1. THE OLD YOU MUST DIE BEFORE YOU CAN BE REBORN
Watu wengi mna jaribu kujire-brand! Yaani, kujaribu kubadilisha maisha yenu kutoka pale mlipo pale, lakini the old you—the person who has failed over and over—cannot simply be repackaged. Impossible! The old you failed and stayed in that position kwa sababu very solid and valid reasons.
Kama wewe ni yule yule, how do you plan to override these solid reasons? Mfano: Wewe siku zote unapata kazi za million 2 tu au hupatagi kazi kabisa. Kuna very solid reasons—low IQ, uncompetitive GPA, weak interview skills, lack of exposure, laziness, underperformance, na kila kitu kingine kilicho funga maisha yako.
Without transformation, hakuna way forward.
Wewe hupatagi mwanaume tangu uvunje ungo wa kukwambia, “Nataka kukuoa tufanye maisha!” Wala si malaya, kwa kuwa wewe una offside 2,3 tu za kibingwa. Tatizo lipo pale pale—mara utakapoenda Europe au mkoani, matokeo ni yale yale. Wanaume wote waliokuwa pale hawakuona wewe kama mke. Kuna agano la nguvu za giza, uwepo wa mapepo, au vifungo vilivyofungwa—kila kitu kinasimama kwa sababu ya “old you.”
Wewe jichete! Lakini peponi wanakuangalia—pepo linaweza kuja mara 1 kwa mwezi tu kuangalia hali yako. Old patterns lazima zifae. Ndoa, career, au afya—hakuna matokeo bila death ya old self.
THE OLD YOU VS THE NEW YOU
Rebranding ni kwa flesh, lakini katika ulimwengu wa roho, you are still the same foolish girl if the old you hasn’t died. Ukija kujaribu rebrand miaka 30, 40, 50, utaendelea sawa. Transformation is non-negotiable.
Ephesians 1:18
“The eyes of your understanding being enlightened; that ye may know what is the hope of his calling, and what the riches of the glory of his inheritance in the saints.”
Ukawa stronger, only then unaweza challenge status quo ya maisha yako—ndoas zako, unemployment, economy, health.
SEEING GOD REQUIRES THE OLD YOU TO DIE
Isaiah 6:1
“In the year that King Uzziah died, I saw the Lord, high and exalted, seated on a throne; and the train of his robe filled the temple.”
-
In the year uvivuu wako utakapokufa na ukaanza kusoma maandiko kwa moyo, ndipo utaona presence of God kila siku.
-
In the year jeuri na kiburi chako vitakapokufa na ukaacha kumuiibia Mungu zaka zake, ndipo utaona Mungu katika business yako.
-
Old you must die so you can be transformed into a new you fit for God to reveal Himself.
John 12:24
“Truly, truly, I say to you, unless a grain of wheat falls into the earth and dies, it remains alone; but if it dies, it bears much fruit.”
-
Ukifa, utakaa na bearing much fruit. Mungu atakunyima mwanaume hadi old selfishness ndani yako itakoma—until then, upwiro na ujinga utaendelea.
NO REBRANDING WITHOUT DEATH
Rebranding inaweza kufoolisha watu wengine, lakini it won’t fool God nor the devil. Unless the old you dies, there is no growth, no fruit, no promotion, no breakthrough.
John 3:3
“Jesus answered him, ‘Truly, truly, I say to you, unless one is born again he cannot see the kingdom of God.'”
-
Old you lazima iaze, iwe old mindset, old habits, old laziness, old jeuri—all must die.
-
Only then God can birth in you the new you—stronger, wiser, fruitful, aligned with His will.
SUMMARY
-
Old you must die: failure, laziness, jeuri, jeuri, upwiro, unpreparedness, wrong mindset.
-
Death brings transformation: only a transformed you can see God, bear fruit, and break generational curses.
-
Rebranding is for the flesh; transformation is for the spirit.
-
Study Scripture, pray, obey—the old you must be crucified for God to reveal Himself fully in your life.
No shortcuts. No excuses. No rebrand alone. Only death of the old self births maximum impact, blessing, and breakthrough.
2. AMUA KUMFATA YESU KWELI KWELI
Sio swala la kukurupuka, kudandia, au kujichetua! Ni swala la kuwaza kwa kina kweli kweli, kutulia, na kwa halmashauri ya kichwa chako kuamua kama una mfuata Yesu au la. Kisha, fanya maamuzi na simamia maamuzi hayo.
Kila mtu aliye okoka alipitia stage hii: either kuwa mlokole au kubakia mpagani alie changamka. For me, I had seen the cards the devil had for me. I can say he hated my cards! Sio kwa karata nyeusi namna ile. Kuamua kwenda kwa Yesu hakukuwa ngumu, kwani sikuwa na changu kwa shetani—ikawa simple. Just like that, I decided to follow Jesus and never looked back.
2. COMMUNICATE YOUR DECISION
Ukishaamua, lazima communicate maamuzi yako. Huwezi kuokoka kwa siri siri; it will just complicate things. Wewe mdangaji, ukija na secrets, wakilete madanga uka jibalaguzwa—they will be offended! Lazima u communicate maamuzi yako ili uwe huru.
Romans 10:9
“That if you confess with your mouth that Jesus is Lord and believe in your heart that God has raised Him from the dead, you will be saved.”
Watoto wengi wanafanya mistake ya kudhani confession ni just kukiri mara moja. Si hivyo! Ukiongozwa na ile sala ya toba na kumpokea Yesu, unaweza kubakia mpagani alie changamka, identified as a believer—mpaka una zeeeka. Hivyo, confession si once-off; ni lifestyle.
3. KUHUSU BWANA WA MAISHA YAKO
Paul aliposema ukiri kwa kinywa chako kuwa Yesu ni Bwana na Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, ali maana ufanye hivi kama mfumo wa maisha yako kila siku, kila wakati, na kila mahala. Hakuna time limit wala expiry date.
Ukweli: Kila siku iendayo kwa Mungu, ji self-kumbusha na kukiri moyoni mwako na mbele za watu:
“Yesu ni Bwana wa maisha yangu.”
-
Nyumbani: watu wajue Yesu ni Bwana wa maisha yako.
-
Kazini: watu wajue Yesu ndie Bwana wa maisha yako.
-
Kila mahali: hakuna ambiguity, hakuna confusion.
Lord / Bwana ni mtu aliye na authority, control, na power juu yako na maisha yako. Ukiamkia Yesu kama Bwana, unamkubali kuwa guide, master, na ruler wa maisha yako.
4. KUAMINI YESU HAI
Kuingia kwenye salvation hakutokee bila kuamini Yesu yu hai. Unaposhindwa kuamini, utahisi powerless, lost, depressed, na lack of help kila wakati. Ukiacha hili, unaendeleza ubabaifu wako.
Hii ndiyo sababu wengi wanaposema wameokoka miaka 7 lakini bado wanapiga viombi vidogo vidogo bila kuona miracles. Wacha tuwe honest: Are they really Christians, or neo-pagans?
-
Jesus ndiye Bwana wa maisha yako, aliye confirmed by heavens.
-
Ukiamini kweli, hutaogopa tests za government, kazi, au life challenges. Yesu ndiye ultimate victory.
1 Corinthians 15:56-58
“Thanks be to God, who giveth us the victory through our Lord Jesus Christ!”
5. KUAMUA KWELI NA KUMKIRI YESU
-
Confess every day: “Yesu ni Bwana na Mwokozi wa maisha yangu.”
-
Believe in your heart: Mungu alimfufua kutoka wafu. He is powerful, active, and authoritative juu yako na maisha yako.
-
Integrate into daily life: ongea na Yesu consistently, for issues of work, relationships, health, and daily challenges. Use Scripture.
Hii ni foundation ya strong faith. Bila hili, salvation inakuwa incomplete; hutaona miracles, hutaona breakthroughs, na hutaona victory kweli kweli.
6. POWER YA YESU KATIKA MAISHA YAKO
-
Power ya Yesu ni unlimited; hana expiry.
-
Yesu atakufanya useme na ushinde dhoruba za maisha yako.
-
Hata dhoruba za kishenzi, zitakoma ukiwa committed to Him.
-
Ukiwa serious na maisha yako, power ya Mungu ipo ya kutosha kukusidia kushinda challenges zote.
Matthew 15:25-26
“The woman came and knelt before him. ‘Lord, help me!’ she said. He replied, ‘It is not right to take the children’s bread and toss it to the dogs.'”
-
Even Gentiles, aliye acknowledge Yesu kama Bwana, weza proceed kumuomba msaada.
-
Wewe bado unashupaza shingo: amkia Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako, sasa sasa, before shetani akumalize.
7. CONCLUSION
-
Amua kweli: decide to follow Jesus with your head, heart, and soul.
-
Communicate maamuzi yako: let people see your change.
-
Confess daily: Yesu ni Bwana wa maisha yangu.
-
Believe: He is alive and powerful, active in your life.
-
Integrate Him in every area of life: home, work, relationships.
-
Watch power of God manifest: miracles, breakthroughs, protection, victory.
Without acknowledging Him as Lord, you are no match for the devil. But plead allegiance to the Father and Son, and the heavens will fight for you, ensuring your life is victorious, full, and guided by Christ.