KWANINI HAUZAI MATUNDA KWENYE UKRISTO?, SABABU HUJUI KITU (SUNDAY WORD)

Ufalme wa Mbinguni kama zilivyo falme nyngine una-hierarchy zake na mifumo yake na kuweza ku operate sucessfully lazima ujue hiyo mifumo ili uweze ku-operate ndani ya mfumo, Maandiko sawa yame andikwa lakini kuyafanya yaishi kwa ajili YAKO, lazima uwe ndani ya mfumo.

 

Sasa mpo Level tofauti za ki-imani na kila level inahitaji uji-Plug kwenye main-system kitofauti, Neema ya kupata kazi SIO neema ya kupanda vyeo, Neema ya kuingia kwenye ndoa SIO neema ya kudumu kwa furaha, NDIYO MAANA KUSEMA NIKIPATA KITU FLANI NAPUMZIKA WOKOVU  HAKUNAGA, WOKOVU NI LIFE TIME COMMITMENT NA KUPATA AU KUTOPATA KITU INATEGEMEA UKO STAGE GANI NA UNAJUA NINI SO FAR NA NINI HUJUI.

 

Kunalevel 4 za believers/ Waumini:

1.NEW BELIEVERS

Mpendwa hawa ni wapya katika imani, WHAT YOU NEED IS NOT A JOB OR A HUSBAND OR HEALING, THE MOST IMPORTANT THING WHICH YOU NEED IS SALVATION/ WOKOVU, Hili ndilo jambo la kwanza kabisa, Pentekoste churches ukifika tu wanataka kwanza kuku-okoa kabla ya yote, as in UMPOKEEE NA KUMKIRI YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO it is principal and absolutely not political, Wengi mnaona wanataka tu zaka yangu, Zaka yako yenyewe sasa! IT IS BIBLICAL 100%.

 

Warumi 10:9

Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.

 

THE REASON WALOKOLE WANA-ANZA KUKU-OKOA NI KUKUINGIZA KWENYE MFUMOOO ILI UWEZE KU-OPERATE NA KUZAA MATUNDA, BILA WOKOVU! SAHAU KU-OPERATE NA KU FUNCTION KWENYE UFALME WA MBINGUNI KWA UKUBWA NA SALVATION / WOKOVU NDIO PASSWORD SASA ORIGINAL YA UFALME WA MBINGUNI!, ONLY THEN UKISHA OKOKA NA KUMPA YESU MAISHA YAKO NDIO MIHURI SABA YA NENO LA MUNGU ITAANZA KUFUNGULIWA KWAKO.

 

Ufunuo 8:1

Na Mwanakondoo alipo-uvunja mhuri wa saba, kukawa kimya mbinguni kwa muda wa nusu saa. Kisha, nikawaona wale malaika saba wanaosimama mbele ya Mungu wamepewa tarumbeta saba.

 

MPENDWA  DIMENSION NYINGI ZA KIROHO ZINAANZIA NA KUMPA YESU MAISHA YAKO THROUGH SALVATION!

 

JANA WATU WENGI WANASEMA SIJAMPOKEA ROHO MTAKATIFU MAMA, NATAMANI SANAA!  KAMA HUJAOKOKA HUWEZI KUMU-ACESS ROHO MTAKATIFU PEKE YAKO UNLESS UWEKEWE MKONO MANAKE YOU CAN ONLY ACESS HIM KUPITIA MTU MWINGINE AM BAE ROHO MTAKATIFU ANA DWELL NDANI YAKE.

 

Ephesians 2:18

18 For through him we both have access to the Fatherby one Spirit.

 

Mambo yenu kudandia train kwa mbele, HUWEZI KUZAA MATUNDA! UNAISHIA KUWA FRUSTRATED TU KWANI HUFATI PROTOCAL NA UNA KAZI YA KUDANDIA MFUMO.

 

MPENDWA KNOWING JESUS IN GENERAL DOES NOT IMPLY THAT YOU ARE SAVED NOR YOU HAVE RECEIVED SALVATION.

WAISLAMU WANAMJUA YESU,WENYE WANA KWAMBIA NABII ISSA, WAPAGANI WANAMJUA YESU, WANA JUA NI MWANA WA MUNGU, ALIZALIWA NA BIKRA, ALI KUWA MTU MWEMA, ALIFANYA MIUJIZA NAVO WANA IJUA!, JE UTASEMA HAWA PAGANS OR DINI ZINGINE  WAME OKOKA? MAANA UNACHOJUA WEWE NA WAO NDO WANAJUA HIKO HIKO, ALAFU UNALALAMIKA MAANDIKO HAYANA UHAI KWAKO.

 

MPENDWA KUNA DIMENSIONS KUHUSU YESU AMBAZO NDIO UKIZIJUA NA KUZIKIRI ZITAKULETEA WOKOVU, NOT THE GENERAL STUFF. MPENDWA HIZI DIMENION NI TOPIC INAJITEGEMEA BAADA YA HII SPECIAL KWA WALE WATAKAO AMUA KUMPA YESU MAISHA YAO, NA KUMPA YESU MAISHA YAKO HAIMAANISHI WEWE NDO UMEBADILIDHEHEBU LAKO!, YESU HAKUACHA DHEHEBU LOLOTE DUNIANI, ALIACHA MAANDIKO TU.

 

MPENDWA MAKANISA YALIANZISHWA NA MITUME KAMA JUMUIYA ZA WAKRISTO MAENEO MBALIMBALI KAMA CORINTHIAN, PHILIPI, KOLOSAI, ETC. UNAWEZA KUWA PENTEKOSTE BY BIRTH LAKINI HUJAOKOKA TOKA MOYONI MWAKO NA KUMPA YESU MAISHA YAKO NA KUOKOKA KIMAANDIKO NI MAAMUZI YA MTU KUMPA YESU MAISHA YAKE KIROHO REGARDLESS DHEHEBU, DHEHEBU HALIMPELEKI MTU MBINGUNI, YANA  UMUHIMU KWENYE MISINGI YA DINI YA MTU, MAANA BILA HAYO MADHEHEBU TUNGEKUKUTA MPAGANI BUT INATAKIWA UJIONGEZE.

 

2.SAVED BELIEVERS

Hawa ni wale wameokoka tayari, washampokea Yesu safi kabisa.WHAT THEY REALLY NEED IS TRANSFOMATION, Wokovu wao uwa saidie kubadili maisha yao. Haitakiwi kabla na baada ya kuokoka maisha yabaki  vile-vile!

 

Sasa wengi wakisha okoka wana NASA na kushindwa ku-undergo TRANSFORMATION hence wokovu wao either haudumu wanarudia upaganin au wanakuwa vuguvugu au wanakuwa walokole wa ON AND OFF.

 

John 8:32

32 And ye shall know the truth, and the truth shall make you free.

 

YOU KNOW THE TRUTH AND YOU STILL ARE NOT FREE!, WHY? BECAUSE YOU KNOW HALF THRUTH, KEEP LEARNING AND OBEDIENCE AND MORE TRUTH WILL BE REVEALED TO YOU

 

Wengi hamtaki kuendelea kujifunza, Ndo zile ukipata tu mafanikio kidogo unaacha kuwa serious hence hufanikishi TRANSFORMATION.

 

2 Corinthians 3:18

18 And we all, who with unveiled faces contemplate the Lord’s glory, are being transformed into his image with ever­ increasing glory, which comes from the Lord, who is the Spirit.

 

ZINGATIA “TRANSFORMED INTO HIS IMAGE WITH EVER INCREASING GLORY”

 

2 Corinthians 5:17

17 Therefore if any man be in Christ, he is a new creature: old things are passed away; behold, all things are become new.

 

MPENDWA TRANSFORMATION KAMA UMEOKOKA HAKIKISHA UNAPOKEA TRANSFOR MATION!

 

Plot Twist WENGI MNATAKA TRANSFORMATION KABLA YA SALVATION, NI ALGEBRA KWA KWELI, NDIO NACHOSEMA MNAJIKUTA MNATUMIA NGUVU NYINGI KU-OPERATE SYSTEM YA UFALME WA MBINGUNI AMBAYO HAMUIJUI MATOKEO YAKE HAMZAI MATUNDA.

 

3 TRANSFORMED BELIVERS

Hawa wamesha okoka TAYARI na wamepokea TRANSFORMATION, Maisha yao yamebadilika ku reflect utukufu wa Mungu kwa kiasi flani, WHAT THEY REALLY NEED IS EMPOWERMENT, MUNGU AJITUKUZE KUPITIA WAO KWA UKUBWA.

 

Shida ya wabongo Transformation kidogo tu mtu ashaanza nyodo kibao, Empowerment utasikia na kuisoma hapa, Kuna watu nilianza 2022 wamepauka hatari, Miaka 7,8 yupo kijiweni. Wakaokoka nilipitishaga kampeni, Wakapokea transformation kwa kupata kazi nzuri tu, So yes  najua wanalipwa how much, Mwanzo walikuwa wamenyooka, Walitoa malimbuko, Na mimi nimepitia payroll so kidogo Najua take-home yao ni kiasi gani.

 

Mtu analipwa million 3,  Alinyoosha almanusra aingie EMPOWERMENT, Aka-kata zaka miezi ya kutosha, Sasa anajua wanaolipa zaka nawapa neno kila mwezi, Zaka hataki kutoa neno analitaka na anajua bila muamala neno simpi.

 

Huku na huku aka come-up na nasty plan ya kutoa 30,000 ili nimpe andiko la mwezi, Grand plan to acquire scriptures cheaply, Nilimpa andiko lakini it broke my heart kwamba shetani kamuokota dakika za jioni kabisa.

 

KUNA MUDA NAKATA TAMAA KABISA, SABABU LENGO LA MIMI KUKUSUKUMA SIO SADAKA AU ZAKA, I WORK FOR A LIVING REMEMBER, KUTELELEZA MADHABAU MAMBO YAKI-YUMBA KWENDA KUPAMBANIA TONGE SIO SHIDA ZANGU, I REPENT AND COME BACK ALWAYS, GOD KNOWS!

 

LENGO LANGU HASA HASA MFIKIE LEVEL ZA JUU ZA EMPOWERMENT MUNGU AJITUKUZE KUPITIA NYINYI ILI MUWE INSPIRATION KWA WATU WENGINE NA MUNGU ATUKUZWE KUPITIA NYINYI, WEWE MMOJA UKIFANIKIWA UTALETA WATU 200 WAKITAKA KUMJUA MUNGU KUPITIA MAFANIKIO YAKO BILA KUTUMIA USHAWISHI NA MUNGU.

 

MIMI NILIKUWA INSPIRED NA MATOKEO YA WENGI NE , NIKAJIFUNZA PRINCIPLES ZOTE NIKAFANIKIWA SAHIVI NA KUINSPIRE NA KUKUSAKAMA IKIBIDI KUKUFOSI THE END WILL JUSTFY THE MEANS UFANIKIWE UKA INSPIRE WENGINE HUKO, MAPINDUZI LAZIMA YAENDELEE.

 

4. EMPOWERED BELIEVERS

Hawa Mungu amejitukuza kupitia wao tayari, WHAT THEY REALLY NEED IS TO DEVELOP CHARACTED AND HUMILITY ILI WAWEZE KUBAKIA KILELENI.

 

Genesis 26:13

13 The man became rich, and his wealth continued to grow until he became very wealthy.

 

NEEMA ZIKIZIDI NAZO USIPOKUWA MAKINI UNAWEZA KUTELEZA NA KUJIKUTA UPO ON THE WRONG SIDE OF GOD, KATABIA KA-KUJIONA KAMUNGU KADOGO KADOGO KANACHIPUA NDANI YENU! UNAANZA KUONA MUNGU ANA KUCHOSHAA NA KUKU BOA BOA! YOU TOO BUSY FOR CHURCH, FOR GOD.

 

SAFARI ZA KIKAZI NI NYINGI, BUSINESS MEETINGS NI NYINGI, WEWE TENA! HAKIKISHA UNAMUOMBA MUNGU AKUPE UTU NA BUSARA YA KUDUMU KATIKA HIO NEEMA YAKE! LASIVYO, KUKURUDISHA UANZE MOJA SIO SHIDA ZAKE!

 

NDIO UNAKUTA MTU ALISHAKUWA BOSS NA KITENGO ANAFANYA APPLICATION ZA KAZI NA GRADUATES HATA WAAJIRI WAKIONA CV WANAONA HE CAN’T BE SERIOUS DISHI LILISHA YUMBA, MTU USHAKUWA NA BIASHARA ZAKO HUNA KUMI.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top