KWANINI WATU WANAKWAMA HAWAFIKII MWISHO KWENYE DELIVERANCE ?

PART 1:

PART 2:

PART 3:

PART 4:

PART 5:

 

YOU CAN DATE AN ILLUSION BUT YOU WILL SURELY MARRY THE REAL DEAL – WHICH IS NEVER GLAMOROUS

Watu wengi mna hisi mna date watu flani, lakini mara nyingi ni illusion wanayo kupa. Una date navyo, not the real them! Ndo maana mwanzo, love is sweet sweet! Una love the illusion of him, anapata illusion, he is God-sent.

As far as dating is concerned, you can date all the illusions in the world! Reality may never locate you! Kama ni geto, ata azima. Kama ni gari, ata kooi. Kama ni outing, ata kopa! Just to impress the hell out of you!

Mkifika sasa stage ya kuoana, it is time for all cards to be on the table. ALL CARDS! Ndipo mwanaume sasa ana kuonyesha uhalisia wake. Sio kwa ubaya, for you to take him as he is. Kama the forever after ita happen.

Hapa wengi ndo Shetani anapo washindaaa. The reality is always gruesome and highly unattractive to the extent utaelewa why exactly marriage is a Godly institution. Manake if not for God, you will never marry that loser. Over your dead body! The real him is definitely not your type.

Mama Mahari tayari, lakini nimegundua huyu mwanaume ana madeni na his economy is rotten to the core. Yes my darling, but he is still God-sent. Anakuuuliza, why will God send me a broke man? Because he is a good man, my love. At least he wants to give you his family, mama, and share with you his eternity. All the men you dated that you think were not broke, it was just the illusion of them that they conned you with. Mngefikia kuoana, maybe ungejua huyu ana nafuu! Imagine them being broke and evil!

Juzi kuna mdada KariaKoo kule aliolewa, and the man was allegedly gay! Like open gay! Na kabla ya harusi, it was all over. Everybody was talking. Some people implied she should run from the wedding and become a run-away bride.

Wakaniuliza mtumishi, inge kuwa wewe, unge fanyaje? Wrong question to the wrongest person! I am homophobic, very very homophobic – like Sodoma na Gomara homophobic! I agree with God 100% on him burning that city to ashes without blinking. Sasa mimi si chawa wa mbinguni, jamani. How can I go against scriptures?

But kwenye hili harusi, kama allegations ni kweli, nampa pongezi bwana harusi for being open and not in the closet. Everybody knows mana, his living his true self. Nampa pongezi kwa kukubali na kuona his truth is not a way to go na kufanya attempt za kurudi kundini. Nampa pongezi kwa kuto kujikibali upuuzi anaouamini. Nampa pongezi kwa kuwa strong and determined, even when he is actually doing what was right while society was pushing him to be his worst. Same society that judged him for being gay wants him to go back being gay! What in the hell!!!?

Nampa pongezi bwana harusi for keeping it real when reality hit her, for not kicking him when he was already down, for giving him another chance to become a better version of himself. Every saint has a past, and every sinner has a future – she paved a way for that future for him.

We are not any better than you, dear. Bora yako umeyajua na ume pambana nayo. Wenzi, we might be dealing with worse only we don’t know it yet. We are being hidden from the uglier truth.

Uzuri harusi ni ya Kiislamu na Mtume ame wapa vyuo 12 – kwa kujua wanaume ni dhaifu kiasigani. If he doesn’t change, uta chukua talaka yako mwaya. But you at least gave him reasonable chance. You were there for him when everybody wasn’t.

Watu wengi mjifunze kwamba dating is just an illusion, lakini kama mkitaka kuoana, reality hits different. And you have to face that reality and get married, or keep running from reality and keep living the illusioned dating lifestyle.

Mwenzi wake reality yake niliona – people were just concerned with his sexuality! And she managed it well. Maybe alisha mwambia kabla. We never know.

Kwako it maybe something different! Anaweza kuwa ana watoto wa ujana! Ukasema sio, olewi na mwanaume alie zaa kabla ya ndoa. What of wale walio olewa na wanaume hawana watoto kabla ya ndoa na wakazaa nje, kinoma wakiawa kuoa??? Upo ndani ya ndoa unajua ana watoto 4 hiyo nje, na ni wadogo kuliko wako na mama tofauti dudadeki.

Anaweza kuwa mvivu, ana ngoja umlele kama wanaume wa kidigo. Utafute huko uje umletee. Unaweza sema sio, olewi na jitu mvivu kama nini. What of msha oana na watoto wa 3, then ana achishwa kazi na inabidi sio umlee veve tu mpaka watoto wenu.

Life is not static – kwamba mwanaume unavyo mkuta basi ndo atakufa hivi hivi. People change for the better and for the worse. Usione mtu kaachika ukahisiali kuwa hajui kuchagua! Orraaa! Binadamu ni vinyonga.

Ndo maana marriage is deemed a Godly institution. Sababu, God is the only insurance. Kamwee usi muamini mwanaume, ila mwamini Mungu tu. Kila kitu mwanaume atakacho zua, Mungu wako atakuwa pamoja na wewe, kukuvusha na kukupa ushindi.

Loyrs agao, wakati tuko vichuna vya kizaramoo – tusio isha, watu wengi walivhagua waume kwa kuangalia familia zao, kama wana magari, wana kiwanja, wana kazi za kudumu. Wachache walichagua wanaume kwa hofu ya Mungu. Wachache sanaa. Unakuta mtu anamchagua mwanaume hana sh 100, kipaande, ila ana hofu ya Mungu – hofu kitu gani!

10 years later, wale walio chagua wanaume kwa hofu ya Mungu wame simama kama mlima, sayuni – exactly as those who serve the Lord should. Oyrs going strong! Na Mungu amekuwa muaminifu sanaa kwao! Wasio na kazi wamepata sio kazi tu, mpaka vyeo. Walio panda daladala sio tu wapo kwenye Land Cruiser 300 series, they are picking which Benz to drive.

Wengine tumekula mijoker na mchezo umeishaaa. Kiwanja goba kikauzwa dada, wana panga mpaka kesho. Wale wa boss, wakati muliwa kazini, mke ndo ana endesha familia, ana tukana 24/7! Wale wa he comes from a wealthy family, wapo uke wenza na masuria kama wote! Washa ambiwa fanya maamuzi mimi ndo mtu wa wake wengi. Hutaki mlango upo wazi, dada.

Zab 11:3
Kama misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini?

Hakikisha misingi yako huiharibuu! Fata maelekezo ya Mungu wako. Usitumie janja janja na kona kona kufanya maamuzi ya maisha yako.

Hata reality iki hit kabla ya harusi, always run to God and not humans! Msikilize Mungu ata kwambia nini ufanye kwa wakati huo. Weka 100% trust in your God.

Mungu ndo omnipresent, peke yake ambae yupo jana yako, leo yako na kesho yako ameshaiona. Trust only Him, na huta jutiaaaa.

What you deem as logic in your 20’s will definitely be your regrets in your 30’s. What deems as wisdom in your 30s will be the most stupid moves of your life at 40s. We humans never get it right.

Proverbs 3:5-6
Trust in the Lord with all your heart and lean not on your own understanding; in all your ways submit to Him, and He will make your paths straight.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top