JINSI YA KUFANYA IBADA

It came to my attention kwamba wengi hamjui kufanya ibada, Mwanzo nilidhania jeuri tu na kujizima data lakini over the time nimejua wengiwenu sio jeuri ila hamjui serious, Na mfumo wa dini yetu ya Kikristo KIMAANDIKO ni KUJIOMBEA, YESU aliwafundisha wanafunzi kusali.

 

Yohana nae aliwafundisha wanafunzi, Hata ukirudi enzi za manabii walifundisha watu, Uki-fast foward kwa Mitume sio tu walifundisha miji waliopita bali walianzisha jumuiya kabisa ambazo ndio Makanisa ya Mwanzo. Ukiona  Mtumishi hakufundishi kujenga  uhusiano na Mungu wewe kama wewe anataka umtegemee yeye HAFATI UONGOZI WA KANISA AMBALO NI PRODUCT YA KRISTO, STUKA MAPEMA WHY CREAT UN-NECESSARY DEPENDENCY?, UKIFA? UNATUACHAJE?

 

Tukiachana na maandiko kwa maisha ya sasa unakuta Mtumishi ana kofia 3 mpaka 4, Kama mimi huku Mtumishi huku Hustler, Kweli jamani Mtumishi analima mashamba, anafunga, anaduka, kijiongeza sio vibaya, ISSUE INAKUJA UNAVYO WAAHIDI WATU UTAWAOMBEA WAKUPE PESA UNA WAPANGA, MIMI SIMLAUMU MTUMISHI HATA SIKU MOJA! NAKULAUMU WEWE UNAE PANGIKA!

 

WOTE MNA MASAA 24 KWENYE SIKU WHAT MAKES YOU THINK ATA FORGORE FAMILY YAKE, HOBBIES, ADDICTIONS, FOR YOU? HE WON’T OOOH, NDIYO MAANA MTU ANAKUPANGA ANAKUOMBEA MWAKA MPAKA MITATU, HUONI PROGRESS YOYOTE.

 

HII SYSTEM YA KUOMBEANA IS JUST NOT FEASIBLE NA MUNGU KWENYE MAANDIKO KAWEKA WAZI ANATAKA IBADA YA KILA MTU YEYE KAMA YEYE HATA IKIWA NA MTUMISHI AWE-ACESSORY TU, SIO IBADA ZA KUJUMUA, UNAMPA MTU PESA AKUFANYIE IBADA ILI WEWE UPATE MDA WA KUTOSHA KULA BATA ZAKO NA KUANGALIA NETFLIX NA HULU, KWELI? HATA WAKATI YESU YUPO NA WANAFUNZI WAKE WANAOMBA AKIKUTA IMEJILAZA LAZA ANA IFURUMUSHA KWELI KWELI

 

Ingekuwa YESU yupo kipindi hiki cha Gen Z, wanamwambia TICHA we maliza kila kitu, Mchongo mzima wa mbinguni si unaujua na ume-usanua? Sisi tukaushie tonight, We  tulinde.

 

Watu  wengiwanakuja  kwangu miminaomba niombeee? Ukimuuliza why exactly? MimiSina hamu ya kuomba ?, Kumbe kuna cravings za ibada weh? Unamjibu tu na mimi hamu ya kuomba mambo yako Sina kwa kweli? KITU WEWE UNACHO ONA SHIDA KUBWA KUJIFANYIA UNAANZAJE KUJIAMI NISHA MWENZIO ATAFANYA? SIO KWELI.

 

Mimi sijui kuomba mama, sawa nitakufundisha mwanangu, Hamna aliezaliwa ananena kwa-lugha, Hamna aliyealiwa na Database ya Maandiko kichwani, AT SOME POINT ALIKUWA KAMA WEWE. Mimi ni mzito kuelewa, sidhani kama nafundishika, Wewe niombe tu, Ukikuta Mtumishi Gen Z hana haya wala hajui vibaya anakwambia leta Million 3! KUDADADEKI, Unastuka mbona nyingi sana JIOMBEEE MWENYEWE BASI.

 

Mimi Dada yangu ni MVIVU mpaka mimi ndugu yake wa damu nilimtimua kuwa muumini wangu, Baada ya kuona watumishi tuna mkazia akaja na Idea ya kuweka watumishi kwenye Payrol, Wote ni uvivu Na anapenda MADARAKA kuliko Chakula, Alijipenyeza kwenye 10M  lakini sasahivi anaitafuta 30M kwa Udi na uvumba, humwambii kitu yupo tayari kwenda any extent, kufanya lolote ilimradi afike hapo, NA HIYO LEVEL YA TOP OF THE TOP, GODS FAVORITE  WALE WANAOCHOMA KWANZA UBANI NDIO WAANZE IBADA, WEWE IBADA UNAFANYA UMELAZA GONGO LIMENYOOKA KABISA, HUNA HATA CHOMBO CHA SADAKA CHUMBANI KWAKO WALAU USINDIKIZE IBADA ZAKO NA SADAKA, FORGET ABOUT THE 30M FOCUS NA MILLION 5 AU 6, VIKUBWA VYA BALABOU NA BAKHRESA!

 

 

Mwanzo akanifata mimi anilipe 1 hr/ day, alivyoweka namba mezani nikamwambia hio 1 hr bora nikafanye kazi ya kanisa nibarikiwe, hela Mbuzi hiyo, Yani wewe una angalia  30M/M, 360M/YEAR ALAFU NAULI YA KUFIKA HAPO UNABANA SANA, KWENDRAAA!

 

Akapata watumishi wawili, Mimi mmoja si nimeringa, kapata wawili, Mmoja anajifunza uchungaji sio Pastor kamili, Alikuwa intersseor ana Upgrade, Na mwingine Intercessor. Wapendwa Intercessor  ni karama nyingine tofauti na wachungaji ambao  KAZI YA NI KUOMBEA WATU TU, WANA INTERCEED KWA NIABA YA WATU WENGINE EITHER KWA KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU AU WANA KARAMA HIO TU SO WANAKUWA NA HAMU YA KUOMBEA WATU.

 

MIMI WANANIFATAGA MAMA NASIKIA MZIGO WA KUKUOMBEA NASEMA AFADHALI MWANANGU INTERCEED KIDOGO HAPO, SHIDA KUBWA YA INTERVESSOR WANATAKA KUKUOMBEA WANAVOTAKA WAO SIJUI WANAVO ONGOZWA! WEWE UNAWEZA KUWA UNATAKA MUOMBEE UCHUMI ANA KWAMBIA HAPANA MAHUSIANO, KILA KITU KINACHANGAMOTO ZAKE UNGEJIOMBEA UNGEJIAMULIA.

 

Ukitaka kamserereko una tuliza Mshono unamsikiliza intercessor, Alaaa laasivyo haombi chagua moja, Sasa bwana Dada angu amewapa ratiba kabisa,itakuwa  1/hr per day for 3days a week, IT IS BLOODY EXPENSIVE, LAKINI KAMA NILIVYOWAAMBIA SHE IS WILLING TO GO TO WHATEVER EXTENT, SHE IS SPARING NO EXPENSES, SHE IS ALL IN.

 

COME TO THINK OF IT MTU AKUWEKA KWENYE KILA SIKU  TATU (3)  ZA WEEK YA MAISHA YAKE , 1 WHOLE HOUR/ DAY, MBONA WANAPUNJIKA MWANAO MWENYEWE HUMUOMBEI WITH THAT COMMITMENT, ISITOSHE NI JUKUMU LA HAWA INTERCESSORS KUANDAA MAANDIKO YA HIZO APOINTMENT, NA KUWA AVAILABLE HUO MUDA, BI MDASH KAZI YAKE KUITIKIA AMINA TU, NOT BAD AT ALL, UKIITAFAKARI IMEKAA VIZURI SANA, ANA CUT TU HIZO MONTHLY CHECKS ON TIME, MAMBO YETU YA  MJINi JINSI UNAVYOKUJA NDIO JINSI TUNAVYO KUPOKEA. HAIJALISHI NI IBADA YA KUKOMA JESHI LA MTU MMOJA AU NI COLLABO, WHAT MATTERS MOST NI IBADA IMEFANYIKA NA DHABIU ZIMETOLEWA NA MOYO WA IBADA UMEMIMINIKA.

 

VITU VYA KUZINGATIA KWENYE IBADA ZAKO

1.MALENGO

Malengo ya maisha yako yatakupa DIRECTION ya ibada yako na yatakupa DESCIPLINE, Malengo yakiwa MAKUBWA yatakulazimisha kufanya ibada kubwa na kuteketeza VIKUBWA, Kama lengo la Million 30 cannot be ajoke to you, Mtu hawezi kuwa na malengo ya 30M akapiga NO SHOW Siku tatu (3) mpaka week, Ukitaka Kughairi ibada ukikumbuka 30M/M nidhamu inarudi ghafla na hata ikitokea umepitiwa kweli ni kibinadamu, For 30M huo uzembe hauwezi kupita UN-PUNISHED, Lazima ujiadhibu mwenyewe kwa kukuletea zao kuleta, SABABU UNAJUA KABISA KWA UKUBWA WA OMBI LAKO KUKOSA NJE-NJE SO IBADA HAS TO BE PERFECT, OF HIGH QUALITY AND STANDARDS!

 

2.MOYO WA IBADA

Nia ya ibada inaweza kuwa nzuri kabisa lakini moyo wa ibada usiwepo, Matokeo yake unafanya ibada ya kimwili isiyo na connection ya kiroho, Unatimiza ratiba na wajibu tu kwenye Deliverance nime experience sanaa hii kwa pachua vichwa,  Mtu anakwambia nafanya maombi hamna chochote, Prayer points anapita kama GAZETI LA UDAKU, Unamuuliza Prayer point za KUMFUKUZA spirit HUSBAND/ WIFE zina maandiko gani? HAJUI NA HAYO MAANDIKO SIO UONGO ANAYOSOMA KILA ASUBUHI LAKINI KAMA GAZETI, YATAFANYAJE KAZI?

 

Ibada kufanyika zinafanyika ila ndio za kulipua-lipua, Hazina moyo hazina nini, Ni mwendo wa done and dusted for today,inakamilisha 30, UNABAKIA NA VIFUNGO VILE-VILE, SIO SAKO LA NYANI HILO, NI SAKO LA UPUUZI MTUPU.

 

WANAOPARA IMEPRTATIONS WAPO SERIOUS NA WAMEINGIZA MAANDIKO MOYONI!YOTEEE! HATA KAMA HANA SIMU! YANA FLOW KWENYE UBONGO WAKE 24/7, YANAISHI NDANI YAKE HENCE NGUVU ZA GIZA ZINAANZA KU-REACT ON THE WORD WITHIN, NDIYO IMEPRTATIONS ZINA-ANZA.

 

Unaweza kukuta watu watatu (3) wana tatizo moja kwa severity tofauti, Mmoja akawa invested and open hearted akavuka kiwepesi sana, Wengine wakafunga mioyo wasi-saidike chochote, Watu wasio Lipa zaka wengiwanakuja begging for the program ya Deliverance ambayo hu qualify! AT THE SAME TIME KUNA BIGGER PROGRAM YA DELIVERANCE YA MID JANUARY YA 30 DAYS NA MORE EFFECTIVE INAPIGWA NA VUMBI KWENYE WEBSITE NA PAGE NA IPO KAMILI NA BUREEE KABISAAA! ILA MTU HATAKI KUIFANYA.

 

ILE YA KWANZA NI BIGGER AND BETTER SABABU TAYARI INA MATOKEO MENGI SANA, INA SHUHUDA NYINGI, NA MIMI MWENYEWE ILINIPA MATOKEO SANAA NA NAJIPANGA KUIRUDIA KWA SIKU 30 KUDADADEKI ZA OCTOBER NA NAFUNGAAA JUU, SITAKI  KUJIENDEKEZA.

 

WAPENDWA ZAMA HIZI ZA DIGITAL, I DON’T THINK ANYBODY SHOULD BEG FOR ANYTHING, MA-PROGRAM ONLINE KIBAO NIA YA DHATI TU NA MOYO WAKO KUFANYA, FANYA KWANZA UNAZO QUALIFY NDO UJISUMBUE KICHWA, JUZI NIMEONA NIGERIA KUNA PROGRAM INAUZWA $500 !TO COST THAT IT MUST BE THE IT! NAJIPANGA KUINUNUA KUNOA MAARIFA, HUENDA KUNA MAFUNUO YA ROHO MAKUBWAA! UBAHILI HAUWEZI KUNI-SLOW DOWN, HAITATOKEA NIKAJUA TU VITU BY DEFAULT! INVESTMENT  MATTERS.

 

3.CONNECTION YA IBADA

Moyo wa ibada unaweza kuwepo ila ndo wa kama inakujaaa kama inakataa, Kama unaingia kama unatoka IBADA YOYOTE INATAKA MASIKILIZANO YA PANDE 2, WENGI IBADA ZENU NIONE SIDED, WEWE UNA BWAGA MOYO UNASEPA ZAKO, HUSKILIZI RESPONSE YA MBINGU WALA HUKAI KWENYE MFUMO WA KUPOKEA RESPONSE YOYOTE, YA NINI KWA MFANO?, NIMEOMBA KAZI, NIITWE KAZINI.

 

SIYO SAHIHI, UKIOMBA ASUBUHI  INATAKIWA UKAE KWENYE TAFAKARI SIKU NZIMA NA IKIBIDI ULALE UNATAFAKARI ULICHOOMBA NA KUNGOJA JIBU AU MAELEKEZO YA MBINGU KATIKA FAKARI, YOU SHOULD MAKE YOURSELF AVAILABLE KWA MBINGU KU-CONNECT NA WEWE NA KUKUPA JIBU LAKO.

 

HAITAKIWI UMESALI ASUBUHI KUMALIZA USHARUKIA USENGENYAJI, UNATAKIWA UTAFAKARI MAANDIKO YA SIKU HIO ULIOSOMA AU KISIMAMIA,UTAFAKARI UKUU WA MUNGU ENEO UNALO-OMBA AMBAO AMEWATENDEA WENGINE, UTAFAKARI KWANINI WEWE HAKITENDEI? JE KWA MAANDIKO HAYA YA LEO ITAKUWA TOFAUTI?, JE MUNGU ATASEMA NA WEWE KWA HABARI HII?, NA KWANINI ASISEME WAKATI IMEANDIKWA NIITE NAMI NITAKUITIKIA NA KUKUONESHA MAMBO MAKUBWA MAGUMU USIYO YAJUA, SIKU NZIMA HATA WEEK IKIBIDI, HATA MWEZI, UMEKOMALIA JAMBO LAKO, KWANINI NDOA IMECHELEWA?, UNAKANDAMIZA MAANDIKO APATE MKE MWEMA, ATAMUACHA  BABA NA MAMA ETC!, EVENTUALLY MBINGU ZITASEMA NA WEWE.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top