MUNGU ANAKUPENDA NA ATAKUPA MUME WAKO!, JUST CHANGE YOUR MINDSET UJIANDAE KUMPOKEA HUYO MUME!

Wanangu niwapongeze  wengiwenu mme toka mbali sana, Najua hamjanizoea kuwa hivi lakini toka moyoni mwangu naziona juhudi zenu, Sio rahisi hata kujitafuta na kujipata na kujua thamani yako na what you deserve, Sio rahisi, Mme toka mbali, Hata kujitambua tu kuwa hapa nilipo sipo ni hatua kubwa sana, Worse enough I am not the sweetest pastor ni mwendo wa always  to say it as it is!, You hate me lakini you put up with me as a price for change, You believe in that change ndiyo maana unakaza roho!

 

Kuna mdogo wangu kabisa yupo humu kaniambia kabisa haijalishi umempokea YESU wala nini, YOU ARE STILL TOXIC AS  HELL, Siku Nikivuka cha kwanza niku-block your page!, I said UKIVUKA!, That I can live with, but today you broke my heart, THE END JUSTIFY THE MEANS.Anyways I was not toxic neither were you, Kila Mtu once upon a time alikuwa sweet little girl, Then life happened, Now Iam toxic, you are adultrous, some are thief’s, others are liars, wengine WAZINZI Sugu,wengine washirikina mna namba 3, 3 za waganga in the end WE ARE ALL SINNERS.

 

Romans 3:23

23 for all have sinned and fall short of the glory of God,

NA WOTE TUMETUBU KAMA BADO HUJATUBU FANYA UTUBU.

 

Yakobo 4:7

Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani,naye atawakimbia.

 

NIWE MKWELI MNAJARIBU, SIO RAHISI MNA PAMBANA, FROM KUPIGWA MITI HOVYO HOVYO MPAKA KUWEKA STOP ORDER, KIFAA HAKITUMIKI, NJIA IMEFUNGWA MIEZI 6, MWAKA! MIAKA, NA MTU KUKUZINISHA AFANYE KAZI KUBWA, UTAPELI NA ULAGHI WA HALIYA JUU UTUMIKE SIO KWA HIARI YAKO NI VILE UMTAPELIWA KWANI HIVI HIVI HUTOI, KA-ZUCHU KAKUBWA, SIENDI WANANGU  SIENDII.

 

Mnajaribu kwa kweli, Mambo ya Roho Mtakatifu umeyakuta online unapita nayo hivyo-hivyo, Ufanyaje? Umri umeenda maisha yamebakia nyuma! Mnapambana sanaa.

 

Mpendwa program unafanya, hivyo hivyo unaachia nusu unakuja kuendelea, Mpaka unamaliza 30! Kamili, Kudadadeki, Zaka ulikuwa hulipi hata 10, Waroma wenyewe sadaka zenu 2000 hamna stress za bahasha wala ledger kama KKT na Pentekoste, Kuna mdogo wangu yupo Canada juzi kaambiwa anadaiwa zaka ya miaka 2, Wame mu-invoice lakini mtu unaanza kulipa unakuwa muaminifu kweli kweli mwendo wa 10% dry! Unaona labda sababu huko nyuma ulikuwa hulipi ndio maana umefika hapo, Unalipa bila kubembelezwa wala kushukurutishwa yaani MMEKUA SANAA KIROHO, SASA WENGI MNA WONDER MAISHA MME BADILISHA LAKINI SWALA LA NDOA BADO JEUSI KAMAMKAA KWA BAADHI YENU.

 

Kwa anae nipa mimi zaka for 6 month consecutive na zaidi automatically mimi ndio Mtumishi wake. KATIKA Dunia nzima kaniona mimi, Na mimi kupokea 10% maana yake It is official mimi ndio kuhani wake yeye ni kondoo wangu, KIROHO MAANA YAKE MIMI NATAKIWA KUWA NA MAJIBU YAKE KAMA SINA SASA NDIO INABIDI TEKE-TEKE NIJISOGEZE KWENYE KITI CHA ENZI CHA NEEMA NA REHEMA KWA HABARI ZAKE.

 

Eeeeeh!  Mpendwa nika-ulize sasa huyu mtu inakuwaje, pesa zake nime manga mwaka woteee huu, maandiko nimempa mimi mwenyewe kila mwezi, Nilimwambia ruka haulizi kwa nini? Anauliza kulia au kushoto? Lakini mambo hayaja chezesha hata kope,Namu angaliaje kwenye keyboard?, Vile vitu mmenituma niviseme na niviseme wazi wazi with confidence in full faith! Nimesema na Kavifatishaaa! Twende sawa sikusema vizuri? au Hakufatisha Vizuri ? Au nini zaidi kufanyike ? Au niache kula zaka zake ?, Nyie ni Mbingu na Mimi ni mtumishi tu, you gotta back me up, Haiwezekani zaka nile mimi afu akaulize kwingine, Watamhoji zaka amekula nani?, YAANI NDIO MUDA ZAKA ZA WATU UNAZIONA CHUNGU

 

Mpendwa Mwezi wa 7 nimezeeka Sura, Nina vidada hivo tarehe 30 muamala mapemaaa sanaa, January vimeandika kwenye malengo ya mwaka vina-taka kumuona Mungu eneo gani?

1.NDOA!

Yaani hii July hata mpenzi havinaaa! Kuna

waliopata watu February nao washa-achika, Mwaka umemaliza miezi 5 lakini naona kama week 1, Madhabau naiona nzito, Maana December tukivuta chati mtu kalipa zaka 12 kamuona Mungu malengo Ma-ngapi?, Numbers don’t lie, Unaweza kujikuta Mtumishi unatumia – shisha.

 

So I have hardly 5 month maana mtu kama kanipa miezi 6 yote hiyo 6 iliyobakia sio shida zake, Shida zangu mimi sasa matokeo yapatikane, Kama Mbingu kufunguka ndio zaka nilisha kula ndiuo nipambane na maandiko mpaka nizifungue juu yake, Hii hii miezi 5 apate mtu na sio mtu, MTU tu bali anayetoka kwa Mungu.

 

NIMEENDA KUJILAZA MBELE ZA MBINGU MAANA SIO KUPIGA MAGOTI, Kiukweli nimeenda mbele za Mungu, kusema kwamba kuna watu hawapo serious, Uzuri ambae hayupo serious hata yeye anajua upwaguzi anao fanya, Lakini kuna watu wapo serious sanaaa, Wengine It has been 2 yrs, 1yr, months, Wanahitaji kuona matokeo, Sawa wengi wamepata matokeo lakini furaha ya watu 100 haifidii huzuni ya mtu mmoja, Please, Please! Wape breakthrough, sema na mimi wazi-wazi wana kwama wapi?

 

ROHO MTAKATIFU AKAN ISEMESHA KUHUSU MAKOVU YA DHAMBI, WATU WENGI HAPA WASHATENGENEZA NA MUNGU NA KWELIWANATAKIWA KUVUKA HASA ENEO LA NDOA LAKINIISSUE YA MAKOVU YA DHAMBINDO INA WAZUIA  KIVIPI?

 

Kawaida ya dhambiukitenda inakutesaaa,Ukifanikiwa kuishinda,ukafanya toba ukasamehewa inaondoka ndani yako kabisaa mpaka amaniyako inarudi na dhamira yako inabakia clear! LAKINI INAACHA KOVU AU MAKOVU AMBAYO PAMOJA NA DHAMBI KUONDOKA IMANI YAKO KWENYE HILO ENEO HAIRUDI KIKAMILIFU.

 

Mfano MTU umezini weee  kwa hiari, kubakwa,kutapeliwa we, Umeacha zinaaa  kweli  kabisaa  na una sali  siku-hizi, Lakini ndani ya Moyo wako BADO HUAMINI MUNGU ATAKUPA MTU MZURI ANAE TOKA KWAKE AMBAE HANA CHARACTER MBOVU-MBOVU KAMA ANAUME ULIO PITA NAO MAISHANI! YOU JUST DONT BUY IT.

 

 

WAPENDWA WANGAPI KATI YENU MNA-AMINI MUNGU ATALETA MWANAUME AMBAYE ATAKUHESHIMU, ATAKUTUNZA, ATAKUTHAMINI, NA KUKUHESHIMU ? NA MOST OF ALL HATO-OMBA SEX KABLA YA NDOA ?, SAWA MIMI NI MTUMISHI WENU LAKINI KWENYE HILI NIWAACHE KIDOGO WENGI MNAWAZA KWA NILIO PITIA MAISHANI HATA NIKIPATA TU WA KUJITUNZA VEVE MAADAMU MIMI NINA AFYA NJEMA NIKAJITUNZA  MWENYEWE  BASI INATOSHAAA! KWA HILO NITAMSHUKURU MUNGU.

 

WAPENDWA WENGI TUKO PAGE MOJA SIENDI WANANGU SIENDI AKIPATIKANA MTU MWENYE MUELEKO KIDOGO TU USHAPANUA KITUMBUA, SIO KWA UBAYA NI MAKOVU YA DHAMBI TU YANAANZA KUVUJA DAMU UPYA NA UKIPANUA KAONDOKA.

 

WANANGU WENGI MKO FRUSTRATED ,COMFUSED NA MMEKATA TAMAA JAPO MAOMBI BADO MNAENDELEA NAVYO KWA NGUVU ZOTE KWA HILI NAWAPONGEZA, NDIYO MAANA WENGI KUVUKA KWENYE KAZI IMEKUWA RAHISI MAANA KAZI SIO NDOA, UKIONA VIPI SI UNAACHA TU, NDIO MUNGU ANATAKA COMMITMENT YAKO UKIWA INA YOUR RIGHT MIND NA WENGI MIND ZENU ZIPO IN POST WAR MODE, VITA IMEISHA KWENYE MAISHA UMEKOMBOLEWA LAKINI AKILI NA FIKRA ZIPO VITANI BADO.

 

MNACHOTAKIWA KUELEWA MUNGU KWA NATURE YAKE HAWEZI KUKUPA KITU KIBAYA, KITU CHENYE KASORO, KITU AMBACHO KINA UBABAIFU AU KINA FALL SHORT OF HIS GLORY! HE WILL NEVER, EITHER ATAKUPA KITU KAMILI KILICHO NASIBU UTUKUFU WAKE FULL AU HATOKUPA KABISA MPAKA UNATAKAPO KUWA TAYARI.

 

SASA WENGI MNA SHINDWA KUELEWA VITA IMEISHA NA MUNGU SIO MUNGU WA MALIPIZl, MTU UNAJIONA NINA MIAKA 40 SIWEZI KUPATA KIJANA AMBAE HANA WATOTO AU SIO DIVORCEDC, MIMI MUNGU AKINIFIKIRIA SANAA LABDA KING’ASTI SUGU NDIO FUNGU LANGU NITAFANYAJE AGE GO MIMI TENA

MPENDWA NA HII MENTALITY NDIO UNAENDA NAVYO MBELE ZA MUNGU KUOMBA WALAU MAKOMBO YA BARAKA NA YEYE HAKUPI SABABU SIO MUNGU WA MAKOMBO, SIO MUNGU WA KUMUOMBA MKATE ALAFU AKUPE JIWE, NAONA BADO HUJAJIPATA! BADO HUAJUA IDENTITY YAKO IN CHRIST! BADO HUJAMJUA YEYE NI MUNGU WA AINA GANI? MATTER OF FACT UNAPAMBANA NA KU SQUEEZ HIS GLORY AND HE CAN OPERATE LIKE THAT!

 

MUNGU NINAE MJUA MIMI KAMA UKO 45 MANAKE MSOTO UMEKULA ROUGHLY 20 YRS KAMA ULIANZA KUTAFUTA MUME NA 25! SASA 20 YRS AKUPE TENA KINGASTI SUGU CHA KUKUVURUGA AKILI SI ITAKUWA KAKUNYIMA MAZIMAA TU, HE WILL NEVER!!

 

AFTER 20 YRS KWENYE JANGWA LA NDOA AKIAMUA KUKUPA MAANA YAKE NI DOUBLE PORTIONS, MAANA YAKE JIJI LINATIKISIKA,UKOO UNA PASUKA KATIKATI, MSIMBEEE ANAOLEWA! ASIYE NA MWANA AWEKE JIWE. HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA, MTU MZIMA KAWA MWALI MUNGU AMESHUKA LIVE NA MBINGU ZIMEFUNGUKA LEO, WAKIJUA UNAOLEWA NA NANI NDO KABISA KUNGWI LAZIMA AKATE SHANGA ZAKE  NA KULEKEZA MKOLE NA KUSTAAFU KAZI, MAANA MWANAMKE ALIYE KATALIWA NA WANAUME SASA AMEPATA MUME WA UHAKIKA HATA WEWE UNAYEOLEWA UKIWAZA MIAKA 20 UNAONA KWA KWELI NIMEFIDIWA MDA WANGU, THE WAIT WAS WORTH EVERY MINUTE!

 

MPENDWA UNAVYO NGOJEA NDOA YAKO HAYA NDO UNATAKIWA U-MANIFEST MOYONI MWAKO, HAYA NDO UNATAKIWA U-EXPECT MAMBO MAKUBWA YA KUSTAAJABISHA NA YALIYO-JAA UTUKUFU WA MUNGU

 

Kibaya ni kwamba MAKOVU yako hayawezi kuruhusu umenifest Utukufu wa Mungu wala kuweka mazingira ya Mungu kujitukuza kupitia wewe. Yatakwambia una WAZIMU, It can never be you, YOU WISH Wanaume 10 wamekufanya na kukuacha huyu wa 11ndo atashuka toka juu na mabawa au ?Wake up usije kujikojolea!

 

MUNGU MSIMAMO WAKE ULE-ULE YEYE SIO MUNGU WA MAGOMENI, YEYE SIO MUNGU WA MCHONGO, SIO MUNGU WA UBABAI, KAMA UNATAKA MUME TOKA KWAKE ITIFAKI LAZIMA IZINGATIWE UTUKUFUU LAZIMA UWE WA KUTOSHA OR NO UTUKUFU AT ALL, YAANI KAA MKAO WA KUMIMINIWA UTUKUFU AU KUENDELEA KUJIKUSANYA NA KUJIANDAA!

 

SIYO KAMA UME NYOOSHA MAPITO YAKO, UMETENGENEZA NA MUNGU, NA UPO TAYARI KWA MUNGU KUJITUKUZA KUPITIA WEWE NENDA MBELE ZA MUNGU NA MFUMO MPYA SHIDA MAKOVU YAKO NA SIASA ZAKE, FIND YOUR NEW IDENTITY IN CHRIST TEMBEA NAYO! MWAMBIE MUNGU UPO TAYARI KWA UTUKUFU WA KUSIMAMISHA UKOO, MTAA, IKIWEZEKANA  NCHI NZIMA YEYE TU AAMUE, AS A VESSEL YOU ARE READY!

 

MPENDWA NA UWE READY KIFIKRA  NA KIMWILI, SIYO MUME WA UTUKUFU AKIJA UKIONA MBONA KAMA UTUKUFU UNAZIDI HANDSOME SANAA UNAENDEKEZA UPWIRU SMALL SMALAA, MISSION ITAKAVYO ABORT HUTA AMINI, WEWE WA KUSHINDWA KUJIKAZA MPAKA HONEYMOON.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top
× IT Help Desk