYO MU-EXTORT MTUMISHI NENO LILILO NDANI YAKE AAAH!, NDIO UJUE MTUMISHI ANA BILL NA YOUR NON-ACCOUNTABILITY HUMO HUMO KWENYE RETAINER YAKE.
MPENDWA VITABU 66-73 VITAKATIFU KWENYE MAANDIKO HUJASOMA HATA KIMOJA UKA KAMILISHA WEWE NA WAPAGANI MNATOFAUTI GANI? NDIYO MAANA NASEMA NYIE NI WAKRISTO WAPAGANINOO.
Mimi Nampenda YESU sanaa!, Hata injili mojaaa walau hata Marko which is hardly 10 pages hujasoma uka-kamilisha, YESU gani unayempenda ambaye unamjua vipande vipande kama Wapagani? How dare you call yourself CHRISTIAN as in OF CHRIST, MAANA YAKE UNA-FOLLOW MRENGO WA JESUS CHRIST and you know very very little about CHRIST mwenyewe, SI UZUGAJI WA DINI HUU ULIO TUKUKA.
MIMI NIMEOKOKA MUDA MREFU LAKINI MUNGU BADO KUNITENDEA LAKINI NAENDELEA KUSUBIRI, KUOKOKA KWENYEWE NDIO HUKU KWELI EMPTY SET KABISA KICHWANI?!, NA KUSUBIRI KWENYEWE NDIYO KUITIKIA AMINA CEREMON VIPANDE-VIPANDE KANISANI? JESUS CHRIST HAVE MERCY, UTANGOJA MPAKA SIKU YA PARAPANDA.
WENZIO TUMEFUTA INJILI ZOTE 4, MAANA YAKE TUMESEMA MOJA HAITOSHI, INATOSHAJEEE? MWENDO NI WA KUPITA NAZO ZOTE HAKUNA KUACHA KITU, TUMEPINDUA MPAKA MATENDO YA MITUME, MPAKA NYARAKA ZA MITUME, NDIYO KIDOGO UNAKUWA NA COMPLETE PACKAGE, AT LEAST UNAKUWA WELL EQUIPED!
Kuna mtu alikuja anafanyakazi sehemu imejaa magungwi ya kichawi ofisni, watu wanaleta waganga kweupe, Tena wanaishana kwa idadi ya waganga, Sasa ni eneo ambalo OLD-ORDER imetaradadi, The only way out ni kuweka NEW ORDER, Pale kuna maagano yaliyoshiba ya kale, Only AGANO JIPYA ndio litapindua Kabati.
Nikamuuliza how invested are you in New Testament, How many Gospels out of 4 ambazo uko fit! Maybe Mathayo, Marko na Luka! Au Mathayo na Yohana! Au Luka na Marko! Atleast 2, Ananiambia AGANO JIPYA hayupo kabisaa,Mmmmmhhh! Nikamwmabia tafuta tu faraja ya Mungu kudumu katika anguko, Na Mungu akupe moyo wa kupokea anguko linalokuja mbele yako na kuachilia, Akapanic so Mtumishi kuna anguko?, Nikamwambia lipo kubwa na kwa state ya kiroho uliyopo huwezi Kuli challange, There is no point trying to fight them, JUST TAKE COURAGE IN ACCEPTING DEFEAT THIS TIME, NEXT TIME LEARN FROM YOUR MISTAKES, USIKAE KAZINI KIZEMBE!.
Mpendwa alifukuzwa ile kazi bila sababu za msingi maana alikosa kibali kabisa kwa wazungu ambao nima Boss!, Na alijiandaa KISAIKOLOJIA so hakuumia sanaa na INJILI ZOTE 4 akahakikisha amepita nazo na yupo FIT, Akapata kazi nyingine ambayo kumngo’a pale labda utumie BIBLIA Toleo un-released, Hii iliyopo sio kinyonge!.
Wapendwa Mtu zaka hilipi popote alafu siku-ukipigwa kimbunga ofisini unataka Mtumishi aache kila kitu kukusaidia wewe sio rahisi!, Mwisho utaona dini ngumu sanaa!
HAKUNA SADAKA WALA ZAKA INAYOENDA MBINGUNI HAKUNA, THERE IS NO CENTRAL BANK OF HEAVENS WALA MONEY TRANSFER TO HEAVENS OR HELL, ZAKA NA SADAKA ZOTE KWA MUNGU ZINALIWA HAPA HAPA DUNIANI, KAMA NI HIVI JE KWANINI MUNGU AMESEMA ULIPE?
MPENDWA SABABU ANAJUA MIOYO YA WANADAMU NI DHAIFUUU SANAA, NDIYO MAANA AKAWEKA MFUMO WA WATU KUFANYA KAZI YAKE NA AKAWEKA MOTIVATION PACKAGE KUTOKANA NA UGUMU WA KAZI YENYEWE WATU WAWE MOTIVATED.
Wewe unapokuwa wa kwanza ku-ignore MFUMO wa Mungu,ukiwa ignored in return ukae utulie, ILA UKIFATA MFUMO NA UKAWA IGNORED MUNGU ATAINGILIA KATI KWA HABARI YAKO SABABU UTAKUWA HUJATENDEWA HAKI NA LAZIMA MFUMO WAKE A U BALANCE!.
Mara nyingi tuna ample time ya kusoma na kujifunza neno kabla ya dhoruba, LAKINI MUDA HUO TUNATUMIA KULA BATA NA KU RELAX! Balaa Likianza ndio tunakurupuka kutaka msaada wa Mungu wa ghafla ghafla! SIO RAHSI, Juzi kuna mwanangu MVIVUU balaa lakini zaka yake tarehe anayolipwa hailali, Kazini mambo yaka korogana, Anatakiwa atolewe, Kosa kafanya kweli lakini sio maksudi, Niuzembe tu mdogo umeleta HASARA kubwa.
And that job is GOOD! rare job, rare pay! Kiasi kwamba akitolewa kupata kama ile sio kweli, Akaja kunihabarisha tu kwamba Zaka yake nisi-itegemee, Trouble in the paradise, Nilipungua kilo 5, Alafu mwenyewe hajali wala nini!, Nikaanza kutafuta Loop hole ya KIMAANDIKO ni exploit!, Nikapata! Nikamwambia swala nimelimaliza, Haufukuzwi wala nini kula ushibe, rejesha amani yako! Suala hili tumelimaliza KIMBINGU, Akawa skeptical anaona nampanga panga!, Ninavyowaambia mwaka wa 3 huu unaisha hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa, suala liliisha juu-juu!, Ofisini wanamuogopa maana wana amini karoga mpaka wazungu na venye hawalogekagi.
WAPENDWA LOOP HOLE ILIPATIKANA SABABU JAPO NI MBABAI LAKINI SOME HOW YUPO KWENYE MFUMO WA MBINGUNI, SO BAADA YA KUTAFUTA SANA KWA TOCHI NIKABAHATIKA KUIPATA HIYO LOOP-HOLE YA KU-BARGAIN NA MBINGU, NA AFTER THAT CLOSE CALL AMEBADILIKA NA AMENYOOSHA MAPITO YAKE YUPO SERIOUS NA KUJUA NENO LA MUNGU
Neno la Mungu linalomfaa mtu nilile lililopo kwenye MOYO WAKE, Sio lililo kwenye PAGE ZA BIBLE, wala kwenye MOYO WAA MTUMISHI, Hata kama imeandikwa wewe hujui, hata kama imeandikwa wala imeandikwa wapi haiwezi kukufaa, HATA KAMA NENO LIPO NDANI YA MTUMISHI NA HALIPO NDANI YAKO HALIWEZI KUKUFAA KITU!
Wapendwa kuna kipindi nilihitaji Operation na sikuwa na bima wala hela, na nilihitaji vitu vitoke ndani ya mwili wangu MIRACULOUSLY, nikapata Maandiko ya hilo zoezi, Na NIKAFANYA, Na vitu vikatoka na mpaka leo ni mzima kabisa, Juzi mgonjwa wangu aliyekuwa ICU, kabla hajaenda ICU nikarudia ibada ile ile kwake, maana Figo zake zilianza ku-fail, Nikataka miraculously kuzifanya ziji-flush na kuamka, IT WAS UN-SUCESSFUL, Mgonjwa kaingia kwenye Comma, NA ROHO MTAKATIFU AKANIAMBIA KWANGU IBADA ILIFANYA KAZI SABABU NENO LILIKUWA NDANI YANGU TAYARI, KWA MGONJWA NENO HALIKUWA NDANI YAKE SO KUFANYA KAZI JUU YAKE HAIKUWEZEKANA.
Leo hii wewe mzima wa Afya, INGIZA NENO NDANI YAKO MBISHI KAMA FUPA, KESHO UNAANZA KUSUMBUA WATUMISHI KILA WAKI KUOMBEA VINA DUNDA, UNASUMBUA WATUMISHI KAZINI MAMBO MAGUMU KILA WAKITAFUTA LOOP-HOLE YA KUKU-OKOA HAKUNA HUJAFATA HATA KANUNI NUSU TU ZA UFALME WA MBINGUNI, NENO NDANI YAKO SIFURI YAANI NI BALAA TUPU, MWISHO UNA-ANGAMIA UKIJIONA.
MIMI KULETEWA KAZI ZA ZIMA MOTO SITAKAGI KABISA, 90% CHANCES HUWA HAUZIMIKAGI NA USIPOKUWA MAKINI HATA WEWE MTUMISHI UNAWEZA KUKU UNGUZA VIBAYA MNO. MIMI BINAFSI NILISHA JARIBU KUJA KWENYE UFALME WA MBINGUNI KUZIMA MOTO MARA KADHAA NIKAISHIA KUUNGUA MPAKA MAJIVU KIUKWELI SIKUMUELEWA MUNGU KABISA NA NIKASHANGAA MBONA WENGINE ANAWAZIMIA FRESH TU, NILIPATA MFADHAIKO WA KIROHO!
WAPENDWA BAADAYE NIKAAMUA KUJA KAMILI SASA BILA SHIDA WALA MOTO JUST TO EXPLORE PANDE HIZI ZA UFALME WA MBINGUNI, BAADA YA KUCHOSHWA NA UBABAIFU WA UFALME WA GIZA NDIPO SASA NIKAUONA USHIRIKIANO WA MBINGU KWA UKUBWAA SANA.
Maana yake this time sikuja na Motive yoyote ya muda mfupi, Nilikuja na long term motive ya kupata KINGDOM RICHES, na nikajua kabisaa kunipa fasta fasta sio kweli lakini nilikomaa, na kujiaminisha na kuwa chawa promax wa Mbingu then MAYBE, JUST MAYBE, watanikumbuka japo kwa makombo, na makombo ya Mbinguni sio kinyonge, Nishachoka na utumwa wa shetani, Unafanya dhambi kama zoteee, msuli wa tembo, matokeo sisimizi
KIUKWELI NILIFANYA GROUND WORK YA KUSOMA NENO, NA NENO LINA STAGE 3, KWANZA UNASOMA KAMA GAZETI KWA AJILI YA KULIFAHAMU TU NA FOR AMUSEMENT, PILI UNASOMA ILI UELEWE SASA, TATU UKISHAELEWA NENO THEN UNAWEZA KULIKIRI SASA NA KULINENA KWA HABARI YAKO, STAGE YA NNE NI YA PROFESSIONALS AMBAPO BAADA YA KULIKIRI KWA MUDA LINAANZA KUISHI NDANI YAKO NA UNAKUWA KAMA LIVING BIBLE, HATA CHOONI MTU AKUKURUPUSHE NENO LIMEJAA UNAMPA KITU, SHETYY AKIJICHANGANYA UNAMPIGA KAMPA-KAMPA TENA.
Jeremiah 15:16
16 When your words came, late them; they were my joy and my heart’s delight, for I bear your name, Lord God Almighty.