Mathayo 10:41
Anayempokea nabii kwa sababu ni nabii, atapokea tuzo la nabii. Anayempokea mtu mwema kwa sababu ni mtu mwema, atapokea tuzo la mtu mwema.
Hosea 12:13-14
And by a prophet the Lord brought Israel out of Egypt, and by a prophet was he preserved.
KUNA MAMBO KWENYE MAISHA YAKO ILI YASOGEE YANAHITAJI NABII NA UNABII.
HOSEA ALISEMA HILI JUU JUU KWAMBA MUNGU KUWATOA WAISRAEL MISRI ALIHITAJI NABII.
UKICHIMBA MAANDIKO UTAJUA KUWA MUSA ALIKUWA IKULU AMBAPO ALIKULIA LAKINI BAADA YA KUMDEDISHA MMISRI AKA KIMBIA MISRI KWENDA KUJIFICHA.
MPAKA MUNGU ANA MTOKEA KAMA KICHAKA KINACHO WAKA MOTO NA KUMRUDISHA KULE KULE ALIKO KIMBIA.
WHY?
SABABU KUKAMILISHA WOKOVU WAO ALIHITAJI NABII PHYSICAL AMBAE ATASEMA AMBACHO MUNGU ANATAKA KUSEMA KWA WATU NA KWA PHARAO.
NA KUNA MAMBO YA KIROHO KWENYE MAISHA YAKO LAZIMA APATIKANE NABII WA KUYASEMESHA, KUDECREE, KUDECLARE NDO YATIKE SE KOPE.
MUNGU HAKUSHINDWA KUWAOKOA ISRAEL BILA MUSA AU NABII MWINGINE YOYOTE.
LAKINI FOR A SMOOTHER AND MORE SWIFT OPERATION NABII ALIKUWA ESSENTIAL KWENYE PLAN LA MUNGU.
NA NDO MAANA HATA BAADA YA MUSA KUPOTEA MLIMANI AKISADIKIKA AMEKUFA KABLA YA KUINGIA CANAAN,
MUNGU ANA MU ENDORSE JOSHUA KUSHIKA MIKKOBA YA MUSA KUKAMILISHA OPERATION AMBAPO MUSA ALIBAKISHA.
NA WEWE KUNA MAENEO UMEKWAMA NA ILI UPATE BREAKTHROUGH LAZIMA UPITIE KWA NABII NA MUNGU AKUVUSHE HAPO KWA MIKONO YA NABII.
WHY EXACTLY?
SIO SABABU MUNGU HAWEZI KUKUOKOA BILA NABII.
SABABU KUBWA NI NYINGI!
MOJA NI COMMUNICATION BREAKDOWN YA WEWE KU DISCERN MUNGU ANATAKA UFANYE NINI KWA WAKATI GANI KUWEZA KUPATA MATOKEO.
WENGI WENU KUMSIKIA MUNGU TU MTITI!
MUNGU ANASEMA NENDA KUSHOTO — WEWE UNAENDA KULIA. KWISHAAAA KAZI.
MUNGU AMEWAPAKA WATU WENGI SANAA MAFUTA KWA KAZI HII HII YA UNABII AMBAO WANA TUMIA MDA MWINGI MAISHANI MWAO KUMJUA MUNGU NA KUMUELEWA NA KUJENGA NAE UHUSIANO SOLID.
WEWE KUWA IGNORE HAIMAANISHI HAWAPO.
NA KUJIZIMA KWAKO DATA HAKUWAONDOLEI MAFUTA.
MUNGU YUPO RELIM ZA JUU NA SIKU ZOTE MTU AKITAKA KUINTERACT NAE LAZIMA YEYE NDO APANDE RELIM SIO MUNGU ASHUKE LEVEL ZAKE ZA MCHICHA.
SASA KUPANDA RELIM KUNATAKA MAISHA YALIYO NYOOKA, MIFUNGO, SADAKA NA UTII ENDELEVU, NA DETERMINATION YA KUFIKA JUU — VITU AMBAVYO BILA WITO NI UONGO.
INATAKA KUJITOA HASAAA.
SASA WENGI MPO RELIM ZA CHINI NA KUTAFUTA NABII MMEGOMA. PICHA LILISHA UNGUA.
The Valley of Dry Bones
Ezekiel 37:1-10
The hand of the Lord was on me, and he brought me out by the Spirit of the Lord and set me in the middle of a valley; it was full of bones.
He led me back and forth among them, and I saw a great many bones on the floor of the valley, bones that were very dry.
He asked me, “Son of man, can these bones live?”
I said, “Sovereign Lord, you alone know.”
Then he said to me, “Prophesy to these bones and say to them, ‘Dry bones, hear the word of the Lord! This is what the Sovereign Lord says to these bones: I will make breath enter you, and you will come to life. I will attach tendons to you and make flesh come upon you and cover you with skin; I will put breath in you, and you will come to life. Then you will know that I am the Lord.’”
So I prophesied as I was commanded. And as I was prophesying, there was a noise, a rattling sound, and the bones came together, bone to bone. I looked, and tendons and flesh appeared on them and skin covered them, but there was no breath in them.
Then he said to me, “Prophesy to the breath; prophesy, son of man, and say to it, ‘This is what the Sovereign Lord says: Come, breath, from the four winds and breathe into these slain, that they may live.’”
So I prophesied as he commanded me, and breath entered them; they came to life and stood up on their feet—a vast army.
BONDE LA MIFUPA LILIKUWEPO VERE VERE NA MUNGU ALIKUWEPO PIA.
LAKINI HAMNA KILICHOFANYIKA KWENYE LILE BONDE LA MIFUPA.
MUNGU ALIKUWEPO NA MIFUPA ILIKUWA IMEJIKAUKIA KAU KAU.
ACTION zilianza pale nabii Ezekiel alipoingia kwenye hili picha.
Mungu alikuwepo na alishaliona ile mifupa kitambooo tu.
Lakini alipotaka kufanya chochote juu ya ile mifupa haku ruka acapella!
Roho wake alimzukia nabii Ezekiel na kumleta kiroho pale kwenye lile bonde.
NABII EZEKIEL ANAONESHA MSHANGAO WAKE KWENYE MAANDIKO YA LILE BONDE:
“It was full of bones” na anasema Mungu alimzungusha kwenye hilo bonde back and forth aione ile mifupa vizuri jinsi ilivyo kau kau.
“I saw a great many bones on the floor of the valley, bones that were very dry.”
Jinsi alivyozunguka ndivyo alivyozidi kukata tamaa jinsi ilivyo mikavu kweli kweli.
He asked me, “Son of man, can these bones live?”
Ezekiel ana uona mtego wa Mungu liveee!
Maana Mungu ndo wa kwanza kulijua hili bonde la mifupa mikavu.
Ana muuliza yeye, “vipi sasa kama inaweza kuishi?”
Kivipi sasa?
I said, “Sovereign Lord, you alone know.”
Ana mwambia, “Ni wewe tu wajua Bwanaaa!”
Maana hili bonde wewe ndo umenionesha muda sio mrefu!
Na lilivyo na mifupa kau kau, swali la mtego hilo Baba!
Hapoooo sasa ndo topic yetu ya leo ilipo!
KWANINI MUNGU ANA MWAMBIA NABII EZEKIEL VEVE, EZEKIEL NDO ATOE UNABII JUU YA ILE MIFUPA MIKAVUUU??!!!!
Na cha kushangaza zaidi anampa na maneno kabisaaa ya kutoelea huo unabii neno kwa neno.
Matter of fact, anataka Ezekiel atamke vile vile alivyo muelekeza.
Kama Ezekiel angekuwa kichwa ngumu angewaza:
“Kwanini Mungu asitamke mwenyewe? Maana bonde kali gundua yeye mwenyewe!
Maneno ya kutamka anayayo yeye mwenyewe.
Sasa mimi mtu dhaifu Ezekiel nafanya nini hapa? NASAIDIA NINI KWA MFANO?”
So I prophesied as I was commanded.
And as I was prophesying, there was a noise, a rattling sound, and the bones came together, bone to bone.
I looked, and tendons and flesh appeared on them and skin covered them, but there was no breath in them.
Nabii Ezekiel anatiii maagizo ya Mungu — “SO I PROPHESIED AS I WAS COMMANDED.”
So God needed prophet Ezekiel to prophecy on the bones before anything happened.
Kabla ya lolote kufanyika kwenye lile bonde juu ya ile mifupa, ililazimu nabii Ezekiel ambaye ni mtu kama watu wengine atamke unabii aliopewa na Mungu juu ya ile mifupa mikavu.
Baada ya kutoa unabii ndo mifupa ikaanza kusogeleana na kuungana.
Then he said to me, “Prophesy to the breath; prophesy, son of man, and say to it, ‘This is what the Sovereign Lord says: Come, breath, from the four winds and breathe into these slain, that they may live.’”
So I prophesied as he commanded me, and breath entered them; they came to life and stood up on their feet—a vast army.
Mungu anamupa unabii mwingine nabii Ezekiel wa kutamka juu ya ile mifupa, na Ezekiel anatamka — na pumzi inaingia ile mifupa, inakuwa hai na kusimama kwa miguu!
Ueshi ueshi kweli!!!
NOTE!
MUNGU ANA TAMKA MANENO YALE YALE KWANZA JUU YA ILE MIFUPA LAKINI HAMNA KINACHOTOKEA KWENYE ILE MIFUPA
MPAKA PALE NABII EZEKIEL ANAPO YARUDIA KUYATAMKA KAMA MUNGU ALIVYO MWAMBIA —
NDO JAMBO LINATOKEA.
HII IKWAMBIE — NABII ANA NAFASI YAKE KWENYE BREAKTHROUGH YAKO KIROHO.
ASIPO KUWEPO KUNAWEZA KU RESULT KWENYE NON-ACTION KWA MUDA MREFU SANAAA.
SIO SABABU MUNGU HAYUPO AU BONDE LA MIFUPA HALIPO!!!
VYOTE VIPO ILA NABII EZEKIEL NDO KAKOSEKANA.
BONDE LA MIFUPA MIKAVU HALIKOSI KWENYE MAISHA YETU.
Eneo la mahusiano yako limekauka kama mifupa mikavuuu hasaaa.
Eneo la uchumi wako limekauka, limebakia unga — nini? Mifupa mikavu!
Na sio kwamba Mungu halioni! Ana liona kila siku na kila wiki!
Anaiona hiyo mifupa iliyo nyaukka na kuwa unga kabisaaa.
SIO KWAMBA HATAKI KUKUOKOA!
ANA KUACHA UBAKIE VUMBI MWISHO UPEPERUSHWEEE!
Anataka sanaa kukusuka!
Ndo maana miaka 2000 kabla hata hujazaliwa alisha mtuma Mwanae Yesu Kristo kukuokoa na utumwa wa shetani na kukuweka huru —
FINISHED WORKS OF CHRIST!
Yesu kazi alifanya na alisha ikamilisha miaka 2000!
Na Mungu alivo serious na wokovu wako, kahakikisha kuna maandiko kabisaaa matakatifu ya hizi Finished Works of Christ — Injili 4!
Anaeosekana kwenye hii equation yako ni NABII EZEKIEL WA ZAMA ZAKO ZA SASA.
Nabii Ezekiel wa ku prophecy maandiko ya Injili juu ya situation yako so as to move the hand of God over your life.
The hand of God is moved swiftly and smoothly by prophecy!
Only after Ezekiel gave prophecy on the bones is when the hand of God moved and action happened to the bones.
Kwa hiyo hata wewe, hilo bonde la mifupa mikavu kwenye maisha yako linahitaji nabii wa kutoa unabii juu ya hiyo mifupa mikavuuu ili mkono wa Mungu utembee juu yake na hiyo mifupa ipate uhai.
Nabii atakae coordinate uwezo wa Mungu, maandiko, na mifupa mikavu kwenye maisha yako —
ambaye atatamka urejesho juu ya maisha yako sawa sawa na maandiko,
ambaye ata decree na ku declare maandiko juu yako.
2 Peter 1:21
For prophecy never had its origin in the human will, but prophets, though human, spoke from God as they were carried along by the Holy Spirit.
Acts 10:43
All the prophets testify about him that everyone who believes in him receives forgiveness of sins through his name.
