CONNECTIONS ZIPO!
TUNAPENDA CONNECTIONS ZINAZO POWER! MSAADA NAO NI JAM BO ZURI SANAA. UNA KUINUA, UNA KUKUTIA MOYO, UNA KUPUNGUZIA MAGUMU.
Lakini ngoma ni pale: “HUNAAAA MTU WA KUKUSAIDIA!” Yani HUNAAAA KABISAAA KABISAAAA. Kwisha habari zako, huna mtu wa kukuunganisha kazi wala deal wala mchongo. Upo kama ulivyo: JESHI LA MTU MMOJA. Umebakia mkiwa.
HUNA MTU WA KUKUSAIDIA KWA NDOA!
Hata kaka yako, ndugu yako, rafiki yako wa kiume… HAPANA KITU! Tangu enzi za Ibrahim, ndoa zilikuwa by connections! Watu wakusai, die, wakupe mke/mume—ustirike!
Kisa cha Yesu: John 5
“After this there was a feast of the Jews, and Jesus went up to Jerusalem. Now there is in Jerusalem by the Sheep Gate a pool, called in Hebrew, Bethesda, having five porches. In these lay a great multitude of sick people, blind, lame, paralyzed, waiting for the moving of the water. For an angel went down at a certain time into the pool and stirred up the water; then whoever stepped in first, after the stirring of the water, was made well of whatever disease he had. Now a certain man was there who had an infirmity thirty-eight years. When Jesus saw him lying there, and knew that he already had been in that condition a long time, He said to him, ‘Do you want to be made well?’ The sick man answered Him, ‘Sir, I have no man to put me into the pool when the water is stirred up; but while I am coming, another steps down before me.’ Jesus said to him, ‘Rise, take up your bed and walk.’ And immediately the man was made well, took up his bed, and walked.”
Jambo dogo sana la “kosa mtu wa kusaidia” liliigharimu mtu huyu miaka 38 ya maisha yake akingoja muujiza.
MUUJIZA ULIKUWEPO KILA SIKU, HATA HATUA KADHAA, MIAKA 38! Lakini veve, hakupona. Utukufu wa Mungu ulikuwa mkubwa, wa kutosha, lakini jambo dogo kama “HAVING NO MAN” liliishia kumgharamia muda mrefu.
Mifano ya Maisha Yetu:
-
Yamki, unaweza kuwa umepata vyeti vyote, staright, na kwa miaka 10 huna kazi hata ya kuzunguka. Wengine wanapanda vyuo, wanabadilisha kazi, lakini wewe… YOU HAVE NO MAN!
-
Yamki, unaweza kuwa mwanamke mzuri, roho nzuri, una nia njema ya kuishi na kuanzisha familia, lakini bado huna mtu wa kukuunganisha na ndugu, rafiki, au kaka wa mtu mwingine. 38 YEARS TU MBONA HUUJI CHAMBO!
Yamki, una umwa, una mgogoro wa afya, Mungu anajua, lakini bado… YOU HAVE NO MAN!
Yesu aliuliza:
“Do you want to get well?” (John 5:6)
Wakati mtu yuko kwa hali ngumu kwa muda mrefu, je, inawezekana kuacha kutaka kile kilicho sawa na haki yako? Mtu huyu alizoea hali yake, alitazama wengine wakipata muujiza, huku yeye akiendelea kuishia katika msimamo huo.
Hapa wengi tunashindwa: tunakata tamaa, tunakubali matokeo yasiyo sahihi, tunajaribu kuunda mfumo wa kuishi na shida zetu.
Siri ya Kuponya:
“YOU HAVE NO MAN?? NO BIG DEAL! YOU HAVE JESUS! PROBLEM SOLVED.”
Mtu aliye na miaka 38 akipambana, lakini bila msaada wowote, mara moja YESU alikuja na kumponya bila hata kumtumbukiza kisimani.
Chukua godoro lako! Biashara imeishaaa! Yesu hajatumia nguvu nyingi. Kauli moja tu: GAME OVER.
Shoga yangu, matatizo yako magumu ni kwa sababu hutaki kwenda kwa Yesu. Una ngaaa ngaaa sharubu tu. Matokeo bora ya wale walio bila msaada yalijulikana mara moja!
Yesu Ni Kila Kitu
-
John 15:13: “Greater love has no one than this, that one lay down his life for his friends.”
-
Hakuna anayekupenda zaidi ya Yesu! Tena maisha yake yote kwa ajili yako.
Afadhali, connection yake na Baba yake ni imara, halisi, na divine. Hivyo, kwa nini uweze kuachana na connection hii na kuwekeza kwenye connections dhaifu na zisizo na signali?
Badala ya kuwalaa katika self-pity na depression, njoo kwa Yesu, solve problem haraka!
Kila siku, sema kwa Yesu: “You have no man!” Hii sio show off, si spitting verses tu. Hii ni application ya Injili kwa maisha yako.
Tunaishi kwa Muujiza Sasa Hivi!
-
Isaiah 60:10: “And the sons of strangers shall build up your walls, and their kings shall minister unto thee: for in my wrath I smote thee; but in my favour have I had mercy on thee.”
Usiangalie kwenye mateso ya muda mrefu. Njoo kwa Yesu, achilia ubishani, acha ubabaifu, na tumia nguvu zako kupata uzima wa kweli.
YOU HAVE NO MAN? NO BIG DEAL! YOU HAVE JESUS!
